Jennifer Mgendi muimbaji na mcheza filamu

Katika historia ya muziki wa Injili Tanzania, Jennifer Mgendi ni muimbaji wa kwanza aliyevuma na kufanikiwa kama muimbaji binafsi. Mbali na kuwa muimbaji pia ni mtunzi, mwandishi wa filamu na muigizaji anatamba na filamu mbili mpaka sasa PIGO LA FARAJA na JOTO LA ROHO aliyomshirikisha muimbaji mwenzake Bahati Bukuku pamoja na kundi la KAOLE “Lengo kubwa kwanza ni kueneza Injili kwa njia ya uimbaji na uigizaji” alisema, Mgendi alianza rasmi kazi ya muziki mwaka 1995 na albam yake ya kwanza ilikuwa ni ‘Nini?’, albam hiyo ilifuatiwa na ‘Ukarimu wake’, ‘Yesu nakupenda’ na ‘Nikiona fahari’ na ya sasa tayari iko sokoni MCHIMBA MASHIMO.

Advertisements

31 thoughts on “Jennifer Mgendi muimbaji na mcheza filamu

 1. Hi Jenny, you are really an inspiration.Though a bit late knowing ,seeing you act and sing, I am happy that even a truly devoted christian can really do wonders and great things in the circles of film industry which somehow believed to have been dominated by the secular world.Thanks for being there for the rest of us.Meanwhile,I have just watched the movie `Teke la mama`and its a blessing.GOD BLESS YOU !

 2. congratulation dada Jenifer for the stage that u have reached through gospel songs. i’m so inspired with ur song ” kutapambazuka” . its contents reflect my life , i was passed through the difficulties having listerning on it i found my self receive deliverance. it is really courageous song. be blsd aboundantly!

 3. JENNY,HI,AM FROM MSA NA HAKI NI KAZI NJEMA NA NZURI ACHA NISENE HIVO KWA KUWA NI MUNGU PEKEE ALIYE KUTENDEA HAYO YOTE, HAKI MUNGU AKUBARIKI.NAPENDA NA NAVUTIWA SANA NA NYIMBO ZAKO NA FILAMU ZAKO HAKI NAZIRUDIA KAMA KWA WIKI MARA TATU ZINASISIMUA SANA NA NDIPOSA NINA KILA SABABU YA KUSEMA UBARIKIWE DADANGU NA MUNGU AKUPE HERI DAIMA.

 4. Thanks sister Jenifer kwa kazi nzuri ya kueneza injili kwanjia hizo umeamua kujaribu kutumia njia ya maigizo lakini hata hivyo Mungu amekutia nguvu hivyo usisite kumtumikia Mungu

 5. I real love all your song’s sister and God bless you with your family,

 6. Hi Jen, God Bless you my Baby Ovayo love your Music. she is only 10 months old, when ever she is Grumpy or restless we put on your DVD and she just dance and Clap her hands.

  Christopher & Nombulelo Musangu

 7. Bwana Yesu asifiwe da J Mgendi, I have seen your movie on the internent and I was blessed much. Keep it up katika kumhubiri Mungu na watu wengine wapate kumjua Mungu wetu.
  God bless you. Amen

  Mimi nipo nchini China masomoni

 8. I really persuade and enjoy to listen and to watch your song and movie.I love your vocals like the” VUMULIA”. I really want to be singer like you, but I don’t the way I can use first. Please can you help me for that.Can I get your phone number and I can give a call please. I already talk to BAHATI BUKUKU. Please I really like to hear your voice. You can dend your phone number through my email which is epipha18@yahoo.com. I can speak little swahili.I love Jennifer. May God bless you with all of your Familiar.

 9. hello auntie,
  you have been such ablessing to me through your music. the mchimba kisima vcd is great. i love your vocals like in the song “mwanadamu nani ka kuroga wewe”. May God bless you mightly to inspire many.

  joseph from kenya.

 10. Hi Jenny,
  Praise Jesus,
  I thank God for you and your songs have blessed my life so much.
  Iam an aspiring singer based in Kenya and would like to hear from you how you have made in the field.
  good day,
  Gladys

 11. Hi Jenny!
  glory to Almight GOD Who blessed U,Be hamble to him, We love u sister,u’re works is nice.

 12. jennifer uko ku facebook…mimi ni Mireye Byamasu na ninaishi Australia ..na mama yangu ni Janete Mwavita+ napenda nyimbo zako …ur good in acting and i love how u act..u love Jesus? and i like people who like dancing and singing and trust in Jesus…nakumuomba Mungu wangu musana..i love Jesus so much..

  xoxomireye..

 13. hay Jenn,
  Mimi ni mwimbaji wa kwaya hapa mjini Arusha nimekuwa nikivutiwa sana na uimbaji wako.unanibariki sana. I hope siku ukija Arusha nitakutafuta tuongee japo mambo machache kwa ajili ya uimbaji. God bless you

 14. Jennifer,
  You ar a very pretty lady and Love you with all my heart!I been blessing coz of your songs! All your songs are really lovely, Keep on singing and acting!We Love you so much lol!!!!!!!!!!!!!!

 15. Hi Jenny,

  I am from Kenya and your name (Mgendi) sounds like you are from Luhyia(a tribe from the Western province of Kenya).
  Anyway I just wanted to congratulate for your geat songs, wonderful voice and the way you dance…it just makes want to watch as many of your videos as possible.
  By the way I wanted to know why did you compose these songs: Nalia; Moyo Tulia; and Mchimba Mashimo? Do they reflect part of your bitter experiences before you got saved? Please answer me. May God bless you. Dan

 16. why people cant find your song on the internet from U.S.A i want to see your song in computer girl i love how you sing

 17. Kazi njema saana ya kumtukuza Bwana. You guys you’ve got to do more Worship Songs. Thanx and be Blessed

 18. Congrats Jennifer for good service to almighty God. One caution is to stay humble. Be reminded that when you become great that’s when distruction draw near. You have done well and you deserve a huge reward on the coming groly. Let nothing hinder you when that time comes.

 19. Kaserereka kanda zangu zapatikana madukani na kama haupo tanzania unaweza kuwaagiza marafiki zako au jamaa wakakununulia na kukutumia. Ubarikiwe.

 20. hongera sana dada jenifa sema kweli navutiwa sana na uimbaji wako uko katika hisia ambazo hata kama huwazi juu ya ukuu wa Mungu unajua kweli yesu ni rafiki wa kweli ninavuti wa na wimbo wako wa Tulia moyo unanifariji sana, Duniani nasafiri hunitia nguvu na kupa faraja ninakuombea katika jiji lile ukaimbe wimbo wa musa na mwanakondoo.

 21. you deserve a big congratulation,you really impress my heart when listerning ur songs.
  4sure ua gifted and talented woman.be blessed aboundantly.

 22. Jambo dada muimbaji. Mara nyingi ninafuataka muziki yako na wakati ninasikia maneno na maoni; inaniletea furaha na juhudi ya kukufuata.
  je, ninaweza kupata kanda zako? Ninakutakia mchana mwema.

 23. Thank you all for your encouraging words. Please pray more for me and other gospel singers and all servants of God that we may be strengthened and annointed freshly.

  Keep checking on this blog for my new movie release sometime in June. God bless you Mary Damian for this wonderful blog.

  God bless u all.

 24. Hongera sana Dada Jenifer kazi unayoifanya ni kubwa. Mimi napenda sana album ya ukarimu wake, hii imetulia kwelikweli. Mungu akubariki

 25. I thank God for you. You have been such a blessing to me and my family. you have touched my heart with your songs. May God bless you. I love Mchimba shimo so much coz- it encourages me alot.

  God bless you sister Jenny

 26. HEY Jenefa ilove you so much the way you sing yourare just so adprable
  i enjoy listining to your music honey keep it up
  ur my favor
  i would like to what your music on the internet
  cuz in canada we dont have tanzania music
  love jennely god bless you honey

  i like pigo la faraja even the song in side the movie

 27. Yesu anapenda watu kama hawa sana ,Hongera sana dada mungu akupe kila jema katika kirsto.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s