Swali zuri sana , ni kweli inapendeza tufahamu kwa undani juu ya kwaresma.
TUNAJIFUNZA.
Nami pia nasubiria kuelimishwa. Natumaini atakayetuelimisha atajumuisha vifungu vya Maandiko kuunga mkono hoja yake.
Bwana Yesu Asifiwe..nami pia natamani kuelimishwa, pia Naomba ndugu Mubelwa Bandio anisaidie kwa hili maana alinitakia Kwaresma njema kwenye Topic ya HAITI. Nitashukuru kujifunza toka kwako!
Asante ShooGAP kwa fungu hilo. Pia kwa Binti Sayuni kwa “changamoto”.
Nami nilete haya maelezo mafupi niliyoyapata ili tushiriki pamoja.
Lent: What is it? Why is it?
The highlight of the year for Christians is Easter, the day when our Lord rose from the dead. Lent is a forty-day season of preparation for Easter. Lent always begins on a Wednesday, called Ash Wednesday.
Why 40 days? Because, Jesus fasted and was tempted in the wilderness for 40 days. Lent, then, is our time of fasting, prayer, temptation and repentance. Lent is not required anywhere in scriptures, but it has been a custom, which Christians have practiced for most of the last two thousand years.
In many languages, the word “Lent” actually means “fast.” This is where the custom of giving up something for Lent originated.
However, just to confuse things, Lent is actually 46 days rather than 40 days. Why? Because the 40 days of Lent are supposed to be days of fasting, which means days of discipline and self-restraint. But Sunday, the Lord’s Day, should never be a day of fasting, but a day of celebration! So each Sunday we suspend our Lenten disciplines and celebrate. Lent is 40 “fasting” days spread out over a total of 46 days beginning on Ash Wednesday.
The focus of Lent was always threefold:
It was a time to prepare new converts for baptism through intensive classes and instruction.
It was a time for long-standing Christians to review their lives and renew their commitment to Jesus Christ.
It was a time for backsliders to be restored to the faith.
In every case, it is a time for serious, disciplined self-examination, a time spent in intensive prayer and repentance before the cross of Calvary.
To represent the dark and serious business of Lent, one custom has been to strip the sanctuary of all flowers, candles, and colors during Lent. This custom helps us to turn inward and examine ourselves, even as it reminds us of the dark and colorless Sabbath day when Jesus lay dead in the tomb.
Put simply, Lent is a time to examine ourselves carefully. Here are some questions upon which you might pray and meditate during Lent:
Am I sharing gladly what I have with others, especially the stranger and the poor?
Do I have a gracious and patient attitude with others, especially those who irritate me?
Do I feel the power of connection to God and the church in corporate worship?
How is my devotional and prayer life progressing? Am I listening to God more and complaining less? Is it time for a change or a growth in my Bible study and prayer life?
What are the lurking sin problems, which still plague me?
Am I as thoughtful and forgiving of family as others, or do I take my frustrations out on them?
Do I speak up for the maligned and oppressed, or do I remain silent in order to remain popular?
1. Kwaresma ni kipindi cha siku 40 ambacho watu hufunga kwa ajili ya maandalizi ya Pasaka. Na ni kipindi cha siku 40 kwa sababu Yesu alifunga siku 40 na na kisha akajaribiwa na shetani nyikani. Kipindi cha Kwaresma huanzia siku ya Jumatano ya Majivu.
2. Hakuna mahali popote kwenye Biblia ambapo Kwaresma imeagizwa kwa Wakrsito lakini imekuwa ni desturi inayofanyika hivyo kwa karibu miaka 2000 iliyopita.
3. Kwaresma ni:
i)kipindi cha kufunga, kuomba, majaribu na toba.
ii)kipindi cha kuwa na nidhamu na kujizuwia.
iii)kipindi cha kujichunguza na kuomba kwa bidii pamoja na toba mbele ya msalaba wa Calvary.
iv)kipindi cha kuwaandaa waamini wapya kwa ajili ya ubatizo kupitia mafundisho.
v)kipindi cha waaminio kuchunguza maisha yao na kimarisha upya uhusiano wao na Yesu Kristo.
vi)kipindi cha wakristo walioasi kuirudia imani.
Ninatumaini hayo ndiyo pia majibu ya maswali yangu niliyouliza, kama nilivyoyapanga, kulingana na swali langu la kwanza, la pili na la tatu. Yafuatayo ni ufafanuzi na maswali kutokana na majibu niliyopata kutokana na kusoma mchango huo ilioletwa na ndugu Mubelwa:
1. Kutokana na Biblia, Bwana Yesu alifunga kwa siku 40 kwa ajili ya kujiandaa kwa kazi ya kuhubiri na kufundisha. [Mathayo 4:1-17]. Kwa hiyo kipindi cha mfungo wa Yesu Kristo kilikuwa ni maandalizi ya kazi iliyokuwa mbele yake.
i).Kinachoonekana kuchukuliwa kwenye Biblia kwa ajili ya Kwaresma ni ule tu wa urefu wa kipindi, yaani siku 40. Lakini lengo lenyewe ni tofauti. Kwa maana lengo la kufunga Kwaresma ni kujiandaa kwa ajili ya Pasaka wakati sababu ya Yesu kufunga ilikuwa ni kujiandaa kwa kazi ya Injili. Lakini hapa sina neno zaidi kwa sababu, hata hivyo, Kwaresma si Agizo la Mungu kwa Wakristo. Ni utaratibu waliojipangia wenyewe. [Kwa hiyo inawezekana isiwe sahihi kutafuta maandiko kwenye Biblia maana si suala la Kibiblia]. Lakini hata hivyo, nimeelewa maana ya Kwaresma.
ii).Suala jingine ambalo limejitokeza hapa ni Jumatano ya Majivu. Sielewe Jumatano ya Majivu maana yake nini ndani ya Ukristo. Hapa ninahitaji kuelemishwa.
2.Swali langu la Nini chanzo cha Kwaresma naona halijapata jibu. Kwa kuwa imeelezwa wazi si agizo la Kibiblia ninategemea kuna namna fulani ambapo panaeleza namna ambavyo Kwaresma ilianza: Yaani ni watu gani walianzisha; kwa kuwa sidhani kama inawezekana tu desturi fulani ikaenea kwa watu bila kuanzishwa mahali fulani. Kwa kuwa Wakristo wa Kwanza na Kanisa la kwanza kwa ujumla hawakuwa na Kwaresma,ni dhahili kwamba desturi hii ilikuja kuanzishwa baadaye, mahali fulani na watu fulani.
Kwa hiyo swali la Nini chanzo cha Kwaresma bado ninaliendeleza, na ninasubiri kupata jibu.
[Yawezekana jibu liko katika moja ya mitandao ambayo ndugu Shoo GAP na Mubelwa Bandio wameielekeza, lakini ninafikiria ni vizuri kama linaweza kuletwa hapa, kama alivyofanya ndugu Mubelwa, ili iwe rahisi mtu kuafuatilia mjadala huu. Pia kuna watu wengine si rahisi kutembelea mitandao mingi kutokana na limitation ya muda wa kuwa online kwa sababu mbali mbali].
3. Kipengere cha tatu cha mambo ya msingi niliyoanisha kwamba nimejifunza kutoka kwa yale yaliyoletwa hapa na ndugu Mubelwa, naona ndipo panapoonyesha umuhimu wa Kwaresma kwa Mkristo.
Lakini nikiangalia yale yaliyooneshwa kama ndiyo kusudi na umuhimu wa kwaresma ninaona hayatofautiani na malengo yaliyomo katika mfungo wa mwezi wa ramadhani, ambapo waislamu hufunga kwa kipindi cha mwezi mmoja, kutegemea mwanadamo wa mwezi. Mwezi huo ni wa kutubu madhambi na kutenda mema; kama vile kutoa misaada kwa wasiojiweza. Kutokana na uzoefu, baada ya mwezi huo ambao wao huuita mtukufu, maisha ya watu huendelea kama mwanzo, kwa kuwa mfungo mwingine watatubu; halafu mzunguko huo hujirudia tena!
Kwa hiyo sioni tofauti kati ya Kwaresma na Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan wa waislamu!
Kupanga kipindi fulani tu cha mwaka ndipo mtu ajichunguze maisha yake kama yako sahihi au la ni jambo linalopingana na Neno la Mungu. Kupanga kipindi fulani tu cha mwaka ndipo waumini wapya wafundishwe na kubatizwa pia ni kinyume na neno la Mungu. Kupanga kipindi fulani tu cha mwaka ndipo mtu aliyekuwa ameiacha imani aweze kuirudia nalo ni kinyume na ukristo. Kupanga kindi fulani tu cha mwaka ndipo mkristo aweze kuwa na maombi ya kufunga na toba ni kinyume na maandiko ya Neno la Mungu. Kupanga kipindi fulani tu cha mwaka ndipo mkristo akabiliane na majaribu si sahihi ikilinganishwa na neno la Mungu. Kupanga kipindi fulani tu cha mwaka ndipo mkristo awe na nidhamu na kujizuwia vile vile ni tofauti na maagizo ya Neno la Mungu…..
Katika mambo haya sijaambatanisha na andiko lolote ingawa yako mengi. Kila jambo nililoandika kwamba linapingana na Neno la Mungu kuna maandiko mengi kuonyesha ni kwa namna gani jabo hilo linapingana na Neno la Mungu. Sijayaweka maandiko hayo kwa sasa, kwa kuwa kuna maswali ambayo bado nahitaji yajibiwe ili nielewe zaidi umuhimu wa kwaresma kwa mkristo. Ndg Joel WM aliandika kwamba atayeelimisha kuhusu kwaresma itakuwa vema kama atajumuisha na maandiko kuunga mkono mafundisho yake. Kwa hiyo nimeyaacha maandiko hayo ili yatumike wakati wake, wakati yatakapoletwa maandiko kuhusu umuhimu wa kwaresma kwa mkristo.
Kwa maana hiyo bado ninahitaji kufahamu ni kwa vipi kwaresma ni muhimu kwa mkristo, kwa kuzingatia kwamba ni desturi inayoelekeza watu kutenda mambo mema kwa kipindi fulani tu cha mwaka.
i).Na kama kwaresma si suala la kibiblia, na pia linapingana na biblia, usahihi wake ni upi?
ii).Kwa kuwa biblia inaelekeza mkristo anatakiwa kuwa mkamilifu siku zote, ni kwa vipi suala hili linaloelekeza wakristo kujitakasa kwa kipindi fulani tu cha mwaka liwe ni suala la kikristo?……
Maswali hayo, pamoja na mengine mengi ndiyo yananayonisababisha niendelee kuomba kufundishwa kuhusu namna kwaresma ilivyoanza, na ilianzishwa na nani na nini umuhimu wake kwa mkristo.
Nasubiri kujifunza!
KWARESIMA Inaweza isiwe na maana kwa yule anayejiona ana dhambi maisha yake yote, kwa yule mkamilifu na mtimilifu wa yote lakini inaweza kuwa na maana kwa yule anayehitaji kutakaswa, kufanya toba na ondoleo la dhambi kisha akafanye malipizi ya dhambi zake. Sio kila kitu Kaka kiandikwe kwenye Biblia kuna mambo mengine mitume na kanisa la kwanza waliyafanya/anzisha kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu. Inakubidi uamini katka Mungu baba, Mungu mwana na Roho Mtakatifu kwamba vyote vilikuwepo kabla ya ulimwengu huu na vilifanya kazi kwa pamoja au kila kitu kinaendelea kufanya kazi kwa mda wake.
Toba ni kila wakati = ni pale pale unapojiona kuwa umemkosea Mungu , si kwa msimu fulani tu , hizi toba za msimu hazimfanyi mtu kuacha uovu, zinajenga DESTURI NA KAWAIDA za kibinadamu, kwa sababu ktk desturi hizo hamna Roho Mtakatifu maana yeye ndiye tuliyepewa atuongoze na kututia ktk kweli yote, Roho Mtakatifu ndiye anayeshikilia nidhamu ndani ya mkristo, shida ni pale alipowekwa kando, niweza nikayaita kuwa ni mahangaiko ya wanadamu kutafuta njia mbadala za kutubu, wakati maadiko yako wazi, haiingi akilini kwamba Roho Mtakatifu awaongoze watu (fulani) kuanzisha jambo lingine nje ya Neno Lake mwenyewe.
nisaidiwe ili inikae vizuri.
Sahamani,
Mimi naomba kufahamu yafuatayo:
1. Kwaresma ni kitu gani?
2. Chanzo cha Kwaresma ni nini?
3. Nini umuhimu wa kwaresma kwa mkristo?
Asante.
Swali zuri sana , ni kweli inapendeza tufahamu kwa undani juu ya kwaresma.
TUNAJIFUNZA.
Nami pia nasubiria kuelimishwa. Natumaini atakayetuelimisha atajumuisha vifungu vya Maandiko kuunga mkono hoja yake.
Bwana Yesu Asifiwe..nami pia natamani kuelimishwa, pia Naomba ndugu Mubelwa Bandio anisaidie kwa hili maana alinitakia Kwaresma njema kwenye Topic ya HAITI. Nitashukuru kujifunza toka kwako!
Kuna mambo kadhaa nimejifunza kwenye hii website
http://www.newadvent.org/cathen/09152a.htm
Asante ShooGAP kwa fungu hilo. Pia kwa Binti Sayuni kwa “changamoto”.
Nami nilete haya maelezo mafupi niliyoyapata ili tushiriki pamoja.
Lent: What is it? Why is it?
The highlight of the year for Christians is Easter, the day when our Lord rose from the dead. Lent is a forty-day season of preparation for Easter. Lent always begins on a Wednesday, called Ash Wednesday.
Why 40 days? Because, Jesus fasted and was tempted in the wilderness for 40 days. Lent, then, is our time of fasting, prayer, temptation and repentance. Lent is not required anywhere in scriptures, but it has been a custom, which Christians have practiced for most of the last two thousand years.
In many languages, the word “Lent” actually means “fast.” This is where the custom of giving up something for Lent originated.
However, just to confuse things, Lent is actually 46 days rather than 40 days. Why? Because the 40 days of Lent are supposed to be days of fasting, which means days of discipline and self-restraint. But Sunday, the Lord’s Day, should never be a day of fasting, but a day of celebration! So each Sunday we suspend our Lenten disciplines and celebrate. Lent is 40 “fasting” days spread out over a total of 46 days beginning on Ash Wednesday.
The focus of Lent was always threefold:
It was a time to prepare new converts for baptism through intensive classes and instruction.
It was a time for long-standing Christians to review their lives and renew their commitment to Jesus Christ.
It was a time for backsliders to be restored to the faith.
In every case, it is a time for serious, disciplined self-examination, a time spent in intensive prayer and repentance before the cross of Calvary.
To represent the dark and serious business of Lent, one custom has been to strip the sanctuary of all flowers, candles, and colors during Lent. This custom helps us to turn inward and examine ourselves, even as it reminds us of the dark and colorless Sabbath day when Jesus lay dead in the tomb.
Put simply, Lent is a time to examine ourselves carefully. Here are some questions upon which you might pray and meditate during Lent:
Am I sharing gladly what I have with others, especially the stranger and the poor?
Do I have a gracious and patient attitude with others, especially those who irritate me?
Do I feel the power of connection to God and the church in corporate worship?
How is my devotional and prayer life progressing? Am I listening to God more and complaining less? Is it time for a change or a growth in my Bible study and prayer life?
What are the lurking sin problems, which still plague me?
Am I as thoughtful and forgiving of family as others, or do I take my frustrations out on them?
Do I speak up for the maligned and oppressed, or do I remain silent in order to remain popular?
Source: http://wilstar.com/holidays/lent.htm
Kutoka katika http://wilstar.com/holidays/lent.htm, na hasa kwa yale yaliyowekwa hapa na ndugu Mubelwa, nimeelewa mambo ya msingi yafuatayo: