“Lisha Kondoo Zangu” (Yohana 21:17)

mwakasege.jpg

Mwalimu Christopher Mwakasege

Advertisements

43 thoughts on ““Lisha Kondoo Zangu” (Yohana 21:17)

 1. Mungu wa mwenye nguvu, aliye hai azidi kukubariki wewe pamoja na familia yako yote pamoja na huduma nzima. Na Mungu akuongezee nguvu za mwili na za kiroho sana.

  Mwanafunzi wa Yesu

 2. Mtumishi wa Mungu pole sana na huduma na hongera kwa huduma yako njema. Mtumishi mimi ni mhitimu wa chuo cha ualimu Tukuyu mwaka 2011 May. nimekaa mtaani kwa muda mrefu sana sasa na maisha yangu yanakua magumu sana, Lakini naamini kuwa Mungu hajaniacha. Kwa niaba ya wahitimu wote wa vyuo vyote vya ualimu tunaomba maombi yako juu ya ajira zetu, na kuwa wawajibikaji na wapigania haki wa wanafunzi walimu na tafa kwa jumla.

 3. Mtumishi, ninamshuru Mungu kupa kpaji cha huduma. Mungu akubariki sana na akuwekee ulinzi wa Damu ya Yesu. Watumishi naomba pia mniombee ninafanya intervew jumatano tarehe 28/09/2011

 4. Becoming good students of Mwl Mwakasege does not help if we don’t put the teachings in to practice.Nevertheles,We should be praying for him regularly.

 5. may our lord Jesus christ bless u n ua family nw n ever.. stay blessed servant of God mwl.Christopher Mwakasege in Jesus name!!!!!!!!!!!!!!!!!

 6. Watanzania na Dunia nzima tutambue uwepo wa mtumishi MWAKASENGE kuwa MUNGU kampa nguvu na UPAKO kwa KONDOO wote chini ya mbingu .Mungu aendelee kumbariki ili nasi tubarikiwe kupitia mkono na kinywa chake kwa uwezo wa MUNGU BABA

 7. Kwa kweli masomo ya Mwl C. Mwakasege yanatujenga sana, nimeuona mkono wa Bwana katika maisha yangu. Mungu azidi kukutia nguvu Mtumishi uendelee na huduma hiyo, na pia upate nguvu za kufika hata yale maeneo ambayo bado hujafika kupeleka injili. Mungu akutangulie wewe na timu yako nzima na familia yako. Amen!!

 8. Kwa kweli tumeweza kumwona MUNGU akitenda kazi kupitia utumishi wako, barikiwa mtumishi MUNGU AKULINDE na kukubariki.

 9. Nampenda Yesu, nawatakia maisha marefu watumishi na musonge mbele ktk kuliinua jina Yesu.

 10. Nikisema nakupenda nadhan nitakuwa sijakosea na ndivyo ilivyo.mwakasege una upako wa ajabu kwa Tanzania Mungu azidi kukutunza.amen!

 11. Mungu azidi kukubariki na kukufunulia neno lake ili watu wengi wapate kumjua Mungu na kuacha maovu. Kupitia mafundisho yako wengi tunatambua makosa na jinsi ya kutubu ili kuanza maisha mapya ya kuutambua na kuuthamini ukombozi wa Yesu msalabani

 12. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yako Mwal Mwakasege kwa ajili ya mafundisho yako hasa ninapoona rafiki zangu wanasimama katika imani kwa sababu ya mafundisho yako.Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo akutie nguvu na Mkono wake utende mambo makuu kwako katika jina la Yesu nasi tunazidi kukuombea.

 13. i like very much his teachings we have a valuable asset which i appriciate daily. our country is blessed through this man of GOD

 14. Mungu akutie nguvu sana kwa utumishi wako mwema uliotukuka,nakutakia maandalizi mema ktk semina zijazo naamini Mungu atendelea kukutumia ipasavyo kwaajili ya Ukombozi wa Taifa letu la Tanzania.Nazidi kumuomba Mungu akuwezeshe kwa kila jambo,zidi kutuombea tunaomwamini kristo na kumtegemea ili tuweze kufanya yatupasayo kutenda kwa wakati mungu aliotupa hapa Duniani ili tuweze kuuridhi ule uzima wa milele pamoja na Bwana etu Yesu kristo aliye hai.

 15. Namshukuru mungu kwa semina nzuri ya November 2009 iliyofanyika viwanja vya Biafra Jijini DSM,ilikuwa ni semina ya pekee,Mungu akubariki zaidi na zaidi mtumishi Mungu.Mimi nilikuwa naomba kujua kama bado DVD za ile semina zinapatikana.

 16. Namshukuru mungu kwa kumuinua ntumishi wake Mwl Mwakasege,nakumbuka nilipokutana na mkono wa Mungu kwa jinsi ya tofauti mwaka 1999 mkoani Iringa.Hakika Mungu amzidishe ili awafikie wengi pia kwa neno la Kristo.Hakika toka siku ili nilipo kutana na Mungu kwenye semina ili,nimekuwa nikimwona mungu siku hadi siku.Mungu azidi kukuweka barazani kwakwe ili kondoo mungu aliyokupa wazidi kupata chakula fresh kilisiku.

 17. Kwakweli namshukuru mungu kwa kuniokoa kupitia huduma ya Mwakasege kwani nlikua muislam hadi tar 1/01/2010 pale nlipopokea ujazo wa roho mtakatifu kupitia cd za mafundisho ya malango ya mwalimu yaan sitaisahau siku hiyo asubuhi nguvu za mungu zilivyonishukia,baada ya kuangalia na kufuatisha sala ya toba ikiunganishwa na asante yesu hadi nikajikuta nipo chini ilhali nlikua nimesimama mbele ya TV yangu baada ya kuinuka nkaanguka tena na machozi tele yalikuwa usoni,hivyo kunifanya niokoke,asnte yesu.

 18. Mungu akubariki mtumishi, niungane na mpendwa mmoja alieomba kuwa sisi tulio mbali basi tumegee kupitia internet nasi tule Mana kwa sehemu yetu.

 19. NINAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKE MWL.MWAKASEGE MUNGU AKUBARIKI BABA NA AENDELEE KUKUTUMIA.NINAIKUMBUKA SANA SEMINA YA 2001 ILIYOFANYIKA DIAMOND JUBILEI DAR ES SALAAM “DOUBLE DOURSE” AMBAPO NILIPATA UPAKO WA TOFAUTI MNO.PIA SEMINA YA MWAKA HUU ILIYOFANYIKA BIAFRA ILIYOKUWA IKIHUSU MAOMBI KWENYE SEHEMU YA MALANGO. KWELI NIKIZISOMA NOTES ZANGU NAPATA NGUVU MPYA YA MAOMBI. PIA NAMWOMBA MUNGU ATOE KIBALI ILI NIWEZE KUHUDHURIA SEMINA YA NOVEMBER HAPO BIAFRA DAR ES SALAAM. MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI WA MUNGU

 20. Hallelujah!! To god be the Glory for such a Man of God who never count the time, expenses and totally devoted to spread the gospel all over the world.
  May our Lord Jesus take a very good care of your family, health and finances.
  Take heart in every discouraging situation, iam sure God is with you, we pray for you every day so that you continously feed us with ‘mana’.
  STAY BLESSED!!

 21. Bwana Yesu Asifiwe, kwa kweli mtumishi Bwana apewe sifa kwa ajili yako. Mafundisho yako yatufaa sana kiroho na kimwili katika kusimama vyema ktk dunia hii ya leo.Nikiwa kama kijana wa kike umenisaidia na unaendelea kunisaidia mno.
  Bwana hatakupungukia kamwe
  Ubarikiwe mno.

 22. Mungu wa Israel, MUNGU mwenye NGUVU anayeketi mahali pa juu palipoinuka akupe siku nyingi za kuishi wewe na vizazi vyako vyote udumu katika uwepo wake MUNGU, napenda vile unafundisha.

 23. Mimi napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa mwalimu mzuri anatulisha Neno la Mungu pili napenda kumtia moyo kwamba Mungu yupo pamoja nawe usiogope upitapo katika maji mengi Mungu yupo pamoja nawe hai jalishi watasema nini MUngu yuko upande wako ni nani aliye juu yako? wewe songa mbele ukiutazama msalaba, Kila silaha itakayofanika juu yako haitafanikiwa kila ulimi utakaoinuka juu yako kuhukumu kuwa mkosa haitahukumu kuwa mkosa maana hii ndiyo urithi wako kama mtumishi wa Bwana, Mungu akutie nguvu akulinde popote uendako serekali ya Mbinguni inahusika. amen

 24. UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA BWANA MAFUNDISHO YAKO YANANIBARIKI SANA
  NAHAMU SANA YAKUONANA NA WEWE NAIMANI NITAFANIKIWA KWANI OFISINI NIMEPIGA SANA SIMU BILA MAFANIKIO
  NAJIPA MOYO IKO SIKU NITAKUONA KWA MAZUNGUMZO AMINA

 25. tumamshukuru Mungu sana kwa kutupatia mtumishi Mwakasege kwa majira haya. ombi letu kwa Mungu ni kwamba ampe maisha marefu na mafunuo zaidi kwaajili ya watu wake Tanzania maana hakuna ubishi kwamba MANA anayotulisha mwlm Mwakasege iko balanced,tunakua pasipo utapia mlo wa kiroho. BARIKIWA MUTUMISHI!

 26. Mungu na aziongeze siku za maisha yako katika jina la Yesu, hema lako liongezwe. Amina

 27. Mungu azidi kukutia nguvu ima akupe maisha kwa kadri ya ukuu wake na haja ya moyo wako ili Injili iwafikie wote!

 28. mimi nataka tuassiliyane katika jina layesu .
  chakwanza mungu azidi kuwabariki katika jina layesu kristu.l nawasalimu kwajina layesu ,nakuomba unisaidiye kwakumuomba yesu kwamaana mimi nimuzaifu sana

 29. Nampenda sana Mwl. Mwakasege. Nakumbuka kati ya mwaka 1999 na 2001 nikiwa Dar es salaam, jinsi nilivyopenda kuhudumu katika semina zake diamond jubilee. Nilikuwa nasubiri kwa hamu kubwa huduma hizo, nilikaa mezani pa Bwana kwa subira mpaka siku ya kufunga semina, maana ndipo Mwl. Mwakasege anapoita wahumudu wote kuja mbele “ni zamu yao sasa kuhudumiwa”. Amen! ndio siku yangu maalumu kuliko zote katika semina, mkono wake, neno lake toka kwa Kristo viliniponya na kunipa upako hata leo. Nazitamani siku zile. Mungu akutunze Mwakasege. Ernest- Amsterdam!

 30. nitapataje simu ya mwakasege?au email yake?nina shida ya kupata kaseti nzake au dvd asante sana

 31. Uendelee kubarikiwa na bwana Mtumishi wa Mungu.

  ushiache kondoo hata mmoja akapotea utapata thawabu kubwa kwa Bwana.

  uzidishiwe miaka ya kuishi

 32. Basi usiache kutulisha tubadilishie masomo kwenye internet yale tumekula tumetosheka tuwekee chakula kingine tule koondo zako ulizopewa na mungu na jamani muweke angalau kidogo mahubiri kwenye youtube.mbarikiwe

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s