Niliteseka sana na Mapepo – Sarah Mvungi

Kwa wapenzi wa maigizo hapa Tanzania Sara Mvungi alipata kuvuma sana KAOLE, kwa sasa ni muimbaji wa Injili na anao ushuhuda anaopenda kuwashirikisha watu kwamba “niliokoka tarehe 20/6/2004 siku hii sitaweza kuisahau katika maisha yangu, nilikuwa nateseka sana na mapepo na vidonda vya tumbo lakini Yesu wangu akaniponya” Alisema, 2007 alijikita katika uimbaji na kufanikiwa kutoka na Album ya ASANTE YESU yenye jumla ya nyimbo kumi, mbali na kuimba muziki wa Injili, anaendeleza fani yake, ni mtunzi na mwalimu wa tamthilia ambapo sasa ametunga tamthilia ya NADHIRI inayotarajiwa kutesa katika Television ya ATN hivi karibuni.

Advertisements

13 thoughts on “Niliteseka sana na Mapepo – Sarah Mvungi

 1. Nashukuru Mungu sana kwa ajili ya wokovu wako na wangu, lakini pia ule wa watu wote.
  Kweli Bwana amekujalia neema ya wokovu, uponyaji na huduma. Ingekuwa heri kabisa umutumikie kwa kxeli na haki siku za maisha Yako.
  Naishi congo ya kidemokrasia (Bukavu) na ningependelea zaidi kupata nakala ya kanda yako. Ni mhimu sana kwa utangazaji wa injili.
  Ikiwezekana nitumie e-mail yako.
  asante na Mungu akubariki.

 2. hi sister i love you and i would like to hear your good voice i love you and i take your pic at home bcs i love you.but ineed to buy your cd
  give me your phone nomber i’m stay here nairobi

 3. dada sarah kaza buti yesu mzuri sana nakupenda sana dada yangu na wimbo wako wa heriheri sebene limetulia hasa.naipenda kazi yako nahangaika kuitafuta lakini sasa nimechoka nikupate wapi unipatie au hujaanza kuuza?
  lakini uliwahi kuhojiwa ukasema umeshaingiza sokoni sasa nimechoka kutafuta nakuomba uniambie nipate wapi au nipe nomba yako nitakupigia
  si mchezo dada

 4. habri ya kwako nimefurahi kukuona japo kwa picha katika mtandao.naishi huku south mbali sana lakini nimefurahia sana sana kukuona mtandaoni.naipenda sana huduma yako napenda sana nyimbo zako hasa ule unaosema WANAOWASAIDIA WASIOJIWEZA HAPA DUNIANI.hakika naupenda na kupitia wimbo huo nimejifunza kuwasaidia wasiojiweza na mungu ananibariki sana sana namimi nikumbukapo siachi kutoa.
  dada mungu akubariki sana na huduma iende mbele daima
  nikirudi nitakutia moyo

 5. i like you but i need to know more about you may you give me your email? or phone nomber? i stay here south jobg bless to u

 6. AMA KWELI YESU NI MWOKOZI WETU. ASANTE YESU KWA UPONYAJI MKUU NAMNA HII HATA PEPO WANAHAMA KWA JINA LAKO.ASANTE YESU KWA JINA HILI LA KUTUFANYA SISI TUSIISHI TENA CHINI YA MAGONJWA YAANI LAANA ZA AINA ZOTE. DADA YESU NI BABA YETU MILELE NA BARIKIWA NA BWANA.

 7. unakubalika katika fani
  una haki yakuwa muimbaji wa gospel mungu akuzidishie moyo waujasiri iluzidi kufanikiwa katika kazi

 8. nampenda sana dada huyu ni bahati sana kwangu kupata picha yake nimefurahi sana nakupenda dada napenda sana huduma yako sijui kanda zako nitazipata wapi nimejaribu kulizia kila seheem hakuna sasa ninakuomab unipe nomber yako nikutafute ili nipate japo cd nakupenda sana

 9. amen, siku ya kuokoka ni siku muhimu sana ya furaha kwa binadamu na Mungu lakini ni kilio kwa ibilisi na jeshi lake, unapookoka kuna vita nyingine za kiroho, pigana vita hizi kwa neno na maombi, Mungu akubariki sana

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s