Mungu anasema nini kuhusu 2012?

Tunaamini Mungu anasema na kanisa wakati wote, amesema nasi na kufanya kama alivyosema mwaka jana 2011, na hata sasa amesema nasi juu ya mwaka 2012 kuhusu familia zetu, kazi, Taifa na kila eneo limetuzunguka.

Tarehe 31 December 2011 nabii maarufu kutoka Nigeria, TB Joshua alitoa unabii kwamba mwaka 2012 ni mwaka wa kumrudia Bwana na nchi ya Nigeria vita kati ya Wakristo na Waislamu itakoma na kusisitiza upendo baina yao.

Wakati huo huo siku ya Krismas alitoa unabii na kuonya njaa itaikumba dunia na kusisitiza kuwekeza kwenye kilimo.

Pia terehe 2 January 2012 mwanzilishi wa huduma ya Jewish Voice, Jonathan Bernis ameanzisha mafundisho kwenye TV na kuyapa jina “2012: Is this the End?” ambapo ameelezea mambo mbalimbali na kusisitiza kutambua nyakati za kurudi kwa Bwana Yesu. Unaweza kusikiliza kwa ufupi

Je, Mungu amekwambia nini kuhusu mwaka huu?

Advertisements

One thought on “Mungu anasema nini kuhusu 2012?

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s