Siri ya Mafanikio – Bahati Bukuku

bahati4.jpg

Bahati Bukuku akiimba wimbo wake mpya wa SIRI YA MAFANIKIO ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee hivi karibuni.

Advertisements

26 thoughts on “Siri ya Mafanikio – Bahati Bukuku

 1. NAKUSHUKURU KWA UTUNZI WAKO DADA BAHATI UNAOGUSA MAISHA YA WATU WA JINSIA ZOTE NA RIKA ZOTE. TUPATUPA NIMEUPENDA SANA

 2. Hi,sister Bahati am Kristin from Kenya, Nairobi,i love ur songs very much,they put me in a good mood.mwenyewe nilipata majaribu ya miaka 6,nawashukuru watu kama nyie kwa kufanya kazi ya Mungu kupitia muziki,keep it up,lots of love

 3. jambo sana mama yetu mpendwa bahati bukuku.
  tuna kushukuru kwa ma tayarisho Mungu anayo kufanyiziya kwa huduma hiyi ya utungaji wa nyimbo.kweli huduma hiyi ni ngumu sana lakini panapo Mwenyezi Mungu yote yawezekana.
  hivi nina kupongeza sana tena kwa album zako unazo leo na hivi najuwa uko matayarisho kwa kutupa ingine. Mimi niko DRCongo(rdcongo) kweli tuna kupenda ssana.
  aksanti namungu akubariki

 4. Dada Bahati Bukuku Mungu akubariki kwa uimbaji wako !!! aisee ule wimbo wa Esta unanibariki sana, Mungu aendelee kukutumia zaidi, tulia magotini pake ili aendelee kukutumia zaidi na zaidi. Unajua katika safari ya mbinguni kila aliyeokolewa ana mchango wake mkubwa sana katika ufalme wa Mungu au mwili wa Kristo na kwa mtu mwingine binafsi, ambao wakati mwingine sio rahisi kwa yeye mwenyewe kuelewa.Ni kama vile ili chakula kikamilike basi utahitaji mchango wa viungo mbali mbali mf. kitunguu, nyanya, karoti,chumvi,nazi, ingawa bila viungo hivyo bado chakula kitalika, ila kitakuwa na mapungufu. Kaza buti dada NA UMPE SIFA BWANA YESU AKUWEZESHAE, Barikiwa kama mvua

 5. hii bahati i love your songns it rimind me many people they are stay in african family and feiend my god bless u

 6. Kwa kweli bahati bukuku uko juu,nyimbo zako zinanitia moyo nakunifariji.nakutakia usonge mbele na uimbaji Mungu akuinue zaidi.

 7. praise lord!wapendwa wa mungu tuna kila kitu cha kufurahia dada wa maadili bahati bukuku ana uwezo wa kuimba sauti zote 4 peke yake pia mavazi yake ni ya heshima

 8. kwa kweli bahati bukuku ni mmoja kati ya wanamuziki bora kabisa wa injili kuwahi kutokea katika karne hii tunamshukuru Mungu kwa dada huyu hakika ana kipaji cha hali ya juu

 9. bwana asifiwe!tangu album ya kwanza hadi sasa nyimbo zote ni nzuri tunamshukuru Mungu kwa zawadi hii ya dada bahati bukuku tunakuombea maisha marefu mungu akulinde mama na usonge mbele

 10. MUNGU AKUBARIKI SANA DADA BAHATI BUKUKU HAKIKA WIMBO WAKO WA MAJARIBU UMEJAA UPAKO WA BWANA MUNGU AKUBARIKI SANA SAUTI YAKO INA MVUTO WA HALI YA JUU NASHUKURU KWA NYIMBO ZAKO ZA KINYAKYUSA,WEWE NI KATI YA WAIMBAJI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA HAPA NCHINI TANZANIA KATIKA KARNE HII

 11. bahati bukuku ni mwimbaji mwenye kipawa.wimbo heshima ya dhahabu hunizungumzia moja kwa moja,barikiwa dada.ningependa sana mistari ya wimbo heshima ya dhahabu na nyakati za mwisho kama ikiwezekana tafadhali.

 12. bahati ni kweli unaimba vizuri, ila acha maringo na uwe unasalimia watu, usichague watu wa kuongea nao, maana wewe ni barua inayosomeka kwa watu ambao hawajaookoka,wewe mwenyyewe umesema wakikuinua wanadamu haohao watakushusha. usifanye hivyo

 13. i love ur songs ur like my mom`s favourite singer.i used to live in tanzania but now i live in australia.miss my country .can u send me ur dvd.

 14. I am looking for someone to send me the writings of Bahati Bukuku songs. I want to sing while she is singing. Thanks for the help. I am from Congo

 15. Nyimbo zako zinagusa,na pia zina maadili.Nakupa moyo jitaidi songa mbele kadri Mungu anavyokutumia.

 16. Nyimbo zako zinanijenga na zinanifariji sana my sister
  God bless you unaihubiri injli dunia nzima

 17. ubarikiwe dada bahati,na Bwana akutie nguvu uendelee vizuri na kazi yako ya kuhubiri kwa njia ya nyimbo.kwakweli unanifariji sana hata ninapokuwa nimekata tamaa napatanguvu ya kukaza mwendo.

 18. dada bahati nakufagilia sana kwa sababu nyimbo zako zote nazipenda sana WARAKA WA AMANI

 19. unanigusa sana dada yangu sina mengi ya kusema kwa kweli, Mungu akuzidishie nguvu uzidi kutupa Neno kwa kupitia Injili dada yangu. Mimi na familia yetu pamoja na wengine wengi tu tunakupenda sana.

 20. hellow sister hongera sana kwa kazi nzuri ya kumtumikia Mungu.Tunafurahishwa sana na nyimbo zako kwa kweli unajitahidi sana.Mungu aendelee kukupa nguvu ili usichoke.

 21. FANYA KAZI YA MUNGU DADA BAHATI .UNAPITIA MAJARIBU MENGI SANA KATIKA MAISHA YAKO.BUT KAMA ULIVYOIMBA KABLA,”SONGA MBELE UKIMTAZAMA BWANA YESU”.KAZI ZAKO ZINATUFARIJI SANA NA ZINATUFANYA TUISHI MAISHA YA KUJIAMINI SANA KATIKA WOKOFU.KWA KWELI HAKUNA KAMA YESU.
  JINA LA BWANA LIBARIKIWE

 22. hongera sana dada kaza mwendo uifikie ile ahadi uliyowekewa na mungu na barikiwa sana nisikilizapo nyimbo zako

 23. safi sana dada bahati, mi nakukubali ila huwa sifurahishi unapochichanganya kwenye maconcert ya watu wa ajabu ajabu kama Tmk wanaume, kuna siku nimesikia tangazo ka tmk kwa mba watatumbuiza pamoja na bahati bukuku. au unaangalia pochi tu.

  alafu.samahani hivi unaishi na mmeo au bado unakomaa kivyakovyako ?

 24. Ulipotea sana dada Bahati, japo sijasikia huo wimbo wako mpya lakini nakukubali sana , pia rafiki zangu hapa makumira university college Arusha wanapiga sana nyimbo zako hasa ule wa “Nilipoianza safari, ” watu wanaupenda sana.
  Nakutakia mafanikio mema katika kuitangaza kazi ya bwana!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s