Usiku wa Sifa – Strictly Gospel

Shalom wana SG na wote, nawasalimu katika jina la Yesu! Napenda kuchukua fursa hii kuwataka wote kufika bila kukosa ili kumsifu Mungu, kumwabudu na kupeleka haja zetu mbele zake tarehe 9/3/2012. It is dangerous to remain in a comfort zone whilst things are not okay… Njoo tumuombe Mungu ili atuonekanie katika maisha yetu, huduma zetu, afya zetu, kazi zetu na yote yanayotuhusu. Anza kupanga kuanzia sasa kutokukosa mkesha huu. Mkesha utaanza saa 4:00 usiku mpaka 11:30 alfajiri.

Ni pale Jesus Celebration Centre, Shekilango karibu na uwanja wa Kinesi. Inawezekana umehudhuria mikesha mingi, lakini nakuhakikishia huu ni mkesha wa tofauti kabisa, utakaobadilisha hatima ya maisha yako kuwa njema. Wanaohudhuria mikesha hii watakubaliana nami kuwa huwa tunashangaa asubuhi imefikaje? Hio ni kwa ajili ya uzuri wa program na muda wa kutosha wa kujimimina mioyo yetu kwa Bwana. Tafadhali upatapo ujumbe huu mwambie na mwingine!

Ni kila Ijumaa ya pili ya mwezi.

Advertisements

3 thoughts on “Usiku wa Sifa – Strictly Gospel

 1. Mkesha uliopita nilihudhuria, sitakosa kesho. Nitakuja na mke wangu! Watu wanajimimina kwa Mungu na kuombea Taifa, Watumishi na familia.

 2. Asante sana watumishi, nilikua natafuta this week nitapata wapi mahali pa kumuomba Mungu kwa Mkesha. Mimi sio mwenyeji wa jijini. Yaani nimefurahi kujua ratiba yenu ya kila week ya pili ya mwezi. This will be a Blessing to us and to our nation too.
  Napenda kupendekeza among prayer points iwe kuhusiana na Mgomo wa madaktari. Ni kweli wanamadai ya Msingi lakini ukipima impact yake ni kubwa sana.
  katika hili mapenzi ya Mungu yafanyike. ikumbukwe kuwa wagonjwa walioko mahospitalini wanamuhitaji kristo, sasa wakiachwa vifo vingi vyaweza kutokea na hiyo ni faida kwa shetan kupata roho hizo zitakazo potea katika mgomo huu. Jambo hili tuliangalie katika ulimwengu wa roho pia utapata mzigo nalo.
  wapendwa tuombee serikali yetu na suala la uchumi pia.
  Mungu awabariki.

  sikosi ijumaa mkesha.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s