Tunaalika habari na matukio

s

Bwana Yesu apewe sifa! tunapenda kualika habari mbalimbali kutoka mikoani ambazo zitaiwakilisha mikoa husika na pia matukio makubwa ya injili yanayotokea mikoani katika picha. Tunahitaji shuhuda mbalimbali, watumishi wa Mungu, vikundi mbalimbali vinavyojishughulisha na kazi ya Mungu nk.

TANZANIA KWA YESU!

Mungu awabariki!

Advertisements

2 thoughts on “Tunaalika habari na matukio

  1. kama mtu yeye ndiye aliyekukosea halafu hajakuomba msamaha nitawezaje kusema nimemsamehe wakati hata hataki tuyamalize? mimi ninakinyongo naye lakini hataki tuyamalize yataishaje? naomba ushauri

  2. Bwana Yesu apewe sifa! ninawashukuru sana, nitajitahidi kuleta matukio ya Injili, mimi niko Musoma Nyasho

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s