Mafanikio ndani ya Kristo – Mgisa Ntebe

mgisa-mtebe

(Pichani, katikati aliyevaa miwani)

Mwalimu Mgisa Ntebe anapenda kuwaalika wasikilizaji wa Radio kumsikiliza akifundisha kwenye kipindi cha MAFANIKIO NDANI YA KRISTO kinachorushwa kila Jumatano kuanzia saa tatu mpaka saa nne usiku kupitia Upendo Radio FM 107.7

Advertisements

29 thoughts on “Mafanikio ndani ya Kristo – Mgisa Ntebe

 1. Naendelea kusema, Mwalimu tunakuombea sana katika huduma uliyopewa ya kufundisha. Ratiba yako ya Mtwara tunaizingatia na kusema bado tunashauku kubwa. Damu ya Yesu ikufunike kila mahali katika utumishi pia familia yako ibarikiwe katika Jina la Yesu Kristo.

 2. Asante mtumimishi wamungu kwa mafundisho yako Mungu akubariki na kuikuza Huduma yako samahani mtumishi ninaomba unisaidie ikiwa tukiitaji kufundwishwa ktk fellowship yetu je tutapata kibari? Kama tutapata kibari namba ya cm yangu hii 0767293842 samahini hata kwa msg utanifahamisha feloweshp yetu tunapita kwenye kipindi kimoja cha jaribu (yaani tunpitia kwenye jaribu la aina moja) nahatujui ni kwanini pia tunakiu sana na neno la Mungu lkn bado hatujapata Mwalimu wa kutufundisha naomba utusaidie mtumishi!!!!!”

 3. Mungu wa baraka akubariki wewe, familia yako, team members wako wote. Nakuombea uzidi kusonga mbele. Kuwa pamoja nasi live Mtwara kwa siku 8, kweli tumebahatika sana. Moyo wangu wamwadhimisha BWANA, nawaombea sana mzidi kutumika, Amina.

 4. Ninabarikiwa sana na mafundisho yako mwalimu…Mungu aibariki huduma yako na kuitangulia familia yako.

 5. ur a wonderful teacher indeed,be blesed great servant of god.kazi yako ni njema kwa ufalme wa Mungu

 6. Namshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kipawa alichoweka ndani yako.Mungu akutangulie katika kila jambo ulilokusudia katika huduma.Tunamshukuru Mungu nimebarikiwa sana na somo lako ulilolitoa kijitonyama jmpl mungu azidikukubariki sana

 7. Congrats Mtebe, mimi nimemjua Kristo na kuonja utamu wake kupitia mafundisho yako, nadhani utafute sindano umchome kila mtu kuhusu mambo ya kufanya ili kufanikiwa, si maombi tu na sadaka sahihi, WATAJUAJE SIPOWAFUNDISHAAAA, JAMANI TAFUTENI CD ZAKE NA NOTES MTAMUONA YESU MAISHANI MWENU, ni FOMULA TUUUUU UWEKE NINI NA NINI UPATE NINI, AM SO EXITED

 8. be blessed my father 4 ur ministry im so proud 4 ur gospel,one day i was somewhere so when introduced aft finshed smbody told me dat do u knw mgisa mtebe,akaniambia hv ndo wale wakina mtebe,alinhubiria akanifanya nikaokoka wkt 2kiwa sengerema sec. bt 2day ni m2mishi mkubwa sana. ur son john elias mtebe

 9. Shaloom Mjoli wa Bwana.
  Namshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kipawa alichoweka ndani yako.Mungu akutangulie katika kila jambo ulilokusudia katika huduma.Tunamshukuru Mungu kwa kuamini kuwa atakupa kibali kufanya Semina Makongo juu.
  Ubarikiwe

 10. Thanx Mwalim mgisa kwa ajili ya mafundisho yako ndani ya chuo Kikuu cha Tumaini tawi la Dar es salaam ulitubariki mno Mungu akubariki na tunatamani kuendelea kukutumia tena kadri Mungu atakvyokuwezesha. Hongera kwa Kumpata shekaina

 11. Nashukuru mungu kwa kukupa nafasi ya kuja Makongo juu mwezi ujao…tunazidi kukuombea…

 12. Hakuna kingine zaidi ya kumshukuru ALFA na OMEGA kwa kipawa ndani ya mwalimu Mgisa.Nashukuru kwa kuwa mungu amekupa kibali cha kuja tena makongo juu…Mungu akusimamie uweze kufanikiwa…

 13. My personal life has been inspired with your personal testimony, you have been such a great great motivator of my Spiritual life.MAY GOD BLESS U SO MUCH MY BR.

 14. am so blessed with your teaching mgisa,MUNGU AKUTIE NGUVU UENDELEE KUTULISHA NENO LAKE,BE BLASSED ONCE AGAIN

 15. I have been blessed by your dvd on Spiritual Warfare NO. 1 – 8, I have just finished No. 7 and I want to say, I wish I was in Tanzania and be present at your services. I have been worshiping with you by using your dvd programmes. God is indeed amongst your spirit and you are His vessel. Glory to Him

  Elvida

  ps. Please let us know if you come to England

 16. be blessed my brother,mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache, its glorious if u’ve took the step to preach the good news…bless u

 17. Mungu awabariki sana kwa yote myafanyayo katika
  huduma kumtumikia Mungu wetu aliye hai.

 18. Mungu akubariki sana mwalimu nimekuwa nikifuatilia vipindi vyako na kubarikiwa sana na mafundisho yako.
  Mungu akupiganie na kukuimarisha ili udumu katika Neema yake.

 19. You are blessed Mgisa, we thank God for you and others and your work for the Lord.

 20. I pray to the Lord so that he can give you power to continue preaching His message. Be empowered into prosper in your marriage. AMINA

 21. Congratulation for that wonderful marriage.May God Bless and give you long life.

 22. Wapendwa, Yesu atukuzwe sana.
  Nimefurahi kuona comment zenu and nimetiwa moyo sana kwamba kazi niliyopewa na Mungu, inashuhudiwa vema katika mioyo ya watu. Naamini inazaa matunda mazuri ndani yenu. Ninao issue tatu au nne hivi ningependa kuwajulisha au kuwashirikisha.

  1. Kipindi chetu cha MAFANIKIO NDANI YA KRISTO, kinachorushwa katika UPENDO FM Radio 107.7, tumekihamisha from Jumatano 9pm-10pm to Jumanne at 9pm-10pm ili kuondoa mgongano na Mwl. wangu/wetu Ndg. Christopher Mwakasege ambaye pia anarushwa na WAPO Radio, kila Jumatano 9pm-10pm. So, watu wengi walinipigia simu na kunitumia sms kuniomba kukihamisha kipindi changu, ili wasiwe na majaribu ya kutojua asikilize kipi as vyote ni muhimu na wanavipenda. Aidha, nawashukuru wote mnaofanya juhudi za kutusikiliza kwa njia ya radio. Mbarikiwa sana na msonge mbele katika kujifunza na kuukulia wokovu. Incase Mungu anakupa neema ya kutusaidia kulipia vipindi hivi, tuma sms kwangu (+255-713-497-654) au niandikie email, ili nikuambie namna ya kushiriki katika kuieneza injili kwa ‘sadaka’ yako ya upendo. U might, want to serve God, but u dont have that time au talent, but thru your offerings, U get the same fruits of righteousness.

  2. Kwa wale wanaojiuliza mimi ndio yuleee au mwingine na niko wapi. In short;
  Yes, nilisoma OldMoshi sec, nikiwa katibu wa UKWATA Taifa. Nikasoma Mbeya Lutheran Teachers College, nikawa President wa UKWATA kitaifa. Then nikajiunga na Mzumbe University (Economics) na Sasa nafanya kazi as Economic Planning Officer na kanisa la ELCT (KKKT) – Dayosis ya Mashariki na Pwani, hapa Luther House – Azania Front.

  3. Victoria and I were married just this October 11th. It was wonderful. I have alot to share from my personal experience of Friendship, Love and Relationships. It wasnt easy, but thru it all, it was good to know. Today, I can look back over my sholder, as see how God took me thru all that and as I look ahead, naona jinsi anavyoweza kutumia experience yangu kusaidia kujenga vijana katika kukua in this globolised world of challenges.

  Aidha, tunawakaribisha kutoa maoni yenu ili huduma yetu ya mafundisho iweze kuwa nzuri na bora na kumpa Mungu utukufu.

 23. Nimemsikiliza jana upendo Fm, halafu jana lake nikawa sikulipata sawasawa, nikajaribu kumtafuta kwenye internet, kumbe nikawa natumia jina silo sahihi. Mungu mkubwa nikampata hapa strictlly gospel.

  Huyu ni mwl. ana mafundisho mazuri, ningependa nisome kazi zake nyingine, je anapatikana wapi?

 24. shalom!
  je mwl huyu anapatikana wapi?namfahamu vizuri sana ni mwl mzuri kwa wale tuliokuwa pamoja Mzumbe University 2004-2007wataniunga mkono.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s