Kupagawa na mapepo

“Katika maombezi wanawake wengi zaidi huonekana wakipagawa  na  mapepo kuliko wanaume”

Je, usemi huo ni kweli? Na kama ni kweli ni kwa nini?

Advertisements

8 thoughts on “Kupagawa na mapepo

 1. BWANA YESU ASIFIWE!
  nimependa sana majibu ya wachangiaji pamoja na Janeth Thomas Nyange
  nashukuru sana kwa mchango mmechangia vizuri sana. nami leo nachangia hili katika kuujenga mwili wa Kristo.
  muuliza swali alichosema ni sahihi kabisa mie nitachangia sababu moja inayoambatana na ushuhuda.
  wanawake wengi hupagawa na mapepo tena wasichana siyo wazee wala watoto malanyingi wale ambao huingia katika siku zile za mzunguko wa mwezi (nategemea nimeeleweka katika huu mzunguko wa mwezi), mapepo hukaa kwao kwakuwa hutaka damu itokayo kwa wanawake kila mwezi, huikusanya hiyo damu na kuipeleka kuzimu ambako hutumika kama kinywaji. watu kama hao pia hukamuliwa damu nyingi sana wakiwa katika siku hizo tena kwa maumivu makali sana.

  sehemu kubwa niliyotaka kuyaandika Mr. Milinga kishaandika, lakini si mbaya nikisisitiza baadhi ya mambo ambayo waliotangulia kuandika wameyajibu.

  katika maisha ya wokovu adui wa kwanza wa imani yako ni mawazo yako uyawazayo kinyume na mafanikio yako. Mithali 23:7a “maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo” ibilisi hupandikiza mawazo mengi ili ujione hufai, uwe na hofu, uogope hata mijusi ndani ya nyumba yako, ujidharau na mengine mengi. kwa hili nakushauli soma sana neno la mungu na maombi kwa wingi kwakuwa jinsi neno la mungu likaavyo kwa wingi ndivyo unavyokuwa na silaha nyingi za kumuangamiza.

  ushuhuda mimi niliokoka nikiwa nimeoa kwa ndoa ya bomani ilikuwa kila nikishiriki tendo la ndoa na mke wangu napoteza nguvu za maombi kisa nimelala na mke nisiyefunganae ndoa kanisani. hapa siyo Mungu alikuwa anaondoa nguvu zake bali mawazo anayonipandia inilisi na mke wangu hajaokoka na neno la Mungu linasema msichangamane na wasio amini. lakini siku moja nasoma 1wakorintho7:10-
  1wakorintho7:10-14 nikaona andiko linasema wale waliokwishakuoana iwapo mmoja ameamini na mmoja bado lakini yule ambaye bado hajaamini anakubali kukaa nae asimuache kwakuwa anaweza kuokolewa kwa kupitia yeye. siku hiyo kwangu ulikuwa ukulasa mpya na nikasema shetani umenionea siku nyingi lakini leo nimepata jibu lako sasa nipo safi na ninaamani sana na nampenda mke wangu ingawa hajaokoka.

  pili ibilisi huwa anapeleka kwa Mungu hati za makosa na mikataba mbalimbali kwa Mungu, lakini nae hubaki na vivuli vya nakala hizo lakini original humkabidhi Mungu usiku na mchana Ufunuo12:10-11, lakini ushindi unapatikana kwa damu ya mwanakondoo na neno la ushuhuda. uombapo msamaha kwa Mungu Mungu huwa anakusamehe palepale lakini ibilisi anakuja na zile photokopy na kukuonyesha kuwa bado zipo. ukijuwa ni photokopi haunabudi kumwambia hizo ni zakwako ibilisi kwakuwa umejitunzia kwa ajili yako lakini kwa Mungu wangu zilishafutwa.
  Ibilisi ni Muongo huwatishia watu kwa mawazo yao, kwa fikra zao, na kwa mambo mbalimbali wayafanyayo. Lakini nia yake kubwa au kiu na shauku ni kusujudiwa `Luka 4:7 ibilisi alitaka kusujudiwa na Yesu hii haimanishi hahitaji kusujudiwa na wewe mpaka leo anataka aendelee kusujudiwa. Wanadam tunaishi miaka chini ya 100 lakini mapepo yanaishi miaka zaidi ya 800 hivyo huwa yanafuatilia maagano ambayo yaliweka na mababu, wazazi, au wewe mwenyewe kwa kujuwa au kutokujuwa.
  Utasema hujachanjwa lakini inawezekana wakati unazaliwa kuna tamaduni furani ambazo zilifanyika au wakati unavunja ungo kunataratibu za kiutamaduni zilifanyika je unafahamu hayo yanamaanisha nini au kijana wa kiume akifikia umri furani kuna mambo yanafanyika hiyo ni kudumisha mikataba kwakuwa hujui ilianzia wapi na kwa ajili gani ujue ni mikataba ya ukoo na ibilisi ndiyo chanzo chake. Dawa yake ni kusoma neno kwa bidii na maombi. Nakushauri tafuta mtu ambae mtakuwa mnaomba nae na kusoma neon pamoja, ila na upate muda wa kukaa peke yako na usome neon na kulitafakali hiyo ndiyo njia ya kumpinga shetani nae atakukimbia (Yakobo 4:7 basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, naye atawakimbia).
  Angalia sana watu unaoshinda nao ni wa aina gani, mawazo yako, Mtumaini Mungu na usizitegemee akili zako Mithali 3:5, ondoa hofu ya mizimu,Puuzia ndoto kama hizo na ujue ni vitisho vya ibilisi anavyofanya ili akujengee hofu nawe uogope kwa vitisho vyake ili apate kukukamata.

 2. Wanawake wengi tunapagawa na mapepo kwa sababu hatujui kuachilia vitu ndani ya mioyo yetu tunapokuwa tumeumizwa au kukwazwa na tunakaa na kile kitu kinachotuumiza bila ya kusema na kukiachilia ndani ya mioyo yetu na kutunza uchungu na matokeo yake shetani anapata mlango wa kuingilia.

 3. Praise the Lord!

  I would like to write few notes on this.
  Initially I would congratulate brethren who posted their comments but I would like to disagree with those who said “si kwamba wanawake ndo wamejaa mapepo….” . Why do I say this?
  I have been learning this for several years. It is true that in churches and other different congregations contain large number of women than men – This is because of simple logical reason than “number of women in the world is more than men”, so where there is unisex congregation women must be more than men. For example, in a church with 60 women and 40 men; if we see 20 women with demons we must see at least 12 men with demons which in reality has never happened.
  The other fact is as per part of some comments on top that “women have a heart which agrees/believes quickly”. Basically my opinion relies on this factor and other one.
  Men does not have this character and are stable and firm in many cases.

  First we better know why and how demons enter a person.
  There are several legally reasons that demons enter a person but the foundation is SIN.
  Any un-repented sin is the foundation of a demon to enter a person.
  Demons may enter a person via; speaking, listening, looking/watching, touching, meditating, eating/drinking, ritual/initiation, sex, genealogy/family inheritance etc.

  I will not speak on the entire list above but few which apply to this case but in one subject I will post in the near future.
  Women heart character is to “take care of almost everything” while men’s character is to take care of “only important things”-Eucalyptos
  With their concentration on “these things”, they watch, listen, speak, do etc then “take them into heart” hence demons enter.
  I speak this from experience; “a woman” will take into account everything under her family, from her husband, children and both sides’ relatives. She will groan/sympathize with any who is hurt in anyhow, she will look after her all household character, needs etc, even if a man cannot supply for his family this “woman’ will do all it cost to keep the family including the husband.
  By this works, responsibilities and sympathies that a woman carries, her heart is not tuff enough to hold all the “side effects of them”. The side effects are may but one is “speaking/thinking against God, men, relatives, sons and daughters, fathers and mothers, in laws and even ministers of God”-Here demons continue to inhabit her in numbers. Her daughters will become like her as the bible says “like mother like daughter”. Other women who share story with her will take same portion etc.

  So by Grace of God when they come to Jesus, His power hits those powers of darkness and we see what we have been used to.

  God bless you!

 4. Bwana Yesu asifiwe sana, si kwamba wanawake ndo wamejaa mapepo, ninakataa kwa jina la Yesu kristo, mtu atendapo dhambi anafungua mlango wa pepo kumwingia haijalishi ni wa jinsia gani, ila nadhani wanawake wengi tuna mwamko sana juu ya mambo ya kiroho, hata ukiangalia sana utaona kanisani wanawake ni wengi kuliko wababa, kwaiyo hata kama ni maombi yakianza ukiona wanawake wengi wamepagawa ni kutokana na wingi wao kanisani au mkutanoni na si kwamba wanaume hawana mapepo, wanaume watadondoka pia ila kwa kuwa ni wachache itaonekana wanawake wana mapepo sana,

  barikiwa sana
  by mwinjilisti

 5. Bwana Yesu Asifiwe, Neno linasema Mungu ameumba jambo jipya duniani kwamba mwanamke atamlinda mume wake,inamaana mlinzi tunategemea ndo mwenye nguvu na adui hana budi kumdhuru mlinzi kabla ya wengine. Hata hivyo tangu mwanzo shetani alimtumia mwanamke kuangusha wanaume mfano Adam na Eva, Samson na delila n.k kwa sababu hiyo naamini shetani anajua akimkamata mwanamke mmoja atampata na mumewe,watoto,familia,kanisa na Taifa kwa ujumla.

  Mungu atusaidie wanawake.kwa maana hata ukiangalia wanawake wanauamsho wakumtafuta Mungu kuliko wanaume. Bwana atubariki

 6. Bwana asifiwe mara Dufu

  WANDUNGU NA MIMI PIA NINATAKA KUJANGIA MAWAZO AMA SWALI IYI JUU YA KUUMBE YA MUNGU KAMA VILE MWANAMUKE.ATA MIMI NYENYEWE NA JUULIZAKA SANA JUU YA WAMAMA .NIKIFATA HISTOIRI YA BIBLIA VILE INAPOANDIKWA JUU YA MWANAMUKE
  .
  1- JUU YA MWANAMUKE HAWA NDIO ALIMUFANYA ADAM KULA
  KU SHAMBA YA EDEN

  2- KUKO WANAWAKE WAWILI WALIZALA WATOTO WAO YA MOJA AKA
  KUFA NA ULE MWINGINE AKABADIRISHA MTOTO YA MWEZAKE ATA
  WAKAFIKA KWA MFALME KUASAMBA . ULE ALIYE BADIRISHA
  AKASEMA WAMUKATE MTOTO ULE ANGALIA ROHO KAMA IYO

  3- BIBI YA LOTI ALITAZAMA NYUMA AKAKEUKA JIWE LA CHUMVI

  4- BIBI YA AYUBU ALISEMA KAMA VILE MATESO INAPITA AYUBU
  AKUFULU MUNGU

  5- JUU YA NGUVU YA SAMSONI KUPUNGUKA KUTOKANA NA BIBI YAKE
  KUTOSHA SIRI YA NGUVU YAKE

  6- BITI ALIYE CHENZA DANSE MBELE YA MFALME .SWALI ILIKUJA
  NIKUPE NINI VILE UNAPO CHEZA VIZURI BITI AKASEMA ACHA
  NIMULIZE MAMA NA MAMA AKASEMA UNATAKA KICHO YA YOANE

  7- NA KATIKA UFUNUO 17 : 1-8 UMEANDIKWA HUKUMU YA KAHABA

  YOTE ILO NDIO SHINA KUBWA YA ZAMBI AMA MAPEPO UWAFIKIYA
  WAMAMA NDIO MUNGU ANA WAITA CHOMBO ZAIFU NDIO SHETANI
  ANAWATUMIKISHA SANA JUU YA KUTUPATA SISI WANAUME KUPIA
  MATAMAHA ZETU.

  MUNGU MWEYE NEEMA NA REHEMA AKAWAPA HESHIMA KWAO KUZALIWA KWA MWANA WAKE YESU JUU YA KUWAPA WAMAMA HESHIMA NA KUFIKA YA KWANZA SIKU YA KUFUFUKA KWA YESU MAKABURINI.

  IYO NDIO WAZO LANGU NA MUPIME PIA KUNISAIDIA ZINGINE WAMAMA NAWAPENDA WOTE KWA UPENDO YA YESU

  MUBARIKIWE WOTE

 7. Napenda kuchangia mawazo yangu kuhusu swala hilo, nakubaliana kabisa na mada hiyo kuwa wanawake wengi wanatokwa pepo wakati wa mikutano. Wazo langu ni hili, Mungu hakumuumba mwanadamu ili iwe nyumba ya mapepo, hilo tunajua, ila mwandamu kwa hiari yake mwenyewe alikubali kumkaribisha kwa kumkubalia, naye kwanza kabisa alikuwa HAWA, na utakumbuka katika Biblia Mungu anawaita vyombo dhaifu, kwa kusema hivyo inaonyesha kuwa pepo huwaingia kwa kuwa ni dhaifu, naehani kwa sababu hiyo wanahitaji kuombewa sana. Mifano michache….1. Hawa. 2. Mkewe Ayubu, 3.wakeze Suleman. 4.wanapatikana wapumbavu wanaobomoa nyumba zao kwa mikono yao.(huo ni dhaifu-) 5. Mioyo yao ni miepesi kushawishika na pepo hupenda mtu ambaye ni mwepesi kushawishika. Hayø ni mawazo yangu.

 8. Wanawake wengi hupagawa kwasababu nyingi sana ikiwemo kutokuwa na msimamo wa imani aliyonayo kwani mtendo huendana naimani kwahiyo imani ikiwa haba mlango wamapepo utakuwa wazi.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s