Freemasons ni wengi tu japo hawajijui!

Nywele bandia (mawigi, rasta) ni za wamasonia,  nguo zote za ajabu (vibode,vitop,nguo za kubana kwa jinsia zote) ni wamasonia, Haki za wanawake kutoka BEIJING ni wamasonia, Ala na vyombo vya miziki ni wamasonia na kunengua majukwaani na ndombolo za YESU ni wamasonia, Mitindo ya unyoaji nywele,uvaaji heleni na kusuka nywele kwa vijana pamoja na kuvaa mikufu kwa vijana wa kiume ni wamasonia, Mashoga, mamiss,”wachungaji wanawake” ni mipango ya wamasonia, Mahakama ya THE HAGUE pamoja na haki za binadama ambazo ni kinyume na sheri za mmiliki wa kila kitu (GOD) ni wamasonia kwa namna moja ama nyingine wanachama wa wamasonia ni wengi japo hawajijui.

Mutta

47 thoughts on “Freemasons ni wengi tu japo hawajijui!

 1. Niliogopa sana niliposikia kuhusu Freemason, lakini baada ya kujiunga nikagundua kuwa hakuna watu wazuri na wenye kumaanisha kama FM. Tuna ushirikiano mkubwa sana na tunaifanyia jamii mambo mengi makubwa na mazuri kuliko maelezo. Pia si vizuri kuzungumzia mambo usiyoyajua kiundani, achana kabisa na habari za juu juu. Ukitaka kujua kuhusu Freemason tafuta member umuulize sio magazeti. GODWIN 0758345122 http://www.facebook.com/gowinmacklein.william

 2. Namshukuru MUNGU nimeokoka nampenda YESU. wapendwa katika BWANA Huko Siko kabisa kwa shetani niko huku kwa yesu, kwani shetani anawadanganya watu wengi na kuwalubuni kwa mawazo, shetani alimdanganya ADAM na HEVA wakala tunda la kati, shetani alimdanganya hata KAINI amuuwe ndugu yake, shetani alimdanganya hata YUDA amsariti mwana wa adamu na YUDA kwa tamaa ya pesa akamsariti BWANA YESU. shetani ni mbaya hana lolote kabisa, watu wengi wameyaacha maagizo yake MUNGU BABA na wao kutokujua wanayafuata yake shetani. wewe shetani wewe achana na watu wa MUNGU hao ni watoto wa MUNGU wamekombolewa na YESU. HAKIPO AMBACHO KITANITENGA NA MUNGU BABA. HALELUYAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 3. Wapendwa katika Bwana, nawahakikishieni ukimpa yesu maisha yako bila kuwa na ujanjaujanja anakusaidia mengi sana. kuna vita vikali wapendwa mbele yetu kila kukicha,kila kukiitwa leo vita ni vikali ila MUNGU tu ndo anaweza kutupigania. achana na Mambo ya freemason kwani hawa hawaishi bali MUNGU tu peke yake ndo anaishi.

 4. Jamani,acheni kutisha watu,kwahiyo unataka utuambie hata wewe ni freemason kwasababu unavaa nguo unakunywa maji ya Kilimanjaro.mwisho wake utasema ugali pia ni wa freemason,acha uongo wako na acha kuwatisha watu,kwamaana hiyo tutembee uchi na mambo mengine tusifanye kwasababu kila kitu nicha freemason.Wapendwa msitishwe bali mtazameni mwanaume wa Msalaba(YESU)

 5. Yesu yuko juu ya kila kitu tumtegemee kwa uaminifu tu. maana hakuna linalo mshinda ktk hii dunia .vitu vyote katika hii dunia ,tunavyovisikia ,tunavyo viona Yesu alisema vitapita lakini neno lake litadum milele .Tena akasema jipeni moyo duniani mnayo dhiki ,tujipe moyo tusimame kwa uaminifu tutashinda tu maana shetani ana hila nyingi za kumnasa mwnadamu

 6. guyz what makes you say every evil things belongs to FM? KAMA NDIYO HIVYO KWA NINI YESU ALIKUJA DUNIAN? NA HICHO ALICHOKIIJIA YESU NANI ALIKIFANYA KIWEPO? IMANI ISIWE HABA KIASI HIKI NA HII NI DINI YA WATU HIVYO TUSIIBEZE KWA KUSEMA KILA KITU NI KIBAYA NA MBONA WANASAIDIA KUJENGA MAKANISA NA MISAADA TUNAIPOKEKEA? LETS THINK CRITICALLY RATHER THAN JUDGING CHEAPLY.

 7. unajua ndg MORGAN hawa watu vitu vyote wanavihusisha kama wao ndio walio viunga kwasababu wao wamekaa kwa ajili ya kuteka watu, ndo maana wanajifanya wao ndo akina Mungu ili watu wawafuate kwa wale ambao hawamjui Mungu aliye waumba watawafuata ila hawa binadamu hawana lolote,

 8. hakuna kuogopa freemason becouse haina lolote katika maisha yetu kila kitu et cha freemason ikiwa vitu vyte ni mali ya Mungu kazi kwenu mnao amini kwamba kitu frani ni mali ya freemason , wizi mtupu hawana chao hao

 9. Siku zote katika maisha naamini ukimuogopa mtu au ukikiogopa kitu au mtu ipo siku itakitukuza ,watu wengi wanaamini kila kitu ni cha freemason inafika kipindi paka wanasema gunduzi za kisayansi ni za freemasoni na hata watu wanaofanya vitu vya ajabu kwa kutumia uwezo wa kimungu freemason.
  Jamaani tubadilike kama msomaji mzuri wa biblia ukisoma utaona mungu amefanya maaajabu mengi katika kumkomboa na kumsaidia mwanadam na still bade amewapa wanadamu uwezo (sir newton,eisten nk) uwezo mkubwa wa kuwasaidia wanadamu kwa hy ni vizuri tutofautishe uwezo mdogo wa freemason na uwezo mkubwa wa MUNGU wetu katika utendaji wa maajabu maanake ukisema kila kitu cha freemason maanake hata wewe ni fremaasono maanake hamna kitu kilichojaa uchafu kama INTERNET.
  Tubadilike nakama ww ulioandika hiyo msg ukiendelea na mawazo kama hayo nakuhakikishia ipo cku utawatukuza.

 10. Mi ningependa nijue ni kwanini vitu vyote hivyo wanavihusisha kana kwamba wao ndio walioviumba!.

 11. Ndg Milinga,

  Hebu pata muda upitie pitie kule kwenye ‘Je, Tunajua nini kuhusu Freemasons”. Huko nilishaweka hadi yaliyoko kwenye KATIBA yao. Nimeitafuta kwa haraka haraka sijaipata. Hebu soma huko wakati naendelea kukusanya point muhimu kisha nitaziweka hapa pia! Asante mpendwa.

 12. Mpendwa John Paul,

  Nakushukuru sana kwa maelezo yako. Kusema Ukweli mimi hawa freemason bado sijawafahamu vyema. Nimetokea kuanza kuwafuatilia hivi karibuni baada ya kuona mjadala ni mkubwa huko mitaani tunapoishi. Kama utakuwa umesoma maelezo yangu ya mwisho nimesema kwamba bado naendelea kujifunza. Kwa hiyo hata hilo zoezi ulilonipa ninaendelea kujifunza.

  Mimi sijawahi kupata ushuhuda wowote kuhusu imani hii. Hata kwenye mada ya hiyo ya “tunajua nini kuhusu freemason” kusema ukweli huwa sipasomi kwa sababu tu huwa napuuzia mada hiyo. Labda sasa nifanye biddii kufanya utafiti wa kina kupitia mitandao mbalimbali na wewe unipe ushuhuda wao ili nisije nikaelewa vibaya.

  Binti wa Yesu namsubiri anipe hizo shuhuda za waliookoka toka kongwa hilo la freemasons ili nielimike zaidi nami niwe huru. Kwa kweli mimi sielewi kwa undani kuhusu freemasons.

  Naomba wenye kuwa na hizo shuhuda wanisaidie nielimike zaidi.

 13. Ndg Milinga

  “kwani naona wako kama vile NGOs fulani tu zinazosaidia watu wenye matatizo na wala hawana uhusiano wowote na kuwa wapinga imani ya Kristo”.

  Sina uhakika kama maneno hayo yameandikwa na Mr. Milinga ninayemfahamu. Hivi ni kweli kuwa hufahamu KABISA upinga Kristo wa FM unakuja wapi? Ngd Milinga, ni kweli hujawahi kusikia shuhuda za watu, kama alivyoandika Binti wa Yesu, ambao walikuwa huko lakini wajamgeukia Yesu? Hayo maneno niliyokunukuu ndiyo hayo hayo WANAYATUMIA KUWANASA WATU! Sasa sijajua nawe ni kwa nini umeyatumia!

  Kwenye mada ya Je, Tunajua Nini Kuhusu Freemasons tulishajadili sana jambo hili na sina uhakika kama Ndg Milinga hujawahi kabisa kusoma huko. Naogopa sasa kuwa SG inaweza kuwa moja ya chombo kinachotanganza habari njema za Freemasons ili ili watu wajiunge huko.

  Ngoja nikupe kidokezo katika hayo hayo uliyoyaandika ambacho ndipo kilipo KIINI cha upinga Kristo. Hebu soma uliponukuu hivi:

  “Freemasonry requires that every candidate …….. must profess a belief in a Supreme Being and there is no compromise to this”

  Hapo kwenye “Supreme Being” ndipo kwenbye tatizo. Hebu ndugu Milinga FUATILIA WAO WANAAMINI “SUPREME BEING” wao ni Yupi?
  Nasubiri kwa hamu toka kwako juu ya Supreme Being wao.

 14. Nimegundua wakristo wengi ni waoga kuhusu freemasons, na jinsi tunavyowaelezea tunazidi kuwapa promo ya nguvu, watu watajiunga, baadae tunagundua freemason ni wapinga Kristo wangapi wataenda Jehanamu kwa kusababisha?

  Ni vizuri kufahamu hasara zao kabla ya kuambizana wanapokutana. Kuna watu walioacha ufreemason na kumpokea Bwana Yesu na kutoa siri za huko. Nikipata nafasi nitaweka hapa

 15. MAKANISA YA FREEMASON YALIYOKO AFRIKA MASHARIKI.

  Yafuatayo ni makanisa (wao huyaita LODGES) yaliyoko Tanzania na Afrika mashariki na terehe za Ibada zao na anuani zao. Kumbe hapa Tanzania walianza mwaka 1929 kabla ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika. Hapa Tanzania wameenea sana na wako karibu kila mji mkubwa wa Tanzania kama vile MWANZA, DAR, ARUSHA, nk.

  Hebu fuatilia orodha ya “LODGES” zao yaani makanisa yao:

  With Dates of Meetings

  Mas. Hall – Masonic Hall
  F.M. Hall – Freemasons’ Hall
  Inst. – Indicates month of Installation Meeting.

  3084 – LODGE HARMONY
  P.O. Box 40118, Nairobi 00100.
  Consecrated 1st May, 1905
  Date of Warrant 10th January 1905
  by W. Bro. J. Last, WM 3007 EC
  FM Hall, Nairobi
  1st Tuesday 2-3-4-5-7-9-11-12 Inst-5.

  3492 – VICTORIA NYANZA LODGE
  P.O. Box 43589, Nairobi.
  Consecrated 22nd May, 1911
  by R. W. Bro. R.G. Bland
  FM Hall, Nairobi
  2nd Mon 1-3-5-7-9-11, Inst-5.
  Ankara Rent a Car
  3559 – LODGE MENENGAI
  P.O. Box 133, Nakuru.
  Consecrated 27th January, 1912
  by R. W. Bro. R.G. Bland
  FM Hall, NAKURU
  2nd Fri 1-3-5-7-9-11, Inst-5.

  3645 – MOMBASA LODGE
  P.O. Box 80232, Mombasa.
  Consecrated 31st May, 1913
  by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
  FM Hall, MOMBASA
  3rd Mon 1-2-3-5-6-7-9-10-11, Inst-7.

  3703 – ORIENT LODGE
  P.O. Box 40152, Nairobi.
  Consecrated 14th February, 1914
  by R. W. Bro. R.G. Bland
  FM Hall, NAIROBI
  2nd Fri 2-3-5-6-9-11, Inst-2.

  3727 – PROGRESS LODGE
  P.O. Box 40162, Nairobi.
  Consecrated 16th December, 1914
  by R. W. Bro. C.N.M. Harrison
  FM Hall, Nairobi
  3rd Tue 1-2-3-4-5-6-7-10-11, Inst-1

  4070 – DONYO SABUK LODGE
  P.O. Box 41472, Nairobi.
  Consecrated 19th March, 1921
  by R. W. Bro. Gerald Hudson
  FM Hall, RUIRU
  2nd Fri 1-2, 1st Fri 3-5, 2nd Fri 6-7
  1st Sat 9, 1st Tue 10, 1st Mon-11, Inst-3

  4337 – EQUATOR LODGE
  P.O. Box 653, Kisumu 40100.
  Consecrated 13th May, 1922
  by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
  FM Hall, KISUMU
  Last Sat. 2, 5, 8, 11, Inst-5.

  4385 – HAVEN OF PEACE LODGE
  P.O. Box 201, Dar es Salaam.
  Consecrated 31st March, 1922
  by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
  FM Hall, DAR-ES-SALAAM
  2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4

  4756 – NANDI BORDER LODGE
  P.O. Box 166, Eldoret.
  Consecrated 25th March, 1926
  by R.W. Bro. Sir J.W. Barth
  FM Hall, ELDORET
  2nd Fri 3-5-7-9, Inst-on Sat. after 2nd Fri. 1.

  4788 – RIFT VALLEY LODGE
  P.O. Box 49305, Nairobi.
  Consecrated 22nd May, 1926
  by R.W. Bro. A. A. Legat
  FM Hall, NAIVASHA
  1st Sat 2-4-6-8-10-12, Inst-6.

  4830 – TANGA FRATERNITY LODGE
  P.O. Box 22, Tanga.
  Consecrated 28th September, 1926
  by R.W. Bro. Sir P. Colville-Smith
  FM Hall, TANGA
  3rd Fri 2-4-6-8-10, Inst-2.

  4851 – KENYA GATE LODGE
  P.O. Box 80371, Mombasa.
  Consecrated 4th October, 1926
  by R.W. Bro. Sir J.W. Barth
  FM Hall, MOMBASA
  2nd Wed 1,2,3, 5, 6, 7, 9, 11, 2nd Sat 10, Inst-10.

  5022 – LAKE LODGE
  P.O. Box 42, Kisumu.
  Consecrated 24th Feb., 1928
  by R.W. Bro. Sir J.W. Barth
  FM Hall, KISUMU
  3rd Sat 2, 3rd Thu 4,6,8,10, 1st Thu 12, Inst-2.

  5082 – MOUNT ELGON LODGE
  P.O. Box 523, Kitale.
  Consecrated 21st November, 1928
  by W. Bro. W.A. Paillhorpe
  FM Hall, KITALE
  1st Fri (except 8-9), Inst-12.

  5095 – DAR ES SALAAM LODGE
  P.O. Box 483, Dar es Salaam.
  Consecrated 22nd February, 1929
  by W. Bro. J.E. Brunnen
  Suspended on 9th November, 1989
  Warrant returned on 25th March, 1991
  FM Hall, DAR-ES-SALAAM
  3rd Mon (except 1-2-12), Inst-9.

  5111 – KILIMANJARO LODGE
  P.O. Box 60, Moshi.
  Consecrated 12th August, 1929
  by R.W. Bro. Sir J.W. Barth
  FM Hall, MOSHI
  2nd Tue 1-2-3-4-5-6, 2nd Sat 9, 2nd Tue 10-11-12,
  Inst-9.

  5299 – GUIDING STAR LODGE
  P.O. Box 316, Dar es Salaam.
  Consecrated 27th November, 1931
  by W. Bro. T. W. Williams
  Suspended: October 1957.
  Warrant Returned: June 1959
  FM Hall, DAR-ES-SALAAM
  4th Mon 3-4-5-6-7-8-9-10, 4th Sat 11, Inst11.

  5638 – MOUNT KENYA LODGE
  P.O. Box 8, Nyeri.
  Consecrated 17th October, 1936
  by R.W. Bro. A.A. Legat
  FM Hall, NYERI
  3rd Sat 2-3-5-6-9-11, Inst-11.

  7093 – MAU FOREST LODGE
  P.O. Box 508, Kericho.
  Consecrated 8th September, 1951
  by R.W. Bro. H. Boazman
  FM Hall, KERICHO
  2nd Sat 2, 5, 8, 11, Inst-11.

  7187 – LODGE OF NAIROBI
  P.O. Box 45583, Nairobi.
  Consecrated 3rd December, 1952
  by R.W. Bro. H. Boazman
  FM Hall, NAIROBI
  1st Thu (except 1-4-8), Inst-12

  7485 – MWANZA LODGE
  P.O. Box 733, Mwanza.
  Consecrated 29th March, 1957
  by R.W. Bro. H. Boazman
  FM Hall, MWANZA
  3rd Sat (except 3,9,12), 2nd Sat. 3-9, Inst-3

  7504 – MOUNT MERU LODGE
  P.O. Box 309, Arusha.
  Consecrated 1st June, 1957
  by R.W. Bro. G. Rivers-Thomas
  FM Hall, ARUSHA
  1st Tue (except 4-5), Inst-6

  7518 – LODGE OF THE COAST
  P.O. Box 82935, Mombasa.
  Consecrated 28th October, 1957
  by R.W. Bro. G. Rivers-Thomas
  FM Hall, MOMBASA
  2nd Mon 2-4-6-8-10, Last Sat-11, Inst-11.

  8442 – MERIDIAN LODGE
  P.O. Box 72944, Nairobi.
  Consecrated 18th November, 1972
  by R.W. Bro. S.G. Ghersie
  FM Hall, NAIROBI
  4th Fri 1-5-6-7-9-11, 4th Thu 3, Inst-11.

  8789 – SEYCHELLES LODGE
  P.O. Box 192, Victoria, Mahe.
  Consecrated 14th September, 1977
  by R.W. Bro. D. Duncan
  FM Hall, BEL OMBRE, MAHE
  2nd Wed 2-3-5-7-8-9-10-12, Inst-9.

  8852 – PEACE AND PROSPERITY LODGE
  P.O. Box 43546, Nairobi.
  Consecrated 5th January, 1979
  by R.W. Bro. D. Duncan
  FM Hall, NAIROBI
  1st Wed 2-3-5-7-10-11, Inst-2.

  8853 – FIDELITY LODGE
  P.O. Box 41293, Nairobi.
  Consecrated 29th March, 1979
  by R.W. Bro. D. Duncan
  FM Hall, NAIROBI
  3rd Wed (except 4-8-12), Inst-3.

  9098 – LODGE OF ETHICS
  P.O. Box 11, Nairobi 00606.
  Consecrated 3rd October, 1983
  by R.W. Bro. G. E. Nevill
  FM Hall, NAIROBI
  1st Mon 2-4-6-10, Inst-2, 4th Sat Nov

  9157 – UGANDA LODGE
  P.O. Box 5707, Kampala.
  Consecrated 13th July, 1985
  by R.W. Bro. G.E. Nevill
  FM Hall, KAMPALA
  3rd Wed 1-3-5-7-9, 3rd Sat. 11, Inst-11.

  9161 – GERALD NEVILL LODGE
  P.O. Box 49469, Nairobi
  Consecrated 20th July, 1985
  by W Bro. A. H. Guest
  FM Hall, NAIROBI
  3rd Mon. 1-3, 3rd Sat-5, 3rd Mon 7-9-11, Inst-5.

  9173 – EQUITY LODGE
  P.O. Box 67375 Nairobi 00200
  Consecrated 25th January, 1986
  by R W Bro G E Nevill
  FM Hall, NAIROBI
  1st Mon.1-3-5-9, 4th Mon 7, 2nd Mon 10, Inst-3.

  9193 – LODGE OF FRATERNITY
  P.O. Box 167 Kisumu
  Consecrated 31st May, 1986
  by R W Bro J K Chande
  FM Hall, KISUMU
  1st Fri. 2-4, 3rd Sat-6, 1st Fri 8-10-12, Inst-6.

  9203 – LIGHT OF AFRICA LODGE
  P.O. Box 2708, Kampala
  Consecrated 13th Deccmber, 1986
  by R W Bro J K Chande
  FM Hall, KAMPALA
  3rd Fri. 1-3, 3rd Sat-5, 3rd Fri 7-9-11, Inst-5.

  9244 – LODGE OF SARDAR VALLABH
  P.O. Box 46861, Nairobi
  Consecrated 28th November, 1987
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIROBI
  3rd Thurs – 1, 2nd Wed – 3, 1st Wed – 6,
  1st Mon – 7, 3rd Tue – 9, 2nd Wed – 11, Inst – 6.

  9256 – LODGE OF FRIENDSHIP
  P.O. Box 63769, Nairobi
  Consecrated 23rd April, 1988
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIROBI
  3rd Sat 1, 1st Sat 3-5-7-9-11, Inst-3.

  9372 – CHANIA FALLS LODGE
  P.O. Box 41148, Nairobi
  Consecrated 19th January, 1991
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, RUIRU
  2nd Sat. 2-4-6-11, Inst-2.

  9447 – OWEN FALLS LODGE
  P.O. Box 801, Jinja
  Consecrated 3rd October, 1991
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, JINJA
  2nd Sat 2-4-6-8-10-12, Inst-2.
  NB: Tyles at 10.00 AM

  9488 – NAIVASHA LODGE
  P.O. Box 41148, Nairobi
  Consecrated 30th January, 1993
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIVASHA
  4th Sat-1, 2nd Sat-3, 3rd Sat-5, 2nd Sat-7, 9, 11. Inst-11.
  NB: Tyles at 11.00 AM.

  9492 – CENTRAL KENYA LODGE OF INSTALLED MASTERS
  P.O. Box 63769, Nairobi
  Consecrated 29th January, 1993
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIROBI
  4th Wed 1-3-7-10, Inst-1.

  9496 – CHANDE LODGE
  P.O. Box 40118, Nairobi
  Consecrated 5th June, 1993
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIROBI
  3rd Sat. 1-3-5-7-9-11, Inst.-3.

  9534 – INSTALLED MASTERS’ LODGE OF TANZANIA
  P.O. Box 14339, Dar es Salaam.
  Consecrated 29th January, 1994
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, DAR-ES-SALAAM
  1st. Sat. 3-5-9-11, Inst.-11.

  9551 – DISTRICT GRAND STEWARDS’ LODGE OF EAST AFRICA
  P.O. Box 41148, GPO Nairobi
  Consecrated 18th July, 1994
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIROBI
  1st Sat. 2-6, Inst-6.

  9559 – MOUNT SIMPSON LODGE
  P.O. Box 192 Victoria, Mahe
  Consecrated 21st July, 1994
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, BEL OMBRE, MAHE
  4th Wed. 1-4-5-6-8-11. Inst-4.

  9691 – SEYCHELLES INSTALLED MASTERS LODGE
  P.O. Box 192, Victoria, Mahe
  Consecrated 20th August, 1999
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, BEL OMBRE, MAHE
  2nd Wed 4-6-11, Inst-4.

  9701 – EAST AFRICA MILLENNIUM LODGE
  P.O. Box 41148, Nairobi
  Consecrated 17th February, 2000
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIROBI
  4th Sat. 3, 3rd Sat. 6, 1st Sat. 8, 1st Wed. 9,
  3rd Sat.11, Inst-6.

  9711 – ROUND TABLE LODGE
  P.O. Box 41982, Nairobi
  Consecrated 18th February, 2000
  by RW Bro J K Chande
  FM Hall, NAIROBI
  2nd Wed 2-5, 2nd Fri 10, 1st Wed 12, Inst-10.

  9794 – LODGE EAST AFRICA
  P.O. Box 948 Dar es Salaam
  Consecrated 26th March, 2005
  by RW Bro Sir J K Chande KBE
  FM Hall, Moshi Tanzania
  4th Sat 3, 9, Inst-3

  Mpendwa umejionea tarehe zao za kukutana na ni wapi walipo hapa Tanzania. Hadi sasa sijaona kundi hili lina kasoro gani kwa mtazamo wangu kwani naona wako kama vile NGOs fulani tu zinazosaidia watu wenye matatizo na wala hawana uhusiano wowote na kuwa wapinga imani ya Kristo.

  Ninaendelea kujifunza.

 16. Wapendwa wanaojua kimombo naomba wasome maelezo haya ya jinsi ya kujiunga na kundi la freemason, mihili ya imani ya kundi hilo na yale wasiyoyaamini.

  Maelezo haya nimeyapata toka kwenye wavuti ya kundi hilo.

  The Principles of Freemasonry

  The Principles of Freemasonry can be discussed quite freely and openly – there is no secret about them.
  The so–called Masonic secrets relate only to the means of recognition between Freemasons.

  Freemasonry amplifies the duty owed to God, to a neighbour and to the member himself.
  It requires the practice in every-day life of every virtue, it neither competes with nor is a substitute for religion.

  Freemasonry has no part whatsoever in politics – indeed topics of political or religious discussion are specifically forbidden at meetings of Freemasons!

  Complete loyalty is required of a Freemason to his country of birth and/or adoption. A Freemason is required to submit willingly to all lawfully constituted authority. Freemasonry forbids and discountenances disloyalty.

  Freemasonry requires that every candidate for admission shall come of his own free will, prompted by a desire to be numbered amongst the members of an institution whose principles he is willing to embrace. He must profess a belief in a Supreme Being and there is no compromise to this.

  Great Importance is attached to personal and social contacts in Freemasonry not only in the Lodge itself but also at the banquet and on those special occasions when our Ladies can join us.

  Great benefit and satisfaction is derived from the association of men impelled by common ideals and goals. It not only enriches our lives as individuals but also makes our Institution a beneficial element of the community to which we belong.

  There are bodies styling themselves Freemasons which are quasi-Masonic or imitative of Freemasonry and to visit or be associated with any such body is a serious Masonic offence. When travelling abroad if invited to visit a Lodge you should first make sure that the Lodge is one working under the jurisdiction of, or recognised by the Grand Lodge of England. This should be done by communication with Grand Secretary or District Grand Secretary for guidance. Grand Lodges of other Constitutions in amity with the Grand Lodge of England are listed in the Masonic Year Book. Members of the English Constitution should bear in mind that some of these Grand Lodges may recognise other Grand Lodges not in amity with the United Grand Lodge of England. When visiting a Lodge under another constitution it is possible that there could be present, quite legitimately, so far as it is concerned, members of a Constitution not recognised by the English Constitution. Such a situation calls for tact and diplomacy in withdrawing without giving offence, bearing in mind that it is part of the duty of members of the English Constitution not to associate Masonically with members of un-recognised Constitutions and that this duty transcends the more apparent calls of courtesy and politeness.

  Ni matumaini yangu kwamba umejifunza jambo kuhusu freemason. Hata mimi ninaendelea kuwasoma maana sijawafahamu vyema.

 17. Praise the Lord,
  Mimi naomba tu kumuelimisha Nd. Muta kwani wamama wa kwenye Biblia kama Mariam Magdalena waliokuwa wakiwa karibu sana na Yesu na ndiye alikuwa wa kwanza kutoa habari za kufufuka kwa Yesu ni wengi wapo walifanya kazi ya Mungu. Naomba soma Biblia yako vizuri kwa kutumia uwezo wa Roho Mtakatifu

 18. Huwezi ukawa ni freemason ,na usijjue,basi wewe si Freemason,.Huwezi kuwa freemason kwa sababu tu ya alama zao,ni zaidi ya alama.unaingia katika kundi la freemason kama mwanachama kwa hiari yako mwenyewe,

 19. JJJAAmani nashukuru sana kwa kuniunga mkono kutokukubaliana na fundisho la ndugu MUTTA. IMEONESHA NAMNA ambavyo wa2 wa MUNGU 2KO VERY SENSTIVE. Nimependezwa tuchape injili na penye KWELI(NENO) UONGO(masonic) utajitenga2.
  pili Tusiwahi kumhisi vibaya inawezekana alikuwa na nia njema ku2elimisha ila akakuta tunaelewa na pia inategemea anasali wapi coz kuna makanisa nayajua kabisa yanafundisha v2 hivi. UJANJA WA ADUI NI 2POTEZE MUDA KWENYE MAMBO YAKE. 2ACHE KUUBIRI HABARI ZA MASHETANI 2HUBIRINI KWELI/NENO. NAWAPEEEEEEEENDA ETI. MBARIKIWE MPAKA MSHANGAZE

 20. eti na hiyo picha ya bendera iliyoko nyuma ya pastor john (two triangles, with six pointing angles) pia ni free manson??????????????…just curious!!!!!!!

 21. “je hujajifunza nguvu ya damu ya Yesu katika kutakasa? La msingi tuongozwe na Roho Mtakatifu sio hofu dhidi ya freemson ndugu. Badala ya kutumia muda mwingi kuwajua hao freemason hebu tumia muda huo kumtafuta Mungu na kujua nguvu zake uone kama kuna takataka za freemason zitakusumbua” Hii ni sehemu tu ya mchango wa mwenzetu “Flano” hapo juu, nimependa sana mchango wake huu. Watu wa Mungu(wateule) hata tukipanda gari la hao Mafreemasons huko tuendako tunafika salama maana Bwana Yesu ni zaidi ya hao masons.Tutumie muda mwingi kutaka kumjua Mungu zaidi kwa kujifunza neno lake kuliko kufuatilia kazi za masons,wachawi,mapepo,majini n.k.
  Mbarikiwe wote

 22. HABARI ya Jumapili wapendwa katika Bwana, huu ni ushindi wa kweli kwa sisi Wakristo kwani hata hao Freemasons ingawa hawajiweki wazi wanajua ukweli kuwa wao ni aibu ya dunia kwa wastaarabu waonao nyakati na enzi za Bwana

  zitakapoishia juu yao thats why wanajificha, kama ni kweli wana nguvu kiivo basi na ajitokeze mmoja mkubwa kama kiongozi wa nchi mojawapo ajieleze kuwa yeye ni Mmaso. Mzinzi wa dhambi na tamaa ya mali, wivu mbaya, uongo, uzinzi na mengine kama hayo.

  Willy – Katavi

 23. Hivi jamii imejikita katika hofu na woga wa ushirikina kiasi hiki….? Kila kitu ni Freemason…….!

 24. Biblia inasema katika Mark 16:18;Katika Jina la Yesu…Hata tukinywa vitu vya kufisha havitatudhuru…ikiwa ni pamoja na hivyo vitu vya freemasons.Kwa hiyo ni uchanga kiroho kuwa na wasiwasi..

 25. Hili suala la wakristo kuogopa uwezo wa freemasons linatokea wapi?Biblia inasema…..Yeye aliye ndani yangu ni mkuu kuliko aliye katika dunia. Yohana 4:4,kwa hiyo shetani na wajumbe hata wakiweka mitego katika mambo ya dunia bado nitawashinda.Kwa hiyo kula,kuvaa,kunywa n.k vitu vya freemasons haviwezi kufua dafu kwenye ukuu ulioko katika damu na Jina la Yesu.Freemasons actual wanatakiwa wawaogope wakristo na sio wakristo waogope freemasons!!

 26. Bwana anasema atatupa hazina za gizani. So vitu vyote(vyema) viwe kazi ya uumbaji wa Mungu au kazi za mikono ya wanadamu vikipokelewa kwa kuomba na kushukuru,kunakuwa hakuna tatizo kwake avipokeae.Kwa mtazamo wangu matendo ya Kifreemason pekee yana paswa kukemewa na kanisa na watu wote!!

 27. jamani natamani mjue jambo moja,nafikiri biblia haieleweki kwa watu wengi sana! hayo yote yapo uwe una yajua ama huyajui uwe unayafanya ama huyafanyi! ukiwa ndani ya Yesu hata kama umepaka mafuta ya wamasonia,au umevaa nguo za wamasonia haziwezi kukusumbua mwana wa Mungu maana zinatakaswa kwa kuomba na kwa neno la Mungu 1tim 4:3-4

 28. Wapendwa katika Yesu nawasalimu. pIa nawapa pole wale ambao kwa namna moja ama nyingine wamechanganywa na hii post. Sisi kama watu tuliookoka tunaongozwa na neno la Mungu (ambalo ndio Mungu Mwenyewe). nilikuwa nashauri kwasababu mtandao huu unalenga katika kuwaeleza watu habari za Mungu, basi post zetu ziwe na evidence za neno la Mungu na si mawazo ya watu fulanifulani wanaolenga kuharibu roho za watu. Tusimame katika kweli na tuwafundishe watu kweli maana hiyo ndio itakayotuweka huru, na kweli hii iinapatikana kutoka kwenye neno la Mungu pekee na si katika mawazo ya watu. Naomba huyu aliyeweka hii post atupe uthibitisho kimaandiko yale anayoyasema na kama ni hana basi NINAIKEMEA ROHO YA UPOTOSHAJI KATIKA JINA LA YESU!!!!

 29. Kwa kweli ndugu Mutta hujaeleweka, inamaana unataka kuniambia wachungaji wote wanawake ni wa mafreemason kwa vipi naomba dondoo kwenye andiko linalosomeka hivyo. Kwa kweli naomba unyambulishe kuhusu nywele,Ala na vyombo vya mu
  ziki Mitindo ya unyoaji nywele,uvaaji heleni na kusuka ni kitu gani kilichokujulisha kuwa hivi vyote ni vya mafreemason. naomba jibu lisilo na utata wowote ili kuelimisha jamii kuondoa hofu kwa watu, kwa sentensi zako umewajenga watu kuwa na hofu na si kuwa na hofu ya Mungu bali katika vitu ambavyo kwa kweli unahitajika utoe maelezo sawa sawa siyo hivyo inaonekana uzushi tu.tafadhali eleza maelezo yako kiundani zaidi na kwa maandiko.ya kibiblia.
  betty kipala

 30. Bwana Mutta, jipange upya. Hapa ni mahali pa kuelimishana seriously na sio kufanya utani. issue ya Freemasons ipo lakini si hivyo ulivyoileta haijakaa vizuri wala kukamilika. Vinginevyo unataka kutuambia kuwa tuhame Dunia hii? walio wa Bwana wanaongozwa na Roho Mtakatifu. Roho huelezea hata siri za Mungu, sasa kwa maelezo yako umeongozwa na Roho Mtakatifu?
  Jipange upya. tutachangia ukiiweka mada vizuri.

 31. Freemasons ni wengi tu japo hawajijui!
  Inatuhusu nini? so what,sijamwelewa huyu ndugu wapendwa,tuogope au tufanyeje au na yeye ni mwanachama, lakini bado haitusaidii chochote.Hii post inatia shaka!

  Mbarikiwe!

 32. Jamani mimi nadhani tuwe wakweli tunapoandika post zetu hapa, maana tunaelimisha familia ya Mungu. Kuna logic nikiambiwa wanachama wa freemason ni matajiri ndio wanaomiliki viwanda vya bidhaa mbalimbali hata nguo tunazovaa huenda baadhi yahizo huzalishwa ktk viwanda vya wanachama wa freemason. LAKINI JE kuvaa tu nguo hizo zinakufanya na wewe uwe mwanachama? kivipi? Biblia inatuambia tangu Adam alipoasi aliuza umiliki wa dunia kwa shetani soma Luka4 uone shetani alivyomjaribu Yesu alimwambiaje? Nitakupa wewe vitu vyote hivi ukinisujudu maana hivi vyote ni vyangu na humpa yeyote kama nipendavyo! hivyo kumbe shetani ni zaidi ya freemason maana hao ni vibaraka wake tu. Kama sisi wakritu tumepewa mamlaka ya kumshinda shetani unaogopa shughuli za freemason hata watu washindwe kuvaa na kujiremba?maadam hawatendi dhambi? Hebu imagine ukiambiwa watengeneza maji ni freemson na waendesha redio na tv ni freemason je hutaangalia hata taarifa ya habari? je hutakunywa maji ukiwa na kiu eti kwa sababu hiyo? je hujajifunza nguvu ya damu ya Yesu katika kutakasa? La msingi tuongozwe na Roho Mtakatifu sio hofu dhidi ya freemson ndugu. Badala ya kutumia muda mwingi kuwajua hao freemason hebu tumia muda huo kumtafuta Mungu na kujua nguvu zake uone kama kuna takataka za freemason zitakusumbua

  Mbarikiwe

  Flano

 33. Ndugu zangu wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao.

  Shalom

  Nimekuwa nikisoma vitabu vichache vya anti mason na pia nimewahi kuwasoma ktk magazeti ya kiroho na kuwasikia wakiojiwa ktk TV.za baadhi ya ministry za kiroho,Kikubwa ninachokiona wanajenga hofu tu,wanafanya kazi ileile ya masonry.wanafanya wapendwa waishi kwa hofu/woga ,Maandiko yanaandika USIOGOPE, Hofu yetu ni mlango kwao,Wapendwa siku hizi ushughulika sana kuchagua cha kushika/kugusa/kula/kunywa na kwa hivyo wanajikuta wanamzimisha Roho Mtakatifu kuwaongoza/kusaidia/pasha habari/kukumbusha, N a inapelekea kupigania sana kujilinda wao kwa akili zao yaani kimwili na jinsi hii wanashindwa kumuabudu Mungu ktk Roho na Kweli.Maandiko yanaesema Mwana akiweka huru mtakuwa huru kwelikweli,Wapendwa yatupasa Kristo aumbike upya ndani yetu, Hawa jamaa nia yao kututia hofu ktk uhuru wetu tulio nao katika Kristo Yesu, watutie utumwani ,Wamefanikiwa kwa wale wenye imani haba.tuishindanie imani yetu.tuenende kwa hekima tukikomboa wakati.

 34. Samahani ndugu mtoa mada, chochote kinachondikwa na huduma yenu hufuatiliwa. Ninaingia shaka na hii post yako, watu wanaifahamu mason vyema na wengine hawajui kabisa. Sasa the way ulivyo-post umeacha watu midomo wazi, umeeleza ubaya lakini Asili yao na Malengo yao hujaeleza hujayasema ili mtu asiwe kuwa na swali. Isitoshe huna BIBLICAL EVIDANCE. Hebu tuweke wazi sababu hiyo jamii ni very craft and so much popularly danger, nahitaji kujifunza zaidi kwa sababu kuna mitazamo tofauti katika hili na namna ya kujisimamia kiMungu kuliko kuishi kwa hofu isiyo ya kiMungu.

 35. nionacho mimi tusipokua makina na kile kinachoendelea tutaishia pabaya maana kila kitu na kila tunachotumia katika maisha yetu ya kila siku kinamilikiwa na wanamason. suala la msingi ni kumluhusu ROHO MT atusaidie kwakila jambo tulifanyalo la sivyo tumekwisha.

 36. ni kweli naamini maaana hata watu wa namna hii huwa siwaelewi kabisaaaaaaaaa

 37. SHALOOM WATU WA JEHOVA. NAOMBA MNISAIDIE KUJUSTIFY/KUTHIBITISHA AU KUPROVE VITU, VYAKULA, NYIMBO AU MAVAZI MNAYOSEMA NI YA FREEMASON. MMEZIPATA WAPI NA NINI CHANZO CHAKE PLZ USINIJIBU KWASABABU ULIMSIKIA MTU FULANI AKIWAZUNGUMZIA ILA NIPE JUSTIFICATION PLZ TUSIJEWAPOTOSHA WATU TUKIDHANI TUNAWASAIDIA. NIKO VERY SENSTIVE NA CHANZO CHA HABARI WEWE UNAEELIMISHA ABOUT FREEMASON ULIIJULIA WAPI? NINATAMANI KUJIFUNZA COZ KUNA DADA ZETU HATA HERENI SAS IVI HAWAVAI COZ NI ZA FR MASON PLZ. TUPOTOSHOENI MSITUPOTOSHE TUSAIDIANE KAMA TUENDELEE KUHUBIRI HABARI HII AU TURUDI KWENYE INJILI ITAKAYOMJENGA MTU. TUMESABABISHAWATU WANAISHI KWA KUJILIIINDA NA VITU NA VYAKULA NA LADHA YA NENO LA MUNGU KWISHINE WHY? TUFANYEJE JAMANIII?

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s