Unikumbuke – Christina Shusho

Advertisements

37 thoughts on “Unikumbuke – Christina Shusho

 1. my dear sis the song ee! bwana umenichukuza n.a. kunijua is a total testimony in ma life,is like I met u n u sang it.oh!! I listen to it n ifeel how much God has been taking care of me. it’s always a blessing to me.coz al I thought of when I had no money, finally God accomplished within the shortest time possible.the song renews my faith every minute n I’m really humbled to be a child of God. b blessed sis as you continue with the ministry.

 2. I feel touched and fresh in the Lord whenever I hear your voice which is very distinct. For sure God is using you in a mighty way. “Mungu akiwa upande wetu” comforts me each and every day.

 3. nyimbo zake zinanibabanga.they tek me high, i always feel like i in heaven already. hi song ya “mungu akiwa upande wetu…” hi hunijazz 2 sana. christina shusho niliomba uproduce nyimbo ya title “mama”. plz do so

 4. Bless you Sisiter,Iam Kenyan brother living in U.K. Every morning when going to work or evening returning home,i have to listen to one of your songs.You bless me every day.God bless you and use you mightly.

 5. shalom mtumishi.Nazid kukupongeza kwa kazi nzuri unayofanya,Mungu aendelee kukutunza.zaid mwombe Mungu kwa huduma yako itambulike na Mungu,ili siku moja ukavikwe taji ya ushindi,naamin Mungu atakusaidia.be blessed.

 6. Wimbo wa shusho unikumbuke unanifanya nilie maana una meseji ambazo ukizitafakali kiumakini huwa nashikwa naushuku nikimuomba mungu……………

 7. l really congraturate christina shusho for her job performanceeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 8. Ubarikiwe dada Chritina nafarijika sana nikisikiliza nyimbo zako. Mungu akubariki sana uendelee kumsifu na kumwabudu.

 9. Mbarikiwe na bwana wachangiaji wote na waimbaji pia, mimi naomba nitoe ushauri kwa waimbaji wote wa Tanzania , wawe wazi kwa wenye studio wanaotengeneza hizo nyimbo baada ya shooting , nikiwa na maana kwamba iwapo watataka picha zichanganywe na za mitaani , (WAWAAMBIE) basi ziwe za kawaida, wakiangalia na mazingira ya wimbo wenyewe ili kuepusha kupunguza upako wa wimbo, naona jambo hili wakilifanyia kazi tutapiga hatua moja mbele, maana hawa watengenezaji wanachojali ni pesa wamelipwa basi ilimradi picha iendane na ujumbe wanapachika chochote tu.
  BARAKA KWENU NYOTE.

 10. Kazi safi ya usanii na nyimbo yenye kufariji na upako Mungu akubariki sana dada shusho kwa kazi safi lakini hapa pa mwenzi yule kijana anonekana mwenye uchu mwingi,kidogo hapa panahitaji ukarabati .Barikiwa sana dada.

 11. Dada Christina Nyimbo zako za findisha mengi na utabarikiwa sana.Mungu akubariki sana.

 12. You are such wonderful and in your worship many are blessed. God has gifted you with a wonderful voice and may it ever remain to glorify him. Amen.

 13. Manayochangia yanaweza kuwa kweli, ila cha muhimu zaidi ni ujumbe mzima wa wimbo wenyewe, kuliko video yake… mungu awabariki…

 14. Kwa kweli dada hupo juu na nyimbo zako kwani ninapokuwa ninahuzuni au ninamawazo fulani ninapo sikiliza nyimbo zako huwa nafarijika sana mungu akuzidishie sana.

 15. your songs are encouraging and spiritual.In the song unikumbuke i coment on kijana huyu ataka mwenzi,mavazi ya mwenzi sio ya kufurahisha.Kuangalia hiyo video pamoja na wazazi ni aibu kidogo kama mkiristo.pongezi kuonyesha wale mnaoimba nao,kwani wazanii wengi wanajionyesha peke yake kwa audio/video bali waimbaji ndani ni wengi,tena mavazi yao sio kama ya wakristo kwani wanavaa mini-skirts.Mungu akubariki uendelee zaidi Amen.

 16. Bwana yesu asifiwe sana mimi ni mtoto wa Bishop Leonard Daffa nina furahi wakati ninapo sikiliza nyimbo za dada christina hata hapa hivi nipo nasikiliza nyimbo zake mimi sinamengi ya kusema ila tu kusema Mungu anakupenda na kaza mwendo usisikilize watu wanavyo sema bali wewe msikilize roho mtakatifu aliye ndani yako nihayo machache Mungu akubariki AMEN

 17. Dada shusho endelea na kazi ya mungu vizuri watu wanabarikiwa na nyimbo zako.

 18. Yesu wangu jamani huu wimbo wa dada shusho looooo!WAKUABUDIWA NI WEWE MUNGU HUU WIMBO Umenigusa sanaaaaaaa.songa mbele mamy

 19. I would like to congradulate you for agreat production Wa kuabudiwa,sincerely its uplifting work well done. The song is great worship to our All Might God. Keep up and may God greatly bless you. I would like to invite you and your team for Church planting
  Please get in touch with me

 20. Dada shusho Mungu akubariki,ninaposikiliza nyimbo ya unikumbuke nabarikiwa sana.

 21. Iam one of the people who have succeded to listen to her worship and caregeous songs,sincerely i admire them and my life has generally changed,i would like to encourage her to continue with her carrier endlessly and passionately,God bless her,!!!!!!.
  FROM STANLEY-MAKERERE UNIVERSITY

 22. I am very pleased with the proposed songs in the album Unikumbuke of Christina Shusho. These songs lead us in a great worship our God, especially the song Wakuabudiwa.
  May God bless Christina for those songs and grant her more inspiration for future productions.
  Has there been any other albums after this ?

 23. All in all, I do aprreciate the performance done by Christina Shusho, starting from audio to Video edition. You are leading sister, be blessed!!!!

 24. Bwana Yesu asifiwe kwa kweli mimi wimbo wa unikumbuke uliombwa na christina shusho. unanibariki na kunifanya nibubujike mbele za Mungu.Shida inajitokeza pale ninapoangalia video yake na hasa katika kipengele ambacho karibu wapendwa wengi mmepatolea maoni kwamba hapabariki, sehemu ya kutafuta mwenzi. kwa hiyo ninachoweza kusema dada Shusho ni kuchukua haya maoni ya wapendwa na kuyafanyia kazi ili wakati mwingine jambo hili lisitokee tena kwani linapunguza kama siyo kuondoa kabisa upako ambao ulikusudiwa kufika kwa watu. UBARIKIWE DADA NA MUNGU AKUWEZESHE AMENI.

 25. She is a very great Artist ,are songs are encouraging and very spiritual i would like to download some songs of hers does she have another album i would want to know more about her any one who reads this please contact me on shaga36@yahoo.fr

 26. Is not that she meant anatafuta mwenza kijana yule anatamaa so anamwomba Mungu amkumbuke

 27. Bwana Yesu asifiwe dada Christina, nitafurahi na kujisikia amani kama ukituandikia chochote kuonyesha kuwa unasoma hizi meseji, asante ndugu John Paul na wenzako kwa kulitoa dukuduku langu ambalo limenisumbua sana kwa baadhi ya wasanii wengi wa Injili ambao nyimbo zao sipendi kuziangalia kwenye video zao ambazo zinakuwa na vitu vingi vya aibu! La kwanza likiwa ni mavazi hasa wasanii wanawake tunaowatambua kama jeshi kubwa! Jamani siwezi kuongea yote kwenye maandishi, lakini tubadilike. Mungu akutunze dada Shusho.

 28. Kwa kweli hata mie sikufurahishwa sana na kile kipande cha wimbo pale kijana anpoonekana kuwa na mfadhaiko fulani eti ndo anatafuta mwenzi!! Nimekuwa nikipata aibu sana napokuwa nawaonyesha wageni wangu hiyo VCD maana wengine hudhihaki kwa kusema eti na Walokole pia “mpo”.
  Naomba dada Christina siku nyingime kidogo uwe makini zaidi.

  Godbless You! Godbless You! Godbless You Christina!!

 29. Pia mimi kwa mda mrefu nimekuwa nikijiuliza maswali mbona nyimbo nikizisikiliza kwenye audio zinanibariki sana ?ikitoka kanda yake basi dvd sibarikiwi tena kuna maana ya ule wimbo inapungua. nitatoa mfano wa mwanamuziki Fanuel sedekia mpaka dvd yake inanibariki maana alicheza kwa utulivu wa kuabudu na kusifu kwenye ile kanda ya NINANI KAMA WEWE BWANA.ninaomba wanamziki wa injili waige huo mfano kuweka vioja vingi huwa huo mziki unapunguza maana ya ujumbe.

 30. Ndugu John Paul nakuunga mkono kwa ushauri wako wa kujenga sana, eneo hilo pia lilinipa maswali nilipoliona.

  Binafsi nimekuwa nikipata shida haswa ninapotazama miziki mingi ya Injili ya audio visual. Niseme hivi; ninapousikia mziki katika audio unanibariki sana kutokana na maneno yenye kujenga yaliyopo kwenye nyimbo nyingi amayo interference yake ni kidogo. Ninapokuja kuusikiliza wimbo ule ule na kuona uchezaji wake nahisi kupungua kwa annoint ya maneno yaliyoko kwenye wimbo ule ule. Tatizo ni hili, baadhi ya wachezaji wanaonekana hawako serious na kile kinachoimbwa (Yumkini hawasikilizi yale maneno na kuyahusisha na matendo wanayoyafanya). Nilipokuwa natafakari nikaona yumkini aliepewa ujumbe ni mwingine na hawa wachezaji hawajui siri au kusudi la Mungu kuutoa huu ujumbe(Ni mawazo yangu tuu)

  Lakini pia ubongo wa mwanadamu ni wa ajabu sana, attention ya mtu inaweza kubaki kwenye matendo yanayoendelea, mavazi yaliyovaliwa, mazingira ya upigaji picha na rangi mbalimbali zilizochanganywa kwenye picha kiasi kuwa maneno yanakosa kipaumbele. Mtu anaweza kuungalia mziki wa Injili mwanzo hadi mwisho ila ukimuuliza amejifunza nini, atakuambia matendo yaliyokuwa yakifanywa na wale wachezaji tu, mazingira ya picha, style ya uchezaji na wala sio ujumbe uliokuwa kwenye muziki wenyewe.

  Kwa ushauri wangu naomba tuwe makini sana na visual pictures, zisijekutuundoa kulijua kusudi la Mungu kupokea ujumbe aliokusudia.

  MUNGU AWABARIKI WAIMBAJI WOTE WA INJILI NA AZIDI KUWATUMIA.

 31. Wimbo huu wa Unikumbuke ni moja ya nyimbo ambazo zimependwa sana na wasikilizaji. Lakini kwa upande wa video kuna kipande fulani, clip, pale kwenye maneno yanayosema ‘na kijana huyu anataka mwenzi’ mimi naona hapakuwa na umakini wakati wa kutafuta picha ya kufaa katika maneno hayo. Yule kijana anayeonekana akitafuta mwenzi ni jamaa mmoja yuko barabarani halafu mbele yake kuna mdada anatembea kisha yule jamaa akawa kama amepatwa na mfadhaiko baada ya kumuona yule mwanamke!

  Frankly speaking, mwenzi wa maisha hatafutwi hivyo barabarani. Na wala mtu anayetafuta mwenzi the christian way hafadhaiki namna hiyo kwa kuangalia wapita njia waliovaa nguo za aibu!

  Ushauri wangu kwa dada Christina Shusho na crew nzima ni kwamba next time you do the shooting muwe makini msije kuharibu maana ya wimbo wowote kwa kuweka picha zisizoendana na maadili yatokanayo na Neno la Mungu!

  Nakutakia huduma njema.

 32. Njeri
  The songs are very encouraging and uplifting, especially the unikumbuke one. Have never heard the songs played on Radio. Got the CD from a friend. God bless you

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s