Dini ya Obama bado ni gumzo Marekani

Hivi karibuni mzozo kuhusu dini ya Rais wa Marekani Barack Obama umeibuka tena, ambapo wapinzani wake wakimhusisha na dini ya kiislamu.

Mtumishi wa Mungu Franklin Graham, mtoto wa Mwinjilisti Billy Graham  alipohojiwa na kituo cha MSNBC kuhusu dini ya Obama, Alijibu ” Muulizeni yeye, siwezi kumjibia mtu swali hilo, Ninachojua mimi ni mwenye dhambi, na Mungu amesamehe dhambi zangu, Graham akasema “inabidi kumuuliza yeye, amesema yeye ni Mkristo, hivyo nami nadhani ni Mkristo”

Na alipoulizwa kama Obama ni Mwislamu, akasema “hapana”

Hata hivyo Raisi Obama amekuwa akisema yeye ni Mkristo kwa msisitizo.

Advertisements

5 thoughts on “Dini ya Obama bado ni gumzo Marekani

  1. Obama ni mkristo mzuri sana, sema Wamarekani(Republican) wanasema hivyo ili kumdidimiza Obama kisiasa kupitia chama chake cha Democratic.

  2. kwani mkristo ni nani? ukristo sio jina bali ni matendo! tuna wachungaji,maaskofu, wainjilisti mitume na manabii wengi ambao sio wakristo. ukristo sio.jina la kizungu. ukristo ni kuishi kama kristo yaani “mtu yeyote akitaka kunifuata na ajitwishe msalaba wake anifuate”

  3. Graham alijibu vizuri sana, ni kweli huwezi kumsemea mtu dini yake ni ipi! kwani kunawatu wajifanyao kuwa wa dini flani kumbe sio, bali hujifanya hivyo kwa sababu zao wenyewe.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s