Jennifer Mgendi na filamu ya TEKE LA MAMA

Muimbaji wa Injili Jennifer Mgendi anamalizia Filamu yake ya TEKE LA MAMA yenye mafundisho kwa ajili ya watu wa rika zote. Filamu hiyo iko katika hatua ya mwisho sambamba na shooting ya album yake ya YESU NAKUPENDA aliyoiimba mwaka 2004. Tutategemea kusikia hivi karibuni kuhusu nia na Lengo lake kuhusu filamu na muziki wa Injili.

Advertisements

24 thoughts on “Jennifer Mgendi na filamu ya TEKE LA MAMA

 1. Shaloom,
  kwanza mimi nishukuru kupata nafasi hii ya kushiriki ktk kukupongeza kwa kazi nzuuri ya kutowa mafundisho;
  hususani maigizo yako hutusaidia ktk mikutano ya injili nk.
  Tuko ktk mchango wa maombi.
  MUNGU akutie nguvu.
  By Past. Emma good lacky.

 2. Dada Jennifer shkamo.since nkiwa mdogo napenda sana huduma yako ya uimbaji kweli inanikomboa sana mungu akubariki dada yangu akuwezeshe kwakila jambo kwaajili ya kazi ya Bwana Yesu

 3. kwa kweli umejitaidi sana mungu akuzidishie maisha marefu pamoja na familia yako

 4. Big up sana sister Jenifer, Mungu azidi kukubariki. Umefanya vyema sana ndani ya filamu zako,hongera sana.

 5. sister Jenifer. my self niko na furaha sanaaaa nimeona filam zako mbil teke la mama na chai.nitakutafuta barikiwaaaaaaaaaa

 6. YOUR FILMS ARE RICH IN MESSAGES TO THE SAVED. MAY THE LORD BLESS YOU WITH ALL YOU NEED TO CONTINUE.

 7. HI JEN NATUMAI UMZIMA MI NAKUOMBEA MUNGU ALIYE JUU AKUBARIKI NA AKUPE KHERI DAIMA KATIKA KAZI YAKO HIYO NJEMA.HILO NI OMBI LANGU

 8. Bwana asifiwe Jeniffer,
  Kazi zako ni nzuri sana, kwa ujumla nazipenda mno.
  Tayari nimeiona filamu yako ya Teke la Mama, kwa hakika ina mafunzo makubwa kwa jamii.

 9. Hi Dada Jenny chapa mwendo,nabarikiwa sana na wimbo wako wa nalia pole sana!
  nakupenda sana!!

 10. Nakusalimu katika jina tukufu la BWANA wetu YESU.
  Namshukuru MUNGU kwakukupa sauti nzuri kama hiyo.
  Nami pia napenda kumtukuza BWANA katika nyimbo za injili, nilipokuwa Africa nilikuwa muimbaji wa kwaya.
  Naweza kusema kua uhimbaji ndo kipaji changu. Nakusihi uzidi kuendelea na karama yako. Nazi furahia sana nyimbo zako. MUNGU akubariki sana, tuzidi kuwasiliana.
  Yours Janinne from U.S.A (Colorado)

 11. Hi Dada, nakupenda, napenda pia ulivyo sirious na kazi zako, ndivyo itupasavyo katika Bwana. napenda kukutana na wacheza filamu kwa sababu kubwa mbili; 1. napenda kuhudumu kupitia filamu,2; nina mapito katika maisha yangu ambayo nafikiri yakiwekwa katika filamu yatafungua wengi. Naomba tuwasiliane. says mac.

 12. Dada Jennifer songa mbele katika huduma yako,simama na Yesu sawa sawa,ili ibilisi asije akakujaribu……wimbo wako wa mchimba mashimo unanibariki sana

 13. Hongera saaana dada , Mtumishi wa Mungu, Jenifer!!! , ninakuombea sana ili huduma hii ikaendelee na ikapate kuzaa matunda. Barikiwa.

 14. Jeni mimi rafiki yako niko England Eliza tulisoma wote MGULANI NA JENIPHER mkubwa na mail yangu ndiyo hiyo, naomba nikontact na pia hongera sana kwa kutangaza Neno la mfalme wetu Yesu Kristo, many blessing. salaam kwa kwao

  naomibongo@aol.com

 15. Bwana Yesu asifiwe,
  Hongera sana dada Jennifer kwa nyimbo zako na hatimaye sasa unataka kutoa filamu.
  Mungu unaemtumikia hakika atakutia nguvu ili kazi hii ipate kuwavuta wengi kwa Yesu
  ili waokoke na kuanza kuufurahia ufalme wa Mungu hapahapa duniani,maana tusipouna ufalme wa Mungu katika maisha haya hakika hatutauona kamwe katika ulimwengu ujao.
  CONGRATULATION AND GOD BLESS YOU!!

 16. Barikiwa dada Jennifer endelea kumtukuza Bwana Yesu kwani ni watu wengi wanahitajika kukombelewa. Mungu amekuinua kwa makusudi maalumu. Liinuliwe jina la Bwana Yesu. Huduma yako Mungu aizidishe na kukulinda.

 17. Hi Laila,
  It is nice to know that you also visit this site though you dont understand Swahili!!
  Yes, this is about my new movie to be released soon. Greetings to all brothers and sisters in Vanersborg!!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s