Christina Shusho

Muimbaji anayemuimbia Mungu. Christina Shusho anajulikana sana kwa nyimbo kama NATAKA NIMUONE YESU, NAONA PENDO, KITU GANI, MTETEZI WANGU na UNIKUMBUKE. Ana jumla ya album mbili KITU GANI na UNIKUMBUKE.

Advertisements

127 thoughts on “Christina Shusho

 1. love u mama.i need to talk to you kindly send me an email ama mtu aniambie email ya mama

 2. christina, ur music led me to the Lord. ninakupenda sana pamoja na muziki unaoimba toka kwa moyo wako. i hope to hug u one day ile ujue nilivyo barikiwa na nyimbo zako. Mwenyezi Mungu akupe nyimbo zaidi, barikiwa na kaa katika uwepo na amani ya Mungu. i love you mama.

 3. THERE IS A BIG REASON FOR YOU , CHRISTINA TO SING THOSE TOUCHING AND INSPIRITIONAL SONGS.LET YOUR VOICE BE HEARD IN AFRICA EN RULE ALONG THE WORLD. YOU ARE SUCH A BLESSING TO US. KEEP IT UP.

 4. Mungu akubariki sana Christina Shusho kwani nyimbo zako zinanibariki. BIG UP NA MUNGU AKUINUE JUU SANA NA AKUPE MAISHA MAREFU.

 5. Ukweli dada shusho unatisha hasa kwenye album uliyozundua mwishoni mwa mwaka jana,’NIPE MACHO’.Binafsi nyimbozo zinanibariki sana.Mungu akubariki!!

 6. Nampenda sana dada shusho kwani ujumbe wake unamgusa kila mmoja kiroho&kimaisha.Mungu amzidishie neema ili azidi kutuinua kiroho,AMEN!

 7. Christiana shusho is my favourite when it comes to gospel music.Her first song (Baba yamugu) had activated my spiritual man within me.I can honestly state here precisely that she is one of the outstanding actress of out time in that sub-region.I just wish that she globalize her music if possible within west Africa region.Christie, stay blessed. By pastor kennedy(Ghana)

 8. The songs, especially unikumbuke makes me have hope that one day God will remember me as He remembers the others.BE BLESSED!!!

 9. Mungu ambariki sana mtumishi Christina na kumzidishia mafuta zaidi , kwa kweli mimi kama mama ninabarikiwa zaidi na hata katika uvaaji wake , ninathubutu kutamka kuwa huyu sio MSANII wa nyimbo za injili, bali ni mwimbaji wa nyimbo za injili , kwa sababu anaimba kile anachokiiishi.

 10. Ninampongeza kwa huduma anayoifanya maana inanibariki hasa nisikilizapo nyimbo zake

 11. God annoints a servant for His people in every generation. Christina Shusho, you are one in our generation and especially those who understands swahili language. We thank our Lord for visiting us in East Africa through you, and we thank Him for all the great messages He delivers to us through you. One sees and feels the power of the Holy Spirit in all of your songs. Soon we shall meet Him face to face – God bless you and all christians who listen to your music

 12. hi shusho,you bless us alot with your inspiring music especially songa mbele.God bless abundantly

 13. dear sister Christine,

  May Lord Almighty guid you in your days of living.

 14. dear sister,
  you are a real worshipper of God in spirit and truth.I love your simplicity in your singing to God.i believe it makes real singing to honour God than to create your personal image.Though i think you project yourseves a powerfull character of simplicity.And that is the Gospel jewel
  My son 4yrs old can sing alongside your dvd.
  william in kenya

 15. Umenibariki saana kwanyimbo hizi. MUNGU ali juwa kama iyi ndiyo njia yakutubariki zaka kusimamisha kama alivyo wasimamisha wa nabii wengine. sasa sisi ni yutube tu tulizionaizinyimbo. tunakuomba utupe adresse yafasi CD DVD zinapatikana ulaya.
  sababu tuna zitaka bila kutumiya computer tu. tafazali. sababu huko kenya kwenu watu wote hawafiki.

  saana. nimezio

 16. dada mpenzi nakosa words! lakini ya bidi uelewa kwamba mziki
  uliotubariki nao ni wa kudumu milele. maanake mtu akiuchukulia
  kibinafsi basi atafaidika kiroho na tena atajengeka zaidi. bado
  sijasikia kanda ya pili mie, lakini umezuru huku kenya wakati
  ambapo sikupata nafasi ya kukuona ukiperform. nasema shukrani kwa kufungua macho na roho zetu katika jinsi ya kumuabudu, kumuomba na kumsifu Mwenyezi Mungu. na hope sana hilo ndilo moja wapo wa lengo lako haswa.

 17. i really love your songs especially naona pendo and eh bwana umenichunguza God has used you as a vessel to bless us i pray that you may go on spreading the gospel and changing people lives

 18. praise God, iwould like 2 thank God for the wonderful
  voice and inspirational words expresed through music
  via sister shusho, may the Lord be exaulted and magnified through her.Kila ninapo sikiza nyimbo hizo mimi huwa na barikiwa sana may God continue to bless her and others who have decided to follow christ and preach the gospel of the LOrd.Barikiwa.

 19. j’aime beacoup vos chansons. merci, merci, madame shusho vous la meilleur.la gloire est ici!

 20. nyimbo zake zabariki sana. hongera kwake nazo sifa zimrudie Mungu. you are such a wonderful singer blessed with a powerful voice and your songs are well composed. keep it up mum. may the good Lord increase you all the days of your life

 21. Dada ninakusalimu katika pendo la christ, pia nyimbo zako zina nibariki,hasa album unikumbuke.

 22. I am a big fan of your inspirational music sister Shusho. I was in Kenya in December and bought some of your CD and DVD but when I reached the US, they couldn’t play. Do you have anywhere in US where I can get the original copies? Or in Kenya where I can send my wife to go buy them for me? God bless sister for an amazing job that you do for His kingdom!!

 23. Najisikia vizuri sana ndani ya roho yangu ninaposikiliza nyimbo zako haswa Mtetezi wangu Yesu Mungu akujalie sana kusonga mbele katika huduma.

 24. je suis tellement heureux de retrouver tes chansons sur internet et avoir ton adresse e-ma&il.sur ce je profite cette occasion de te saluer et t’encourager pour le travail fouri que Dieu te comble sa sagesse et les force divin

 25. your songs blesses me a lot sister shusho i cannot end a day without listening to any of them. God bless you and may u continue to uplift his holy name. i also admire the way you present yourself before GOD even through watching your videos[DRESSING etc.. .

 26. Kuna nyimbo tatu(unikumbuke, wakuabudiwa na umenichunguza) za christina zinazonigusa moyo mno!Christina,endelea kumwimbia Mungu kwa huo mtindo huo,huo.Usiige mitindo mingine yoyote!Iwe kimavazi,kisura au kimaneno.Mtindo wako una UUNGU ndani.Kwenye Computer kibaruani huwa nazisikiliza hizi nyimbo.God bless your whole family abundantly!

 27. Haki dada nyimbo zako zinabariki na kuinua kila niskizapo huhisi kubarikiwa sana..mungu azidi kukutia nguvu uimbe zaidi na zaidi.chiddy(kenya)

 28. Mimi nimuimbaji naishi australia twamutumaini mungu kwakila jambo yasio onekana nimajiwe namilima lakini chiumbe chochote ambacho kinamiguu miwiwli lazima tena lazima kikutane nakingine ninaamini kwamba kunasiku tena kuna place ambapo watumishi wamungu wote tutakutania nahio place nikwetu mbinguni as you know that dunian sio kwetu, kwetu nimbinguni HALELLUJAH!!!! do you know hw i feel when ever i heard that dunian sio kwetu tunaisubulia inchi mpa yetu ambapo nimbinguni najiskia if i was sick i fell better because i won’t cry like i do when i get there! i won’t suffer from losing weight when i get there! i won’t suffer from foods and drinks and i won’t stugle from finding clothes when i get there OMG i can’t wait!! my sister try and save the world i beg nasikitika sana kuwaona mabinti wearing pants nawakati biblia inavikataaaa,Keeeeeep it up my sister GOD BLESS YOU.

 29. I have greatly been blessed by Christine’s songs and did buy her albums. i have loved her songs, God bless her to the fullest. amen.

 30. Had i words of explaining the extent to which Shusho’s songs have consoled my soul, i could have explained. But may glory be to God for giving such wonderful gifts and talents.

 31. Great singer, great gift from YAH!!!! I’m impressed by her songs, and am a big fan!!!!

 32. Hongera sana Dada Tina,
  Kweli Mungu anakutumia kwa kiwango cha juu sana.
  Ningependa kuwasiliana na wewe.
  Nitapataje contact zako ili tuwasiliane?
  UBARIKIWE SANA DADA

 33. am from kenya na mimi napenda sana nyimbo za huyu dada kwani zinafariji na zimejaa upako. zimevuma kila mahali afrika mashariki mimi nasoma uganda na kila mahali ninapotembea husikia nyimbo hizi hata kama hawaelewilugha anayoimba na maana yake.dada tunakuombea sana katika kutoa album hiyo ya tatu na tuna imani kwamba inaenda kugusa mioyo ya watu na wanaenda kukua kiroho. AMEN!!!

 34. Please go on with the spirit and the power that God gave you. I love your music so much and you’ve helped so many Kenyans to get saved . God bless you abundantly

 35. Niko Congo ya Kidemocratie,nampenda sana dada christine kwani mwimbo zake zina maana sana

 36. l believe God will help uuuuuuu through the songs so that you can proceed to praise Him

 37. Men of God (our partiners)we need your prayers as Christina Shusho is in final touches to release third album.Your prayers are so vital at this stage.Let us work together.There is songs like “Nipe macho nione”, “Nina wimbo” etc.They are wonderful.We need your prayers that the songs be anointed and being able to take listeners not only to another level but to new dimension of spiritual life.That God may use them to be solution to the problems facing people.
  May God bless you for your participation in this prayer session.
  BE READY FOR THIS NEW ALBUM.BE BLESSED ABUNDANTLY.

 38. you are blessed my sister your voice is awesome, keep up the spirit, you have blessed my heart and even encouraged me through your songs haswa unikumbuke and mtetezi wangu yesu

 39. I like this lady”s voice. This is truly a God given talent. Now that we are all East Africans, I hope she will be coming to Kenya for conserts frequently.

 40. I love unikumbuke. Honestly I am not into gospel music but I stumbled on this song playing on tv and I was so moved, I don’t even understand swahili, its just a powerful song, and Christina is sensational. I wish someone could tell me what unikumbuke means.

 41. Hallow shusho, im a kenyan soon to relocate to USA.
  i Look forward to getting your songs there especially when you start the translation of the same to English. Please let me know who and how to get them there.

  Mama princess

 42. Shusho…suati inayo toa nyoka pangoni nyimbo zake kweli za mtukuza Mungu. Uzidi Kubarikiwa uongezewe baraka na uzidi kuwa mrembo..kweli Mtetezi yu hai..

 43. i love the song naona pendo and i want the lyrics in swahili can somebody email that to me please? thanks and GOD BLESS YOU

 44. Tumsifu Yesu Kristo dada Shusho. Ubarikiwe kwa utunzi mzuri..najua si wewe bali ni roho wa Mungu anakuongoza na kukupa haja ya moyo….ukigusa nyoyo zetu. Ni kweli bila Mungu sisi ni bure…..atukumbuke tu! Mimi natarajia kuzindua Album yangu ya kwanza inayokwenda kwa jina la KWANINI TUSIPENDANE?…..SOTE NI WANA WA MUNGU. Tarehe 9 May, 2010 Dar-es salaam. Naomba uwasiliane nami kwa email yalaeve@yahoo.co.uk Ubarikiwe sana

 45. Bwana asifiwe Dada Christina Shusho?
  Nimebarikiwa sana na wimbo wako “UNIKUMBUKE” unanituliza moho wangu nikiwa na fikra,asante sana kwa kazi yako zuri,utunzi mzuri na hata when I listen to it natokwa na majozi,na kukiri kuwa BWANA YESU hakika ANANIKUMBUKA hasante sana.

 46. Your songs are so wonderful!God bless u Shush0! U are a blessing for the whole planet. Pray for me.

 47. I love Christina’s Music where is she from is it Kenya or Tanzania? If she is from Kenya her Swahili is like Tanzanian people because they speak nice swahili. You are one of my favourite singers I love lots of Gospel singers e.g. Rebecca Nzelwa,Anjela chibalonza and her sister Sarah K, Esther, Eunice, Bahati bukuku, Rose muhando and others.
  God bless you Christina I love singing I hope one day I will. I am still praying for that.

 48. nyimbo katika album Unikumbuke zote ni nzuri.Mungu abariki kazi yako ya uimbaji na uendelee zaidi.Kwa sasa uko na album ngapi apart from Unikumbuke?My e-mail is isandaf@yahoo.com

 49. Christina, I must confess that your songs are indeed a blessing to many and especially to me. The choice of words in your lyrics are timely, your voice is annointed and your humbless in a gift. I am dreaming that one of these days i will be able to see u either in Tanzania, Kenya or USA. I love you with the love of God and may our Heavenly Father surround u with His Blessings that u may not lack anything. I resolve to grow.AMEN

 50. Christina, I must confess that your songs are indeed a blessing to many and especially to me. The choice of words in your lyrics are timely, your voice is annointed and your humbless in a gift. I am dreaming that one of this days i will be able to see u either in Tanzania, Kenya or USA. I love you with the love of God and may our Heavenly Father surround u with His Blessing that u may not lack anything. I resolve to grow.

 51. Hello! I’m a Kenyan. My hobbies being reading and listening to gospel music, the album NIKUMBUKE is the most touching one have I ever listened to. The singing is cool, educative and encouraging. Keep it up Shusho. I look forward for your next album.

 52. Dada shusho salamu katika bwana . kweli nyimbo zako zimenibariki sana yani nimemwona Mungu kupitia Nyimbo hizi. Hasa ule wa Unikumbuke nataka nikuone Yesu .MUNGU AKUBARIKI SANA AKUZIDISHIE KARAMA HIYO ILI WATU WAENDELEE KUMWONA BWANA.

 53. Nimefurahishwa sana na nyimbo zako, nataka kupata contact mail ili tuhusiyane.
  Bwana akubariki zaidi kwakazi yake.
  Kaka katika Kristo Olivier Brussels.
  E-mail adresse yangu ni butsirikomily@yahoo.fr

 54. I love your songs Christina but i wish you would have sang ‘uikumbuke nchi yetu’ not ‘uikumbuke nchi ya Tanzania’ in your song ‘unikumbuke’,since this song relates to every person in the world not just Tanzanians.And God knows where you are from. We use this song like a prayer. God Bless you. Am Pauline from Kenya.

 55. This song ‘unikumbuke’ is not just a song but a prayer which every person whether christian or not relates to. So i think in the stanza where she sings ‘uikumbuke nchi ya Tanzania’,she could have just sang,’uikumbuke nchi yetu’as God knows she is from Tanzania and her album is not meant for Tanzanians alone. Otherwise your songs Christina are a blessing to us all. GOD BLESS YOU. Am Pauline from Kenya.

 56. Dada Christina ,nimehakikishua na uduma wako sababu au delà ya sauti yako nzuri navingine, tuko na muona mungu piti nyimbo zako.
  Sasa na ku si usonge mbele ili sis tuendeleye kubarikiwa, usi tafute faveur ya watu lakini tafuta ya Mungu. Usipoteshe direction mule mungu eko na kupeleka SVP. Twa pendelea utudefendre ko na sisi wa kristo tuwe na wa reference hapana tu kwa kuimba vizuri lakini pia na wenye kujichunga sehemu za mungu.
  Fata exemple ya Ndugu Alain MOLOTO wa DRC

  Na kupenda sana katika Khristo Mungu hakubariki

 57. JAMANI MPENDWA KATIKA BWANA NYIMBO ZAKO ZINANIPA UPAKO WA KHALI YA JUU PIA ZINANIBARIKI. DADA SHUSHO BARAKA ZA MUNGU ZIWE JUU YAKO ENDELEA KUMTUMIKIA MUNGU WATU WAKE WAPONYWE KUPITIA WEWE.

 58. Jamani mimi ule wimbo unaohusu sijui adam na hawa kwenye albam ya unikumbuke mimi naona kama hauendani na album yenyewe.

 59. dada shusho hakika nyimbo zako zina nigusa na kunibariki nimekuwa nikimwona Mungu kila ninaposikiliza nyimbo zako hasa hasa kitu gani, simama, unikumbuke. nakutakia kila la kheri katika kazi yako na mungu azidi kukufungulia mafunuo mengi na makubwa zaidi. ubarikiwe sana

 60. Waoh!yani sijui nisemeje lakini sifa hizi zote zimrudie Bwana for sure I real like your songs the way you sing so wonderfull nakutakia mafanikio mema ubarikiwe.

 61. Helo dada christina,God bless you so much, napenda kusikia nyimbo zako kweli zina upako wa Mungu ndani yake Bwana akutie nguvu sanaa, hasa wimbo wako wa Mtetezi.

  mimi Sister Josephine from Dar es salaam/ Kawe.

 62. I am just listening to Bwana amenichunguza and feel so blessed that I checked Shusho’s name from the internet and found it. Words cannot express my feelings but just keep on. You have blessed a lot of people in my country (DRC) and in my family. God bless you again and again

 63. Nakila Mwenye pumzi na amsifu Bwana Zab.150:6. Bwana akubariki, Bwana akuzidishie Mibaraka yake, Bwana akuangazie Nuru yake. Bwana Akubariki Dada Shusho

 64. Mungu akubariki dada Shusho.

  You sing very nice, you dress very admirable. I love all your songs. Mungu wetu azidi kubariki kazi yako na akupe kibali kila unaposimama.

  Naomi.

 65. Mungu akubariki sana, kwani unafaamu kuimba na nyimbo zako zinabariki.
  Be blessed Dada.

 66. Hi!

  It is So Great to hear such Wonderfull Music of Christina Shusho.

  I am away from Home studying Winhoek/ Namibia. I have always access Shusho’s Music via Google or youtube and they are BLESSINGS to me. May Himself Bless You, since as a human being, I can limit what God has in store for you. You are a Blessing to me and the Nation.

  Be Blessed Shusho and Let God Himself enlarge your Territory!

 67. She is truly a blessed woman. singing along makes u feel the presence of God. she dresses so modestly n i admire her .
  Mungu akubariki na uzidishiwe upako wa Roho Mtakatifu.

 68. Mpendwa Herbert Rajula,

  Ni kweli kabisa nyimbo za dd Christina Shusho zimependwa na wengi kutokana na jinsi zilivyo pamoja na ujumbe ulioko kwenye nyimbo hizo. Ni nyimbo zenye maneno ya Mungu ambazo nyingine ni za kumsifu na kumuabudu Mungu na nyingine za mahubiri na mfundisho ya neno la Mungu kwa ujumla wake.

  Lakini nimeshtushwa sana maneno yako kwamba kama wanapanga KUFANYA SHOW hapo Kenya ungependa kuandaa SHOW hiyo! Nimebaki na maswali kichwani mwangu kwamba hivi kweli mtumishi wa Mungu anayeimba nyimbo zenye mfundisho na mahubiri ya Neno la Mungu anaweza kwenda mahali kufanya SHOW? Nini litakuwa kusudi la SHOW hiyo? au kuhubiri neno la Mungu siku hizi ni SHOW?

  Samahani sana kwa kuandika maneno haya maana inawezekana kwako SHOW lina tafsiri nzuri yenye kuonyesha kwamba ni namna fulani ya kuifanya kazi ya Mungu. Lakini kwa yule mwenye tafsiri ya SHOW ninayoifahamu mimi nasema hivi: maana ya nyimbo za Injili na kusudi zima la injili tunaliharibu sisi wenyewe. Tunaifanya Injili ionekane kama ni kitu fulani kisicho cha muhimu sana, ni kama kitu cha starehe! Tunapoteza ile CUTTING EDGE ya Injili kwa kuiga maneno ambayo yanatumiwa huko duniani. Ndiyo maana siku hizi utasikia Muimbaji fulani wa nyimbo za Injili atakuwa kwenye tukio fulani AKITUMBUIZA. Sidhani kama ni sahihi kusema mtumishi fulani wa Mungu, mfano ndg Pius Muiru, atakuwa mahali fulani akifanya SHOW! Waimbaji wa nyimbo za Injili nao pia wanaeneza neno la Mungu. Sidhani kama wao wanawezafanya SHOW!

  Wacha niishie hapa kwa sasa maana, hata hivyo, nilishaandika mengi sana kuhusu suala hili.

  Endelea kusikiliza nyimbo za Christina!

 69. Nilisikia nyimbo za dada C nikavutiwa mara moja na unikumbuke na adamu, sababu nafanya ndoa yangu mwezi wa Disemba. Nilishikwa mno na ujumbe wa maneno matatu ya nayofa kuwa kinywani mwangu sa zote na mpenzi wangu illituishi kwa amani. Nauliza MR. Shusho kama wanapanga kufanya show hapa kenya. Ningependa kuhusika na kupanga show huku. Tunaweza kuwasiliana kwa hrajula@hotmail.com tupange jinzi ya kufanya hivyo. Namba yangu ni +254722710073

  Dada endelea na kazi nzuri ya Mungu na akubariki a hundred folds

 70. kwa kweli uyu dada nyimbo zake zinakuwa na uvutiyo.
  katika iyi album yake ya kwanza,kunanyimbo ambazo ukizisikiya zina kuweka katika hali ya kimaombi,kwa hiyo,mimi binafsi,ninasihii uyu dada,ajikaze kabisa asibandiliki,aendeleye na hii hali ya huu utungaji;hasa zaidi ninamuomba,asivutiwe na mambo ya vipodozi.
  Wahundumu wengi katika wa nyimbo wana anza sasa mambo ya vipondozi na kujipamba na hiyo hali inasababisha watu wanunuwe tape zawo si kwa ajili ya kusifu na kushukuru Mungu,bali ni kwa ajili ya kuangaliya mavazi ambayo mwimbaji amevaa. ùiùi ni ùkongomani

  mimi ni mkongomani, ni naishi bukavu, na mara kwa mara nipo uvira kwa shuhuli za maisha.
  namba zangu ni +243997765630,+243816315954

 71. Kwa keli dada Shusho unapendeza sana hasa unavyomtumikia Mungu kwa moyo wako wote huwa nafarijika sana na nyimbo zako unazoimba. AKSANTE SANA NA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI

 72. Kwanza niwashukuru sana wenzetu wa StrictlyGospel.com mnafanya kazi kubwa kwa mtandao wenu huu kutuunganisha. Tunafurahi kusoma na kupata habari za Mungu kwa Kiswahili, Mungu awabariki sana.

  Kwa wale wote wanaohitaji nyimbo za Christina Shusho, ukiwa Ughaibuni (Ulaya, Marekani na kwingineko nje) wasiliana nami Henry Elisha kupitia mhenry0909@yahoo.com ili nikufahamishe namna ya kupata nakala halisi toka kwa wasambazaji.

  Mimi ni Kaka wa mme wake Christina na niko hapa Marekani. Ninashangaa kuona watu wanaouza nakala zisizo halisi (nakala za kufyoza), hasa hapa Marekani. Hii ni makosa na kuwarudisha nyuma wasanii wetu. Wasanii wengi wa injili hawana wafadhili na wanatumia kiasi kidogo walicho nacho kutuletea nyimbo hizi zinazotubariki sana. Hebu tuwaunge mkono katika kazi ya Mungu wanayoifanya, na tuipeleke mbele injili. Mungu awabariki.

  Kwa walioko nje bado nina DVD copy chache za Unikumbuke na Kitu (PAL System tu), ukiwasiliana nami, tutaambiana namna ya kutumiana. Mungu awabariki.

 73. Kwakweli ccta shusho unaimba ktu chenye kugusa nyoyo za watu. mungu azid kukupa nguv. Kama hutojali naomba email adress yako. Niko Boston Mass- USA

 74. Shusho May God bless you you. Your songs has realy changed my life. My you be covered by Gods blood. be blessed

 75. shusho,may God bless you abundantly,your songs are truly inpiring I love them.
  may God be with you always as you continue serving in his vineyard.

 76. bwana yesu asifiwe sana!
  dada C shusho ubarikiwe sana.ninakuwa na barikiwa na
  nyimbo zako sana tena sana.ukazane kumutumikiya
  Mungu nivizuri sana!john12:26 Romans14:17-18,

  psDavid niko Norway, Mungu akulinde!

 77. May God bless Shusho for such a wonderful and anointed singing. Personally am so blessed by the entire album “UNIKUMBUKE”. Thanks and may God keep lifting you to minister into peoples’ souls like you’ve done to me.

 78. Niko Kenya na nimepata Cd Yake Christina Shusho. Nilisikia tu Kwenye Radio Na hata sikuwa najua ni nani anayeimba. Lakini siku moja nikaenda music store. Nikawa natafuta tu Gospel CD fulani Lakini vile nilisikia Unikumbuke nikasema hata hiyo ingine inaweza kaa kama ipatikani. Hakika inabariki sana. Uimbaji wako dada ni wa kiroho, Endelea hivyo and the simplicity you potray wow!. May God bless you abundandly.

  Mama Deno. Eldoret

 79. hallow; wapendwa katika Bwana, sina budi kumtukuza Mungu, aliyempa kipaji huyu dada , nasema Mungu ambariki. Nabarikiwa na nyimbo zake, nabarikiwa na jinsi anavyoimba kwa utulivu na upako (hakurupuki)pia ninabarikiwa hata na uvaaji wake kama dada ALIYEJAA KWELI YA KRISTO NDANI YAKE.MUNGU AMBARIKI.

 80. Mungu awabariki sana, kwani ni mizuri kama nini miguu ya hao wahubilio habari nzuri (njema). Amina

 81. Nimapata nafasi ya kusikiliza nyimbo za Christina, nikakubali ujumbe wake nimefurahi sana kupata nyimbo zake through internet. nakutakia kila la kheri dada na Mungu akubariki sana. Achana na kusukilia kupambanishwa na wanamusic wengine that does not make any sense. kusanya nguvu na urudi na album nyingine bomba zaidi. tunakupenda

 82. Praise lord! kweli dada Christina unanibariki na nyimbo zako; wimbo kama Mungu wangu, naona pendo, na E bwana umenichunguza na kunijua. mungu akubariki sana keep it up

 83. JINA LA BWANA LIBARIKIWE! SIFA NA UTUKUFU ZIMRUDIE wakati mpendwa wetu dada C.Shusho aimbapo!
  Ni uimbaji wa kipekee. Mungu akubariki dada kwa nyimbo zako zinigusazo mno. napenda sana nyimbo kama NAONA PENDO, E BWANA UMENICHUNGUZA, NENO NK

 84. I thank God for this lady !I have been using her songs during my prayer sessions and have got fruitful results.Songs like NATAKA NIKUONE YESU,UNIKUMBUKE,E BWANA UMENICHUNGUZA,NENO.realy her songs are highly annointed ones.
  Just listen to them attentively, how they minister and take your innermost before God and proceed into your prayer.Oh! incredible ! GOD BLESS YOU ABUNDANTLY SISTER ! Long LIVE!

 85. NOTHING IS IMPOSSIBLE TO THE SONS’ AND DAUGHTERS’ OF THE LORD LUKE1:37-

 86. MUNGU AKUBARIKI SANA DADA. NI MAOMBI YANGU MUNGU AKUFANIKISHE KATIKA MAMBO YOTE. NAKUTAKIA USHINDI KATIKA MAMBO YAKO, AKUINUE KATIKA KATIKA KILA MPANGO MWEMA. AMINA

 87. Kwa kweli dadangu Mungu akubariki sana, na nazidi kukuombea Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi. ktk huduma yako. maana kanda yako ya Unikumbuke imenibariki sana kila siku huwa nakuja nayo ofisini. Stay blessed my dear sister.

 88. Mr Charles Magige and the rest,.Mr Shusho is currently in UK.You can contact him through his e-mail address for CDs,and DVDs.
  Mr.Douglas Haadinke and the rest.The VCDs and DVDs with translation are underway.They will be out soon,so be ready for your copy.GOD BLESS ALL.

 89. napenda sana nyimbo zako, Mungu aendelee kukubariki,napenda hasa wimbo wa ‘Baba yangu’ Mungu aendelee kukutia nguvu.

 90. Hi Friends,

  thankx for knowing that Shusho a blessed lady, who glorifying Lord through singing.

  God wants the kingdom of heaven be known! am I right? Amen.

  I love her, and you all.

 91. Ubarikiwe sana dada! sina neno lingine la kukwambia nikisema mengi nitaharibu kwa jinsi unavyo nibariki na nyimbo zako.

 92. Kwa kweli ikiwa kuna waimbaji wanaowabariki katika huduma zao, dada Shusho unanibariki. Mungu akuinue na uwe mnyenyekevu.

 93. i realy love shusho napenda anavoimba ana sauti nzuri sana pia nyimbo zake zina message nzuri sana.hongera sana dada.Napenda sana ule wimbo wa unikumbuke cause ndio nimepata nafasi ya kuisikiliza ni nzuri sana uwa nasikia raha sana napoisikiliza.Mi niko Bradford Uk sijui nitapataje iyo album ya unikumbuke.

 94. Kwa kweli huyu dada anatumia vizuri kipaji alichompa Mungu, nampongeza kwa uzinduzi wa album hapo kesho.

 95. Jina la Bwana Yesu litukuzwe’ kwa kweli nabarikiwa mno, tena sana na nyimbo za dada Shusho, naona Roho Mtakatifu anamwongoza na kumfundisha kuimba,hongera mtumishi ,Yesu amekuita na umeitika,huduma hii ni njema sana.
  VCD ya Unikumbuke inatoka lini,tunaisubiri kwa hamu.

 96. Kanda ya huyu dada ya UNIKUMBUKE naisikiliza kila cku kwenye gari. Napenda sana maana anahubiri neno sio “maneno”. Ubarikiwe dada na endelea kumtumikia Mungu.

 97. Dada Shusho mungu wa rehema akubariki sana. Nyimbo zako zimenibariki sana haswa kwenye kada ya unikubuke. For sure they are annointed songs God Bless you sister and continue that way.
  Pastor Jim Nyamu
  jim.nyamu@acc.or.ke

 98. Dada Shusho ni Mtumishi wa Mungu hasa katika hilo eneo la uimbaji.She is real annointed because it is clearly manifested through her annointed songs.Kaa zaidi uweponi mwa Mungu dada ili Mungu akupe nyimbo nyingine nzuri zaidi,BARIKIWA!!!!

 99. Ninampenda sana dada Shusho kwa nyimbo zake zilizotulia zinazoshusha uwepo wa mungu na kufariji sana mungu akubariki na akutangulie katika huduma yako

 100. jamani kama kuna mwimbaji anakonga roho yangu basi ni huyu dada shusho!!yaani nampenda..ana nyimbo nzuri sana,je cd zako zimetoka?

 101. Napenda sana jumbe zilizoko kwenye nyimbo zake, ni jumbe zenye maneno mazuri. Mungu amzidishe katika utakatifu na katika huduma yake pia…
  Amina!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s