Yesu nakupenda – Mgendi

jenny

Waliokuwa wakisubiri video ya YESU NAKUPENDA kutoka kwa mwanamama Jenniffer Mgendi inapatikana madukani, akiongea na Strictly Gospel anasema pia filamu ya TEKE LA MAMA iko sokoni, anasema utapata mafundisho mazuri yatakayokufanya usonge mbele.

Advertisements

3 thoughts on “Yesu nakupenda – Mgendi

  1. Mtumishi Bwana Yesu asifiwe na pole sana kwa kazi ya bwana ,mtumishi mie ni mwanafunzi CHUO CHA MISITU OLMOTONYI nimekuwa nikibarikiwa sana na nyimbo zako za injili kiasi kwamba imenifanya nikaendelea kuwa mwalimu wa kwaya ktkt chuo chetu na nimekuwa nikikata tamaa sana katika kazi ya uimbaji /labda nisaidie mawazo maana nimefikiri sana ni nini lakini sijapata maana nimekuwa nikipata makwazo mengi sana kiasi cha kukata tamaa.
    Kazi njema.

  2. ningependa nyimbo zako kutoka kwa bayimbaji banayimba nyimbo za bwana ok by. thank you so much I am in american .I came from burundi …………..I like Tanzania

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s