Nape Nnauye aalikwa Kanisa la Ufufuo na Uzima

Na Bashir Nkoromo

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipongezwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, baada ya kutoa mahubiri yake katika kipindi cha ‘Hekima za Viongozi’ alipohudhuria ibada ya Kanisa hilo  leo kwenye Viwanja vya kilichokuwa kiwanda cha kusindika nyama cha  Tanganyika Packers, Kawe mjini Dar es Salaam. Nape alihudhuria ibada hiyo kutokana na mwaliko wa kanisa hilo.

2 thoughts on “Nape Nnauye aalikwa Kanisa la Ufufuo na Uzima

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s