Rose Mhando ndani ya Clouds Fm

rose.jpg
Picha kwa hisani ya Michuzijr

Kutokana na album yake ya MTEULE UWE MACHO kufanya vizuri sokoni! sasa hakuna asiyemfahamu Rose Mhando, kutokana na sauti yake ya pekee na uhodari wa kucheza. Pichani akiwa studio za Clouds Fm akihojiwa katika kipindi cha Leo Tena na Dina Marious kuhusu album mpya ya Haleluya Vol 4. Aliambatana na Promota wake MSAMA.

2 thoughts on “Rose Mhando ndani ya Clouds Fm

  1. Bwana asifiwe dada wetu ROSE kweli Mungu akubari sana juu ya kazi unapofanya na kuhubiri neno la Mungu kwenye manyimbo zako ..kweli iyi tena nitamu zaidi UTAMU YA YESU kila kitu ya Mungu inakuwa mupia kwa wale wanamupenda wanajisikiya vizuri kwa neno yake

    Mungu akbariki

  2. Rose nampenda sana kiukweli ana karama ya uimbaji,naamini aliyemwinua ni Mungu na ndio maana anazidi kuwa juu ya juu zaidi.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s