
Bahati Bukuku, Rose Muhando na John Shabani mwezi wa Pili!
Muimbaji wa Injili Tanzania Bahati Bukuku baada ya kuwa kimya kwa miaka minne tayari ana album mpya yenye jina MWAKA WA KIBALI, hii ni album yake ya nne ambapo nyimbo mpya kama WEWE NI BABA na UNATISHA zimeanza kusikika redioni.
Bukuku amekuwa akiimba nyimbo za faraja na amekuwa akisisitiza nyimbo zake ni maisha yake na jinsi Mungu anavyo muongoza ili afanyike msaada kwa wengine, kwa Utukufu wa Mungu. Karibu tena Dada Bahati ni siku nyingi tumesubiria!
Like this:
Be the first to like this post.
your songs has been a blessing to me may God bless you so much.
Keep up the good job…..I love your songs and may you continue to be a blessing!
ubarikiwe sana kwa kutoa albam nyingine dada, cha muhimu endelea kuwa rohoni zaidi ili upate ujumbe sahihi kwani unahubiri kwa njia ya uimbaji, wanamuziki wengi sasa ni waburudishaji tu na kupenda style nyingi za uchezaji badala ya kujali ujumbe. Mungu atusaidie
UBARIKIWE
salamu, japo mimi kiimani tuko tofauti lkn napenda sana jumbe zako, tupo pamoja sana, nakupenda dada yangu nakutakia kila la kheri na mafanikio zaidi ktk kazi zako
Pongezi sana dada bahati.Mungu akubariki sana na abanue mikapa yako ya Uimbaji kwani umeibariki moyo wangu
Pongezi sana dada bahati.Mungu akubariki sana na apanue mikapa yako ya Uimbaji kwani umeibariki moyo wangu