THE RESTORATION OF MY FAMILY HAS BEGUN – Benny Hinn

In a crusade in New York (May 24 2012) Pastor Benny announced he is reconciling with his ex-wife, Suzanne.

Recently Pastor Benny and his wife Susan spent time together with all their children and grand children as they reminisced about all the wonderful memories of family over the years and The Lord began His awesome Work of reconciliation. With the divorce rate in the doubling, it is about time, we start teaching the world of the gospel of reconciliation; GOD HATES DIVORCE!
READ ON….

“I have wonderful news that I know will be an incredible blessing to you and a great encouragement to your family.

Our God is a God of restoration and reconciliation. The cross is the ultimate symbol of His unending yearning to reconcile man to God and will be our only hope for healing. I know, for I experienced this healing when I gave my heart to my precious Master Jesus so many years ago; but I have experienced His healing touch more recently when He began His glorious healing work in my own family, as the process of restoration in my marriage has begun.

And it all started this past Christmas…

What could have been one of the loneliest Christmases of my life turned out to be one of the most beautiful I have ever experienced. As my children, grandchildren, Suzanne, and I gathered together on Christmas day, I began to sense that our precious Lord Jesus was moving in my family to bring about the healing and reconciliation I have prayed for so long. We laughed together, exchanged gifts, and reminisced about all the wonderful memories of family over the years, and I breathed a simple prayer, “Lord Jesus, protect my family for Your name’s sake.”

As many of you know, my wife, Suzanne, and I have been through a difficult season in our life and marriage. And while I am not prepared to make any announcements about what is taking place, I ask that you continue to pray for our family and be watching This Is Your Day for some precious news about what God is doing.

But I will say this: what I want more than anything on this earth is for God’s will to be done in my life, Suzanne’s life, and in the lives of my children and grandchildren. As a family we have been through so much, but we have seen God do the miraculous as He has called my daughters into the precious work of the Lord, delivered my son, and now begun the process of complete restoration in my marriage.

My beloved partner, I want to tell you afresh and anew that preaching the Gospel of Jesus Christ is my heart and my life, and I want to preach it until my heart stops beating. I want to cry out the words, “Jesus saves, Jesus saves, Jesus saves” until the last beat of my heart and, by His grace, the last words I breathe to be, “To Jesus be the praise!”

You’ve been my partner and have stuck with me through thick and thin—through everything that has happened—and with all my heart I want to say thank you, thank you, thank you. I am grateful to you beyond words and will love you always. I thank my precious Jesus for bringing you into my life, and I pray that He will bless you over and over again, meeting every need in your life.

I pray every day for you, my precious partner, and I ask that He will move in a mighty way on your behalf—healing your home, your life, and your finances. I pray that He will make you whole in every area of your life. You are precious to Him, just as you are precious to me. And together we can truly be part of the coming greatest harvest!

So continue to pray with me that His healing work will be completed and, very soon, we will rejoice together at what our mighty God has done in our midst.

I love you so much and you are more precious to me that I can say,”

-Benny Hinn

Nassari Atoa Shukrani Kanisani

Mbunge Joshua Nasari na Kangi Lugora wakitoa shukurani zake kanisani.
 

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Bw Joshua Nassari  jana tarehe 20 May 2012, alitoa sadaka ya shukrani katika kanisa la FPCT Kilinga Wilayani Meru mara baada ya kuchaguliwa kama Mbunge wa jimbo hilo.  

Akiongea na Mamia ya wananchi wa jimbo hilo katika kanisa hilo Bw Nassari alisema kuwa ameamua kutoa sadaka maalum ya kushukuru Mungu mara baada ya kumaliza vema uchaguzi huku wapiga kura wake wote wakiwa salama tofauti na wengi walivyodhania.

Hata hivyo aliwataka viongozi wa vyama vingine kuhakikisha kuwa wanakuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya wananchi na kuachana na tofauti za kivyama ambazo kama zitaendelezwa basi zitachangia kwa kiwango kikubwa sana umaskini wa Meru.

Akiongea katika kanisa hilo kwenye ibada hiyo mchungaji Langaeli  Kahaya  naye alisema kuwa wananchi wanapaswa kuhakikisha kuwa kamwe hawamchagui kiongozi yoyote kwa ajili ya maslahi ya Rushwa kwa kuwa wote wanaotoa rushwa  ndio wanaosababisha hata umaskini na umwagaji damu ndani ya  nchi.

Kutokana na hali hiyo alisema kuwa ni mwiko kwa wananchi wa Jimbo la Arumeru Mashariki kujihusisha na Rushwa kwa vipindi vyote vya uchaguzi kwa kuwa mpaka sasa Rushwa imeshaacha madhara makubwa sana ndani ya jimbo hilo na pia Rushwa ni dhambi kubwa sana.

Gladness Mushi wa Full shwangwe -Arusha

A Baby Boy Raised from the Dead


Dan Wooding (April 26, 2012)
“I felt God speaking to me saying: ‘He has the right to live’. So, immediately, I put my hand over him, and started to pray…” (Montevideo, Uruguay)—Dr. Marta Martínez is a respected doctor from Montevideo, Uruguay, who believes that God still heals the sick today. And she should know, for in an interview, Dr. Martinez told me about an extraordinary miracle that she witnessed and was personally involved with.

“I experienced this miracle some years ago, while I was working in a hospital in one small city, far from the capital city,” she said. “It concerned a baby who was about one month old and his mother was an adolescent and very poor. ”The baby boy had come to the hospital in a very bad condition, with malnutrition, dehydration and septicemia. There appeared to be nothing we could to do for him. Finally he died. While I was present, watching him at the moment of the death, I thought: ‘It is better for him to die, because in his environment, with his kind of family, he would have not any chance of success, the rest of his life would be a ‘Calvary’, with a lack of hope and no opportunities’.

“At that moment, I felt God speaking to me saying: ‘He has the right to live’. So, immediately, I put my hand over him, and started to pray and thank God he was ‘resurrected’—he came back to life! It was an amazing miracle.” Dr. Martinez went on to say that the baby was then sent to “a better hospital” in Montevideo called “Filtro” for further treatment.

“After some months, I went to the ‘Filtro’ hospital just to visit a patient and while I was there, I asked one of the nurses about this baby that I had prayed for. She told me that ‘he’s here right now and he’s five months old.’ She added: ‘He is fine now, but we have him still here just so he can gain more weight. Would you like to see him?’

“When I saw him, I was astonished to see that, by now, he was a very big and healthy baby. God allowed me to see the complete miracle. ”I have also seen other healings and I believe in divine healing because, first of all, it is written in the Bible, and secondly I have seen others healed in a miraculous way and have also experienced it in my own body.” Dr. Martinez is now hoping to travel to Nairobi, Kenya, to attend the 9th Annual World Christian Doctors Network (WCDN) conference to be held at the Safari Park Hotel, Nairobi, from May 25-26, 2012.

WCDN is an interdenominational organization composed of Christian medical professionals from around the world who believe in divine healing and meet under the title of “Spirituality and Medicine.” I concluded my interview with her, by asking why she thought other doctors should believe in the power of prayer to heal the sick, and she replied, “Not just Christian doctors, but all Christians should believe in divine healing because it is written in the Bible and also, it was a very important part of Jesus’ ministry on this earth, and also because the Holy Spirit dwells in us (Luke 4:18-20).”

–Christian Breaking News

Sijawahi kuona imani kubwa kama hii!

Muimbaji maarufu Lady Gaga amewasilia Korea kusini Ijumaa iliyopita kuitangaza album yake, hapo kabla  jumla ya waumini 300 wa Kanisa la kipentekoste walikutanika na kuomba Mungu kupiga onesho hilo.  Kiongozi wa kundi hilo Kang Ju-hyun alisema “Tunaenda kuomba kwa Mungu hilo tamasha lisifanyike ili ngono na ushoga visienee katika nchi” Alisema

Ijumaa ya tarehe 27 April kabla Lady gaga hajaenda uwanjani, wakristo 100 wakiwa nje ya uwanja huo walikuwa wakiomba na kukemea roho iliyo ndani ya mwanamziki huyo na kuomba Taifa lisidhurike kwa watakaoona tamasha hilo.

Waumini hao wamefanya hivyo kwa kuamini Lady Gaga anakuza ngono na ushoga katika jamii.

Serikali ilipinga watu chini ya miaka 18 kutoingia. Na waliongia walionesha vitambulisho vyao, Ni ushindi kwa watumishi wa Mungu hawa, wamepiga hatua, Inawezekana.

(AP / Lee Jin-man)
(AP / Lee Jin-man)
(AP / Lee Jin-man)
(AP / Lee Jin-man)
(Getty Images / KIM JAE-HWAN)
(Getty Images / KIM JAE-HWAN)
(Getty Images / KIM JAE-HWAN)

Kukiwa na imani kama hii kwenye kanisa, nchi yoyote inapona!!

Imam wa Msikiti wa Mayaha, Kisisi apokea Uponyaji kwa Jina la Yesu!

Mchungaji Michael Peter Imani wa WAPO Mission International Tawi la Mbagala Maji Matitu akiwa amemshikia kipaza sauti Mzee Musa Hombe (Idd Hussein Seba) (73) Imam wa Msikiti wa Mayaha, Kijiji cha Kisisi, Kata ya Ekhanoda Wilaya ya Singida Vijijini.

Aliyekuwa Imam wa Msikiti wa Mayaha, akishuhudia jinsi Yesu alivyomponya baada ya kuugua kwa miaka 15 “Sasa ninatafuta wa kuninunulia Biblia, Yesu anaponya mimi nimepona, ninyi waislamu wenzangu mnapoteza muda”

Pichani ni mtoto wa aliyekuwa Imam baada ya kupokea uponyaji na kumpokea Bwana Yesu

Christopher ambaye pia ni mtoto wa Juma Kombe, akifurahia kuuona Utukufu wa Mungu baada ya kuokoka, alikuwa amepagawa mapepo na biashara zake zikawa haziendi baada ya kuokoka kwa wiki tatu akaanza kuona mabadiliko ya biashara yake kushamiri kwa kasi.  “Nilipofanyiwa maombi ya wiki 3, nikakaa sawa, nikaingia darasani kusoma, nilipojazwa Roho Mtakatifu, usiku nimelala walikuja wachawi, wakaniita jina la zamani, Abdallah, lakini sauti ya upole ikaniambia, usiitike”.

Kijana Christopher ndiye aliyesababisha baba yake Kumpokea Bwana Yesu.

Michezo ya Ndondi na Mieleka kwa Wakristo

Michezo ya ngumi na mieleka ni maarufu sana. Na wapendwa wengine ni mashabiki na hata kuwashirikisha watoto wao kufurahia michezo hii. Lakini kuna habari njema kutoka ufilipino mwana ndondi maarufu Manny “Pacnan” Pacquiao (Kushoto) ameefunga bar na casino yake baada ya Mungu kumkataza binafsi asiendelee kucheza ndondi.

Kwa sasa Manny anahudhuria mafunzo ya biblia na kuamini Mungu anataka kuutumia umaarufu wake kwa ajili ya kuhubiri habari njema za Kristo.

Wapendwa, kuna michezo mingine haimpi Mungu Utukufu.

Limbless Nick Vujicic’s Marriage!

Following news of his engagement with his fiancé last August, Nick Vujicic, limbless Australian motivational speaker, got married to Kanae Miyahara on February 10th in California.

The newly-wed’s marriage is a witness to God’s amazing faithfulness and the goodness of marriage. On Nick’s Facebook page, fans from around the world poured in congratulatory remarks and comments expressing their joy from seeing and knowing this good news.

Nick, 29, has addressed over three million people in 25 countries, including Australia, United States, Canada, Taiwan, Hong Kong, China, Singapore, South Africa, Columbia, India, and others. Although he is so different from most people in this world, he believes that to own a healthy mind and spirit from the power of faith is more important than having anything else. His life and speeches have touched countless lives, allowing the audience to know that God has created everyone with a beautiful purpose. Despite the many limitations in life, “I can do all things through Him who gives me strength.”

In one of his speeches made several years ago, Nick said that he hopes to find a wife who God has prepared for him. Today, that wish that he had has been fulfilled, and it is also a very special Valentine’s Day gift to the world this year.

Nick Vujicic’s music video “Something More” released in August 2011:

—Culled from Gospel Herald

More About  Nick Vujicic From Strictly Gospel

nick-vujicic

My name is Nick Vujicic and I’m 26 years old. I was born without arms or legs and given no medical reason for this condition. Faced with countless challenges and obstacles, God has given me the strength to surmount what others might call impossible. Along with that, the Lord has placed within me an unquenchable passion to share this same hope and genuine love that I’ve personally experienced with more than two million people all over the globe.

Traveling extensively to over 19 nations, I’ve been extremely humbled by the continuous opportunities that the Lord has given me to share my testimony along with the hope that I have in Jesus with people in so many nations and situations. My greatest joy in this life is to introduce Jesus to those I meet and tell them of His great desire to get to know them personally by allowing Him to become their Lord and Savior.

One of my favorite scriptures from the Bible is Psalm 139:17-18 that says, “How precious to me are your thoughts, O God! How vast is the sum of them! Were I to count them, they would outnumber the grains of sand.”

God has used me to let people know in countless schools, churches, prisons, orphanages, hospitals, stadiums and in face-to-face encounters with individuals how very precious they are to God. Secondly, it’s my pleasure to assure them that God does have a plan for their lives that is purposeful. For God took my life, one that others might disregard as having any significance and filled me with His purpose and showed me His plans to move hearts and lives toward Him. Understanding this, though faced with struggles, you can overcome too.

Be encouraged today as you read this promise from the Lord found in Jeremiah 29:11 of the Bible, “For I know the plans I have for you, declares the Lord, plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.”

Continue reading

‘I had you aborted,’ mom told famed gospel singer

 Gospel singer Fred Hammond shared a powerful story on the Donnie McClurkin radio show recently of how his mother nearly aborted him, even coming in to the clinic a second time after the first attempt failed, before changing her mind on the operating table.

“She said, ‘I went to the clinic and it was illegal to do it in the 50s and 60s, and I had you aborted. And I was supposed to go home and have a miscarriage, and bring you back in a bag. …

“She decided to go back and said, I don’t think it worked. … They said, no, it’s still there, we’ll get it this time. And she says as she laid there, and they got the tools, she says she felt like God was going to kill her, she got up and ran out, putting her clothes on.  …

“Here’s why I don’t have time to ‘play church’: at the end of the day, when I was supposed to be discarded, and the tools came in to kill me, to crush my head or whatever you’re supposed to do, the Lord took His hand, pushed in there, and pushed me back out of the way. And they thought they got me.

“But at the end of the day God had a plan for a broken situation.”

Life Site News

Mtu aponywa UKIMWI kwa kusikiliza Album ya nyimbo za kuabudu!

Mungu apewe sifa kwa matendo makuu anayotenda kwa kupitia mtumishi wake Mwinjilisti Milca Katete anayefanya kazi ya uimbaji nchini Canada. Muimbaji huyu mzaliwa wa Arusha Tanzania, amesikika sana na nyimbo kama NATAMANI SOGEA na KABLA SIJAKUUMBA ambazo zote zinapatikana kwenye album ya YESU NIKO MBELE ZAKO.

Akiongea jinsi Mungu alivyotenda kupitia album yake, anasema anamuheshimu na siku zote kumtii anachosema ili yeye ndiye afanye kazi na maisha ya watu, akielezea jinsi alivyorekodi album yake ya YESU NIKO MBELE ZAKO Anasema ” Nilisikia Mungu akisema nami nitoe album hiyo, katika hatua ya kumsikiliza Bwana, Nikaingia kwenye maombi na kupata hakika wa kuendelea na hatua hiyo ndipo nilipoingia studio na kusikia nguvu ya Mungu ikisimamia album ile hata ilipokamilika.

(Chini ni moja ya wimbo ulio kwenye album ya YESU NIKO MBELE ZAKO, NATAMANI SOGEA)

Anaendelea kutoa ushuhuda baada ya album yake kutoka alipata ujumbe kwa ndugu aliyekua amejawa furaha na shukrani akieleza mambo ambayo Mungu ametenda kupitia album hiyo, Alikua kwenye maombi ya siku mbili akimsihi Mungu amponye, akiwa ndani ya maombi Mungu alisema naye kuuwa atulie asikilize kanda hiyo ya kuabudu yenye jina YESU NIKO MBELE ZAKO.

Akiwa katika kuabudu alikuwa katika hali kama ya kupoteza fahamu kama nusu saa kisha akaamka akasikia sauti ikisema mshukuru Mungu maana umepona.

Alienda hospitali kupima alikua na UKIMWI, akakutwa hana tena. Ndipo nikakumbushwa kwanini niliambiwa niitoe hiyo album, ni kwa Utukufu wa Mungu, sio Burudani tu. Namtukuza Mungu kwa ajili ya Utumishi aliouweka ndani yangu.

Milka Katete

Mwenyekiti wa waislamu waliookoka, Afrika Mashariki na Kati!

Alitokea kwenye familia ya kichawi, mama yake alijiita ni Mungu na kufanya miujiza mbalimbali ikiwemo ya kunyesha mvua. Sheikh Alhaji Rashid Tatashajara Abubakar, aliwahi kufanya shughuli za kisheikh katika msikiti wa Ilala mtaa wa Mwanza ambapo pia alikua mwanafunzi wa sheikh Yahaya Hussein ambaye ni marehemu kwa sasa.

Alianza kujifunza madrasa, akapanda vyeo na kusomea vyuo vya kichawi baada ya kuhitimu majaribio mbalimbali ikiwemo kufukua makaburi, kunywa damu za watu, kuhamisha nyota za watu, na kumeza majini 360 na kufanikiwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mkuu wa wachawi Afrika mashariki na kati!

Anasema katika mambo hayo yote, alikua akitumwa kushambulia watumishi wa Mungu mbalimbali, aliwahi kujaribu kwa Moses Kulola, Emmanuel Lazaro na Askofu Mwanisongole. Lakini alishindwa na kupata mieleka iliyompelekea kuumwa sana.

Akielezea ushuhuda wake kwa ufupi, Jinsi alivyompokea Bwana Yesu, ilikuwa sababu ya mke wake wa pili kupita kwenye mkutano wa Injili na kuponywa tumbo lililomsumbua kwa muda mrefu bila mafanikio ya kupona “mke wangu alikuwa akirudi nyumbani na kuimba nyimbo za makafiri, baadaye anaenda kanisani, sasa adhabu ya mtu anayekiuka sheria ni viboko 40, nilipotaka kumchapa mkono ukaganda, ndio mke wangu akasema piga magoti chini, akaniombea na mkono ukarudi mahala pake, baada ya hapo mengi yalitokea kukatisha story Mungu alianza kunifundisha na kunitumia”

“Siku Moja mtaa wa Salender Bridge kama mliwahi kusikia kisa cha dada aliyeota manyoya, alifikishwa kwangu nikamuombea kwa Jina la Yesu naye akapokea uponyaji. Kwa sasa yuko Marekani! nimemuona Mungu kwa jinsi ya tofauti kule nilikotoka nilikua namtumikia shetani, kwa sasa namtumikia Bwana Yesu, na kila ulimi utakiri kwamba Yesu ndiye Mungu”

Alhaji Rashid Abubakary kwa sasa ni mwenyekiti wa waislamu waliookoka Afrika mashariki na kati. Mungu amekua akimtumia kwa jinsi ya tofauti na amealikwa makanisa mbalimbali na kueleza shuhuda nyingi ambazo Bwana Yesu amefanya na kufanya kwenye maisha ya watu wengine. Ameonekana kwenye Televisheni ya kikristo ATN, ushuhuda huu kwa ufupi ameutoa tarehe 26 Agosti 2011, Kanisa la City Christian Centre.

The Beauty of His Majesty

Today I was summoned by two of my students, “Ms. Roberson! You have to come outside, there’s something really cool happening right now!” I rushed out the door filled with high expectations, but I was not prepared for what I was about to experience. “Ms. Roberson, look at the sun!” one yelled in amazement. I looked up and saw one of the most magnificent things. It was a sun halo. Personally, I’ve never seen one in my whole life and they are rare, at least one at this caliber. I rushed back into my classroom to grab my camera and phone. I wanted to call and text everybody. I didn’t want anyone to miss this experience! I snapped pictures of it while I was dialing everyone’s number. My students began to ask, “Is the world ending?…Is Jesus on his way?” I chuckled. Actually that thought never came to my mind. When I looked at it all I could do was stand in awe. My heart began to sing His praises.

Many times when I’m caught by His beauty I automatically break into song, especially at night when I look at the stars. I can’t help but sing Oh Lord my God. When I in awesome wonder. Consider all the works Thy hands hath made. I see the stars, I hear the rolling thunder. Thy power throughout the universe displayed. Then sings my soul my Savior, God to Thee. How great Thou art. How great thou art… Sights like the sun halo, stars that we see every night, sunrises, and sunsets…I can’t help but be in awe of His beauty. Every glimpse I’m seeing is a glimpse of who He is. I’m seeing His character. AMAZING!!!! Today when I literally couldn’t stop looking at the sun halo, I started singing…Powerful so powerful, Your glory fills the sky. Your mighty works displayed for all to see. The beauty of Your majesty awakes my heart to sing. How marvelous, how wonderful You are!…..My soul, my soul must sing. My soul, my soul must sing. My soul, my soul must sing BEAUTIFUL ONE!

Now anyone who saw this beauty displayed, stood in amazement. I was thinking, “Wow. God, You are so amazing. To make something this gorgeous, I’m in awe.” Later as I kept singing Beautiful One, I began to think even deeper. Knowing what causes a sun halo (Google it folks. I teach 4th grade, not high school!) with the ice crystals and clouds and all that, I wonder if it wasn’t all of God’s construction? We know that God spoke things into existence and things were brought forth. He didn’t necessarily say I want to make a rose and it will have thorns and have green leaves…they’ll have different colors and have an appealing smell. No, He spoke to the earth and it brought forth millions of striking creations! So, could it be that what I was looking at was an act of worship. Just God’s creation doing what it was supposed to do. The sun joined with a certain type of cloud (cirrus clouds) with these ice crystals and formed this most glorious sight. This made me think, if this breath taking sight came from things that God spoke into existence, what am I creating? I mean, I actually carry the breath of God. Can I actually say that my worship is creating such an experience?

Exactly 2 weeks ago it was reported that there was a sun halo in South Africa. Which makes me wonder if this wave is traveling throughout Africa? Hmm… What would happen if we joined that wave?…my soul my soul must sing. My soul, my soul must sing. My soul, my soul must sing BEAUTIFUL ONE!

—-Delicia Roberson, Worship Pastor

Wednesday, November 10, 2010

Beatrice: Nimepata Ujauzito na nina Amani!

Bwana wetu Yesu asifiwe sana kwa miujiza anayoifanya. Ninawashukuru sana Strictly Gospel kwa maombi yenu hakika hakuna lisilo wezekana kwa Mungu!

Nilituma maombi ilikuwa tarehe 11/5/ 2011 nikiwa katika kipindi kigumu sana lakini nimeona na macho yangu hakuna magumu kwa Mungu wetu mwenye huruma. Tatizo nilikuwa nayo ilikuwa ya kutopata mtoto na kutoelewana na mume wangu yaani alikuwa hataki kuniona. Ila mungu alitenda muujiza kama vile alivyomtendea Hanna mke wa elkana, amen! Wakati muliniandikia mkanifariji kwamba Mungu atayafuta machozi yangu kama vile alivyomufuta mke wa Elkana machozi na mkaniambia kwamba nitamkumbatia mwanangu hakika mulinitia moyo na hivi Mugu alisha jibu maombi hivi ni mama mjamzito na tena nina amani katika ndoa yangu. Jina la Baba libalikiwe na liheshimiwe na litukuzwe milele na milele, amina!

Kwa hiyo mwezi wa tano niliendelea kumlilia Mungu huo mwezi wa tano usinipite kabla sijapata mtoto katika tumbo langu kulingana na magumu nilikuwa nayo wakati nilikuwa naomba sauti ya Mungu ikanijia ikaniambia nichukuwe biblia nisome 2wafalme 4;16-18 .na 2wafalme4;1-7, Jina la Bwana libalikiwe. Nilipo lala usiku nikalota mtoto iko anacheza tumboni nikawa nafuraha sana nikamtukuza Mungu wangu mwenye nguvu na hivi mimba iliingia huyo mwezi wa tano kwa sasa hivi ninaomba Mungu aendelee kulinda mtoto wangu na nijifunguwe salama.

Jina la Bwana lihimidiwe. Ushuhuda wangu ni huo na mbarikiwe sana na mola wetu amina!

Beatrice.

Tarehe 11/5/2011 Beatrice Niyo akihitaji maombi aliandika kama ifuatavyo:

“Mungu wetu asifiwe. Ndugu zangu naomba munisaidie kwa maombi sana nimeolewa lakini sijapata mtoto niko katika kipndi kigumu sana mume wangu anataka kunifukuza juu ya hiyo tatizo ananiambia kama mimi sifai kuwa mkeo wala sina faida kwake mambo mengi sana machozi yanidondoka usiku na mchana natatizo ingine mimi ni yatima sina ndugu wala marafiki wote walisha nikimbia akinifukuza sina nafasi yakwenda nahivi amenipa dakika moja yakuishi nae mda wowote anaweza nitupa inje juu ya hiyo tatizo sina masomo wala vyashala wala kazi ambavyo vinaweza kunisaidia jamani ninahangaika sana. Naomba munisaidiye kwa maombi hata kama inawezekana munisaidiye kwa kufunga hata sikumoja.siku zangu zakufunga ni siku ya tatu yaani wednesday naomba tusaidizane kwa maombi.hivi roho yangu iko sawa kidonda mchana ni giza kwangu na usiku ni huzuni nyingi kwangu. asante mwenyezi Mungu awajalie.”

Ushuhuda mwingine wa Beatrice Niyo unapatikana katika link ifuatayo: http://strictlygospel.wordpress.com/2011/05/16/asante-yesu-kwa-kurejesha-amani/

Ujumbe kutoka Strictly Gospel:

Tunakushauri mtu ye yote unayehitaji maombi, kuuliza swali au kuchangia popote tumia jina lako halisi na usibadlishe badilishe jina. Hii itakuwa rahisi kufuatilia kufahamu kuwa ni wewe uliyeandika jambo fulani. Blog hii ni blog ya amani kwa kuwa Yesu mfalme wa amani yuko hapa na Jina la BWANA Mungu na litukuzwe. Amina!

Endelea kutembelea blog hii!

Namshukuru Mungu, nina Ujauzito!

Bwana apewe sifa, Mimi namshukuru Mungu kwa mema yote aliyo nifanyia, kwani Mungu wetu ni mwaminifu sana, Mtumishi ni kama wiki tatu sasa zimepita tangu nitume ombilangu na leo hii Mungu amenijibu nashukuruni sana kwa maombi yenu asanteni sana, niliomba mniombee nipate mtoto kwani nilikaa mda mrefu sana na mume wangu bila kupata mtoto, sasa nimepima jana ninaujauzito, Naomba mniombee tena jamani ili nijifungue salama sitaacha kumtukuza Mungu, amina!

Asteria John

Asante Yesu kwa kurejesha amani!

Ndugu zangu katika Kristo ninamshukuru Mungu maana amenitendea muujiza, asanteni kwa  kunisaidia kwa maombi mbarikiwe sana na Mungu awaongezee miaka ya kuishi kama vile alivyo mtendea Ezekiel na awaongezee nguvu za kumtumikia na kumshinda mwovu. Nilikuwa na matatizo ya kukosa amani katika nyumba yangu mume wangu alikuwa hanitaki tena kwasababu yakutozaa ila kwa maombi yenu Mungu amemubadilisha, Hivi nina furaha na upendo Mungu amenifuta machozi. Kwavile amejibu hili, naamini nitapata mtoto. Ninawapenda sana katika Kristo. Amen

Beatrice Niyo

 

Mungu anasikia, anatupigania!

Bwana Yesu asifiwe, ninamshukuru Mungu kwa mambo makuu aliyonitendea, mwaka 2008 nikiwa mjamzito wa miezi saba, Dada yangu alikuja na kuniambia kama ushauri kwamba ni vizuri kuhudhuria clinic ya muhimbili hospt, ambapo mimi nilikuwa nahudhuria clinic ya mikocheni hospt bila kujua nini kilikua kinaendelea nilimkubalia nikahama, kabla kuna dawa za mitishamba alikuwa akiniletea ambazo aliniambia nitajifungua mtoto mwenye afya hata nisumbua, matokeo yake haikuwa hivyo nilijifungua mtoto mwenye matatizo ya moyo alinisumbua sana katika malezi yake nilimpeleka kwenye maombi huku na huku nisifanikiwe mwaka jana mwezi wa saba hali ya mtoto ilizidi kuwa mbaya akawa hawezi hata kupumua ndipo niliamuwa kufanya maombi ya siku saba mwenyewe, nikiomba rehema kwa Mungu kisha nikafanya uamzi wa kumpeleka India kwenye operation ya moyo namshukuru Mungu mwanangu hakuchelewa kupona tukarudi Tanzania.

Ghafla mme wangu aliniambia hataki kuniona naenda kusali nilikokuwa naabudu baada ya kuokoka nirudi RC tulikofungia ndoa. nilichomueleza ni kwamba siwezi kurudi huko kwani nimeshazoea huku alinikasirikia na kuanza kurusha maneno machafu sana ya kashfa akimuita Yesu ninayemwabudu mimi ni mchawi hivyo nisimpeleke mtoto huko. Hapo ndoa yangu ikaanza vurugu tena nikaendelea kumuonba Mungu anifunulie haya mbona namaliza moja linaanza lingine ambalo ni gumu kuliko la kwanza. Siku moja mama yangu mkubwa anaishi Dodoma alinipigia simu akiniuliza kama dada niliyenaye anafaa kwa mtoto kulingana na khali yake, nikamwambia ananifaa lakini sio sana akaniambia aniletee mwingine nikamkubalia akaniletea baada ya wiki mbili mtoto alianza kuugua tena kumpeleka hosp nikapewa dawa lakini hazikusaidia chochote homa haishuki kwa dawa mpaka nikifanya maombi ndo inashuka nikaendelea kumuomba Mungu aniambie nini kinachoendelea, siku moja nikiwa nimelala usiku nilipata njozi iliyonieleza kwamba dada wa mtoto siyo mzuri nilipomuuliza akakubali kumbe alikua na mapepo pia alikuwa anatumiwa na wachawi kama mlango,nikachukua jukumu la kumuondoa nyumbani. Nikaendelea kusali bila kuchoka huku ndoa yangu ikiwa mashakani pia sikukata tamaa,siku moja nilishituka usingizini nikakuta mtoto anaweweseka anasema mama gari enda , huku homa iko juu nikaamka kusali kwa sauti nikiomba msaada kwa Mungu ashuke anisaidie nyumba yangu imevamiwa.

Ghafla ilinivaa nguvu nikaanza kusikia sauti ya Roho Mtakatifu inaniongoza, nikagundua box lilikuwa limewekwa stoo ndani yake zilikuwa zimewekwa doano tano juu ya box kumechorwa picha zilizoashiria mambo ya kishirikina, niliendelea na hiyo power kwa siku tano ilinisaidia kugundua maadui kila upande ofisini nyumbani kila sehemu nilikuwa na utambuzi wa hali ya juu baada ya hapo nilielezwa kuwa mume nilie naye sio mtu mzuri na matatizo yote source ni yeye; kumuuliza alikataa akasema mimi ni kichaa. Kesho yake mchana nilitegewa mtego wa ajali ya gari, Bwana Yesu akaniokoa, usiku nikapelekwa hospt ya muhimbili ambapo niliingia chumba kimoja kwa ajili ya mapumuziko wakidai wanamsubiri doctor kisha nikasikia Bwana ananiambia kile chumba ndicho afya yangu na mtoto vilichukuliwa mle mwaka 2008 akanirejeshea akaniambia nimbebe mtoto akamrejeshea na kuniambia udhaifu ule anaurejesha kwa dada yangu kwani yeye ndiye chanzo cha mateso yangu yote. Kisha walikuja kunichukua wakanipeleka chumba kingine ambapo nilihojiwa kwa takribani masaa manne ilikuwa saa sita usiku maswali ya kijingajinga kumbe ndio walikuwa wana taka kunimaliza kiuchawi hawakujua kama wanachofanya ni kazi bure Bwana alikwisha zuia. Kwa kweli kwa mara ya kwanza niliona Bwana akinipigania kwa namna ya ajabu mpaka leo mimi nashangaa,alikuwa ananipa maelezo nami na fuata nikikosea ananielekeza jinsi ya kuvunja, mnamo alfajiri Bwana akaniambia anataka kuondoka, niwasumbue wanipeleke nikalale walinipitisha chumba kimoja ambapo Bwana aliniambia nisitoe pumzi yangu ndani ya kile chumba nami nilifuata nilivyoelekezwa. Nikafaulu nikawa ok.

Namshukuru Mungu nilikuwa natolewa sadaka kwa chama cha freemansoon ambacho nilielezwa kuwa mme wangu alitekwa na kujikuta anajiunga na kututoa mimi na mtoto kama sadaka hii ni kama story lakini ndiyo ukweli halisi. Nawasihi wenzangu mliookoka angalieni msianguke. Mungu anajibu hata kama umefungwa kiasi gani,  mbarikiwe

Rachel Mkama

Utukufu Kwa Mungu

Wapendwa, nawasalimu katika jina Bwana wetu Yesu Kristo. Napenda kuwashukuru wote walioshiriki katika kunisaidia kuomba niweze kununua nyumba. Namshukuru Mungu wetu kwa kusikiliza na kujibu maombi yetu kwani nimeweza kununua nyumba na sasa ninaishi kwangu. Asanteni sana wana SG wote kwa maombi yenu. Sifa na utukufu kwa Bwana!
Tuendelee kumuomba Mungu ili mkono wake usitupungukie daima. Jina la Bwana lisifiwe!

Thecla
—————————————–
Shalom wapendwa, namshukuru Mungu kwa kunipa kazi, ambayo awali sikujua kuwa ni kipaji changu. SINA JINSI YA KUMSHUKURU MUNGU LAKINI NAMUAHIDI NITAIMBA SIFA ZAKE KWA WATU WOTE. NAMPENDA YESU SANA.

–Flora

Mungu amejibu!

Vaileth: Wapendwa tumushukuru Mungu kwa neema tunazopata bure bila gharama yoyote hakika Mungu ni mwema.

Namshukuru Mungu nilituma mniombee niweze kuanza chuo Januari hii na Mungu ametenda leo tarehe 4/1/2011  naenda kulipia chuoni na kuanza rasimi. Naomba mzidishe maombi kuombea ndoa yangu kwani kwenye ukoo wa Mme wangu wana tabia ya kuoa wanawake wengi.  Niombeeni Damu ya Yesu ya thamani iifunike ndoa yangu;  kila roho chafu ishindwe kwa jina la Yesu.  Bwana apewe sifa!

Nesta: Wapendwa Bwana Yesu asifiwe, Hongereni kwa kuchaguliwa tena mwaka wa 2011. Tumshukuru Mungu sana kwa neema yake.

Wapendwa mimi nimshukuru Mungu kwa ajili ya Upendo wake na Baraka alizonijalia kwani kama mtakumbuka tarehe 29/12/2010 niliandika ujumbe wa kuomba maombi ya kazi ya mume wangu. Hakika Bwana amenijibu hivi ninavyoandika ujumbe huu ni kwamba mume wangu yupo Dar es salaam amepata kazi na ameshaanza. Bwana yu mwema sana.  Sitachoka kuomba na kulitukuza jina lake. Wapendwa tuombeane. Mbarikiwe sana

Miaka 66 ya Ndoa!

Wapendwa ndugu zangu wana strictly Gospel wote popote mlipo.

Naomba nichukue nafasi hii kuwashirikisha kwa kuwashuhudia furaha ya familia yetu, familia ya Mzee Abel Marco Kinyau, kwamba leo tarehe 7/10/2010 ni siku ambayo wazazi wetu wametimiza miaka 66(sitini na sita) ya maisha ya ndoa yao. Walifunga ndoa takatifu tarehe 7/10/1944 huko Singida wilayani Iramba. Kwa sasa baba ana miaka 92 na mama ana miaka 83/84. Mungu bado amewapa afya nzuri ingawa kidogo mama anaanza kupoteza kumbukumbu.

Pamoja na kuwashirikisha furaha hii,  pia ninawaomba ninyi kama ndugu zetu katika Kristo mshiriki nasi furaha hii kwa kumuomba Mungu aendelee kuwashika katika hali ya uzee wao na pia kuwarehemu katika yale yote ambayo kwa jicho la Mungu wameonekana kufanya kinyume na mapenzi yake.

Natanguliza shukrani za awali kwa wale wote watakaoomba kwa ajili ya wazee hawa na familia yetu kwa ujumla.

HAKIKA MUNGU NI MWEMA WAKATI WOTE, AMEN!

Haggai Kinyau

Mungu Amenijibu, Asanteni Kwa Maombi!

Shalom, Wapendwa katika Kristo! Natoa shukrani nyingi kwenu nyote mlioshirikiana nami katika maombi. Nilileta hapa haja yangu ya maombi (tarehe 27/07/2009) ili niweze kununua nyumba ninayoishi. Lakini nikaachishwa kazi mwezi Desemba 2009, kabla sijatimiza azma hiyo.

Ninayo furaha kubwa, katika Bwana, kuwajulisha kwamba nimefanikiwa kununua nyumba na sasa niko kwenye nyumba yangu ambayo Bwana amenipatia. Nimeweza kununua nyumba baada ya kulipwa mafao yangu ya mwisho. Kumbe kuachishwa kwangu kazi ilikuwa ni njia ambayo Bwana amenipangia ili niweze kufanikiwa mahitaji yangu. Kwa kweli Mungu ni mwaminifu.

Shukrani za pekee kwako dada Rose kwa maombi na kuendelea kunipa moyo nilipopata majaribu. Baraka za Bwana zisipungue kwako daima.
Naendelea kumtumaini Mungu ili azidi kunishindia. Maana imeandikwa: “Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya”. Zab. 37:5

Wapendwa, tuendelee kumtegemea Mungu. Hakuna linaloshindikana kwake.
Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi wakati wote!

Theckla

Tumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu anayotutendea!

Ee Bwana, mkono wako unafanya maajabu, katika hayo tunapata kuyashuhudia, wanyonge umewapa nguvu, umeponya magonjwa sugu, umeowakoa watu wako kutoka kwenye utumwa wa dhambi, kila iitwapo leo tunasikia habari zako mpya za kushangaza, unatufungulia milango ya baraka kwenye maisha yetu, Mkono wako ni Mkuu sana. 

Umezitanda mbingu kama pazia, umezikunjua kama hema ya kukalia, hakuna Mungu kama wewe, 

Pumzi hii sisi twavuta, kila sekunde ya maisha yetu wewe wajua! Mbingu ni kiti chako cha enzi, dunia mahala pa kuwekea miguu yako, matendo yako yatisha kama nini, unazidi kututendea mema kila siku kwenye maisha yetu! 

Ee Mungu wetu, unastahili HESHIMA na UTUKUFU kwa matendo yako makuu unayotutendea!

Asanteni kwa maombi


Bwana Yesu asifiwe wapendwa, nashukuru sana nilileta maombi mniombee kwa ajili ya kupata ruhusa ya kwenda kusoma, MUNGU ALIYE JUU NIMEPATA RUHUSA YA KWENDA SHULE. NAMSHUKURU MUNGU SANA NA PIA NASHUKURU KWA MAOMBI YENU. Sina budi kusema asanteni sana

Jane Wadelanga–

Namshukuru Mungu kuniponya Mafua

Ninamshukuru Mungu kwa Neema zake, Mwaka juzi nilipatwa na makamasi ya ajabu sijawahi kuona katika maisha yangu, ilikuwa hivi! sikumbuki mwezi gani ila ni mwaka 2007 sikujua yalianza vipi nilikuwa sina kifua au kukohoa nilishtukia tu nina makamasi ya ajabu mno, yalinitoka bila kujua kama yanatoka wala nini halafu mazito mno kama Uji (samahani kwa hilo) pia yalinuka sana sikuweza kutumia kitambaa cheupe maana yalikuwa na rangi ya njano sijui hata niseme njano ipi jamani, nilikosa raha ya kuishi Marekani maana kila wakati yanatoka bila mimi kujua.

Pia pua moja haikufanya kazi yaani kama natoa moja naiziba halafu ndo natoa. Nilikuwa sijamjua Mungu kabisa ila baadae nikaona yanazidi kunuka na kunipa  shida nikipanda Train ilikua kero kwangu mpaka nifiche pua, sasa wakati mwingine ni summer so nilikuwa siwezi  kufanya hivyo, kipindi cha winter sawa nakuwa nafuu kidogo, nikaanza kuomba na kufunga bado haikusaidia, sikukata tamaa nimekaa miaka miwili nikarudi Tanzania nikawa bado tu siku moja nikawa natokwa na makamasi sikuwa na kitambaa ikabidi niombe  kwa mtu ambaye nilikua nae akawa hana, akanipa kile kile alichotumia yeye nikasema sawa nipe tu, nikajisemea moyoni hali hii itaisha lini?

Kile kitambaa nikatumia na kutupa, niliona aibu rangi ya kamasi, khanga zote ziliharibiwa kwa hilo, sasa basi mwaka huu wakati nakaribia kurudi Marekani sikumbuki makamasi yaliisha lini, nikawa natoa kamasi meupe kama sufi mh nikasema ehh ina maana yamekwisha yale ya ajabu!!!

Mpaka leo hii nipo mzima kabisa, namshukuru Mungu sana kwa kuniponya maana ilikuwa kero sana na harufu kali sana sasa leo ni mzima kabisa, Mungu atukuzwe kwa hilo. AMEN

L. Makene

My Hiding Place ya Kilahiro’s itapatikana Novemba

amon

gloria amon

Amoni Kilahiro na mwanae Gloria Kilahiro wakiimba siku ya uzinduzi wa video ya ASANTE YESU

upendo

Upendo Kilahiro akiwa na baba yake Mzee Mwakyegula wakiimba!

Familia ya Bwana na Bibi Upendo Kilahiro wanamshukuru Mungu kuwawezesha kufanikisha uzinduzi wao wa Video ya ASANTE YESU uliobeba wimbo wa ZINDONGA  uliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee siku ya tarehe 23.8.2009. “Namshukuru Mungu haikua kazi rahisi kwetu, tuliweza kumshukuru na kumuabudu Mungu pamoja na watu waliohudhuria,  pia tuliweza kuimba LIVE nyimbo mpya sita zitakazopatikana katika album yetu itakayokua tayari mwishoni mwa Novemba” Alisema Bi. Kilahiro

Album ya My Hiding Place  imerekodiwa na studio za BRAVE MEN, Toronto Canada ambapo wameshirikiana na kundi la KRYSTAAL.

Nick Vujicic – Life Without Limbs

nick-vujicic

My name is Nick Vujicic and I’m 26 years old. I was born without arms or legs and given no medical reason for this condition. Faced with countless challenges and obstacles, God has given me the strength to surmount what others might call impossible. Along with that, the Lord has placed within me an unquenchable passion to share this same hope and genuine love that I’ve personally experienced with more than two million people all over the globe.

Traveling extensively to over 19 nations, I’ve been extremely humbled by the continuous opportunities that the Lord has given me to share my testimony along with the hope that I have in Jesus with people in so many nations and situations. My greatest joy in this life is to introduce Jesus to those I meet and tell them of His great desire to get to know them personally by allowing Him to become their Lord and Savior.

One of my favorite scriptures from the Bible is Psalm 139:17-18 that says, “How precious to me are your thoughts, O God! How vast is the sum of them! Were I to count them, they would outnumber the grains of sand.”

God has used me to let people know in countless schools, churches, prisons, orphanages, hospitals, stadiums and in face-to-face encounters with individuals how very precious they are to God. Secondly, it’s my pleasure to assure them that God does have a plan for their lives that is purposeful. For God took my life, one that others might disregard as having any significance and filled me with His purpose and showed me His plans to move hearts and lives toward Him. Understanding this, though faced with struggles, you can overcome too.

Be encouraged today as you read this promise from the Lord found in Jeremiah 29:11 of the Bible, “For I know the plans I have for you, declares the Lord, plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.”