Kuna nguvu kwenye mkono wako!

Kuna nguvu inayohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kutumia mkono, naweza kuhamisha ugonjwa, woga, afya kupitia mkono. Magonjwa mengi tunayopata ni kupia mikono yetu wenyewe, sio kwa watu wengine, ukiwa ndani ya Kristo, uwezo wa kuponya, kubariki,kupokea mali, iko katiko mikono yako. Ninapomgusa mtu nguvu ya Mungu inatoka kama umeme kwenda kwake, nikimwambia pokea uzima uliomo ndani yangu yule mtu anapokea uzima!

Ndio maana ukiweka mkono juu ya mgonjwa anapokea uponyaji, ukiweka mkono au kumshika mwenye kansa, uzima unakuja ndani yake, mkono wangu ukimgusa mtu aliye na huzuni anapata furaha, Mungu amesema kitu kuhusu mkono wangu:  nikiweka mikono juu ya mgonjwa atapokea afya, sasa huo mkono sio wangu tena ni wa Bwana,tena sio mimi ninayeishi bali Kristo ndani yangu na uhai nilionao ninao katika Yesu Kristo! ndio maana nikiweka mkono juu ya mgonjwa anapokea! kwa vile umeokoka ule mkono sio wako tena ni wa Bwana, ukimgusa mgonjwa huyo anapona.

Angalia mikono yako, sema nayo, kwamba iko nguvu kwenye mikono yako, umo utajiri, kuna uzima kupitia mikono yako. Imo nguvu katika mikono yako, uwe mtu wa kufahamu kwenda sawasawa na Neno la Mungu, na nguvu ya Neno itatenda kwako!

Pastor Z.M Ryoba— Canaan Morogoro

Advertisements

2 thoughts on “Kuna nguvu kwenye mkono wako!

  1. Mola atuwezeshe kutumia nguvu zake alizotupa kwa njia ifaayo.baraka kwa wote

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s