Kanisa likumbuke kuombea Taifa la Israel – Robin Ulikaye

Kwa wakazi wa Mbeya,Rukwa, Songea, Iringa, Malawi, Zambia, Tabora, Iramba na Singida Jina la Robin Ulikaye sio geni masikioni mwao hasa kwa wale wapenzi wa Radio za Injili, ambapo Ulikaye anasikika siku za juma katika vipindi vya asubuhi na jioni pia Jumamosi mchana.

Ni Mtumishi wa Mungu na mtangazaji wa vipindi vya redio masafa ya 98.6 Ushindi Fm Radio iliyopo Mbeya, Tanzania!

    • Katika kuitangaza Injili miji hiyo na kuboresha vipindi vyake vya redio amekuwa mwenye mapenzi makubwa na nchi ya Israel na katika kipindi chake anachotangaza kila Jumamosi saa 12:00 Jioni, Anaielezea Israel na habari zake pamoja na mgogoro mashariki ya kati lakini pia vinahusiana vipi na unabii wa Biblia. Katika maelezo yake hayo mara nyingi anasisitiza kanisa kuliombea Taifa la Israel ili mapenzi ya Mungu yatimizwe sawasawa na Neno lake.

      Pia kanisa lisisahau kuombea Neema ya Wokovu kwa jamii ya wayahudi kwani pamoja na Neema kuanzia Kule bado jamii haijaijua kweli ya Wokovu unaopatikana katika Yesu Kristo Bwana Wetu.

      Mbali na Ijue Israel pia kaka Robin anafanya Praise and Worship Experience Kila siku za Juma saa 11 Jioni pia na Kurunzi la Matukio na Habari kila siku za Juma saa 3:00 Usiku.

Advertisements

2 thoughts on “Kanisa likumbuke kuombea Taifa la Israel – Robin Ulikaye

  1. Mungu akutie nguvu kaka yangu, ni watu wachache sana wakristo waliokoka wanalifahamu na kujufunza juu ya taifa la Israel, mimi ningependa kila mkristo aliyeokoka awe connected na taifa la Israel, kuna kitu kizuri sana Mungu anaachilia kwa ajili yako. Ningeomba kama ninaweza kupata contact za kaka SG waweze kunipatia, nataka kuwasiliana naye na niweze kushirikiana naye katika kitu fulani, ni mshirika muhimu ambaye ningependa kuwa naye katika kitu ninachotaka kufanya,

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s