Bahati Bukuku asema DUNIA HAINA HURUMA

Bahati Bukuku, Rose Muhando na John Shabani mwezi wa Pili!

Mwimbaji wa Injili Tanzania Bahati Bukuku baada ya kuwa kimya kwa miaka minne tayari ana album mpya yenye jina DUNIA HAINA HURUMA, hii ni album yake ya nne ambapo nyimbo mpya kama WEWE NI BABA, MWAKA WA KIBALI na UNATISHA zimeanza kusikika redioni.

Bukuku amekuwa akiimba nyimbo za faraja na amekuwa akisisitiza nyimbo zake ni maisha yake na jinsi Mungu anavyo muongoza ili afanyike msaada kwa wengine, kwa Utukufu wa Mungu. Karibu tena Dada Bahati ni siku nyingi tumesubiria!

33 thoughts on “Bahati Bukuku asema DUNIA HAINA HURUMA

 1. God bless u sr Bahati.your songs have been inspiring me ol through especialy wewe ni baba…i lyk listenening 2 it whenever am down nd 4 sure it renews my spirit 2 kip on trustn de lord .God bless u big

 2. Bukuku u really changed my life,Nyimbo zako zinaelimisha,mtu anakua kiroho,ni za baraka katika maisha ya familia yangu,hasa asa huu wimbo wa dunia haina huruma nilipousikia kwa mara ya kwanza ulibadilisha maisha yangu coz nilikuwa napitia mambo kama hayo,pia huu wimbo wa wewe ni baba kwa kweli siwezi maliza siku bila kuusikiliza coz wakati am stressed au nakosa amani hakika huu wimbo unanifariji sana,so Bahati Bukuku Mungu akujalie pamoja na waimbaji wote wa injili Mungu awape kibali juu ya dunia,Mungu awabariki kenya twapenda sana injili ya T.Z

 3. Mungu kakupa kipaji, sifa na utukufu ni kwake aliye juu, Jehova
  endelee kukutumia apendavyo dada!!!!!

 4. Naitwa alex nyingo wa songea napenda kupongeaza kwa uwaandaji wa nyimbo zako ni nzuri na zinatufundisha dada Mungu akubariki karibu sana songea.

 5. Your Songs is blessing to me.Have no brother nor sister but your songs fill the vacum Godbless u Dada .

 6. Haki nyimbo zako za ni bamba sana.niko kenya- mombasa-mtwapa.be blessed to sana ila usikae sana utoe video tena uni include pia mimi.

 7. Dada uko juu nyimbo zote zinaujumbe mzuri hasa WEWE NI MUNGU.albam ijayo ucsahau zile ulizo imba KKKT Kiboriloni Moshi.

 8. tuombeane mungu tu dada ujumbe ufike kwa sikilizaje then ukamiliafu ndani yetu ni Mungu pekee anaweza kutufanya wakamilifu…kazana kuihubiri injili watu wote wasikie. GOD WILL BE EVERY WHERE WITH U. have a nice and long life.

 9. Roho yangu inatulia wakati ninapo sikisa nyimbo zako. mungu aendelee kukubariki wakati unapo zitoa nyimbo.

 10. Dear sister in Christ. I’m really blessed by your songs especially the new album Dunia Haina Huruma. May God bless you and lift you always. Am from Kenya, Bungoma County.

 11. aki sister bahati hiyo ni baraka,neema,talanta na ujumbe wa kutubariki….otherwise am the most blessed with your songs….GOD BLESS YOU!!!!

 12. NYIMBO YAKO INAWA-SUPPORT WAUZA MIILI(Makahaba,malaya) wanaotatua shida zao kwa kutumia miili yao!.Nyimbo yenyewe inafundisha wanawake kutoa miili yao ili kutatua matatizo yao,kitu ambacho ni kinyume na maadili ya Mungu!!!,so hiyo nyimbo umepotosha umma ni uhuni.Mwanamke atafute mbinu zingine za kutatua shida zake na sio kutumia mwili wake!

 13. asande sana bahati kwa nyimbo zako unazozitoa.je!nitabata wapi huu wimbo wa dunia haina huruma?

 14. Nyimbo zako dada zani bariki sana. Nakuombea Rabana akulinde na akutumie ufikie wengi na hizo nyimbo zako tamu, za hubiri kweli kweli. wakati mwema dada

 15. Pongezi sana dada bahati.Mungu akubariki sana na apanue mikapa yako ya Uimbaji kwani umeibariki moyo wangu

 16. Pongezi sana dada bahati.Mungu akubariki sana na abanue mikapa yako ya Uimbaji kwani umeibariki moyo wangu

 17. salamu, japo mimi kiimani tuko tofauti lkn napenda sana jumbe zako, tupo pamoja sana, nakupenda dada yangu nakutakia kila la kheri na mafanikio zaidi ktk kazi zako

 18. ubarikiwe sana kwa kutoa albam nyingine dada, cha muhimu endelea kuwa rohoni zaidi ili upate ujumbe sahihi kwani unahubiri kwa njia ya uimbaji, wanamuziki wengi sasa ni waburudishaji tu na kupenda style nyingi za uchezaji badala ya kujali ujumbe. Mungu atusaidie

 19. Keep up the good job…..I love your songs and may you continue to be a blessing!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s