Wanakwaya wa Ulyankuru Barabara ya 13 waliikimbia nchi yao!

barabara.jpg

Kwaya ya Barabara ya 13 iliyopata kutamba sana miaka ya nyuma, imefahamika kwamba sio watanzania halisi bali ni warundi! walikimbia nchi yao kutokana na machafuko yaliyokuwepo na kuishi Tabora Ulyankuru, Kwa amri iliyotoka nchini Tanzania kwamba warundi warudi kwao wao wameomba kibali cha kuendelea kuishi hapa kwani wanaona ni kwao na wameishi kwa muda mrefu. Wameishi mahali hapo wakimtumikia Mungu pamoja na kuishi ugenini.

Sikiliza nyimbo zao zilizopata kusikika sana katika Tanzania na hata nje

Advertisements

2 thoughts on “Wanakwaya wa Ulyankuru Barabara ya 13 waliikimbia nchi yao!

  1. kweli waliimba vizuri sana.mpaka sasa bado nazisikiliza nyimbo zao zinafundisha sana.

  2. KWA KWELI NIMEKUMBUKA MBALI SANA KUIWEKA HII POST YA HII KWAYA. NIMEKUMBUKA TANGU NIKIWA MDOGO NILIKUWA NIKISIKIZA NYIMBO ZAO ZINABARIKI SANA.MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU KATIKA KAZI ZA UTUMISHI WAKE.
    DANIEL FROM INDIA

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s