Guard Your Heart!

–Mike

Advertisements

One thought on “Guard Your Heart!

 1. shalom!

  Wakati sijalitimiza neno lililo katika warumi 10.9… nilipata shida sana kuulinda moyo wangu, kwani sikujua hekima hii kuwa mambo yote yanayotokea kimwili yashafanyika kiroho kwanza. kwa hiyo ili matokeo ya kimwili yawe mazuri lazima ujifunze kuulinda moyo wako usipoulinda matokeo ya kimwili ni mabaya(uasi kwa MUNGU).

  Moyo unaulinda kwa kuokoka na kuanza kuishi kwenye mpango wa MUNGU wa mwanadamu wa pale msalabani, maana tulinyang’anya nafasi zetu na ibilisi pale EDEN lakini sasa MSALABA wa YESU kila aaminiye na kumkiri warumi 10.9…. umetukomboa, ndipo anaporudishiwa hazina zilizofichwa gizani

  Kwa aliyeokoka utajiepusha na vyanzo vyote vibaya vinavyoshambulia roho yako,utajiepusha na unavyoona/kutazama na unavyosikia maana IMANI chanzo chake kusikia…..Ni nani aliyesadaki habari zilizoletwa……….Isaya 53.

  Ulinde moyo wako kwa kuulisha na kusikiliza neno la MUNGU,kuangalia na kutazama mambo yanayombariki MUNGU. huku ukiziteka kila fikra mbaya na kila fikra imkiri kristo, mfano tunatenda dhambi kwa kuwaza na kutafakari(unakuwa rohoni) kwa kunena na matendo(unakuwa kimwili) kwahiyo tokeo lako la kimwili hadi umesema na kutenda nafsi yako imeunganisha vya rohoni ili visemwe mwilini

  Kumbuka shetani yupo kazini akivizia waliosimama kwenye nafasi zao,kwa hiyo siraha yako ni NENO LA MUNGU ili likae kwa wingi moyoni mwako,sifa na kuabudu na MAOMBI ndizo siraha zako hakika Asubuhi,mchana na jioni.

  Amen

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s