Mhubiri wa kimataifa Nabii GeorDavie maarufu kwa jina la “Ngurumo ya Upako” ametambulisha nyimbo zake ziko hewani. Nabii huyu ambaye makazi yake ni Arusha Mungu amekuwa akimtumia katika Ishara na miujiza, hivi karibuni amefungua tawi la huduma yake nchini Marekani na amekuwa akienda nchi mbali mbali kwa ajili ya kuhudumia watu wenye matatizo.
Pia Geordavie Ministries wana studio ya injili N Y U FM 99.2 Kanda ya Kaskazini Arusha, ambapo wanarekodi waimbaji, TV na Vipindi vya Redio na kurusha hewani. Studio imefunguliwa mwanzoni mwaka huu.
Askofu Gamanywa na mkewe Alhappiness wakitoa shukrani
HABARI KUTOKA GOSPEL KITAA
Rais wa shirika la kidini la Wapo Mission International Bishop Sylvester Gamanywa,wiki iliyopita alimshukuru Mungu pamoja na familia yake kwa kutimiza miaka 23 ya ndoa pamoja na mkewe katika kanisa la Pentekoste Tanzania Lindi street(city centre), kanisa ambalo ndilo lilimpatia vibali vya utumishi shambani mwa BWANA mpaka leo hii.
Akiwa na watoto wake wanne Excellent,Excel,Samael, David pamoja na mkewe mpenzi Alhappiness, Bishop Gamanywa alipata nafasi ya kuzungumza pamoja na familia yake na kubariki waumini waliofika kanisani hapo,wakimshukuru Mungu kwa uzima na afya pamoja na yote anayowatendea toka walipofunga ndoa mnamo tarehe nne mwezi wa tatu mwaka 1989.
Shirika la Wapo analoliongoza ndani yake kuna vituo vikubwa viwili vya ushauri wa kibiblia na maombezi(Biblical Counselling and intercession centres) BCIC Mbezi beach pamoja na Mbagala maji matitu ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakibarikiwa na kufunguliwa kutoka matatizo mbalimbali yanayowaandama vituo hivyo ni maarufu kwa jina la Hakuna lisilowezekana kutokana na yale Mungu amekuwa akiyatenda katika maisha ya watu wake.
Kutoka kushoto, Askofu Gamanywa,mkewe Alhappiness watoto wao David,Samael,Excellent pamoja na Excel.
Pamoja na vituo hivyo pia shirika hilo linamiliki kituo cha redio cha kikristo cha Wapo radio FM 98.0 kilichopo maeneo ya kurasini jijini Dar es salaam,kituo ambacho kimekuwa baraka kwa wengi kutokana na vipindi vya kijamii na kiroho vinavyoendeshwa chini ya uangalizi wake Bishop Gamanywa.
Baadhi ya waumini waliokuwepo ibadani.
Askofu Gamanywa na familia yake wakiwa katika pozi na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete
Moses Kulola, niliyezaliwa 1928 katika familia ya watoto kumi, ambapo watano tuko hai hadi sasa, nilijiandikisha katika shule yangu ya kwanza mnamo mwaka 1939. Shule hiyo ilikuwa inaitwa Ligsha Sukuma, ikiwa ni shule ya Misheni. Baada ya kumaliza hapo Ligsha Sukuma Mission School nikajiunga katika Idara ya Uchoraji wa Majengo mnamo mwaka 1949. Na mwaka 1950 nikabatizwa katika Kanisa la AIM Makongoro, mjini Mwanza..
Nimemuoa Elizabeth na Mungu alitujalia kupata watoto 10, ambapo kwa sasa saba (7) bado wako hai. Nilianza kazi za Umisionari mnamo mwaka 1950, ingawa nilikuwa nimesikia wito huo mwaka ule wa 1949!
Mwaka 1959 niliajiriwa serikalini. Lakini pamoja na kuajiriwa huko mimi niliendelea na kuhubiri Injili katika Miji na Vijiji. Utumishi wangu kama mwajiriwa wa Serikali ulikwisha mwaka 1962 baada ya kuwa nimekabidhi nguvu, mwili na nafsi yangu katika kazi ya Mungu! Ilipofika mwaka 1964 niliamua kusoma na nikajiunga katika Chuo cha Theolojia na kuhitimu katika kiwango cha Diploma mamo mwaka ule wa 1966.
Baada kupata Diploma hiyo sikuishia hapo bali niliendelea kusoma kwa Njia ya Posta na kupata Vyeti vingi sana kutoka Sehemu mbali mbali duniani.
Nilitumika miaka miwili kama mchungaji, 1961-1962, katika kanisa hilo la AIM na baada ya hapo nikawa muumini wa Kipentekoste. Halafu nikatumika katika kanisa la TACR kuanzia 1966 hadi 1991 ambapo nilijisikia kuanzisha Evangelistic Assemblie of God, maarufu kama EAGT. EAGT ni kanisa ambalo limefanikiwa kukua kwa kasi kubwa nchini hasaTanzania, Zambia naMalawi ambapo jumla yake ni kama makanisa 4,000 yakiwa ni makanisa makubwa na madogo, na mimi Moses Kulola nikiwa ndiye Askofu Mkuu na Msaidi wangu akiwa Askofu Mwaisabira.
Si kazi rahisi kuendesha makanisa elfu nne (4,000) na ndiyo maana ilibidi kugawanya katika maeneo 34 ya kiutendaji, kukiwa na Kanda Tano ili kurahisisha kazi hiyo ya Mungu. Kila eneo na Kanda kuna mwangalizi wake.
–Imetafsiriwa na Strictly Gospel kutoka Emmanuel Mabisa Blog–
Mwinjilisti wa kimataifa Reinhard Bonnke amejulikana kwa mikutano mikubwa anayoifanya Afrika. Ni mtoto wa mchungaji, alimpa Yesu maisha yake akiwa na miaka tisa (9) na Mungu alimuita kufanya kazi katika bara la Afrika tangu akiwa kijana mdogo na kuanza na mikutano yake maarufu kama “Fire Conference”
Katika mikutano yake ya Injili watu wengi wamekuwa wakimpa Yesu maisha yao, Imekuwa ni furaha ndani ya moyo wake kuona watu waliopotea wakija kwa Kristo!
Katika miaka 35 tangu ameanza huduma yake ya kimataifa ijulikanayo kama Christ for all Nations (CfaN) ambayo ina ofisi Marekani, Kanada, Ujerumani, Uingereza, Nigeria, Afrika kusini, Singapore, Austraria na Hong Kong. Pamoja na kuhubiri Injili amekuwa akionesha filamu zenye changamoto kwa kanisa na Uinjilisti wa Roho Mtakatifu.
Bonnke ameweka historia kwenye kazi ya Mungu, Afrika haitamsahau na dunia haitamsahau kwa kazi amefanya, Mungu ambariki baba huyu kwa kukubali wito unaobadilisha maisha ya watu wengi, ni mume wa Anni, watoto wake ni Kai-Uwe, Gabrielle na Susie, pia ni babu wa wajukuu nane.
Bwana Yesu asifiwe, nimekuwa na maswali baada ya kusikiliza habari ya Askofu Eddie Long na kesi yake pia nikawaza kuhusu watumishi wengine ambao wanakumbwa na kashfa mbalimbali ziwe za kweli ama kusingiziwa, Je, Mungu akiyahesabu makosa yetu ni nani atakayesimama? Wote tunafanya dhambi.
Tunapoona wenzetu wanabezwa mitaani, na wale walioacha Imani ya Kristo na mafundisho ya uwongo tuungane pamoja kuwaombea na kumshukuru Mungu.
——————————————————————————————————
Bishop Eddie Long has apologized for last Sunday’s service at New Birth Missionary Baptist Church that drew the ire of Jewish groups and religious scholars.
“The ceremony was not my suggestion, nor was it my intent, to participate in any ritual that is offensive in any manner to the Jewish community,” Long wrote in a letter sent Saturday to Bill Nigut, Southeast Regional Director of the Anti-Defamation League.
Footage of the service, viewed more than 600,000 times on YouTube, showed Long being wrapped in a sacred Torah scroll and carried upon a throne.
“He’s a king. God has blessed him,” said Colorado Rabbi Ralph Messer before covering Long in a scroll “[that] may still have the dust of Auschwitz and Birkenau.” Messer referred to the Nazi extermination camps in Poland where millions of Jews were murdered during the Holocaust.
In his letter to the Anti-Defamation League, Long “[denounced] any action that depicts me as a king, for I am merely just a servant of the Lord.”
Nigut, who said he was “horrified” by the service, told the Atlanta Journal-Constitution Sunday he appreciated the bishop’s apology.
“For the ADL it’s a real wake-up call that a lot of people do not understand our liturgies and practices,” Nigut said. “Guys like Messer are troubling to us because they appropriate real ritual or, in this case, make one up.”
Jamal-Dominique Hopkins, associate professor of Biblical studies at Interdenominational Theological Center, said the ceremony was “something I’ve never seen or read within the Judeo-Christian tradition.”
Meanwhile, leaders in the Messianic Judaism movement, which fuses evangelical Christian beliefs with elements of Jewish tradition, have sought to distance themselves from Messer.
A joint statement from the Union of Messianic Jewish Congregations and the Messianic Jewish Alliance of America said, “Messer is not recognized by any major branch of Messianic Judaism and, under the standards of the UMJC and the MJAA, is not even considered part of our community, let alone a rabbi.
“He is operating entirely outside the mainstream Messianic Jewish community,” the statement reads.
On Sunday the New Birth service was played in its entirety for Messer’s congregation at Simchat Torah Beit Midrash in Parker, Colorado.
“You’d be incredibly, incredibly proud of your rabbi,” said Nicole Martin, a pastor at Simchat. “I’m so excited about what happened [at New Birth]. The spirit was so thick, so tangible.”
Messer’s sermon makes reference to recent troubles that have beset Long, sued in Sept. 2010 by four former church members who alleged he used his influence, trips, gifts and jobs to coerce them into sexual relationships. The suit was settled in May.
“God wants to get your focus,” said Messer, adding “crisis produces opportunity.”
“You have to go through a descent before an ascent,” he said.
In a statement released by New Birth on Thursday Messer contended his message “was about restoring a man and to encourage his walk in the Lord. It was not to make Bishop Eddie L. Long a king,” he said.
Hivi karibuni mchungaji kiongozi wa huduma ya Ufufuo na uzima kutoka Dar es salaam nchini Tanzania, ameongoza ibada katika ukumbi wa shule ya sekondari Peak View maeneo ya Tottenaham, jijini London. Ambapo ni tawi la huduma yake alilofungua mwezi July mwaka 2011, Katika Ibada iliyofanyika amenunua vyombo vya muziki kwa ajili ya kanisa hilo na kuahidi kutuma wachungaji wengine kuja kanisani hapo kwa ajili ya kazi ya Bwana.
Ibada hiyo iliyofunguliwa na mchungaji Grace Gwajima aliongoza maombi na kumkaribisha baba mchungaji kufundisha Neno la Mungu, katika mafundisho yake alianza kwa kusema kuwa makini na uwepo wa shetani duniani “be aware of Satan’s presence in the world Mungu alimpa mwanadamu bustani ya Eden ili aitawale na kuitunza but man handed it over the devil after sinning, toka wakati huo dunia ikawa mikononi mwa shetani na ma agent zake,akitolea andiko kutoka Mat 4;8″
Pia amefundisha kuhusiana na Nyota inayowakilisha maisha yako inaweza kukingwa (A star of your life can be covered), amesema kuna astrologies, Sorcerer and the devil can know what you’re going to become in the future through your star, Matthew 2;1-2. Pia amezitaja shuhuda mbalimbali zikiwemo za jinsi Mungu anavyomtumia kufufua watu waliokufa, ukiwemo ushuhuda wa aliyekuwa mtabiri maarufu wa nyota Afrika Mashariki, alivyokuwa anatumia nyota za watu wengine kumng’arisha mtu mwingine na kumuonya kuacha tabia hiyo pamoja na kumpa masharti amabayo asipoyatimiza angekufa kitu ambacho kilitokea baada ya mnajimu huyo kukaidi. Shuhuda hizi ziliwagusa watu wengi waliohudhuria kwenye ukumbi wa ibada.
Akiendelea kusema “shetani anashikilia mihimili mikuu minne ya dunia ambayo ni Siasa, Jeshi,Dini na Uchumi, akasema kuna watu wanabaki wanahangaika na matatizo,wengine hawana amani, furaha kiasi kwamba wanadhani Mungu amewaacha la hasha.The devil can cover your star that your competence, ability, attraction cannot be seen. That is why people struggle a lot to make it in life because after the devil seeing your star and fore seeing what you’re going to become in your future he plans to kill it at an infant stage so what you need to have is Knowledge of the word of God kwasababu ufahamu wa Neno la Mungu ni nguvu ya kumshinda”
Akasisitiza kusema sehemu yoyote ulipo au kazi unayoifanya ili kupata mafanikio itategemea ni kwa jinsi gani unavyojishughulisha au “it depends on how you kick the ball, there is no dry place” akitolea mifano ya watumishi wengi na watu maarufu duniani akasema hapo walipo wamepambana sana kufikia mafanikio, pia alitoa ushuhuda kuhusu maisha yake, the devil can block or delay your miracle but he doesn’t have power to stop you from what God wants you to be. Daniel 10;12.
Askofu Charles Jangalason sio jina geni kwa wapenzi wa nyimbo za injili, Jangalason amekua na nyimbo zenye tungo zinazomuonesha utofauti wake ambazo zimetokea kuwabariki wengi. Akiongea na SG Askofu Jangalason anasema ” Kitu pekee ninapenda kuona katika maisha yangu ya wokovu ni watu wakimpokea Bwana Yesu, kama naimba nione watu wakibadilika kutokana na tungo zangu, na hata kama nahubiri Injili nafurahi jinsi watu wanavyoisikia Injili na kumpa Yesu maisha yao“
Askofu Charles Jangalason na mkewe Holipa Jangala wakiwekwa wakfu kwa ajili ya huduma na Bishop Kitonga wa nchini Kenya
Askofu Jangalason, ametoa jumla ya album 11 ambazo ni 1. USIWE KAMA POPO. Vol.2 DUNGWA SINDANO. Vol. 3 VAA KIATU. Vol.4 TIBU MASIKIO. Vol.5 SUGUA MENO. Vol 6 USIMUIGE MBUZI. Vol 7 JIFUNZE KWA KUKU. Vol. 8 FUA NGUO. Vol. 9 JAZA TUMBO. Vol. 10 USILE VYA BURE. Pia kuna album ya Christmas ambayo hakuipa namba, nayo iko Hewani, inaitwa FUKUZA MPANGAJI.
Mbali na uimbaji Askofu Jangala ni mwangalizi mkuu wa huduma ya HOPE FOR ALL NATIONS huduma yake inapatikana Goba, Jijini Dar es salaam, anawakaribisha watu wote kumtembelea ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo zaidi kuhusu Bwana Yesu tu. Albam ya USILE VYA BURE inapatikana Mwananchi Store Kariakoo.
Isaac Malonga, sio jina geni kwa wanaofahamu watumishi wa Mungu Tanzania, hasa jiji la Dar es salaam. Amekua mchungaji, baba mlezi wa vijana wengi. Kwa muda mrefu amekua akiongoza mikesha ya Tehilla Night inayofanyika kila Ijumaa Ukumbi wa Mbezi Park, Mbezi Beach, Tangi Bovu, ambapo vijana wengi wanapenda kuhudhuria kuimba wakimsifu Mungu. Mungu amempaka mafuta Isaac kwa ajili ya kizazi hiki, Tehilla imekua huduma inayobariki wengi kutokana na mguso wa Mungu mahali pale, Sifa na Kuabudu na Neno kwa ufupi kila Ijumaa kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 7.
Hivi Karibuni (21 – 22 August 2011) Mchungaji Isaac na team yake wamefanikiwa kufanya Tamasha kubwa la Raising The Standard (R.I.O.T) lililosikika Jijini Dar es salaam na vitongoji vyake na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya watu, wakiwepo waimbaji wengi wa Muziki wa Injili Tanzania, Wahubiri na waliohudumu kwenye Tamasha hilo kutoka ndani Tanzania na nchi jirani, wakiwemo Ephraim Sekeleti, Richard Njau, Christopher Bupe, Jaya Awinja, Wambura&The 12, Bashando, Gee&Seth, Elandre, Living Waters, Shekinah Dancers, Mass Choir 1, Prince Kenedy na Benjamin Dube wa South Africa.
Beloved, many greetings to u in the precious and wonderful Name of Jesus Christ, Our Lord, Saviour and soon coming King. My heart is burning with another thought that I would love to share with you guys. I have captioned it in the title above. Beloved each and everyone of us regardless of who were are, what color, creed, religious affiliation, faith base etc have stregths and weaknesses. It doesn’t matter how far you are in your walk with God you will have weaknesses and no matter how insignificant you feel you have strengths in you. Do you know that what you become in life is a result of the enviroment you place yourself in?
There are enviroments that will cause your weakness to show and some that will cause your strengths to show no matter how insignificant. Take for example a candle. For it to shine in darkness you need to shield it from the wind. You light a candle in darkness where there is much wind it will be put out again and again and it doesn’t matter how many times u light it, if it is in the wind it will be put out again and again. But if u shield it from the wind it’s strength emerges as it gives light in the darkness and it will be seen for miles away in darkness, but only if u shield it from the elements. The right enviroment will cause u too shine forth and be the champion u were created to be. The biggest mistake we make in life is to work very hard to change our weaknesses and we waist life trying to change our weaknesses which if we would just manage would become insignificant in the face of our strengths. Imagine a world class soccer goal keeper who is strong as a gollie and very weak as a striker waisting his energy trying to perfect his stricking skills which he can never perfect anyway, how much he will do his stregth as a goal keeper disservice. A wise world class goalkeeper would invest much time in perfecting his goal keeping skills and once he maximises them they will compensate for his weaknesses in other areas.
Have you ever heard any world number soccer player who was good at all 11 positions on the soccer field? no way! He is just good at one position and he is soo good at that position that it compensates for weakness in those other positions that it compensates for his lack in those other posiotions. I was listening to sister Marylyn Hickey, a great woman of God, God bless her soul, one day and she was narrating on a trip she had to China and she had the privilege of visiting with a world class ping pong coach and she was able to visit him in session trainig world class ping pong players of which we know China has quite a few. Marylyn noticed that these world class players had major weaknesses in one or two ares and she asked the coach how are these world class ping pong players and they have such weaknesses. Then the world class caoch gave an eye opening answer. He said as a world class ping pong coach it was his responsibility to discover thier stregths and work on perfecting those strengths to the point that they compensate the weaknesses they have and that’s how he has been able to bring forth soo many world class ping pong players. Beloved u r world class inspite of those many weaknesses u see in ur life and the devil will only have u see one side of u ur weakness and take u on guilt trips because of ur shortcomings and failures and ur ever repeated messups. But Jesus wants u to c another side of u. He wants u to know that ur weaknesses, messups and failures have been dealt with and paid for by His death burial and ressurection. You need to concentrate more on ur strengths than your weaknesses. Manage your weakness, work on your strengths and celebrate the unique giftings God has placed in u.
Lets think together through the following scripture. We will take our reading from II Corinthians 12: 7 – 10 and I quote, “And lest I should be exalted above measure through the abundance of the revelations, there was given to me a thorn in the flesh, the messenger of Satan to buffet me, lest I should be exalted above measure. For this thing I besought the Lord thrice that it might depart from me. And He said to me, My grace is sufficient for u, for my strenght is made perfect in weakness. Most gladlly therefore will I glory in my infirmities, that the power of Christ may rest upon me. Therefore I take pleasure in infirmities, in reproaches, in neccessities, in persecutions, in distresses for Christ’s sake: for when I am weak than am I strong.” The Apostle Paul had a powerful gifting when it came to revalations by the spirit. As u know he has given us more than half the new testament. His understanding of the mystery of the New Covenant was very deep. He was used of God at levels inconcievable. He never saw Christ physically but knew Chrsit even more than the Peters John and James’ who had walked, talked and ate with Jesus. This guy was deep man. But because of the incredible gifting God allowed weaknesses in Paul’s life to keep him humble and to remind him he was just a human, gifted yees and that incrediblly but still human all the same. Many a toimes because of our God given gifts we can be pompous and arrogant and think we are Assistant Jehovah, but our weaknessed and struggles remind us we are no assisitantant to Jehovah but just human vessels of clay that if mishandled can break into a million pieces. So Paul had a weaknesses to keep him in check and he prayed three times and that I guess intensely with fasting but God never removed that weakness but assured Paul that His grace upon Paul’s life was sufficient. He was sending a mesg loud and clear that Paul u shouldn’t thinmk that I am using u because u r better than the others but because I Jehovah have decided to place my grace, my unmerited favour upon ur life. So Paul you are what you are not because of anything of yourself but because of my grace upon ur life. Your weakness is not a hinderance to God, your weakness is a raw material to Him which He uses for His glory. Your weakness reminds you that u r just a huiman being, humous being, dirt being. U r a piece of clay breathed upon by the breath of Jehovah to make u the unique extraordinary person u are. U r what u r because of Him.
God will not take away that weakness or those weaknesses but He has given u grace and ability to manage them in the face of ur strength. Work on ur stregth. Keep doing what u r strong at and as u keep doing it u will get better and better and better. When u repeatedly do what u r strong at it is like pouring wine from vessel to vessel and as u do that the wine matures and becomes strong and very tasty. So is ur gift it matures, it becomes strong and very tasty to the reciever. Remember God’s power means nothing except there is a weakness. U will never know what God’s power is and they will never be a demand for it unless there is a need for it and weakness put a demand on God’s power and ability. Be strong in the Lord and in the power of His might. Let the weak say I am strong and be stregthened by His mighty power in ur inner man by The Holy Ghost. Peter walked on water by the strength of His faith in God but even that failed but he was wise enough to call on help while sinking and this time when the Lord hepled Him, He walked on water again not to sink for the Lord compensated his weak faith with His mighjty power. Come up afloat again by His mighty power and do the undable, accomplish the unaccomplishable by His grace and Mighty Power in Jesus Name. Be blessed now and always. To all u weak guys out there, u r not alone we all are weak in one area or the other but it is Jesus who compensates for our weakness by His grace and mighty power. It is not by ur might, neither is it by ur strength but by the Spirit of Jehovah. Arise in the strength of the Lord and accoplish great feats by the power of His might, in Jesus Name.
“There is no such as a perfect person on this world. We all make mistakes. And the approach we take towards a mistake may also be a mistake. That is why we all need to forgive and to be forgiven”
Strictly Gospel Ilipata nafasi ya kuzungumza na Mchungaji Paul Safari wa kanisa la Dar es salaam Pentecostal Church (DPC) Lilililoko Kinondoni Jijini Dar Es Salaam Ambapo wanatarajia kuwa na Tamasha kubwa la Sifa na Kuabudu walilolipa jina la SIFA ZIVUME, Tamasha litafanyika Tarehe 26/9/2010 Mlimani City Jijini Dar es salaam kuanzia saa nane na nusu. Akiongea kwa msisitizo mchungaji alionesha shauku ya kuiona siku hiyo na kuwakaribisha wakazi wote wa Dar es salaam na vitongoji vyake kuhudhuria bila kukosa.
“Lengo la SIFA ZIVUME ni kujaza Tanzania na Dunia yote kwa Sifa, Kumuinua Mungu, kuambukiza Roho ya kusifu na kuabudu kwa makanisa ya Tanzania”
Akiendelea kuelezea “Tunataka kumjengea Mungu Madhabahu, kuambukiza roho ya maombi kwa wana wa Mungu, Mtu ambaye hajaokoka aje kwa Yesu ausikie utiisho wa Mungu aache njia yake amjie Bwana Yesu, nikiiangalia “Event” hii namkumbuka Eliya alivyomjengea Mungu Madhabahu aliwaza Sijengi tu madhabahu ila madhabahu ambayo moto utashuka, Event hiyo tunaamini moto utashuka na Mungu kuchukua hiyo dhabihu ya sifa ambayo tutamtolea Bwana. 2 Nyakati 5:11-13, Tunaamini siku hiyo kuna kitu kitatokea kwenye mahusiano yake yeye na Mungu”
Mchungaji Safari akiongelea ubora wa Tamasha na Maandalizi “Tumekodi ukumbi wa Mlimani City kwa sababu ni ukumbi mzuri, uko sehemu nzuri, mkubwa na ni rahisi kwa yeyote kufika na kabla ya tarehe 27 September 2010, kuna siku nne za kujiandaa kwa kila kitu, kuanzia kuuandaa ukumbi, kufunga vyombo, mazoezi ya kutosha, itakuwa ni nzuri maana tumeandaa ukumbi kwa siku nne kabla, pia baada ya Tamasha kutakuwa na DVD’s za SIFA ZIVUME ambapo atakayeweza atanunua ili kuambukiza kumsifu Mungu Kwenye familia Zetu’
Pia alimalizia kwa kusema kiingilio ni Tshs 5,000/- na 20,000/- kwa viti maalumu pia watakuwepo waimbaji wachache walioitwa kwa ajili ya kumsifu na kumuimbia Mungu. Mchungaji Safari ambaye pia Ni muimbaji wamekuwa wakifanya tamasha la uimbaji wa SIFA NA KUABUDU Kanisani kwao DPC kila Jumapili ya mwisho wa mwezi, ambapo wamefanyika baraka Dar es salaam na Mikoa ya Jirani.
Kutoka kushoto Mtumishi Lenita Reeves kutoka Maryland, Pastor Brenda McClintock kutoka Missouri na Pastor Catherine Abihudi katika picha ya pamoja kwenye semina iliyofanyika hivi karibuni huko Marekani.
Rais Jakaya Kikwete akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa kiongozi wa kanisa la Efatha nchini, Mtume na Nabii, Josephat Mwingira katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Rukwa iliyoongozwa na Rais kwenye hoteli ya Kilimanjaro- Kempinski jijini Dar May 27, 2009. Zaidi ya shilingi bilioni 1.4 zilichangwa,Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askofu Mkuu na muanzilishi wa huduma ya Winners Chappel David Oyedepo kutoka Nigeria yuko jijini Dar-es-saam kuanzia tarehe 18 – 20 Mei 2009, anasema amekuja kufundisha na kuwavika nguvu ya utendaji wakazi wa Dar-es-salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee!
Askofu Oyedepo yuko katika orodha ya maaskofu wenye makanisa makubwa na yenye idadi ya washirika wengi ulimwenguni!
Naamini wengi wetu tunamfahamu mtumishi wa Mungu Aron Mabondo au wengi tulizoea kumwita ABC Mabondo ambae ni baba mzazi wa Fortunatus Mabondo (Ondo) Mkurugenzi wa New Life Band. Baba yetu huyu amekuwa mtumishi wa muda mrefu katika kazi ya Mungu maeneo mengi ya nchi yetu. Juzi jioni ametwalia toka katika maisha haya hapa Arusha. Ameugua kwa kitambo kirefu na alikuja Arusha kwa mwanae kuuguzwa.
Leo mwili utasafirishwa kuletwa Kibaha, mazishi yatafanyika jumamosi tarehe 7/2/2009 Kibaha. Tuwaombee wote walioguswa na msiba huu na kushiriki kwa namna yoyote tutakayoweza. Namba ya Ondo kama utapenda kumfariji ni +255 713 315229.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA; JINA LAKE NA LIBARIKIWE!
Katika kuhakikisha kuwa mambo ya Mahakama ya kadhi na serikali ya Tanzania kujiunga na Jumuiya ya Nchi ya Kiislamu (OIC), yanayojitokeza hivi sasa ndani za Serikali ya Tanzania hayafanikiwi, Kanisa limetakiwa kufanya maombi ya dharula kwa ajili ya hayo.
Akifundisha Neno la Mungu Jumapili iliyopita, Mtume Prosper Ntepa wa Kanisa la The Oasis of Healing Ministries (OHM) lililopo Ubungo jijini Dar-es-salaam, alisema kwa hali ilivyo hivi sasa hapa nchini, Tanzania inahitaji maombi ya dharula ili kuweza kulinusuru Kanisa na Serikali pia. Ìwapo hakutafanywa maombi hayo, kuna jambo linaweza kutokea hivi punde na litatugharimu mno. Mambo ya Mahakama ya Kadhi na OIC mpaka kujadiliwa Bungeni ni la hatari mno, Wakristo hatutakiwi kukaa kimya.
Mtume Ntepa aliendelea kusema kuwa, maombi ya Watakatifu wa Mungu, yanaweza kwa asilimia 100 kubadili mawazo ya Bunge na hata ya kiongozi wa juu wa nchi, kwa maana watakatifu wa Mungu ni wafalme katika nchi (watawala). `Serikali zote zinatoka kwa Mungu, hivyo kwa maombi ya Kanisa, tuna uwezo mkubwa wa kubadilisha mwelekeo wa kiongozi wa nchi ambao uko nje ya mstari, Mungu yuko juu ya Serikali yote, kwa maombi haya, Bunge litabadilishwa na kuwana utiisho wa ki-Mungu ambao pia watakatifu wanaweza kuitawala Ikulu, si mpaka wakalie kiti cha Ikulu, bali kule kuiweka Ikulu mikononi mwa Mungu ni kuiteka Ikulu na kuikalia` Alisema Mtume Ntepa
Ntepa alisema chanzo cha mambo mengi yanayotokea hivi sasa katika nchi ya Tanzania, ni kutokana na Wakristo ambao ni wafalme katika nchi kuzembea katika kuiombea nchi.
Askofu na mama Askofu Deo Lubala kwa pamoja wakimpongeza binti yao Angela Luballa kwa kushinda ubalozi wa bia ya redds tarehe 6 August katika hotel ya New Africa hotel, yawezekana wana lengo la kumsaidia binti yao kwa vile amefanikiwa kushinda ataweza kuitumia nafasi yake kuonyesha nini alikusudia.
“Kwa nini watu hawaziamini nguvu za Mungu zikionekana wazi kwa watu? Kuna nguvu zaidi ya nguvu za Mungu? Biblia inasema mtu akiniamini mimi na kazi nizifanyazo atafanya zaidi ya hizi, ikiwa wewe ni mtumishi wa Mungu na huna nguvu za Mungu katafute kingine cha kufanya! Injili ya kweli inaenda katika ishara na miujiza kama Yesu alivyofanya, Katika Luka 6:17 makutano walikuwa wakimfuata Yesu na kuponywa, walitaka kumgusa kwa sababu ya uweza uliokuwa ukimtoka ukiwaponya wote na Yohana 6:2 inasema, Na mkutano mkuu wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa, sasa je vi wapi sasa? watu wanahubiri dini badala ya Neno la Mungu. Kazi ya Mungu sio mradi au mgodi fulani wa kuwapatia faida. Kazi ya Mungu ni matendo na sio maneno mengi(mahubiri)”
“Ni kweli, Rostam ni rafiki yangu sana, tena siku nyingi, lakini alinipa sh 3 milioni kama mkopo, si fedha za kuendeleza kanisa kama anavyosema. Muulizeni kanisa gani, mimi sijengi kanisa wala siendelezi, wapo wafadhili wa kanisa. Ni fedha za mradi wangu na ni mkopo,” alisisitiza Mtikila.
Mtikila alipoulizwa zaidi, kwamba hata kama ni mkopo, vipi alikopa fedha kwa mtu ambaye amekuwa akimuita fisadi na mwenye kumiliki fedha chafu kwa kuwa pia alipinga Rostam kutoa fedha kwa KKKT, alijibu:
“Ni kana kwamba zile fedha si chafu ni za nchi yetu, ni za serikali yetu sema tu matumizi yake na amezipataje”
Litakuwa sio jina geni kwa waliokuwa wasikilizaji wa kipindi chake cha Praise and Worship kutoka katika studio za Praise Power Radio mnamo miaka ya 2005, alikuwa akikiendesha vyema kipindi hicho kwa uwezo wa Mungu, Kwa sasa ni mchungaji, pichani akiwa kanisani kwake Faith, kanisa lililoko Mwenge pia anatangaza WAPO fm, jijini Dar-es-salaam.