Fahamu asili na maana ya jina lako!

Ni vizuri kuelewa jina lako na maana yake, kuna mambo mengi hukutokea kwa uzuri au ubaya lakini yawezekana na jina lako linachangia au asili ya jina lako …Kuna wengi wetu wamepewa majina yao kutoka kwa mababu zao ambao walikua na roho fulani labda ya umasikini, uzinzi, magonjwa n.k. Wengine wamepewa majina kutoka kwa waganga wa kienyeji au mizimu, ndio maana kuna vifungo fulani unavyo kwenye maisha yako. Jina lako linang’ang’ania ubaki pale pale, hakuna kusonga mbele, wewe ni wa hivyo hivyo au unajimilikisha magonjwa  fulani kwasababu bibi au babu zako walikua nayo. Mfano unasema mimi ugonjwa wangu ni kisukari, TB au sie kwetu ndio ugonjwa wetu! nk

Jina lako lilivyo ndivyo ulivyo!

NABALI – 1Samweli 25:25 “Nakusihi, Bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani, Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma”.

Baadhi ya watumishi wa Mungu ambao majina yapo yalibadilishwa

YAKOBO – Mwanzo 32:26-28..”Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.  Akamwuliza, Jina lako n’nani? Akasema, Yakobo. Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda”.

IBRAHIM – Mwanzo 17:4-6.. “Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi, wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi. Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa, na wafalme watatoka kwako.”

Bila shaka unawafahamu wengi waliobadilisha majina yao na kubadilika kabisa kutoka mfumo wa maisha walikua wanaishi nawe unaweza kubadilisha jina lako au kuzuia nguvu zile zinazoambatana na jina lako zisiambatane na maisha yako Mithali 22:1..” Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu”. 

Nguvu ya majina mabaya tuliyopewa na wazazi wetu zisifanye kazi kwenye maisha yetu!

Zaburi 58:3..”Wasio haki wamejitenga tangu kuzaliwa kwao; Tangu tumboni wamepotea, wakisema uongo”.

Isaya 48:8..”Naam, hukusikia; naam, hukujua; naam, tokea zamani sikio lako halikuzibuka; maana nalijua ya kuwa wewe watenda kwa hila nyingi, nawe umeitwa mkosaji tangu kuzaliwa kwako”

Tukatae misingi mibaya ya majina yetu, tusimamishe kazi mbaya na kujenga majina yenye baraka na kibali katika maisha yetu. Barikiweni sana!

MD

370 thoughts on “Fahamu asili na maana ya jina lako!

 1. Nataka kumpa mwanangu wa kike jina na hilo jina napenda liazie na herufi A maana wa kwanza nilimpa angel huyu wa sasa napata shida majina ninayo yataeajia ni agripina na Adela sasa cjui maana zake ki biblia

 2. Doreen=anaetazama na kugundua mambo ya ulimwengu(dunia) kwa namna ya kisayansa

 3. Naomba maana ya majina haya.
  Eustace
  Elvera
  Elvie
  EEmeline
  Erlanda
  Esmeralda

 4. Habari za kazi,, samahani naombeni maana ya Jina Riana na Dativa, na kama ni la kike au la kiume

 5. Unaweza kuuliza kupitia sehemu yoyote. Hata kama ndiyo ungekuwa umeuliza sasa, tayari jibu ungekuwa umepata muda huu.

  Karibu sana ndugu Robson kwa swali lako.

  SG

 6. Ukwel nmdfrah kujua maana ya jina lanagu napenda kuwaasa wote wanao talajia kuzaa au kubaatiza watoto wao wawaandalie majina mazur na yenye maana nzuri

 7. Naomba kujua maana ya majina
  Costancia
  James
  Catherine
  Esther
  Samwel
  Dickson
  Deborah
  Andrew

 8. Martha=who becomes bitter, provoking
  Matthew=given, a reward
  Beborah=word, thing
  Samuel=heard of God, asked of God
  Abel=Vanity, breath, vapor

 9. nawashukuru sana plz naomba kjua maana ya majina..haya..juiieth, martha na Elias.

 10. THANKS AND I NEED TO KNOW THE MEANING OF THE FOLLOWING NAMES;DENNIS,DENNICK,HANNAH, EDSON,THOMAS,HARON,DEBORAH, POLINE MESHACK,JURIUS, ABEL ,SAMWEL, NA DULLUSIRAH.

 11. Naomba kujua maana ya 1 medard
  2 josephat
  3 good lucky
  4 bright
  5 leonida
  6 Editha
  7 susane

 12. Naomba kujua maana na asili ya majina leah john leonard anastazia helena leonsi avelina gasper theresia linus augustino eliya neema arsen theodorah

 13. nahitaji kujua maana ya jina Blandina , prisca , judith , stefano, jackline, Beatrice ,Elzabeth

 14. BLANDINA=Otherflying
  PATRICK=Abebae moto
  PARFFCT=A lonely man
  ADELA=Anaetegemea ulimwengu
  JACKLINE= Malkia wa urembo
  Jonas=Njiwa

 15. Naomba kujua maana ya jina mateo, mathew, matayo pamoja na uhalisi wa majina haya.

 16. mi ashukuru sana kwa kunijuza maana yamajina mbalimbali ninasema mbalikiwe.ila napenda kujua maana ya jina kalebo

 17. Edith=Anaejiswali
  Helen=Anaesikiliza
  Ethelbert=Anaekweza
  Dorotheus=Anaeimba
  Didier=Anaeongoza

 18. naomba kufahamu maana ya majina kama. 1,matrida
  2,calvin
  3,careen na
  4,festo au festus

 19. Wapendwa,

  Pamoja na umuhimu wa kujua maana ya majina yetu,lakini tuacheni uzembe na uvivu wa kutafuta taarifa. Ninyi ambao mnaleta majina mtafutiwe maana zake, ivi ninyi hamwezi ku-google mkapata maana ya hayo majina mpaka mtafutiwe?

  Huo ni uvivu wa hali ya juu, maana haichukui dakika tano kujua maana ya jina.Labda kama jina lako ni la kibilia sana kiasi cha kuleta ugumu kulipata google hilo waweza kutaka msaada wa wadao hapa. Lakini mtu unataka utafutiwe maana ya jina Jacksoni, Stella, n.k … huo ni uvivu!!!

  Tujikiteni zaidi kwenye mambo ya msingi yanayohusu ufalme!

  Samahani kwa wale nitakaokuwa nimewaudhi.

 20. Naomaba kujua maana ya majina yafuatayo;-
  Elimunata
  Asteria
  Kelvin
  Priscus
  Flora
  Joseph
  Felista
  Proches
  Derick
  Deogratius and
  Bonaventura

 21. Skuwah kufuangua ukurasa huu hapo kabla ila leo nimeelimika kwa mengi, nitaenlea kufuatilia. Mungu awabarki.

 22. Edward= Anaeng’aa
  Collina= Giza
  Christina=Anae nguvu
  Morris=Imara
  Moreen= Manukatu ya ardhi
  NELSON=Mtu anaeruka
  LILIAN= (Mtu wa kike) anaesonga mbele
  LEONARD=(Mwanamume) Chaguo la …
  Noella= (Mtu wa kike) anaegundua nafsi
  Reina= (Mtu wa kike) anaejiswali
  Raina= Malkia wa urembo
  Hillary=Anaemaanisha usawa
  Elian= Mwanamume wa fimbo, anaepiga
  Elieth=Anaekusanya

 23. jamani naomba jina zuri na renyesifa nzur lakike maana mbaka sasa sijatowa maamuzi yoyote birakupata jina nipya naomba ushauri wenukwa majina haya lipinizuri ? IRENE ,CAREN ,JACKLINE ,PRENCESS nahitajimoja hapo jaman …..

 24. Habari naomba maana ya majina haya
  1. Johnson
  2. Clinton
  3. Grace
  4. Christian
  5. Ferdnand
  Asante na Mungu awabariki sana

 25. Naomba maana ya majina haya;edith,ethelbert,dorotheus,cuthbert,didier,declan,damian,dagobert,blaise,birinus,caius,anselm,angela,aleksandra,alberiko,agathius na castory.

 26. NAOMBA KUJUA MAANA YA JINA JOSEPH NA MARY
  NA KAMA HAYO MAJINA WAKIOANA YAAN MKE NA MUME INAKUAJE?

 27. Briget=mwanamke moto
  Francis= Anaefichama
  Geofrey(angalia huko chini)
  Stella= Agunduae roho ya viumbe na vitu
  Charles= Anaetawala juu ya ardhi
  Alex=Alexandra=Anaesikiliza, anaejihoji
  Pendo=Penda ( ni sawa na Stelle)
  Judith=Sawa na Charles kwa jina la wanawake
  Hassan=(angalia huko chini)
  Frida=Frieda= Mkamilifu, uzuri wa milki za dunia(utawala)
  Beatrice=Anaevikwa nguvu
  Boniface=Mtu wasiwasi
  Benson= Anaetawala duniani
  Benard=Anaeishi dani ya ulimwengu mbili
  Richard(Angalia chini)
  Sophia(Angalia chini)
  Bonita= Anaebeba nyota nzuri
  Bonphace=(angalia Boniface)
  Jotham=Anetegemeza ulimwengu
  Pedro=Anaehukumu
  Josephine=Mke anaeweka siri
  miliana =strong
  SILIVESTA =(sawa Benson)
  Felista =Anaeamua
  Caren =Anaesonga mbele
  Maximilian= Anaengoja
  Lauriny = Wa juu juu
  RENALDA= Ajifichae
  Lina=Anaeamua

 28. Nimefurahishwa sana kujua maana ya baadhi ya majina ambayo sikuwa ninajua maana yake.Mungu akujalie wewe unaetusaidia kujua maana ya majina yetu,hongera na pole na shughuli hii nzito.AHSANTE.

 29. Nimefurahi sana kuona maana za baadhi ya majina , na ninaomba kujua maana ya jina VAILETH na VENANCIA

 30. Mungu akubariki mtumishi kwa kazi njema yakuelimisha ingawa wapo wanao kupinga lakini jua kazi njema sikuzote huwa na vikwazo ungeanzisha glob inayo zungumzia mapenzi nazan usingepata mpinzan Mungu akutienguvu kumbuka yesu hakutenda ovu hata moja lakin wapo walio mchukia ikiwa hivyo kwa mti mbichi sembuse kwa mti mkavu endelea kuwaombea wanaolipinga somo hili Mungu awape neema yakuijua sirihii somo hili ninalijua vyema mungu alitufunulia kanisan pia nina mdogo wangu ambaye ameathiriwa sana najinalake kitabia mpaka hapo nyumban amekua kero amepigwa sana lakini tabia imebak pale pale pia nipende kuwa kumbusha watu wanao pinga somo hili kuwa wapo baadhi ya watoto wanapo pewa jina fulan huanza kulia na kusumbua wazazi wanapo mpeleka mtoto huyo kwa mganga huelezwa kuwa mtoto huyo amekataa jina sasa jiulize mtoto mdogo ana akili gan ya kuweza kukataa jina sasa hapo ndipo ujue kuwa kuna roho ya jina fulan ndio inataka mtoto huyo abadilishiwe jina nayenyewe ipate haki ya kummiliki kupitia jina hilo

 31. may i know the meaning of the following names: stella,charles,pius,alex,pendo

 32. Lidya =Jina la kitongoji cha Asia
  Edmund= utajiri na ukingo
  Finehasi=Mtu aie na juhudi ya kufanya chochote
  SECILIA=Kipofu
  ALVIN=Yote ni rafiki
  KENEDY=Anabeba moto( hii ni jina ya Urusia)
  Elvin=Rafiki ya watu wote
  Papia=Papias= Babu
  GETRUDA=Uaminifu
  VENANT= Umekaribishwa
  Oliva=mzeituni

 33. Donald =Aliyepewa ; gift
  Robert(soma huko chini)
  Salome= Ukamilifu
  Anna=Neema
  Jenifa (soma huko chini)
  Janeth (soma huko chini)
  Maria ;Mariam (soma huko chini)
  Deogratius (soma huko chini)
  Roman =mkaaji wa Roma
  Valentina=Nguvu, robust
  Bonaventura(soma huko chini)
  Joseph(soma huko chini)
  Elizabeth(soma huko chini)
  ANDREA=Mwana,ume
  TIMOTHEO=Sifa ni za Mungu
  LUCIA=Mwanga (light)
  KATALINA=catherine=safi
  ANJELA=Malaika ; Mjumbe
  Wilson (soma huko chini)
  WENDELIN=mchungaji mdogo
  Abel=Ukungu
  Natalia=Siku ya kuzaliwa
  Deogratias(soma huko chini)
  Clarensi= briant ; clean
  GEOFREY(soma huko chini)
  Samwel=Aliyesikilizwa na Mungu
  Bryan=nguvu, heshima
  JAPHET=Yafethi= Yeye anapanua

 34. “Frank” maana yake ni “free man” ambapo kwa kiswahili ni “mtu (wa kiume) aliye huru”

  “Kadamu” unaweza kuwauliza wazazi kwa maana yawezekana ni jina la kikabila chako mbalo bila shaka mzazi wako atakuwa anajua maana yake.

 35. Maana
  Bosch
  Bonita
  Bonphace
  Batuli
  Baston
  Benson
  Jenifa
  Janeth
  Jotham
  Tunu
  Tomas
  Pedrol
  Diego
  Ditram
  Ana
  Maria
  Mariam
  Yoseph
  Joseph
  Josephine

 36. habari ! poleni na majukum ya kazi.

  naomba kupata maana ya majina Robert na Salome.
  mbarikiwe sana. kazi njema!

 37. Bwana yesu asifiwe naomba kujua maana ya majina haya miliana somoye hyasint mogaya lemi Donald Anna na venanzia

 38. Mko vizuri na nimeupenda ukurasa huu.
  nitumie nafasi hii pia kuwaomba mnieleze maana ya majina yangu ie ENANI, NDIMULIGO na LUYANGE.

 39. Tumsifu Yesu Kristu,
  Naomba kujua maana ya majina yafuatayo;-
  Deogratius, Roman, Felista, Valentini, Redempta Bonaventura, Joseph and Elizabeth

 40. ndio nakubali kuwa una majina mengi inayo omba msaada,nilipenda nijuwa ukweli unaupata muda waku yajibia majina hayo. mfano maana ya jina jislain ama olive

 41. What’s the meaning of names Deogratias, Protus, Clarensi and Maximilian

 42. MIMI NAITWA PASCAL MAKELELE NIMEBAHATIKA KUJUA JINA LANGU LEO KUWA PASCAL NI MAPITO

 43. Melisa = Asali
  Richard= Nguvu
  Jimmy= Supplant, protect
  Ivar = Upinde
  DOREEN (see 21/11/2013)

 44. shukran pia pole na shughuli,Naomba kuuliza nn maana ya na asili ya jina Ivar

 45. Elvis: wa busara
  Irene: Amani
  Tricia: wa cheo kubwa
  Noel: Kuzaliwa
  Rodrick: glory, power

 46. -Esteria Joseph, Bonaventura na Elisabeth: see above.
  -Majina yote ya myezi yanatafsiriwa kama majina ya miungu ya myezi.
  -Valentino= nguvu
  -Elimunata=Mwanga
  -Deogratius=mpeni Bwana utukufu
  -Felista=Bahati, Raha
  -Roman= mroma
  -Nelvis(Hakose Elvis) = Muungwana
  -Jessica= Mungu anatazama
  -Beatrice= Heri, alie heri
  -Bright= bright
  -Trisha=(kama Patricia)= mtu wa cheo= noble
  -Lisa= Mungu ni wa kiapo.
  -Sharon= Jangwa
  -stewart = Anaejali
  -Sporah= Ndege

 47. Naomba maana ya majina yafuatayo;-
  Valentino
  Esteria
  Elimunata
  August
  Joseph
  Deogratius
  Felista
  Roman
  Elizabeth
  Bonaventura

 48. maana ya majina nelvis caren Jessica Beatrice bright Trisha na Lisa msaada tafadhari

 49. A
  Abramu = Baba aliyeinuliwa
  Adamu = Mwanadamu. Wanadamu. Mwekundu
  Agabo = Kupenda
  Agagi = Mwenye fitina
  Agripa = Farasi mwitu
  Ahabu = Ndugu ya baba
  Ahasuero = Mtawala. Mfalme
  Ai = Maporomoko
  Akani = Ajali. Msababishji wa ajali
  Akila = Tai
  Amori = Wa-mlima
  Amosi = Aliyesumbuliwa. Mbeba mzigo. Mwenye nguvu.
  Anania = Yehova ni mwenye neema
  Anasi = Mungu ni wahuruma
  Andrea = Mwanamume
  Apolo = Miungu wa Waapolonia
  Areopago = Vilima vya (mungu) Aresi
  Arkipo = Mtawala wa farasi
  Asa = Daktari. Mponyaji
  Asafu = Mkusanyaji
  Asheri = Heri. Mwenye heri
  Athene = Mji wa (mungu) Athene
  Augusto = Anayestahili sifa
  Ayubu = Anayechukiwa. Mwenyekutubu

  B
  Babeli = Anayeingiza kwenye vurugu. Mvurugaji
  Balaamu = Mgeni
  Balaki = Mwangamizaji
  Barnaba = Kijana wa faraja
  Bartholomayo = Mwana wa Talmai
  Bartimayo = Mwana wa Timayo
  Bath-sheba = Binti wa kiapo. Binti wa saba
  Beelzebuli = Bwana wa inzi
  Beer-sheba = Kisima ya kiapo. Kisima ya saba
  Belshaza = Mfalme alindwa (mungu) Beel
  Belteshaza = Beel (mungu) alinda uhai wake
  Benyamini = Mwana wa furaha (yaani mwana wa mkono wa kulia)
  Bethania = Kijiji cha maskini
  Betheli = Nyumba ya Mungu
  Bethfage = Sehemu ya kutunza mizabibu mabichi
  Bethsaida = Eneo la kuvua samaki
  Bethzatha = Nyumba ya upole
  Betlehemu = Nyumba ya mikate
  Boanerge = Wana wa ngurumo
  Bonde la Akori = Ajali

  D
  Dani = Hakimu
  Danieli = Mungu ni hakimu wangu
  Dario = Mtawala. Anayechipusha
  Daudi = Anayependwa
  Debora = Nyuki
  Dekapoli = Mji wa kumi
  Delila = Anayependa kujipendekeza
  Dema = Mwanaume wa watu

  E
  Eben-ezeri = Jiwe la msaada
  Edeni = Uzuri
  Edomu = Nyekundu
  Efeso = Anayetamaniwa. Anayetakwa
  Efraimu = Tunda lenye sehemu mbili. Mwenye matunda
  Eli = Mungu wangu
  Elimeleki = Mungu ni mfalme
  Elimu = Miti ya mitende. Mikaratusi
  Elisabeti = Mungu wa kiapo. Mungu ni kiapo
  Elisha = Mungu ni wokovu
  Eliya = Yehova ni Mungu
  Emau = Vizima moto
  Epafra = Kwa mungu jike wa Afrodite
  Erasto = Anayependwa
  Esau = Mwenye nywele
  Esta = Nyota. Mungu wa kike
  Ezekieli = Mungu ni mwenye nguvu. Mungu anatia nguvu
  Ezra = Msaada

 50. Mungu awabariki kwa kazi nzuri munayoifanya. Mungu anasema hakuna aliyemtumikia mungu akaishia aibu. Taji yenu ipo . Nawapenda.

 51. Joshua; see 03/02/2014
  Robert :see 14/10/2013
  Wilson: see 19/02/2014
  Denis: see 14/10/2013

 52. Naomba kujua maana na tabia ya majina yafuatayo:-
  1. Irene
  2. Herieth
  3. Evaline

 53. Joseph: tafuta jibu 14/10/2013
  ester: 02/12/2013
  Godfrey: 03/02/2014
  Jeneth: 27/09/2013
  Johnson: Johanan=Mungu anaruhusu.
  Christopher: anayebeba Kristo
  Fabian= bean
  Ronaldi= Anayetawala kwa maarifa.
  Sophia: Maarifa
  Amon: Inayozingatia umoja
  Joyce: Furaha
  Zacharia: Zakaria=Yehova amekumbuka
  Temistocrest: Themistocles= Utukufu wa sheria.
  Francis: Franck= Huru
  Simion= Kusikiliza maombi
  Rose= the glory

 54. naomba kujua maana ya maneno yafuatayo
  1.Godfrey
  2.johnson
  3.christopher

 55. Bernard= Jasiri
  Benson= mwana wa Benedict
  Joan = Mungu anarehemu
  Joel = Mungu ni Mungu

 56. Bwana Yesu Asifiwe naomba kujua maana ya majina yafuatayo BENSON,JOAN,JOEL NA BENARD

 57. Naitaji kufaham maana ya jina (VERNANCE NA DATIVA) na nyota zake majina hayo

 58. scola : Shule
  shedrack: Amri ya Mungu wa Babylon
  theresia : Mvunaji
  patriciuos: Mfundi kamili
  Agnes : Safi
  fadhila : Anaestahili
  victoria : Mshindi
  suzana : Lys
  alexander: Mtetezi wa binaadamu.
  wilson : Mwana wa Wiliam
  cesilia : Mlinzi kamilifu
  Nick : Ushindi wa taifa
  Sarah : Princess
  Norah : Mwanga wa jua
  Neema : Neema
  Petro : Kefa, Jiwe, Mwamba
  GENOFEVA: Laini, Safi
  ALIYAH : Yehova(Yahwe) ni Mungu
  HAIKA : Jina la kiyapani (Flower)
  SALHA : Jina la kiarabu (Mwema)
  ISRAEL : Aliepigana na Mungu
  ELIZABETH: Mungu wa kiapo
  YUSTINA : Wa busara (jina la kiurusia)
  JANUARI : Mwezi wa miungu iitwayo Janus
  RACHAEL ; Kondoo jike
  MARTIN : Aletolewa kwa March(Miungu ya vita ya waroma)
  BONAVENTURA: Anaebahatika

 59. Naomba kufahamu maana ya majina haya,Nick,Sarah,Norah,Neema,Petro,Hadija na Konjeta

 60. Naomba kufahamu maana ya majina ya fuatayo Agnes, fadhila, victoria ,suzana, alexander, wilson na cesilia

 61. Joshua=Mungu anaokoa
  Diana (angalia huko juu)
  Lea: Malkia wa nyumba.
  Godfrey=Amani ya Mungu
  Avila=Alezaliwa Avila.
  Jackline=Supplanter, anaelindwa
  Hassan=Nzuri, rembo
  Julian=Aliezaliwa dani ya jamaa ya Julius.

 62. Jennifer= clear, laini
  Paschal= Mapito
  Clement= clement (smooth, nzuri)

 63. Sencius, Killiani na Joseph (tafuta hapo juu)
  Steven = Aliepewa taji
  Shannel= MANUKATO

 64. Mungu akubaliki sana kwa kazi unayofanya. Naomba kujua maana ya jina Sencius, killiani, mgina.

 65. Lo!
  Kazi kwelikweli!!
  Mental slavery is the only slavery. And the only freedom is the mental freedom.
  The worst sin is to misappreciate oneself. Downlooking oneself.
  Why don’t i appreciate my good African names if aint a slave to someone else’s culture.
  I apperciate the brilliantly meaned names like-Amani, kweli, Tumainieli, Sifaeli, Tumaini, Pendo/Upendo, Madaha, Wema n.k.

 66. Agustino=aliyewekwa wakfu kwa manabii wa miungu ya kutambua maisha ya kesho.

 67. Severine = Shujaa
  Innocent= Asiye na Hatia. Hili ni jina maarufu linalopewa wakristo
  lakini maana yake iko ndani jina lenyewe.

 68. Daniel= Danieli= Mungu ni hakimu wangu
  Ester= Esta= Nyota, mungu wa kike.

 69. Solomon=Amani
  Joel=Mungu ni Mungu (Mungu anaweza)

  kwa Jina “Mary”, tazama hapo juu.

 70. Sencius Killian= mtaalam wa vita
  Melina =Asali, mlimo
  Laurent= Laurence= Anaevikwa taji ya maua(inayoitwa kwa lugha ya kiingeraza: Laurel)
  Henry= Bwana wa Nyumba
  Vesteria= Vesta= Jina la watoto wa kike inayohusiana na miungu.
  ANTHONY = maua, isiyokadirika(ya juu)
  FREDRICK=Nguvu ya amani.

  Notice: Kwa majina ya kizalikio uliza babu.

 71. Naomba kujua maana ya majina yafuatayo Sencius Killian Mgina, Melina Laurent Mlandali, Henry na Vesteria.

 72. Joseph=Yusufu=Bwana anaongeza
  Joachim=Yoakimu=Mungu anainua
  John=Yohana=Yehova ni wa huruma
  Jeremie=Yeremia= Mungu ni mkuu, Mungu anainua
  Stephano= Stefano=Taji
  Denis= miungu ya mvinyo.
  Robert= Utukufu safi
  Bosco = Mkazi wa msitu.
  Dickson= Utawala mathubuti

  Angalisho: kunayo majina inayo tafsiri nzuri, lakini waliyo nayo ni wabaya na tunayakataa, na mengine kwa mantiki ni mabaya lakini wengi wanayo kwani waliyo nayo ndani ya Biblia wamebarikiwa. Mfano: Lucifer= Mwanga (na huyu ni Ibilisi),
  Yakobo= msaliti, lakini jina la mtume na mwana wa Isaka ambae baadaye aliitwa Israeli (=aliepigana na Mungu).

 73. Mary=Mariamu= Uchungu (au Ubishi)
  James=Yakobo: Ina tafsiri mbalimbali =Anaeshika kisingino(only bible meaning), Anaekamata nafasi ya…, msaliti, May God protect(Mungu alinde)

 74. .hi! ningependa kujua maana na asili ya jina langu James au Jimmy.
  .napia ningependa kujua maana yajina la Mariamu au Mary.

 75. Mungu humpa mtu kitu anacho kiomba.Mungu ndie mfadhili wetu katika maisha yetu yeye ndio tegemeo letu atupenda daima sisi ni watoto wake.

 76. Mungu humpa mtu kitu anacho kiomba.Mungu ndie mfadhili wetu katika maisha yetu yeye ndio tegemeo letu atupenda daima sisi ni watoto wakeMungu humpa mtu kitu anacho kiomba.Mungu ndie mfadhili wetu katika maisha yetu yeye ndio tegemeo letu atupenda daima sisi ni watoto wakeMungu humpa mtu kitu anacho kiomba.Mungu ndie mfadhili wetu katika maisha yetu yeye ndio tegemeo letu atupenda daima sisi ni watoto wakeMungu humpa mtu kitu anacho kiomba.Mungu ndie mfadhili wetu katika maisha yetu yeye ndio tegemeo letu atupenda daima sisi ni watoto wake.

 77. Jennifer=laini(smooth)

  Suali iko bado:”Nadhani wengi tunayo majina mawili. Moja ya kwetu na ingine itokayo kwa lugha nyingine. Sasa kama jina moja linalenga ubaya na lingine uzuri, ni lipi litaambukiza maisha ?”

  Mungu awabariki

 78. Joseph, naomba kufahamu maana na tabia za majina ya Joseph Joachim,John na Jeremie

 79. Sharomu,
  Natumai upo salama mtumishi mwenzangu, nimekubaliana na hoja ya kujua maana ya majina yetu na familia zetu . Kimsingi upo vizuri nakuombea kwa kristo azidi kukupa ufahamu mpya kila leo
  AMINA.

 80. Majina mabaya mara nyingi kweli huathiri maisha ya mlengwa au mwenye jina. mfano yabesi kijana anaetajwa ktk biblia alikuwa mwenye huzuni siku zote kutokana na jina lilikuwa na maana ya huzuni. wengine wamewaita majina watoto wao maimuna, wengi ni

 81. Website hii ni nzuri sana, kwani itamfanya kila mtu aweze kujua maana ya jina lake.mfano Emanuel means God with us.

 82. Amani na iwe kwenu ninyi nyote msomao ukurasa huu. ninaweza kusema kuwa ni muhimu kufahamu maana na asili ya jina lako, kwani kuna baadhi ya watu wenye majina fulani hawawezi kuepuka matatizo fulani. mfano:- watu wenye majina ya “MARIA”

 83. SI SAHIHI KUSEMA MAJINA YANA NGUVU YA NAMNA HIYO; HII HAINA TOFAUTI NA MAREHEMU SHEIKH YAHYA YA KUTABIRI NYOKA NA NDIO KIZAZI CHA NYOKA UKITAZAMA MIFANO ALIYOTOLEA YOTE NI AGANO LA KALE KWENYE BIBLIA NADHANI HATA KITABU KINACHOUZWA PALE MBOGO SHOP: KARUME KINGEPIGWA MARUFUKU HUU NI WIZI MTUPU; HAKUNA IMANI YA KIKRISTO KATIKA KANISA JIPYA INAYOZUNGUMZIA JINA; KAMA NDIO HIVYO TUSINGEKIWA NA MCHUNGAJI ABDALLAH; MCHUNGAJI SELEIMAN AU MCHUNGUJI ; MWAJUMA

  WAKRISTO MSIOGOPE NA KUDANGANYWA KWA UONGO UONGO WA MANABII WA UONGO :

  HAWA WAMEANDIKWA WATAKUWEPO NA WATAPENDA FEDHA KULIKO MUNGU SASA KUJUA JINA LAKO NA KUOKOKA KUNALETA MADAHARA GANI
  NAMALIZIA

  INJILI MBELE SHETANI NA FEDHA ZA WIZI NYUMA ANAYEBISHA ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU WA NAZAREHTI ALPHA NA OMEGA ALIYE HAI.

  UONGO UONGO UONGO UONGO UONGO UONGO UONGO UONGO UONGO : MSIKUBALI KUTAPELIWA

 84. Nikweli majina mengine yamekuwa ni chanzo cha matatizo na hayo yametokana na uzembe na ukosekanifu wa uelewa wa wazazi we2,jina kama huzuni,shida,tabu,semen,nk.Eti wanabatizwa watoto kutokana na jinsi mama alivyo pata tabu enzi ya ujauzito huo.

 85. Naomba kujua maana ya majina haya. Daniel and Regina and felista and clinton

 86. maaana ya jina george sija kubaliana nalo kwasababu nime pata maana nyingi kutoka sehemu mbal mbali

 87. Nadhani hoja hapa si maana ya jina ila asili ya jina ulilopewa wewe,yaani wazazi wako walifikiri nini walipokuwa wakikupa jina ,naona wengi wanauliza maana ya majina yao kama Jesca n.k hilo si la msingi sana jambo la msingi ni kujua ulipewa jina hilo kwa misingi gani?

 88. Timothy
  majina yana maana, usimkatishe tamaa mpendwa, nakudhani waganga wa kienyeji tu ndio wanahitaji kujua maana ya majina.
  Nadhani unasoma biblia na kuielewa, umesikia wakiandika, Mungu wa ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Jakobo, na wakiyataja majina yote kwa wakati mmoja. Kutaja huku majina kuna maana yake, kama mhubiri mmoja (Bayless Conley wa Answers Bc) alivyotoa tafsiri yake kuwa, Mungu ni wa watu wote kitabia, Ibrahimu alikuwa ni mtu wa Imani sana. Isaka alikuwa mtu wa kawaida kabisa, alikuwa na imani lakini sio kubwa kama baba yake. Yakobo, unamjua mtu wa mashaka, alimwambia mungu sikuachi usiponibariki, maana hakuamini kama atambariki asipomg’ang’ania, kuna wakristo wana imani lakini pia wana mashaka, hawaamini mpaka waone miujiza, (Yakobo) lakini kuna wanaoamini kabla ya miujiza kutokea (Ibrahim) kuna wapendwa wanaacha bila kung’ang’ania na mambo yao yanaenda vizuri (Isaka). hivyo unaposema Biblia ukiona yanatajwa majina haya matatu kwa wakati, ina maana anakusisitizia kuwa mungu ni wa wote.
  watu wanapotoa majina kwa watoto wao aidha walifurahishwa na yale yaliyomtokea yule mwenye jina, au wamelipenda tu jina hilo, au wanapenda mtoto wawe aje awe na imani kama ya yule mtu,
  blessings
  Greta

 89. Maana ya majina umeitoa wapi mtumishi wa Mungu kwamba jina timo lina maana fulani kwa maandiko isije ukristo wetu tunautumia vibaya wasiokoka wakaogopa! Ni heli ukajitahidi ukaiambia jamii kitu ambacho hakina maswali mtumishi utaulizwa siku ile ulikuwa unafanya nini duniani ulikuwa unaiambia nini jamii; geuka huu ni utabili kabisa hamna tofauti na mganga wa kienyeji.

 90. kweli kuna majina mengne ni either majina yasiyoeleweka bt pipo ar kalin thea watoto mfano latoya and they dnt knw wat iz the meanin of t. And wen u fnd ts meanin unaweza kuta labda ni shimo la choo or any atha stpd thng kisicho na maana nzuri. So wapen watoto majina yanaeleweka na yenye maana ya ukweli na uwasilia. Mfano wa jina Emmanuel ni utukufu wa Mungu pa1 na wanadamu. Au weng ujua au kuklem kwakujua kuwa ni Mungu p1 nasi. Tchao!

 91. Emmanuel…!
  thanks God now I have pregnant I want to safe me and my baby please God guard me for everything and man of God help me for pray. And pray for my grandmother she is so sick since september 2010 up to now.
  GOD BLESS U…!

 92. blog hii ni nzuri actually. tunaomba isiishie kwenye maana ya majjina tu bali iende mbele na kuangalia all about the bible versus the practical life. hii ni kwa sababu we christian are tending to leave our endeavor out of our christian life . i love your blog, big.

 93. BWANA ASIFIWE! NIMEPENDA GLOB YENU,NAOMBA KUJUA MAANA YA JINA LA” ASUMPTA” NA “TIMOTHY”

 94. Bwana Yesu Asifiwe!!

  naomba kujua maana ya majina yafuatayo AIKAVIOLLA, STEVEN, GODSON, SHARON, SHEILA, STEWART, GAUDENSIA, NA GABRIELA. Nitashukuru sana kujua maana yake. kazi njema.

 95. NAOMBA kujua maana ya jina Daniel, Evance, Sarah, Barnabas, Paulina na Amertha

 96. Ni vizuri kujua maana ya jina, ndo unaweza kumpatia mtoto. Naomba kujuwa nini maana ya majina ya JESSICA, RABECCA NA PATIENCE.

 97. NAOMBA MAANA YA JINA (GEOFREY) NA (ANDREW) NA SANGA LENYE ASILI YA KIKINGA KWA KUWA MIMI NAITWA GEOFREY ANDREW SANGA NA JE JINA LA BABA AU BABU KAMA UBINI LINAWEZA KUKUADHIRI PIA

 98. (a) nini maana ya Isaack
  (b) kuna uwezekano wa asilimia ngapi mtu kuwa na tabia kulingana na jina lake?
  (c) kwa hiyo watoto wasiitwe majina ya kurithi mfano kumwita jina la babu au bibi yake?

 99. hi, naomba kujua maana, asili na watu wenye majina yafuatayo wanakuwa na tabia zipi: Catherine, Method, Pancras na Stanley

 100. Maana ya Majina yafuatayo:

  Juliana – soft-haired, yaani mwenye nywele laini.
  Beatrice – Bringer of joy, blesses: Mleta amani, baraka.
  Amani, Vumilia – Haya ni majina la kiswahili na lina maana kama linavyosema.
  Pendaeli – ‘Eli’ humaanisha Mungu na hivyo Pendaeli inaweza kuwa na maana ya mtu anayempenda Mungu. Pamoja na hili kuna majina kama Sifuel, Kundaeli. Wakati mwingine ni vizuri kuwauliza wazazi kwa nini waliita jina hilo.
  Peter – Jiwe, mwamba.
  Joseph – God will increase , May Jehovah add/give increase: Mungu ataongeza, Mungu aongeze.

 101. naomba kufahamu maana ya majina yafuatayo:-
  JULIANA,BEATRICE, AMANI, PENDAELI, PETER, JOSEPH.
  asante sana Mungu akubariki

 102. Hoja ya kubadilisha majina inahitaji kufanyiwa kazi,ni moja ya mafundisho yenye utata leo.

 103. MAANA YA MAJINA YAFUATAYO, kama wasomaji walivyoomba:

  Henry = Teutonic (asili ya kijermani) meaning home ruler.

  George = the Greek georgos farmer or earthworker..

  Freddy = a peaceful ruler ..

  Jane = gracious, merciful, Jehovah has been gracious, Gift from God.

  Manfred = man of peace, Peaceful, Heros peace

  Lisa = consecrated to god

  Sabrina = princess, From the border, Legendary princess. .

  Janet = gods gracious gift, God has been gracious, A Gift from God.

  Geoffrey = gift of peace, Peaceful, Divine peace.

  Moses (Musa) = drawn out of the water, Saved from the water.

  Fahad = lynx panther { Mnyama jamii ya paka anayefanana na chui au simba}

  Latif = elegant, Delicate, gentle.

  Endelea kutembelea blog hii na umtaarifu mtu asiyefahamu!

 104. Shalom,mtumishi jina langu fredy linamanisha nini,kama alina maana nzuri ntawezaje kuribadili ili nipate jina jema.

 105. Hillary,

  Nimepata maelezo ya maana ya jina lako, HILLARY. Soma maelezo yafuatayo.

  “In English, the name Hillary means- Variant of Hilary: Joyful, glad. Cheerful. Derived from the Latin name Hilarius.. Other origins for the name Hillary include – English, Greek.The name Hillary is most often used as a girl name or female name.”

  Kwa anayehitaji kujua maana ya jina lake Unaweza kutembelea mtandao wa “meaning-of-names.com” kama ilivyoshauriwa pia na ndugu Saning’o Lenoi tarehe 20, Jan 2011.

  Asante.

 106. Habari ya kazi ndugu yangu. Naomba kujua nini maana ya majina yafuatayo;
  1.Stephano
  2.esnath
  3.Stephen na
  4.Monica

  Nakutakia kazi njema.

 107. Habari. mimi ni Mama mwenye watoto wawili. Naomba kujua nini maana ya jina JOAN na JOEL

  Nakutakia kazi njema
  kutoka kwa mama Joan

 108. Bwana Yesu asifiwe!!

  Kweli kabisa majina yana mabo mengi sana. Mengi yanabeba historia za watu, hali zao na kadhalika. Ukigundua jina umepewa kwa sababu ipi, kama sababu ni mbaya, ikiwezekana badili.
  Bwana Yesu apewe sifa.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s