Dini ya Obama bado ni gumzo Marekani

Hivi karibuni mzozo kuhusu dini ya Rais wa Marekani Barack Obama umeibuka tena, ambapo wapinzani wake wakimhusisha na dini ya kiislamu.

Mtumishi wa Mungu Franklin Graham, mtoto wa Mwinjilisti Billy Graham  alipohojiwa na kituo cha MSNBC kuhusu dini ya Obama, Alijibu ” Muulizeni yeye, siwezi kumjibia mtu swali hilo, Ninachojua mimi ni mwenye dhambi, na Mungu amesamehe dhambi zangu, Graham akasema “inabidi kumuuliza yeye, amesema yeye ni Mkristo, hivyo nami nadhani ni Mkristo”

Na alipoulizwa kama Obama ni Mwislamu, akasema “hapana”

Hata hivyo Raisi Obama amekuwa akisema yeye ni Mkristo kwa msisitizo.

5 thoughts on “Dini ya Obama bado ni gumzo Marekani

  1. kwani mkristo ni nani? ukristo sio jina bali ni matendo! tuna wachungaji,maaskofu, wainjilisti mitume na manabii wengi ambao sio wakristo. ukristo sio.jina la kizungu. ukristo ni kuishi kama kristo yaani “mtu yeyote akitaka kunifuata na ajitwishe msalaba wake anifuate”

  2. Obama ni mkristo mzuri sana, sema Wamarekani(Republican) wanasema hivyo ili kumdidimiza Obama kisiasa kupitia chama chake cha Democratic.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s