Apostle Dunstan Maboya

dunstan.jpg

Huyu ndiye askofu mkuu wa huduma ya Calvary Asseblies of God (CAG) Mtume Dunstan Maboya

Advertisements

90 thoughts on “Apostle Dunstan Maboya

 1. Ni miaka 12 sasa tangu nikutane na huyu mtu wa mungu aliyetifauti sijawahi sahau ni kama nilimuona jana, crusade ilikua Ukunda na kilifi moto kabisa, cassette zake mbili nilizisika usiku na mchana bila kuchoka zilipata baridi zikaharibika na kipindi cha cassette kiliisha wapi nitapata cd au vcd. Ningekuwa karibu na maboya Saa hii ningekuwa moto na mtu wa mungu aliyeunuliwa, alitabiri ndoa yetu itakuwa kubwa mno ambayo haijaonekana 2004 January nilifunga harusi kubwa kwetu na April mwaka huo huo ikaregelewa kwa mkwe wangu washuhudie sherehe iliyopendeza. Nashukuru bwana sasa mimi ni mkuu wa kata ndogo huko kwale (assist chief). Mpeni salamu mtu wa mungu na Cd nitapata vipi.

 2. Namshukuru Mungu Kwa huduma ya Calvary nlianza kusali nkiwa hohe hae lakini Kwa sasa nazidi kumwona Bwana . Mungu bariki calvary Mungu wabariki watumishi wako.

 3. nafurahi kila nionapo huduma yako. kazi yako ni njema apostle. ubarikiwe sana

 4. MTUME SHALOM. SOMO LA KUTOFAUTISHA WACH.NA MANABII,WAINJ,WALIM,MITUME LIME NIFUNGUA SANA NAIS ULIFUNULIWA KWAAJILI YANGU, UZID KUWA JUU SK ZOTE AMEN

 5. praise God apostle,am save and a senior pastor in mombasa pastoring a church of over 800 members i been trying to reach you but all in vain,i like ur preachings and the way you behave in ministry so humble and not flaboiant be bless.

 6. God bless apostle.isalute you.We appreciate God for what hes doing in your ministry.Trusting God to be in tanzania this year.

 7. wish u a successfuly ministry,may our might God uphold u and lift u.by Edwn Hezron,from Tabora

 8. Naitwa Mary Shayo
  Ubarikiwe sana baba kwa huduma hiyo tangu nilipofika pale kanisani CALVARY nilijionea jinsi Mungu anavyokutumia kwa namna ya tofauti sana. Be blessed sir.

 9. sina cha kusema juu ya apostle Danstan Maboya, ila naomba Mungu baba yetu wa mbinguni aendelee kumlinda yeye na familia yake. Mungu aibariki huduma yake Amina………

 10. Apostle this Pastor Given Mwalughali in Lilongwe Malawi. I was with Pastor Kaombe in Mzuzu. Would you please let me visit you in Tanzania. I need your counsel. My phone number is +265999435123

 11. Apostle D Maboya will be having a big crusade and revivals at Kajiado town from 7th – 9th Dec 2012.
  The conference is organized by all P.E.F.A churches – Kajiado West District.
  Mawasiliano zaidi – +254 719 293 882

 12. pongezi sana Apostle D MABOYA hakika nilichojifunza kwake kinanisaidia kusimama bila kuyumba. Ubarikiwe na Bwana

 13. MUNGU AKUBARIKI MCHUNGAJI PAMOJA NA MAMA! HUDUMA YENU NI NJEMA NA IMEPATA KIBALI KWA MUNGU! GALATIA 6:9.

 14. Bishop is awesome man of God I was with him yesterday with the church we had a potluck for him 🙂 God bless him

 15. Shalom beloved of God.
  THE GREAT THING IS THIS VERY APOSTLE DANSTAN HAULE MABOYA IS CONDUCTING THE GREAT AND PROPHETIC SEMINAR AT ONE OF HIS CHURHES IN DAR.
  THE CHURCH IS LOCATED AT ILALA BOMA(shule)
  For more Information call this number. 0717039133

 16. Hi Apostle Dunstan, I have recv’d great news that you will be visiting us in the U.S.A, We are all looking forward to your long awaited visit since 2008. We are excited upon your visit in April and we are talking about when you made such an impact during your last visit. You shared God’s Word and heart, God performed many miracles and transformed lives.
  Thank you for making the long journey back to the U.S.A to bless us with the wisdom from heaven and a carrier of God’s Presence.
  We love you – Freda/God Restores Ministries

 17. BE BLESSED APOSTLE STILL WE ARE WAITING FOR YOU AT IRINGA WE HOPE TO GET MORE FROM GOD AS HE SENT YOU TO US.I ENJOY YOUR MINISTRY.

 18. NABARKIWA MTUMISHI NA HUDUMA YAKO KILA NIKIKUMBUKA YALE YALIYOTOKEA KATIKA MOJA YA HUDUMA AMBAZO NILIZISHIUHUDIA MUNGU AKUBARIKI SANA,KUBWA ZAIDI NI HURUMA NA UPENDO ULIONAO KATIKA HUDUMA HIYO.MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA ZAIDI KATIKA HUDUMA HIYO.

 19. apostle we are waiting for you on may this year karibu sana vyuoni mwetu iringa.nakusubiri kwa hamu zote.am eliatosha mjema,mwenyekiti wa maombi-USCF vyuo vikuu vya iringa.barikiwa sana mtumishi.

 20. APOSTLE NASHUKURU KWA HUDUMA YAKO INANIBARIKI SANA.MUNGU AKUBARIKI SANA BABA.PIA NAOMBA UMUOMBEE MAMA YANGU MZAZI JINA LAKE ADIEL MJEMA AMEKUWA AKIPATA STROKE HII NI MARA YA NNE SASA NA MGUU NA MKONO UPANDE WA KUSHOTO HAVIFANYI KAZI KABISA.YUKO DAR.AM ELIATOSHA MJEMA NIKO IRINGA AT MKWAWA UNIVERSITY.BARIKIWA MTUMISHI

 21. Apostle please pray for my two brothers who are drunkards and they;re over 50yrs and not yet married.

 22. Praise God Apostle, You are such a blessing in my life, you are a true prophet. Do you remember when you come to Embassy Cinema, maximum miracle kwa Pastor Muiru, last year October, for a conference, I was trusting God for the fruit of my womb and i had several miscarriages. You prayed for me and prophesied. Glory to God because I’m already pregnant. I’m praying and trusting that God will see me though this period. God bless you abundantly as you continue blessing his people. We are looking forward for your next visit.

 23. Praise God Apostle, I was very happy when I had that your Coming in Rwanda in December I remember the miracles you did when you came in Rwanda I’m praying God to help me to have a chance to be in that Conference may God bless you so much

 24. PLease Bishop this is Pastors Rick & Debbi Milliken from Calif. We are trying to contact you and can’t seem to get eh right info..Please email us your contact information. We are the couple that traveled with Isabella and ministered with you a few tears ago in Tanzania

 25. May God bless u Dad..You are a mine of precious and expensive treasures of Knowledge and Wisdom….You are the everflowing fountain of joy and encouragement…..You are such a powerful pillar of strength…..Through you we are mentored and empowered….Africa is blessed to host you Here on earth…..may God increase you and keep u strong…..

 26. bwana asifiwe. mimi ni mama mwenye mtoto mmoja nimebarikiwa na hii web naomba mtumish uniombee na tatizo la chunus nimezichoka pamoj na madoa uson. pia naomb kupata mume atakae nioa. pia naomba kwa ajil ya mdogo wangu luna aache bang sigara na pombe. pia mungu aondoe lana ya familia yetu

 27. bwana wetu yesu kristo asifiwe. askofu mtume Maboya nimefurahi kuona website hii kwasababu kwa kipindi kirefu nimekuwa nikitafuta njia ya kulifikisha hili. naitwa jackson mustafa kutoka chuo kikuu cha ruaha mkoani iringa tumekutana mara moja katika mkesha uliofanyika hapa chuoni mwaka 2009. natamani urudi iringa na nina imani utakuja tena iringa kabla sijahitimu masomo yangu maana kupiotia kwako mungu alinifundisha kitu ambacho kamwe sitakiacha. be blessed my father in jesus chirst

  JACKSON

 28. dear bro, God be always with u this Naseer from Pakistan i realy happy to see u on net Plz remember me in your prayer for my bussines and health
  thanks

 29. Priscilla I would love to know your ministry and where you are serving God at the moment. Because being mentored by Apostle Maboya is not a joke.
  I have never seen a man of God in Tanzania being used in God’s power manifestation like appostle Maboya.
  This man of God is being used by God in some kind of miracles where every part of your body accepts that God is using him.

 30. Bishop,GOD BLESS YOU,Nakubuka wakati mmoja urihubiri ujube wa ijiri ya maagano NAIROBI niriamini na sasa mimi niko Ujeremani,ulisema tusiwe na majadiliano and i belive it, now GOD has dan good to me.ni na kupenda na MUNGU akubaliki.

 31. Bishop Maboya i really thank my good Lord about you. God used you to do wonders when you were in Botswana end of 2010. you really touched my life and i will never forget you. it like you could regularly visit this country for it to completely change to be a true christian nation so that its democracy could lift up praises to our mighty Father above. Praise be to his Name.

  may God increase you for his true Word be spread according to his will.
  thank you for showing up here and pls keep coming in Jesus Name.

 32. Wapendwa tunaomba basi kujua kanisa la Apostle Maboya lipo wapi na tukitaka kufika tutawezaje? Hii ni kwa sababu sisi ni wageni hapa Dar es Salaam tuna muda mfupi tangu tuhamie hivyo tunaomba maelekezo maana tunapenda tufike katika hilo kanisa! M.D. Mbise Kimara DSM

 33. Bishop Maboya endelea kuhubiri kweli ya neno la Mungu pia nashukuru ulipokuja Songea ukatutembelea nyumbani na kutuombea sasa hivi tumebarikiwa na tumenunua gari. Mungu akubariki sana!

 34. Praise God Apostle!

  May God continue to be the strength of your life and always protect you.

  Rachael of Nairobi.

  When are you coming to Nairobi

 35. Shaloom,

  Nilipokuwa Mwanza niliona Mungu akinipigania, niliona Yesu akinifundisha, nakumbuka mafundisho ya majina na nguvu zake,

  Nakumbuka masomo ya ulinzi wa Mungu kwetu na jinsi ya kulinda muujiza ambapo niliweza ku jiweka mikononi mwa MUNGU na nikaona jinsi anavyonipigania hata nashindwa kuelezea,

  Nakumbuka nilibatizwa Mwanza na Mch. Lwakasotho from Mombasa Kenya na Mama Joyce Mangu lakini all and all nabarikiwa na utumishi wako Baba kiasi kwamba natamani nije Arusha niishi na niabudu huko, lakini maisha yananilazimu niishi Dar,

  kwa sasa nimeipata hii blogu naamini nitatumia Muda wangu kujijenga na naomba MUNGU aendelee kuwa nawe na unene lile ambalo litaleta utukufu kwa mungu na litatuokoa sisi

  Amen!

 36. Mtume Maboya,
  Mimi nimebarikiwa sana kufanya kazi chini yako. Nimejifunza mengi toka kwako. Mungu akubariki sana
  Mary Likwelile
  mkurugenzi Mtendaji

 37. I am really blessed by your Ministry!!!
  may God keep on being with u!!!
  amen!!

 38. Apostle Maboya, You are a blessing to many. I watched your CD at a friend’s place and realized how GOD works thro’ you! Please i need you to pray for me as i need a family.

  Be blessed.

 39. i have been Immensely blessed by your ministry Apostle Maboya
  am basically living in the UAE and i would greatly appriciate if i just got a few of your teachings posted on YouTube
  i hope my request will be valued for the sake of many who desire to hear the word of God from such a great man of God as Maboya
  Bless you

 40. napenda kutoa shukrani kwa mawazo yako mema kwangu na kwa familia ninaendelea kumuona MUNGU SIKU HADI SIKU. Mungu akutendee mema mtumishi wa Mungu wewe pamoja na familia yako. utumishi ambao umetufundisha tunaendelea nao tunaendelea kujifunza mengi kupitia wewe na huduma yako CAG binafsi nimejifunza kumtumia Mungu kwa kila hali Mungu akubariki sana. usiache kuniombea hata usipoomba usianze kuniwazia mema.

 41. man of God you are a blessing to many. your visit to Kehancha was a blessing to us and people of Kuria. we will remember you always.
  pastor isaac

 42. my dear father in the lord. since the Lord Jesus Christ connected us, my life has never been the same.You are truly one of Gods Generals and I am so honoured to be your daughter in Christ. The favour that I have found with you has been an Esther favour and I will see you so soon. I love you my dear Apostle Dunstan Maboya.June London

 43. It is incredible how God brings us up,When I met you at Uhuru Park in 1993 God was working unbeliavable miracles that i got scared.Few years later I met ademon possessed man and I beliaved in God Of aposle Danstan Mboya and the man was delivered so i call you dad in the area of deliverance.
  Chear up dad you can’t count your sons & doughters but glory to God & Him alone.

 44. Bishop mimi namuomba Mungu azidi kukufanya kijana kila siku, mafundisho yako huwa ni ya hali halisi ambazo tunapitia kila siku, nimeinuliwa sana na doctrine ambayo umekuwa ukitupa. you are my real spiritual daddy! ubarikiwe saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!

 45. Shalom! Napenda kutoa shukrani zangu za dhati Kwa Mungu kutoa nafasi yakutuhudumia kupitia mtumishi wake Dr Danstan Maboya. Maoni yangu na Maombi yangu Kwa kanisa la C.A.G kuendelea kuenea bila kujali watu au upinzani uliopo. Kwani jambo la msingi nipale Mungu anapokuwa upande wetu.Hakuna atakayefanikiwa kuwa kinyume nasi akafanikiwa.
  Makwazo hayana budi kuja. Yatupa kujua ole kwao waletao makwazo. Lakini kwetu sisi tunapaswa kushinda. Popote penye ushindani pana ghalama. Kukubali ghalama nikukubali ushindi kwani utakuwa umekubaliana na kile unachoamini. “Bishop Never give up! To establish what God plan for the nations”.
  Wako mtoto wako toka kanisa la C.A.G mwanza living water. Kwa Mch Joyce Mangu.
  Be blessed all

 46. Bwan asifiwe mtume am your son
  i meet you in the year 2002
  in Kenya from then you have been
  my mentor lakini we have never talked
  one to one.
  Mimi sas ni michungaji na kanisa letu
  halina baba in Nairobi Kasarani i woulld
  like to meet you and talk more.

 47. I thank God for what he can do if he decides to use his servants.He appointed his servant apostle Dustan maboya to manifest his power through him.It was in 1994 when you impacted me with the power of God that touch of God still remains in me….

  you told us that whenever we go people will know we have been in your seminar at kicc,i received a touch from God that same week i got saved and i started demostrating the power of God same week.Many pastors,fellow believers raised against me some of them were claiming that i was using the power of satan though.It was too much for one week born again person to withstand storm though i feel the touch of God is still there

  You prophecied that God will not only bless us but all our family,i give all the glory to God because He derivered us from a very severe poverty.My three brothers and two sisters were derivered from the street where they were staying.

  I was touch so much by a miracle which God did after odean service,i was standing outside near the window when you prayed to a dump 2 years child.You told the mother MAMA ONGERESHA MTOTO and then you went to pray for the other people.The mother told the child SEMA MAMA and the dump child responded MAMA,the mother was so exited and i was so touch to see the mother so happy

  There was a time you were in Odean and i took an evelope which you said will open ways,i putted my offering and when i was bringing the offering on the alter i received and text message from someone from america, who had stayed with my money for several years.She told me she wanted to pay me same same day

  I have so so so many testimony which God Has done though his servant Maboya.All i can say is Maboya was sent for me

  There a time a could not a afford somewhere to lay my head on,but now i thank God i will be going to Norway for business.Please pray for me Maboya

  People who look at our family says

  IT IS GOD WHO HAVE DONE THAT

  MAY GOD BLESS AND GIVE MABOYA MUCH REVELATION TO REVEAL HIS PEOPLE

 48. Praise God,Apostal Danstan,I thank God for the ministry that the lord has given you in raising young ministers of the Gospel and more so enhancing the growth of the church of christ worldwide.Iam one of those young ministers of the Gospel whom you have been mentoring through your teachings in various meetings in kenya and I would would like to meet you during your next visit,unfortunitly I lost your cell contact sometime back.Kindly update me of your next visit in kenya and especially within Nairobi and I shall locate you.God bless

 49. I honestly thank God for creating Pastor Dunstan Maboya, may the same God be with You forever and ever Amen; please Pastor i ask you to come again and again in Kenya as you used to(Maximum,M,C)you are a blessing to God’s people all over the World.

 50. Iwould like to thank God through Apostle, the Realy man of God, i had a tumoil in my tummy which had been in my body for more than 15years, and i started feeling bad early last year, the doctors were saying its canceer but i insisted to refuse it, i phone Apostle Maboya, he prayed for me on the phone several times and reject the liars of the devil, then later on they changed their statement to say its not cancer is just a tumoil,it was a major operation which too almost 5 hrs, then within three days i was able to start walking every body in the ward was just surpresing, and they ended you calling me that i am a STAR of the ward, i just the God for the wonderful job he is doing with his man of God (Apostle Maboya) God bless your son mightly and abandantly, I preise God for that Hallellua!!!!!!!!! Shalome Apostle

 51. Hi apostle Maboya.we at Dandora in Nairobi still remember your teachings you were really a blessing to us You are a man of God.May God bless you and sastain you. its encouranging to know that you are still preaching. God bless you and your family.

 52. i just want to thank you the man of God for the good work you are doing, and the humbleness heart God has given to you. You are really the servant of God who never say no to anybody, i love your ministry and i would like to support your ministry as long as i am alive. i remember the time you cam to my house in Malawi among all the big people you chose to came and step your feet in my house and you prayed for my grand-daughter who was suffered from chronic coughing, from that day she is well. God bless you and your ministry and anoint you mightly.

 53. Sio siri hata mi nabarakiwa sana na huduma za hapo kanisani. natamani nihamishwe kikazi nije arusha.
  Yani kwa habari ya kuhama naliombea sana labda iko siku ntakuwa Arusha,Be’bless

 54. Strictly Gospel tafadhali tunaomba mtusaidie kupost mahubiri ya watumishi wa Tanzania kwenye You tube.Sisi tulio mbali na nje tunatamani sana kula chakula cha rohoni kutoka nyumbani pia lakini watumishi wengi wa Tanzania hawajapost mahubiri yao kwenye You tube na tunamiss kweli hiki chakula.Mungu akubariki papa Maboya.
  Dunford.Malmo city,Sweden.

 55. Jamani napenda kuwaambia kwamba katika watumishi niliowahudhuria katika mikutano yake na Neno analoliongea Apostle Danstan is the first na ni mtu ambaye kila mtu akimuona anabarikiwa well napenda kuwakaribisha Sombetine Jesus Power Mje kuona ni jinsi gani watu wanafanikiwa kupitia Mtumishi wake Maboya, I love him,I respect him,I trust Him,and i wish one day i can far from here in Tanzania because of this Guide.Mungu akuzidishie Maisha Marefu sana Mtumishi wa Mungu Danstan Maboya na familia yako kwa Ujumla.

 56. je kuna mikanda ya video.au Dvd za huyu mtumishi? na zinapatikana wapi? mbarikiwe

 57. I thank the living God for His tiredless servant, Apostle D.H. Maboya. Surely you’ve been a blessing to me. May God bless you, your family and the Ministry. You know how to deal with different situations, you really a MAN of God! Again, be blessed Apostle! My regards to my pastrs Imelda, Lyimo, Joshua and my church (Chuo Cha Manabii) in general, I really miss them and I do love them! Bless you all in Jesus name.

  Mlay Jackson
  USA

 58. I thank God for Apostle Danstan Maboya. He has been a great blessing to the people of Tanzania, Kenya and the world at large. Can i get the update of future events of his ministry?

 59. Apostle, you have been a blessing to many people and i keenly forward your preachings. Am now in the USA and am not able to find your preaching and teachings on the youtube. Please consider us who are far from Africa and place some of your teachings on youtube. Thank you and God bless you.

 60. NAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MATENDO MAKUU YA AJABU ANAYOFANYA KUPITIA MPAKWA MAFUTA,BABA YETU APOSTOR MABOYA KWA UNYENYEKEVU NKUJISHUSHA KWAKE AMBAPO SIJAWAHI KUONNA MWINGINE TANZANIA,MAANA WENGINE TUMEJAA MAJIVUNO,NAOMBA MUNGU ANIPE MOYO WA UTAYARI ALIO NAO

 61. mama yangu ni mchawi.aoembewe aokoke wiki hii.anakunywa pombe kila siku na anatutukana mimi na bibi yangu kwa sababu tumeokoka.ametunyanganya urithi wetu na anasema ataroga watoto wangu……

 62. apostle pray for the release of my letter of my appointment from jkuat,juja,kenya….. today 1/10/2009

 63. Surely Dad you have been a blessing to my ministry. May God reward you mightly and bless your family.

  Regards PETER Pastor mlolongo KENYA.

 64. Jina la Bwana libarikiwe,Namshukuru Mungu kwa kukutumia wewe kuwa chombo chake, naomba Apostle Maboya uwe na ziara katika ministry za huku mikoani ukianzia na Morogoro, tunakusikia hatujakuona lakini tumeshibishwa na huduma yako, Karibu siku moja uje kula nasi pamoja.
  Calvary Mtibwa

 65. I really thank God that,in Tanzania we have great men of God who have committed themself to the lord that we can see outcome of peace and cooperation inside Tanzania and outside our borders.
  My requet and prayer to God always is,these great men of God will serve God in truth.Avoiding all hindrances which will spoil the name of the Lord.
  God bless your servants,God bless Tanzania.

 66. I thank the Lord Jesus Christ for blessing his servant Apostle Dunstan Maboya with such an anointing.I first met Apostle in Odeon Cinema(Nairobi)when he would come to visit in Pastor Pius Muiru’s ministry in 2005.Through his prayers the supernatural power of God was being manifested instantly.I remember in one of the services he prophesied over my life n here I’m in USA mightly blessed by the Lord as per the word of the prophet.Would love to get the Apostle’s contact so that i can bless him because he has been a blessing to very many people.Through your teaching,testimony,Healing and miracle services made me believe that with God all things are possible.
  The God of Abraham,Isaac n Jacob bless you n may he open doors for you to come and minister here in Boston.

 67. Shalom Papa,
  I cannot thank you enough for allowing God to use you and impact somany lives. I was one of may at the Arusha Revival meeting and I can remember how many people got saved until a church was born. I have never been the same again since then I long to serve God and to meet you once again. I am based in UK right now and I had called you once from here when Bishop Msafiri gave me your number. I pray and trust God that I will meet uou soon as I need your blessing Papa.Your son Jimpatrick Munupe, +44 79305 7988, patrick@mediaworkx.co.uk.

 68. Apostle Maboya i thank God for your powerful ministry. You are the one who made me love to serve God. You just dont know you have many daughters and sons who have been birthed out of your ministry and now they are all over the world ministering. I am one of them. i just cannot put everything together but God knows the impact you have made to us and now we can stand with faith serving God and ministering. May the Lord continue to bless you more and anoint you even more. Many respect to mama Glory your wife who has stood up with you. May God continue to bless you and your family. I still remember the 1992 crusade in Arusha Tanzania that came with explosion revival and spread all over Tanzania. One thing i have kept is the word of God and that is the foundation of eveything. Be blessed

 69. Bwana Yesu apewe Sifa! Yeyote mwenye uhitaji wa kuwasiliana na Apostle Maboya tutamtumia contacs zake kwa email address yake. Ni vyema ukatumia anwani yako sahihi.

  Mungu na awatunze!

 70. okitili@yahoo.com
  The servant of God apostle Dunstun Maboya. God bless you so much, and pray for me for healing since there is a disease of throat that has disturbed me for a period of two years. please i request you through the love of Jesus Christ to share with me that prayer of deliverance. please in case of any communication you can send through the email indicated above.

 71. Nataka nipate contacts za Mtumishi Maboya sanasana namba ya simu.
  Asanteni sana.

 72. am bound by satan.pray for my release today from all manner of satanic attacks and oppressions thru family spirits, debts,witchcraft,cheating.

 73. Apostle Maboya, you are a true man of God, who teaches the word of God as it is. Pleas come to Odeno Cinema. Tunakungoja kabisa.

  God bless you mightly.

 74. Pastor Dunston Maboya, You are such a blessing in my life, you are a true prophet. Please ensure you come to Odeon Cinema, maximum miracle kwa Pastor Muiru, as soon as you can, i have family members who really want to meet you on a one on one basis. My special prayer to God for you is that uwe na maisha marefu kabisa. this generation must be saved and delivered.

  Tafadhari mtumishi kuja the soonest you can.

 75. Aps. D. Maboya will be holding a semina in Moshi from 14 Aug. May the Lord continue to use him mightly. People in Moshi, karibuni sana pale ABC.

 76. I ‘m always blessed by the teachings of Man of God Appostle Dan Maboya. May God open his heaven all the time. The powers from Highest fall upon him. Angel of God soround Dan Maboya HALLELUAH
  Albert

 77. Praise the Lord Apostle! You have been a blessing to me and to many especially the times you have paid us a visit at odeon here in Nairobi.May the Lord bless you and keep you as you continue doing the will of God.
  Amen

 78. Bwana asifiwe! Apostle nimefurahi sana na kubarikiwa mno kupata nafasi hii ya kuwasiliana nawe, ninambariki bwana kwa mambo makubwa anayonitendea,nilikuwa Calvary Gereza Mbigiri,mwaka 2006 nilihamishiwa Dsm na mwaka uliofuata 2007 mungu alitoa kibali cha kuja kusoma hapa Zimbabwe shahada ya uzamili,pamoja na hali ngumu ya uchumi wa Nchi hii nimemwona mungu akinitunza katika hali hii.Ni matarajio yangu kuwa mkutano wa mwaka huu nitakuwa nimerudi nyumbani Tanzania.
  mungu akubariki na mungu abariki maono ya Calvary.
  Uswege Mwakahesya,
  Africa University,
  Mutare,
  Zimbabwe.

 79. Ninabarikiwa sana na Huduma yako Mtumishi Nilikuwa naitaji mawasiliano na wewe kwani nakumbuka uliniombea ili nifanikiwe katika maisha yangu na sasa nimefanikiwa Nipo Ujerumani

 80. Praise Jesus , Am happy to say that you are a blessing to me , May God bless you so much .Please Visit us at Odeon sometimes In Nairobi we need you to come and bless us with the word of God.
  I hope Tanzanians realize that they have a man of God around them. Infact i bought your VCD at Odeon which Blesses me soo Much.
  Pray for our Country.
  God Bless you once again.

  Dominic Njuguna
  from Nairobi
  Kenya

 81. Mtumishi wa Mungu. Nabarikiwa sana na huduma yako ambayo vijana wengi wameona matunda yake, Wewe ndiye ulianzishastyle ya kuombea watu kwa jina la Yesu wakawa wanaanguka chini, (kuwapiga power), walikusema sana miaka hiyo lakini sasa kila mtu anafanya, kila mtu sasa anaelewa wewe umeitwa na Bwana. Hakika wewe ni mtumishi wa Mungu. Mungu abariki wewe na uzao wako. Amen

 82. PRAISE GOD APOSTLE,
  KINDLY TELL ME WHEN THE ANNUAL CONVENTION WILL BE HELD IN TANZANIA.IWOULD LIKE TO ATTEND THE SAME THIS YEAR 2008.
  YOU MINISTRY HAS BEEN ABLESSING TO ME .
  GOD BLESS YOU

  REUBEN BORE
  P.O. BOX 425
  BOMET
  KENYA. N.B GIVE ME THE DETAILS,VENUE,COST ETC.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s