Ritha Chuwalo

Ritha Chuwalo ni Mtangazaji kutoka WAPO radio 98.0 Fm, anaendesha kipindi cha PATAPATA pia ndiye muisraeli nambari 2 katika kipindi cha IJUE ISRAELI akiwa na Elibariki Minja pia ni MC.

Advertisements

14 thoughts on “Ritha Chuwalo

 1. where are you Madamu rita since long time i didn’t hear your voice please what happed to you is God uplifted you to the higher level ?…..

 2. Dada ritha mungu akubariki sana kwa kipaji ulicho nacho big up sana jamani

 3. Ritha sasa ni wakati wa wewe kwenda BBC, ukakae meza moja na akina Sulma Kasim, watu wengi duniani watapenda kukusikiliza.

  Lakini pia unaviutani vyako fulani hivi unapokuwa studio navipenda sana. Huwa vinanikumbusha enzi fulani za utoto.

  Pia napenda WAPO radio wanavyofanya coverage ya habari zao, so detailed.

  Ritha u are so sweet to listen to, so sweet!!!!

 4. Dada rita nimekuwa nikikusikiliza kwa miaka mingi nasema kweli nakupenda sana tena sana.namuomba mungu afungue macho yako unione ninavyokupenda.mungu ni shahidi wangu

 5. HONGERA SANA DADANGU,UNA KIPAJI CHA HALI YA JUU SANA,ASHUKURIWE MUNGU KWA KUWEKA KIPAJI KAMA HIKO JUU YAKO.NI MCHESHI NA MCHANGAMFU,PIA UNA SAUTI YA KIPEKEE,SAUTI YAKO HUNIFANYA NITAMANI KUKUSIKILIZA MUDA WOTE UWAPO HEWANI,HAICHOSHI!,NA ZAIDI YA YOTE NI KICHEKO CHAKO,KWA KWELI NI CHA KUMTOA NYOKA PANGONI.HUWA NATAMANI NIKUSIKILIZE UKICHEKA MUDA WOTE,SIPATI PICHA TABASAMU LAKO LIKOJE!!?,UBARIKIWE SANA DADANGU.

 6. Kweli Rita, Umepata neema kuwa na sauti nzuri ya pekee! inafanana na Yule mama anayetangaza Sauti ya Ujerumani Dochivele.

  Tunampa Mungu utukufu wake kwa kugawa sauti tofauti tofauti.

  Hongera.

 7. Ritha Naipenda yako mpenzi, natamani hata kuiona sura yako nimekuona upande upande. tafadhali niangalie basi. Mimi Mama B. nipo Yombo Buza. Ubarikiwe kwa kazi yako njema

 8. some people were born to a bless others, my sister Ritha your voice is a blessing to me. May God bless you. amen

 9. my sister may GOD prosper u , preserve u , protect u, and take u to your destiny.amen!

 10. yaani! sauti yako haifanani kabisa na umbo lako, you soo slim and your voice is big and atrractive, please put a big picture over there some of us we don know your face, alaf kama tukikuhitaji kama MC kwenye sherehe tutakupataje?

 11. Sauti yako mtumishi lazima shetani akimbie. Kweli Ritha Chuwalo napenda jinsi unavyoishambulia microphone. Nitafurahi ukinitumia habari za Israel kwenye e-mail yangu. Tuko pamoja dada Ritha.

  Nahshon Kamugisha

  Finland

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s