Majaribu ni Mtaji – Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe ameimba wimbo wa Majaribu ni Mtaji, hakika wimbo huu utakufanya uwe imara kama ukisikiliza maneno yake kwa makini na kuyafuata. Mwasongwe ni muimbaji wa Injili anamtukuza Mungu na album yake ya MAJARIBU NI MTAJI.

Advertisements

14 thoughts on “Majaribu ni Mtaji – Ambwene Mwasongwe

 1. my name is ndayizeye,emmanueli
  ilive in amarican
  iwant to talke to you.

 2. hamjambo,nafurahishwa sana na nyimbo zenu harakini sijuwe ki vipi ni zipate kwenye internet.I am burundian in niger and I would like to have your songs principaly MAJARIBU NI MTAJI.I am not very good in swahili and I wish to have your best answer

 3. Jamani mbona umetoa Album yako ya majaribu ni mtaji? Tunafarijika sana na wimbo huo, Please do the needful natumaini yawezekana. Be blesssed

 4. Shalom! Niko Uholanzi nilikua naifurahia sana Albam yako ya Matatizo ni mtaji ghafla umezitoa kabisa kwenye mtandao. What happened? Mimi ni mfuasi wako tangu nikiwa Mzumbe. God bless you guys,you are moving up so fast…..i love God he can change anybody’s life.

 5. actualy ,i’dond’t have anything to give you but god bless you ;and i well support you.thank you so much.

 6. Bwana Yesu Asifiwe
  Mimi naomba kama kutakuwa na uwezekano Waimbaji wawe wanatembelea na mikoani kulitangaza Neno la Bwana kwa mfano Mikoa ya kusini mwa Tanzania hatuna wahubiri wa nyimbo za Dini.

  Naomba Mungu watangulie kwa yote muyafanyayo kwa jamii kuwaonyesha njia ya kuelekea Uzimani.

  Catherine J. Machela
  Lindi.

 7. hey brother hw r u doin? i hvt tk to u fo logtime so hw is it goin
  i hope u will put ur song on the net. so that many people cn hear ur gosph

  thax God bllesss u

 8. hey brother ,im filbert from Australia the one who called you last week.
  i really like to listen to your songs.but i’d like to ask if u can put yours songs on the net.
  God bllessss you
  hope u will understand my request.

 9. Bwana Yesu Asifiwe
  Jamani mimi nilikuwa nashauri kama mnaweka habari za Mwimbaji fulani,au Muhubiri fulani tafadhali wekeni na namba ya Simu yake,au eimail yake.ili kama mtu anataka kuwasiliana nae asipate shida yoyote.ni ushauri tu lakini.Na nilikuwa naulizia hivi Ambwene kama ameshatoa mkanda wa Video?.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s