Harris Kapiga naye kutamba katika filamu

Mtangazaji maarufu wa Praise Power Radio, Harris Kapiga au mzee wa nyota njema anatarajiwa kuonekana katika filamu ya NADHIRI, itakayoanza kurushwa na kituo cha television ya kikristo cha ATN kilichopo jijini Dar-es-salaam, Harris ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu huria cha Open mwaka wa pili akichukua masomo ya Political Science and Public Admninistration ameoa na wana watoto wawili.

Advertisements

3 thoughts on “Harris Kapiga naye kutamba katika filamu

 1. That’s good baba Larry.I wish ningekuwa home niwe busy kuiangalia.Hope kina Landa na Lawrence wataanza ujasiriamali huo soon.
  Maggie-Dom

 2. Dada Mary nimefurahi sana kuiona picha hii!

  I wonder where is his secondary-school friend Richard Maabad! At Azania in the early 1990s these guys inspired me very much. Their love of God, thier smartness, kindness, and most of all thier persistance in preaching the word.

  Mungu akufanikishe Harris; hata kwenye hili pia. Go Harris, be a star!

  Natamani ningekuwa nyumbani kuona hiyo filamu.

  Ernest – Amsterdam

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s