ALBUM YA TATU ya – Bahati Bukuku

bahati2.jpg

Kwa utofauti wa uimbaji na upangaji wa mashairi, kutokana na uimbaji wake wa kipekee amefanyika kuwa baraka kwa wasikilizaji wa nyimbo. Huwezi kuwataja wanamuziki wa Injili ukaacha kumtaja Bahati Bukuku. Tayari ana album tatu mpaka sasa ya kwanza ni Mapito, Nani aitikise Dunia na ya tatu inayotamba sasa nimesamehewa dhambi sio majaribu. Bukuku yuko mbioni kufungua studio yake hivi karibuni. Mbali na uimbaji pia ni muigizaji mzuri wa filamu ambapo amekuwa akishirikiana na rafiki yake ambaye pia ni muimbaji Jennifer Mgendi.

Advertisements

79 thoughts on “ALBUM YA TATU ya – Bahati Bukuku

 1. So i love all songs my sister am wavoda from kyela mbeya. ili twende mbinguni inabidi tulie na kuomboleza so nyimbo zako zinamfanya mtu amludie mungu wake. sio nyimbo km za ROZ MUHANDO zakupayuka sio nyimbo za injili zile bali nizavituko tu.

 2. mama najua umejaribiwa kupitiya mumewe lakini tazama mbele tuna juwa kuko mushindaji wetu yesu kristo,imani ya sipo kujaribiwa ni yenye kufa asante mungu akubariki

 3. mimi naitwa Yohana nakupenda sana mama yangu fanya kazi ya Mungu maana ndiyo uliyo itiwa hapa duniani big up

 4. KIUKWELI BAHATI BUKUKU MUNGU AKUBARIKI KATIKA KAZI ZAKO
  swali:+ hivi bahati bukuku anatengenezewa nyimbo (bits) na nani? maana naona anamfaa sana yaani anamweza sana Bukuku kwa nyimbo zake.

 5. ubarikiwe Dada, njia zako Bwana Mungu aendelee kukupa neema ili uzidi kuwafikishia watu wake ujumbe.
  Neema itawale maisha ni mwako. Hubarikiwa sana nisikilizapo nyimbo zako. Tazama bwana alivyo mkuu kupitia kwako watu wengi wazidi kumpokea roho mtakatifu

  JINA LA BWANA LISIFIFE MILELE NA MILELE ” AMEN”.

 6. Bwana wetu YESU KRISTO asifiwe.
  dada Bahati hongera kwa albamu zako zote tatu. nimekuwa msikilizaji wa nyimbo zako tangu albamu ya kwanza. Nabarikiwa sana kwa tungo zako. Mungu akuzidishie baraka na maisha marefu ili uzidi kumtumikia. Asante!!!

 7. Asante Aiyaloni, habari za watumishi tunaowaweka hapa wengi tunawasiliana nao na kuwapa maoni yao, Wengine ambao hatuwafikii wanafikishiwa na watu wao wa karibu, mfano tulikua hatujawahi kuwasiliana na muimbaji Upendo Nkone, siku ya kwanza kuonana naye akasema habari amekua akizipata kutoka kwa wachungaji na marafiki wa blog hii. Pia Kuna waimbaji wengine ambao ni ngumu kuwapata sababu hawako karibu na mtandao, wengine hawana email adress, wengine kupata mawasiliano yao ni shida mpaka kupitia kwa meneja wao.

  Kwa kulijibu swali lako Bahati Bukuku tunawasiliana naye moja kwa moja wakati mwingine kumuunganisha na watu wanaohitaji kufanya naye kazi. Na hii tunafanya kwa waimbaji wote ambao wako hapa. Ubarikiwe karibu tena SG.

 8. ujumbe kwa mwenye blog hii.

  nimekuwa nikisoma comment za watu huku wengine wanataka kushirikiana Bahati kwenye uimbaji tena wako nje ya nchi,wengine wanataka kumzawadia sasa ujumbe kama huo je unamfikishia Bahati mwenyewe?

  Aiyalon

 9. My sister you are blessed with the might God who has given you the power of being who you are to day. I am from congo but married to a south africa women, my wife likes your song to much due to that she is leaning swahili inorder for her to be able to know all the meaning of your songs. I and my wife we wish you all the best in your future. From S masengi Cape Town RSA.

 10. Nyimbo zako zinafundisha watu wengi yani kwakivyangu nasema kwamba asante sana na Mungu akubariki.

 11. buenas me gustaría conseguir la canción NIMEVIPIGA VITA, la cantaron el otor día unas hermanas en un convento y me diero nel titulo para descargarme. ¿Alguien me puede ayudar? gracias

 12. i can say nothing kuhusiana na huyu mama,mungu amujalie tuzidi kubarikiwa kupitia kwake

 13. Bahati ni muimbaji mzuri sana uendelee na kazi iyo
  na kwa kuakikisha iyi nasema nilimuona mimi peke na macho
  yangu wakati alipofika kalemie/DRCongo
  kweli mungu akubariki na kazi iyo ya uwimbaji na waimbaji wangu wali imba na kucheza pamoja naye kwenye podium
  apo kisebwe/place

 14. Napenda album ya tatu ile ya waraka
  napenda sana ile inasema eti JEHOVA na WARAKA ni kama sisi zote huku America tunapenda ile album ya tatu nyimbo zote Mungu akubariki pamoja na uimbaji wako
  taji ipo yako. Fanya kazi ya Bwana na utalipwa Mbinguni.

 15. I love your song waraka. For a moment i thought you are kenyan. We love you here in kenya.

 16. dada ubalikiwe,nakupenda sana uimbaji wako unanibaliki sana mungu amekutofautisha na kukufanya wapekee sana mtumainie yeye tu.

 17. Dear sister Bahati Bukuku, your songs have added a very important thing in my spiritual life especially the latest album named “NIMESAMEHEWA THAMBI SIO MAJARIBU”.
  Really i love you, i love you, i love you, i love you , i love you and i appreciate your ministry.
  It is my prayers that Our Heavenly FATHER may continue using you as HIS vessel.Be blessed Sister.

 18. Bwana wetu Yesu apewe sifa kwakeli Dada yangu Bahati Bukuku Mungu amekutia nguvu kwani sifa zako sasa zinaonekana hivyo endelea kumsifu na kumtukuza Mungu

 19. JamboDada !
  Ubarikiwe sana na Bwana wetu Yesu Kristo akujaze nguvu ili uzidi kusonga mbele kwa kua ni Heri mwisho kuliko mwanzo.
  Mimi naishi Nairobi ila natokea DR Congo , North Kivu .in few days studio yangu,FARAJASTUDIO , itafungua mulango hapa Nairobi.Gift naweza kupea ni kuku record wimbo moja (single ) for free.
  Niko na wa sanii ambao wako very powerfull,the one of the best DJ in DRCONGO.
  Be blessed

 20. …I feel moved by your songs… I just lack words. Are you unleashing another one soon?

 21. this is the gift from god, I’cant say any thing at all,
  Although I want to be like u!!!!!

 22. dada yangu bahati bukuku nafufagiria sana nakukupenda wewe uko muimbaji muzuri sana na ure rafikiyako jennifer mgendi nayeye pia nimuzuuri nawapenda wote umusarimu pia okey bye thanks

 23. Mama Bahati jina la Bwana libarikiwe,Ubarikiwe sana kwa nyimbo hizi za injili ambazo zimeleta wengi kwa Yesu.

 24. Dada Bahati, Bwana apewe sifa kwa huduma hii nzuri alio weka ndani mwako. Nasema hongera sana na Bwana akuzidishiye,na zaidi tushirikiane kwa kuombea huduma hii.I will be happy when I’ll receive your reply.

 25. bahati songs makes many people to turn to God and axcept God as there personal savior.

 26. nyimbo zote za bahati zimenifanya kumtambua Mungu kama mwokozi wa maisha yangu.

 27. sikwamba nasemahivi nikufurahishe au kukusifu tu,bali hakika Bwana amewachagua mumtumikie ktk uimbaji wewe na dada Jennifer karama ipo ndani yenu, zaidi watu wa TAG Kariakoo znz kwa Pastor Dickson Kaganga mimi nikiwa mmoja wao tunawapenda sana mlifanya vzr kipindi mlichokuja pamoja kwenye tamasha letu.

  Mungu awabariki kwa kujitoa kwenu!

 28. Salamu Dada BAHATI BUKUKU;
  Ni kikundi chawa mama wakristo wa Goma inchini CONGO (DRC). Tuli penda kujulisha ya kwamba tuna hitaji kuku alika kwetu GOMA kwa ajili yaku pana injili ya Bwana kupitia CONCERT;Kwa hiyo tuli penda utu patie mipangilio ama program za kwako(madokezo).
  AKSANTI

  NAMBA ZA SIMU
  +243 994 428 497
  +243 994 350 166

 29. nazi furahia sana nyimbo za bukuku husu sana hii album ya mwisho, waraka, majaribu… ubarikiwesana

 30. Hi Bahati I am from Kenya, words can’t explain how I love your music I can listen to them the whole day. Keep up the good work.

 31. may our father bless the good work ur doing.i love ur music so much.u always bless my heart.

 32. mungu akubariki sana….. wimbo wako waraka umevuta wengi hata kijana wangu miaka sita,,,,,, nazidi kukuombea

 33. Dada Bahati kwa kweli nakutakia uimbaji mzuri katika maisha ya raha na taabu. nafikiri kila mmojawapo asikilizapo nyimbo zako anafarijika na kusahau mambo ya ulimwengu ikiwa ni dhiki na karaha. (mapito & majaribu) so mchezo i like too much all song.Ubarikiwe ila tuombee nasi ili nasi tuwe kama weweeeeee.

 34. Ubarikiwesana nyimbozakozinaupako wa haliyajuu karibukiluvyasikumoja k k k t tuleteehiyohuduma asante mimi mwalim wa kwaya kiluvya kamautakuja telemkia kituo cha gogoni(KILUVYAGOGONI)

 35. hallow shaloom,pole na kazi kubwa ya kuhubiri injili kwa njia ya uimbaji,tunakuombea mungu aendelee kukupa mafunuo yatakayoendelea kuponya jamii yake,tunakuombea usonge mbele usikate tamaa,usirudishwe nyuma na maneno ya mwanadamu awaye yote,hata ukikosea wewe ni mwanadamu si ajabu songa mbele ata yesu alisemwa na kutukanwa sana hiyo inadhihilisha kwamba huduma unayofanya ni ya kimungu kweli.mungu akutie nguvu tii roho anachosema nawe.AMINA

 36. Hongera sana Dada yetu kwakazi unayo yifanya sio siri unatisha kwakazi yako na tunakuombea kwa mungu azidi kukubariki kwasababu haufunzi wa Tanzania pekee yao bali una ufunza ulimwengu wote.

 37. dada bahati i really love u kwa albamu hii ya 3 mungu anakutumia sana najua vita ni vingi na maadui pia ni wengi lakini neno linasema vita c vyetu bali ni vya bwana.Nyimbo zako zinznifariji sana kama ule wa majaribu mungu wangu wa mbinguni akubariki na huduma yako izidi kukua amen

 38. my sister you are a blessing to many people specially those who are in pain, the outcast, and all sort of life’s temptations. Mungu alikuita ili huudumie kondoo zake. when you sing from your heart, your pain you bless people and encourage people to seek the presence of God in their situation. keep it up.

 39. I real like your songs dear ministress one day i will be happy if you will come to minister GOD at Mzumbe University

 40. haki Bahati I really love your songs and especially the third album,it came from heaven,i am a singer but not yet released my album but trusting God for this.When you sing I really cry and cry.The holy spirit is convincing me that the message you have for us is God sent.You read the bible,dreamnt and God gave you the message.Hongera dada and May God bless you abundantly above all.

 41. Dada bahati Mungu anakubariki kila siku,sidhani kama kuna mtu asiyejua kazi zako kila sehemu utausikia wimbo wa ESTA. Mungu akubariki sana.Uendelee kulisha kondoo vizuri na lingine tungeomba mfanye wimbo mmoja na Rose Muhando.

 42. Nakusalimu dada Bahati,kila siku omba na nguvu kusudi shetani ashindwe. Kazi ambayo umefanya, kondoo zimepata chakula na kunona. Mungu akubariki.

 43. Ulinkafu!!!!
  Dada mimi ni umenisaidia saaana kujua kitabu kizima cha ESTER kwa dakika saba tu( Waraka wa Hamani….). Najua hukuwa peke yako katika utunzi wa wimbo huu, bali ulizungukwa na upako wa ajabu!!! Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi,Amen.

 44. Kwa kweli katika waimbaji ambao wananibariki ni pamoja na Bahati Bukuku hasa wimbo wako wa yehova na Naamani katika album ya tatu . Naomba Mungu akubariki dadangu akupe mafunuo kwa ajili ya utumishi huu ambao umeitiwa. zaidi angalia Mungu anasema nini nawe na anataka ufanye nini na kwa wakati gani. Hii ni kwa sababu kuna waimbaji wengine siku hizi ambao wameibuka kuimba nyimbo za injili kwa ajili ya kutafuta pesa na si huduma. BWANA YESU ATUSAIDIE

 45. dada Bahati mimi ni mmoja wa wanamziki, lakini muziki wako wa
  Hii album yako ya tatu inanifariji sana mimi niko Congo mi napenda kukupazawadi ya gari nitapitajiagani?

 46. Nguganile fijo Bahati, coz unanikosha sana na nyimbo zake na hata Mungu namtambua kupitia ujumbe wako sasa. Umalafyale nkulumba fijo kumyako na kulitwesa kumma ukundeka hata kama majaribu ni makubwa namna gani hakika tutashinda katika yeye atutiaye nguvu. niko London lakini bado nafarijika kwa njia ya Internet. na kama utaweza kunipostia albam yako ya waraka ndio sijaipata nitashukuru mama.

 47. Yesu Tumukunde Karakora Ibikomeye Kumba Barimugusenga Imana Chane Mureke Dukorere YESU Tumuririmbire Chane Yesu Agiraneza chane kandi chane Yesu Nigisubizo Chane Imana Igiraneza Chane Yaduhamagaye Ituzi
  _________________________________________
  BAHATI BUKUKU MUNGU AKUBARIKI KWANYIMBO ZAKO NAKUPENDA SANA NAPENDA NANYIMBO ZAKO SANA TENA SANA GOD BLESS YOUR OK THANK YOU BY MEREWENEZA SINDANO

 48. Bahati Bukuku.

  i want to congratulate you for the good work that you are doing.

  your latest album “Waraka wa Hamani” is the best that you have ever done! wait and count on God.

  good work. “Waraka ni Mzuri”

 49. Your album is so good sister. But do not forget God. Nowadays you are using cosmetics to whiten your skin. This does not abide with god’s will. Is better if you stop it my dear.

 50. bwana asifiwe dada mungu amekuwekwa ili ugange watu wake kazi yako nzuri sana endelea kumtumikia mungu kwa uaminifu

  ila nakuomba jaribu kuwashirikisha na wengine usiwe mchoyo unaimbisha na unaitikia mwenyewe.

 51. mimi kwajina naitwa Irankunda Jennifer, unisemehe mimi sijuwi kiswaili na jua kidogokidogo, kwahio nataka nikwambie jinsi uliimba
  nimefulahishwa nanyimbo zako kwahio Mungu abaliki tena azidie maisha yako weye na familia yako.

 52. Mimi napenda sana nyimbo zako nani kutakia kila la heri na mungu azidi kuku baliki.

 53. Mama pia Mujakazi wa Mungu,

  Ninakutakia kila la heri na Fanaka kwa Huduma ya mahubiri ambayo Mungu alitia ndani mwako…
  Unanipa moyo katika mengi nipitiayo katika inchi ya ulaya tuishimo.

  Pokea salamu zangu za Amani na Mapendo katika jina la Yesu Kristo . Amina.

 54. Ukweli nakubali kazi yako mama cha muhimu ni kuendelea kumtumaini Mungu hakika ndiye Muweza wa yote. Nafurahia sana kila nikuonapo unaimba kwani asilimia kubwa ya matamasha yako nimekuwanikihudhuria. Asante mama, nitakutafuta.

 55. BAHATI BUKUKU Your work touches me very much! YOU have a unique style o f singing and voice!Your 3RD album is EXCELLENT! Two songs WARAKA WA HAMAN and MAJARIBU will keep you even higher for a long period of time.KEEP it UP and our Almighty GOD bless you and your work.AMEN!

 56. Mungu azidi kukubariki Dada, Hongera sana kwa ujumbe mzuri sana tangu nimeanza kusikiliza albamu yako ya kwanza ninabarikiwa sana pia ninajifunza mambo mengi mno.
  Bwana akutie nguvu zaidi, Barikiwa

 57. Hakuna mwanamuziki wa Injili mwingine anayeimba kwa hisia kama wewe dada yangu, Mungu akuzidishie nguvu uzidi kutupa Neno kwa njia hii. Ninakupenda sana.

 58. Mama bahati bukuku, hongera na kazi ya Mungu.
  Mimi ni muimbaji pia niishiye CANADA, ila ni rahiya wa Congo kinshasa hapo kivu ya Kusuni.TWAWEZA KUWASILIANA KWA KAZI HII AMBAYO TUMEPEWA NA BWANA?

  otario \OTTAWA CITY.

 59. Mtumishi wa Mungu bahati, ninakusalimu katika jina la Bwana Yesu!kwa kweli nyimbo zako zinanigusa sana hakika Mungu anakutumia, kaza mwendo dada taji imewekwa kwa ajili yako. Nakupenda na napenda huduma yako.

 60. DADA YANGU HONGERA SANA MPENZI .KWELI UNAMWIMBIA BWANA NA KONDOO ZAKE ZINANENEPA ZINAZOKULA CHAKULA CHAKO KWA NYIMBO .NI ,KWELI ULIMBA KUWA SURUHISHO LA NDOA NI YESU MAANA KARUMANZILA NAE NDOA TATU ZIMEMSHINDA ATAWEZA YAKO.????????????????.UMETUONYA KUWA MSAADA NI KWA YESU TU. ASANTE SANA MPENDW NA UZIDI KUTULEA.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s