Je una mzigo wa maombi, ungependa tushirikiane kuwaombea wengine?

Bwana Yesu Asifiwe!

Ningependa kuwakaribisha wale wote wenye mzigo wa maombi (wanamaombi) kwa ajili ya kuombea Taifa, Kanisa na watu wenye shida mbalimbali. Ikiwa ungependa kushirikiana na StrictlyGospel, unakaribishwa na tutapanga ratiba ya maombi. Unaweza kutuma mail kwa, strictlygospel@yahoo.co.uk au kutuma ujumbe wa simu namba+255 714 915 424 (ujumbe tu).  Mwakaribishwa

Advertisements

15 thoughts on “Je una mzigo wa maombi, ungependa tushirikiane kuwaombea wengine?

 1. ninahitaji maombi ktk kipindi hiki kigumu ambacho niko nyumbani, sina nauli ya kurudi kazini, chakula sina, shauri la mirathi linachelewa kuisha, benki inakataa mkopo

 2. BWANA ASIFIWE SANA WAPENDWA,Hii site yenu ni nzuri na inatuhamasisha kiroho Mungu awajaalie baraka tele..

 3. NAOMBA UNIOMBE KUHUKUSU KUPATA AJIRA ,KUJUA NYOTAYANGU LEO HII NIKIOMBA

 4. MIMI MAOMBI YANGU NI JUU YA CHANGUDOA ALIYEIVAMIA NDOA YANGU AONDOKE KWA JINA LA YESU.
  NAALIKA DUNIA NZIMA AU KILA MWENYE KUOMBA AOMBE KWANI TUNAHITAJI MKONO WA MUNGU.

  NAHITAJI MUNGU AINGILIE SUALA HILI MAPEMA KWA NEEMA ZAKE NA HURUMA. MWANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU NJIRO, ARUSHA AMEMFANYA HATA MUME WANGU ASISALI TENA. MUME WANGU USABATO UMEKUWA BASI KWA AJILI YA HUYU MWANACHUO.

  WATOTO WANGU WANATESEKA BILA KUNIONA MAMA YAO KISA HUYU KAHABA.

  TUSAIDIANE MAOMBI YEYE ALIYEIFUNGA NDOA HII KATI YANGU NA MUME WANGU ASIMAME MUNGU WA MBINGUNI.
  AMEN

 5. UBARIKIWE SANA DADA YANGU NA MUNGU AKUTIE NGUVU KWA HUDUMA TUPO PAMOJA NA MUNGU AKUBARIKI.

 6. Mungu akubariki sana na hapa ndipo mahali pa kuponea kiroho tupo pamoja songa mbele

 7. Mungu awabariki sana katika mambo yote mnayoyafanya. Ninawaombea ili mfanikiwe katika mambo y ote mema. Amin, Brother Daniel Raphael Mwandupe, Mungu akukuze katika utakatifu na heshima yote. Ukiweza niombee sana kwani nahitaji msaada wako wa maombi katika mambo yangu. Amina

  Dada Mary, Mungu akutie nguvu katika huduma aliyoweka ndani yako. Ninakuombea ili Mungu akufanikishe katika mambo yote. Amina, wasalimie waombaji wote, waambie tusonge mbele. Amina

 8. Mungu akuinue siku zote kwa neno lake, ninamuomba Mungu akuzidishe katika utakatifu na hekima yote ili upewe mafunuo zaidi kwa ajili ya nchi na vijana wa nchi hii. Kwani shetani amegundua kuwa vijana wana kitu ndani yao ambacho wazee hawana, kwa sababu hiyo ameamua kudili na vijana ili Tanzania ya leo ikose kitu Mungu anataka tupate. Tuombe mpaka kieleweke, vijana wafunguka macho waanza kuona hili. Salaamu za upendo kwako kaka DANIEL RAPHAEL MWANDUPE-Ninakupenda brother, Mungu wangu akubariki. Amina

 9. ASANTE KWA UJUMBE KUHUSU MAOMBI. TUSILIKISHE TUMUOMBE MUNGU ALIYE BABA YETU. MUNGU WANGU AWABARIKI SANA.

  TUKUMBUKE SANA KUMUOMBA MUNGU KATIKA KILA HATUA YA MAISHA YETU, KWANI HAKUNA NENO TWAWEZA FANIKIWA KAMA SI KWA MSAADA WA MUNGU, KUMBUKA KUOMBA SANA. YESU AKUFANIKIISHE WEWE UNAYESOMA UJUMBE HUU. AMINA

 10. Dada mary nakupongeza sana na mungu azidi kuku bariki sana,songa mbele dada yangu.

 11. Ahsante kwa kuwa pamoja nami Sauti ya Nyika ni Landline. Ukituma ujumbe nitaupata. BARIKIWA

 12. ASANTE KWA MWALIKO WA MAOMBI, TUPO PAMOJA KATIKA JAMBO HILI.
  HATA HIVYO NAMBA YA SIMU ULIYOANDIKA HAPO HAIELEWEKI NI ECLL PHONE AU LANDLINE, NIMESHINDWA NITUMEJE UJUMBE MFUPI, TAFADHALI NIWEKE SAWA, ASANTE.

 13. BWANA YESU ASIFIWE SANA DADA MARY.NIMEIPENDA SANA KAULI MBIU HIYO.MUNGU AZIDI KUTUTIA NGUVU KWANI HAKUNA CHA KULISHINDA JESHI LA MALAIKA WA MBINGUNI NA HALISHINDWI KITU.KWA HIYO TUNAENDA NYUMA YA JESHI.
  LAZIMA KIELEWEKE

 14. Dada mary hakuna la kukataa katika yote uliyosema kwa maana mwanadam ni nani apinge neno la kirsto? tupo pamoja kuelekea MBINGUNI,tutawasha moto mpaka wote waliomashimoni wajitokeze kusema wanakula nyama za watu,Jina la Yesu tunalo, na damu yaYesu ipo inafanya kazi ,na Neno la MUNGU tunalo, uchawi hauna Nguvu tena TZ, maana wanatekwa na maombi yetu ya kila siku.ubarikiwe sana mpendwa.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s