“BABA” WA KIROHO, INAKUBALIKA?

Moja ya mafundisho maarufu leo kwa wahubiri wengi ni kuhimiza kuwa na “baba wa kiroho” ambao ni kama washauri, walinzi au wanaokuongoza kukulea vyema katika Imani ya Yesu Kristo. Mara nyingi mafanikio yako, umaarufu na “upako” vinaunganishwa kutoka kwa baba huyo wa kiroho. Wengine wanasema bila kuwa na baba wa kiroho huwezi kufanikiwa au kuona baraka zako. Huu mtazamo wa “wababa wa kiroho” pia unaunganishwa na mafundisho ya “kuvunja laana” kwamba wapendwa wasio na “baba wa kiroho” mara nyingi habari za mafanikio zinawaweka kando!

Hata hivyo, inabidi tujiulize kabla ya kujipeleka kwa “baba wa kiroho” Je hii kitu ni kibiblia? inakubalika? na Bwana Yesu Kristo anasemaje kuhusu kuwa na “baba wa Kiroho”?

MD

Advertisements

12 thoughts on ““BABA” WA KIROHO, INAKUBALIKA?

  1. HAKUNA UHUSIANO WOWOTE ULE A MKRISTO ALIYEOKOKA NA LAANA, MAANA UKIKIRIWOKOVO UMEKUBALIANA NA KAULI ALIOSEA YESU KUWA IMEKWISHA, ABOVE ALL YAKALE YOTE YAMEPITA…………MTU ALIYEOKOKA ALAFU AKAVUNJIWA LAAMA NI MJINGA NA HAJUI ANACHOFANYA….BWANA YESU ATUSAIDIE

  2. jamani wapendwa suala la baba wa kiroho lipo labda kama watu wanalitumia vibaya! lakini kama unafuatilia kwenye bible (siyo lazima iandikwe kwamba huyu ni baba wa kiroho) utaona Musa ndiye aliyemlea Joshua kiroho mpaka kufika mahali akaambiwa na Mungu amweke wakfu ili ashike mahali pake! lakini pia samwel wakati amepelekwa hekaluni alilelewa na mzee eli. kumbuka wakati huo samwel alikuwa hajui kabisa mambo ya Mungu kiasi kwamba hata alipoitwa na Mungu alikwenda kwa eli lakini kwa uongozi au malezi ya mzee Eli Samwel alikuja kumjua Mungu vizuri. lakini pia Paul alimlea Timotheo kiroho hata Timotheo kufikia kuwa mojawapo ya vijana jasiri kabisa kutokea ktk injili! ipo mifano mingi tu lakini kitu kingine tunachopaswa kukiangalia ni watumishi wengi wanaoibuka miaka hii wengi ukifuatilia alilelewa na nani utakuta hakuna! wengine wamekosana na wachungaji wao au maaskofu wao badala ya kutengeneza wanajianzishia huduma ambazo matokeo yake ndo haya ya injili za mafanikio na miujiza ya kwenda ulaya na utajiri. husikii dhambi ikikemewa! angalia watu waliolelewa miguuni pa watumishi kama Emanuel Lazaro, Moses Kulola na wengine wengi ambao wana ushuhuda wa kweli wa Kristo unaona hata injili yao ina nguvu za Mungu. watumishi wenye nguvu na wakristo wenye nguvu ni wale waliolelewa kwenye miguu ya watumishi wenye nguvu na wakristo wenye nguvu za mungu na waliokwenda katika njia ya kweli ya ijnili!! barikiweni

  3. Kazilo, God bless you. You have put it very well. Hii dhana ya “baba wa kiroho”, kwa uzoefu wangu na kama walivyobainisha baadhi ya wachangiaji, imekuwa ikitumiwa zaidi ili kuwatawala waumini. Tunahitaji kujifunza kwa makini nini Maandiko yalikuwa yanazungumzia terminology kama hizo zilipotumika.

    Dada Mary asante sana kwa kuuleta huu mjadala.

  4. Matthew 23:8-10 (NKJV)
    8 But you, do not be called ‘Rabbi’; for One is your Teacher, the Christ, and you are all brethren. 9 Do not call anyone on earth your father; for One is your Father, He who is in heaven. 10 And do not be called teachers; for One is your Teacher, the Christ.

    Jesus Christ was very clear that we do not call anyone ‘father’ here on earth as we have one Heavenly Father, our Heavenly Spiritual Father, God Creator of Heaven and Earth. The New Testament uses Father in reference to God in Heaven and He is the only one who has authorized blessing for us believers through Jesus Christ, by Grace and not works. No “Spiritual Father” on earth or inside your Church can grant you any blessing, none…

    Ephesians 1:2-4(NKJV)
    2 Grace to you and peace from God our Father and the Lord Jesus Christ.3 Blessed be the God and Father of our Lord Jesus Christ, who has blessed us with every spiritual blessing in the heavenly places in Christ, 4 just as He chose us in Him before the foundation of the world, that we should be holy and without blame before Him in love,

    On the contrary, The New Testament does support Christian Church Leadership and that must not be confused with “Spiritual Fathers”. Yes, the New Testament speaks about leaders in the Church, Paul the Apostle appointed various leaders in the Churches he opened. However, never did he refer to them as “Spiritual Fathers”. Never did Paul state that blessings and success come from “Spiritual Fathers”.

    The concept of “Spiritual Fathers” is used by some for control, manipulation, and monetary gain, driven largely by a Christian’s fear of being “cursed”. The more people who call some individual a “Spiritual Father”, the more that “Spiritual Father” can gain in terms of influence.

    When it comes to “Receiving the Anointing”, there is no New Testament backing for such teachings and a Christian does not need a “Spiritual Father” to be anointed. As a matter of fact John the apostle tells us that we are all anointed by the Holy Spirit as Christians after we receive Jesus Christ as Lord and Savior.

    1 John 2(NKJV)
    26 These things I have written to you concerning those who try to deceive you. 27 But the anointing which you have received from Him abides in you, and you do not need that anyone teach you; but as the same anointing teaches you concerning all things, and is true, and is not a lie, and just as it has taught you, you will abide in Him.

    The anointing you received from The Holy Spirit is able to teach you all things, that is to say, The Holy Spirit should guide you through God’s Word and your mentor should be Jesus Christ and not a Man who will fail you the next day. The Teaching on “Spiritual Fathers” is about placing a level of trust in a human being but that is disastrous to your spiritual faith as you will discover that humans fail and therefore your true mentor should be Jesus Christ and what He taught and said.

    Nowhere does it say in the New Testament that you receive an anointing from your “Spiritual Father”. Yes, we do have Church leaders and their duty is to guide you in your PERSONAL RELATIONSHIP with Jesus Christ so that you receive directly from The Lord and relate with Him personally, not to serve as intermediaries between you and Jesus Christ.

    The most misquoted verse by the proponents of the “Spiritual Fathers” teachings is 1 Corinthians 4:15-16 in which Paul tells the Christians in Corinth that they may have many instructors but not many fathers …

    1 Corinthians 4:15 (NKJV)
    15 For though you might have ten thousand instructors in Christ, yet you do not have many fathers; for in Christ Jesus I have begotten you through the gospel. 16 Therefore I urge you, imitate me.

    Paul was not trying to act as an intermediary between Christians and Jesus Christ, he was not telling them to emulate to him per say, but rather that they should submit to Jesus Christ just as Paul had submitted to Jesus Christ. It is reason that Paul used the phrase, “imitate me”. Many proponents of the “Spiritual Fathers” teaching stop there but in 1 Corinthians 11: 1, Paul completes that phrase, “imitate me as I imitate Christ”.

    1 Corinthians 11(NKJV)
    1 Imitate me, just as I also imitate Christ.

    The teaching on “Spiritual Fathers” is not found anywhere in the New Testament and contradicts the Teachings of Jesus Christ on that subject. You don’t need a “Spiritual Father” to be anointed and blessed. Our Heavenly Father has blessed us with all spiritual blessings in Jesus Christ and anointed us by The Holy Spirit with an anointing that abides with us. Cultivate your personal relationship with Jesus Christ and have no spiritual intermediaries, let Jesus Christ and His Words be your Mentor, and let God of Heaven be your Spiritual Father.

  5. Nawatakia Amani ya Bwana wetu Yestu Kristo,
    Nami nachangie kwa yale ninayoyafahamu kwa sehemu,
    Paul alikuwa Baba wa kiroho wa Watoto wengi tu,Nitamzungumzia mmoja wa hao ni Timotheo,Baba wa Kiroho anakulea ktk imani kwa maombi, dua na sala na ushuhuda wa kukujenga ili uweze kushindania imani ili majaribu yanapo kukuta usikate tamaa na kuacha imani,anakuwa mshirika wako ktk kuchukuliana mizigo,kujengana na Kukuonya hata kama umekuwa mkubwa kiroho/huduma .Tunaweza kuona hayo SOMA 1Timotheo kitabu chote,Tunaona Paul akiandika waraka kwa mwanaye wa kiroho Timotheo,Baba Paul Akiugua kwa maombi akimkumbuka Machozi ya mtoto wake Timotheo,Yupo mbali na Baba yake KIHUDUMA kimwili, Paul akishika zamu yake ya Baba kiroho.Anawataja watoto wengi tu kwa mfano Luka,Tito nk,Na anamtamani na Marko kwenye huduma yake,Na wengine wamekimbia kwa kuupenda ulimwengu(Mambo ya mwilini)wakakana imani,Watoto wa kiroho ni mhimili mkubwa wa huduma za Baba zao,Tunaona Paul akimsihi Timotheo arejee upesi na pia akituma Koritho,(1koritho4:17)Kwa sababu hii ninamtuma Timotheo, mwanangu mpendwa na mwaminifu katika Bwana. Yeye atawakumbusha kuhusu maisha yangu katika Kristo ambayo yanakubaliana na mafundisho yangu ninayofundisha kila mahali kwenye kila kanisa.

    Mpendwa Raphael JL
    “1Timotheo1:6Kwa sababu hii nakukumbusha uchochee ile karama ya Mungu, iliyowekwa ndani yako nilipokuwekea mikono yangu.”

    1Wakorintho 4:15-16Hata kama mnao walimu 10,000 katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili. Basi nawasihi mwige mfano wangu.

    Ndiyo. Kuna baba wa kiroho baada ya kuokoka anaweza akawa aliyekuongoza sala ya toba(kwa kukuleta kwa Bwana) au ukapewa na Kanisa mtumishi mmoja wapo akulee kiroho, Na kuna Baba wa kiroho wa Huduma yako pale ilipoaanza na kukua mpaka ukafikia kuwekwa WAKFU,mara nyingi wanakuwa wapakwa mafuta wa Bwana

    Pia naungana na Mtumishi Orbi kuwa siku hizi kumeondokea watu kutumia maandiko kwa ajili ya manufaa yao,kwa hiyo yaweza kuwa kuna Baba wa Kiroho kwa maana wanazo jua wao,WAKIPOTOSHA.

    Nahitimisha kuwa Baba wa Kiroho wako kimandiko.

    AMEN

  6. Nadhani wanaotumia maneno “Baba wa Kiroho” wanajenga mafundisho hayo kutoka kitabu cha Kwanza cha Wakorintho 4:14-15 na pia 1 Cor 14:16-21….Jambo la msingi wanatumiaje maandiko hayo…? Kama vile ambavyo unaweza kutumia maandiko au kuitumia Biblia kufundisha chochote kile unachotakitaka…..hata maandiko haya yanaweza kupindishwa na kufundisha kinyume kabisa na vile ambavyo Paulo alivyokuwa anataka kuufikisha ujumbe wake.

    Kwa vile sina muda kwa sasa….labda ningeomba wana blog au wanaotaka kuchangia mada hii wayaangalie maandiko hayo……na kuona Paulo anataka kufundisha nini kwa Wakorintho…….na vile vile kuangalia Maandiko mengine katika Biblia ili kuangalia hao wanaofundisha haya Mafundisho ya “Baba wa Kiroho” wamesimama wapi katika mafundisho halisi yanayoweza kujengwa katika Msingi wa Imani Hai ya Biblia….MBARIKIWE

  7. Bwana asifiwe Ndugu Raphael JL
    Kweli kwa mambo ya maswali yako na mimi nakuhunga mukono. Je BABA YA KIROHO NI NANI KABISA ? NA KAMA ULE BABA YA KIROHO IKO MBALI NA WEWE NANI ANAWEZA KUKUASIDIA. NA BABA WANDOA AMA MAMA YA NDOA KAZI YAO NINI ? NDANI YA UNYUMBA YA WALIOOWANA .

    NA ZAIDI JUU YA BABA YA KIROHO NI MUSAIDIZI YA KULEA MUKRISTU MUCHANGA . KAMA VILE MTOTO NA MAMA YAKE KUMUPA MAZIWA YA MATITI BADAE KUMUPA UJI ATA KUMUONESHA KUTEMBEA NA KUMUPA CHAKULA YA KAWAIDA.
    NA IVO IVO SISI WA KRISTU NDANI YA BWANA KUJENGA KANISA NDIO YESU BWANA.

    ABARIKIWE YESU

  8. MD, hii ni tafakari nzuri sana hasa kwa nyakati zetu ambazo mababa wa kiroho wanataka kutawala watoto wao na kuwanyanganya nafasi yao ya kufanya maamuzi,kimsingi swala la ubaba wa kiroho mimi binafsi nahitaji maelezo ya maana na pia nataka niongezee kwenye swali lako:
    JE BABA WA KIROHO NI YUPI, ALIYEMUONGOZA MTU SALA YA TOBA AU ANAEMLEA BAADA YA KUOKOKA?

    JESUS UP

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s