Hongera Martha Mwaipaja

Picha na Global Publishers

Muimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania Martha Mwaipaja ameolewa na Mchungaji John Saidi wa kanisa la Udhihirisho wa Injili lililopo Ukonga Jijini Dar es salaam. Dada Martha anajulikana kwa album yake KWA MSAADA WA MUNGU TUTASHINDA.

Hongera sana mama mchungaji pia tunasubiri album yako mpya ya OMBI LANGU KWA MUNGU.

Wimbo wa dada Martha, Usikate Tamaa

Advertisements

23 thoughts on “Hongera Martha Mwaipaja

 1. Hongera sana Mr & Mrs John Said nakutakia maisha mema katika ndoa yenu. Be blessed!

 2. haki mummy you realy speak my life in your albam KWA MSAADA but thanks coz unanitia moyo hasa kwa nyimbo tusikate tamaa plz pray 4 me.

 3. Dada Martha umekuwa wa Baraka kwa Familia yangu.

  Bwana awabariki sana .

  Napenda kukunua nakala Original ya Nyimbo (Kwa Msaada wa Mungu Tutashinda”

 4. Hongera dada Martha kwa kuwa mama Mch.hiyo hasa ndiyo nafasi yako uwafundishe wa mama na mabint jinsi ya kumtumikia Mungu mimi mshabiki wako ktk Bwana. Bwana na akuinue zaidi

 5. Mungu awaongoze na kuilinda familia yako milele. nakupenda sana dada martha and i like your work. stay blessed forever.

 6. Hongera sana dada na Mchungaji, Bwana na awalinde kwa jina lake Maisha mema yaliyojaa upendo na kila siku iwe ndo kama mmetoka kuoana hiyo furaha uliyoipata siku unafunga ndoa iendelee kila kukicha .kila la baraka likatue kwenye ndoa yenu..

 7. WE GLORIFY GOD FOR HIS MERCIES AND GRACE …… YESU JUUUU! NAITAKIA NDOA YENU FURAHA NA AMANI….NASIHI DAMU YA YESU IWAFUNIKE TANGU UTOSINI HADI UNYAYONI….HAKUNA UPENYO KWA SHETANI KWA JINA LA YESU!!

 8. Hongera sana Mama. Mungu akupe baraka za fedha ili uweze kuwasaidia wengine. Mungu akubariki upate watoto wa kike au wa kiume nao waje wamtumikie Mungu.

  Nasema upate watoto wa kike au wa kiume kwani Mungu aweza kukupa watoto wa kike tu au wa kiume tu siyo lazima uzae watoto wa kike na kiume. Mtoto ni mtoto tu awe wa kiume au wa kike hata kama utazaa watoto 6 wa kiume tu au wa kike tu bado ni BARAKA.

  Mungu akubariki upate mali za dunia hii ili uzitumie kuutangaza ufalme wa Mungu na siyo kuwakoga wengine ambao hawajapata mali kama wewe. Utajirike wewe na mumeo na kisha muwe wenye kuzitumia mali hizo kwa manufaa ya wengine.

  Huwezi kusema unampenda Mungu kama huwapendi wanadam kwa vitendo na maneno.

  Mungu akuinue zaidi kiuimbaji.

 9. Hongera sana Martha kwa kupata Mume mwema Mungu ailinde ndoa yenu siku zote amen

 10. Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa………….tunakupenda martha, songambele.

 11. Bwana Yesu sifiwe!!
  Hongera sana Martha(Mama Mchungaji) kwa:
  1.Kufunga ndoa na Mchungaji John Mungu awabariki sana.
  2.Uinjilisti uufanyao kupitia nyimbo.Ukweli album yako “KWA MSAADA WA MUNGU TUTASHINDA” imenibariki mno na naipenda sana.Bwana Yesu azidi kukutia nguvu utoe nyimbo nyingi zaidi zitakazotutia moyo na kutuimarisha kiroho.Amina.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s