Masikini na Kuingia Mbinguni


Katika Luka 18:24-25  Bwana Yesu alieleza jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu;  akisema, “Kwa maana ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu”.

Kwa maneno hayo ya Bwana Yesu, Je! Ina maana ni rahisi kwa masikini kuingia Mbinguni?

Advertisements

4 thoughts on “Masikini na Kuingia Mbinguni

 1. Hii Inanitatiza kama ile sala ya Bwana; Baba yetu…….”Duniani kama mbinguni”.. kama shida, mateso na unyama unaotendeka hapa duniani na mbinguni hali ndo hiyo, binafsi sitamani niingie huko; acha ni bakie hapa hapa.

 2. Bwana asifiwe

  SASA NDUGU LUCAS POLE SANA KAMA UNAPOANDIKA NENO LA MUNGU UESHIMU SANA JINA LA MUNGU KWA KWANDIKA KWA ELFU KUBWA AMA YA BWANA WETU YESU KRISTU.

  -KWELI MAMBO IYI NI YA MUHIMU SANA . KWANGU NA MAFIKIRI YANGU MADOGO KUNA WATAJIRI WA KIROHO . NA WATAJIRI WA KIMWILI. NA TENA KUKO UMASKINI WA KIMWILI NA UMASKINI WA KIROHO.
  NIKI SOMA BIBLIA KAMA VILE INAPOANDIKA NI NGUMU SANA MUTAJIRI WAPESA YA KIMWILI KUINGIYA MBINGUNI.KWA NINI ? SHIDA NI MENGI KUTO KUOMBA AMA KUZUNGUMUZA NA MUNGU WAKATI YOTE. NA KUKOSA AMANI JUU YA KUOKOPA KUFA ANATEGEMEA SANA HELA ZAKE . TUANGALIYE VILE NIKODEMU ALIMUTEMBELEA YESU USIKU KUULIZA NJIA YA YEYE KUFIKA MBINGUNI.NA KWELI TUKIRUDI NYUMA SANA SOLOMON ALIKUWA NA PESA AMA MIFUGO NYINGI KAMA VILE MALI WAKATI HUO.LAKINI ALIMUTEGEMEA MUNGU KWA NJIA YOTE .KWA LEO UTAJIRI WA KIFEZA INATUMA WATU KUFANYA MAMBO SIO MAPENZI YA MUNGU.AMA KUNUNUWA SILAHA ZA VITA AMA KUFANYA USHOGA N.K. NA KWELI KAMA WATAJIRI WAKRISTU WANATOWA KWA KWELI WALE WAKO WAKRISTU MOJA YAO YA KUMI. SHIDA ITAKOMA NA UMASKINI NA WAJANE WATAPATA AMANI ATA MAKANISA ITACHENGEWA NA INJILI ITAKWENDA FASI YOTE N.K KUTANGAZA NENO LA MUNGU

  -KWELI UMASKINI YA KIFEZA PIA SIO VIZURI AFAZARI UKUWE NA KIASI INAYOKUTOSHA KWA MATUMIZI YAKO .JUU MUNGU ANASEMA HATUWEZI KUKUWA MIKIA TUTAKUWA VICHWA .KAMA UNATEMBEYA KWA UTARATIBU NA KAZI YAKO PAMOJA NA MUNGU.UMASKINI UTAKOMA. ZAIDI WAVILEMA AMA WAPOFU MUNGU IKO NA NJIA YOTE YA KUWAKULISHA NA KUWAFIKA AMA KIFAMILIA AMA UIMBAJI NA N.K

  -UTAJIRI WA KIROHO NI ULE ANAPOJUWA MASKINI YA NENO LA MUNGU INAPOSEMA KWENYE MATAYO 5:3 VILE INAPOSEMA NDIO WATAJIRI WA KIROHO KUSIKIYA NENO LA MUNGU KILA SIKU TAMU .KWA MUTU YOTE WA KIROHO ANAPOKUFUNDISHA .

  KAMA MUNGU ANAKUBARIKI UMUTUMIKIYE NA MALI YAKO YOTE NA NGUVU YAKO YOTE NA AKILI YAKO YOTE.

  MITHALI 30:7-9

  MONGA

 3. MIMI SIDHANI MUNGU ALIONGELEA UTAJIRI WA PESA AU MALI BALI WA KINAFSI/KIROHO ZAIDI, Nadhani umeshakutana na watu vichaa wa akili huko njiani, unaonaje ukimwabia anavyofanya si sahihi!!!, bila shaka ni wewe hautokua sahihi mwishowe na atakufukuzia mbali: Bibilia inatuasa tuwe wasikivu, wanyenyekevu na tusioulizauliza maswali (tusisite) tukitaka ushaidi kwa mambo yale mungu ametaka tuyapokee na kuamini na kufanya, usikivu ni jambo la muhimu linaloweza kumpelekea mtu akapokea neno la mugu na kujifunza, ila kwa wale ambao hata enzi za yesu walio thubutu hata kumwabia yesu “kama wewe ni mwana wa mungu mbona hauwezi kujiokoa mwenyewe!! Hawa ni matajiri kiroho, hawana imani kamwe, ndio maana bibilia inasema ni heri wapumbavu maana wao watapata hekima, heri vipofu maana hao wataona, nao wenye hekima (matajiri) ndio watakuwa wapumbavu.

  Hata mtoto mkaidi au asiyewatii wazazi ni tajiri katika nafsi yake mwenyewe, na hatowezafundishika kamwe, ni wale tuu wenye imani katika roho ndio watakaoweza kuingia katika huo ufalme wa mungu, ambao ni wasikivu, watiifu, wanyenyekevu, wasiojitakia mambo yao wenyewe, wenye kujali n.k. Mfano: Ibrahim alipoambiwa amtoe kafara mwanae, hivi kujiuliza katika mwili ni nani angeweza kuamini ni sauti ya mungu na kufanya?

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s