Kesha na Praise Power Radio, kila siku! – Erick Brighton

Kama wewe ni mpenzi wa Praise Power Radio. Erick sio jina geni masikioni kwako hasa usiku, na kila Jumamosi kuanzia saa 7:00 mchana hadi saa 10:00 Jioni kwenye Gospel Annointing.

Erick amekuwa ni mtangazaji mwenye bidii na kazi yake huku akionesha upendo kwa wasikilizaji wake wanaompigia simu wakati wa mkesha na kuomba nao pamoja.

Mbali na utangazaji ni mchoraji mzuri sana, na ni fundi wa kutengeneza transmeter na street Airway. Mara nyingi amekuwa akiwakumbusha wasikilizaji wake kuwa wakati wa kuokoka ni sasa kwa kuwa hatujui siku wala saa na kwamba mtu asitegemee kumuona Mungu kwa kusihi maisha yasiyompendeza.

12 thoughts on “Kesha na Praise Power Radio, kila siku! – Erick Brighton

  1. big up sana erick naomba nitumie jina la aliye imba tufani inapovuma sana kumwaacha elizabeth kuna dada kaimba jina clifahamu 0658056692 by whisper shedehwa

  2. Jamani nimemiss Sana kesha Na praise power nilikua nabarikiwa sana . Huku iringa jaman nitawapata vip praise power

  3. naomba unitumie kwa watts app. 0767204110. wimbo wa Mungu ni Mungu2.Barikiwa sanaa kaka Erick.

  4. Kaka Erick Mungu akubariki sana. kipindi chako cha usiku kimefanyika faraja kubwa kwenye maisha yangu. naomba unitumie wimbo wa Mungu ni Mungu tu. 0767204110. Asante sana.

  5. Shaloom Eric! Mungu akubariki sana umekuwa sababu ya uponyaji wangu wa vidonda vya tumbo tar 10/4 kuamkia tar 11/04 kwenye kipindi chako kuanzia saa 9-11 asub,tulitubu kwanza mm nilikuwa nagalagala kwenye sakafu nikawa na maumivu makali sana tangu pasaka ni mgonjwa sana hata maombi wakati unaanza nilikuwa sakafuni hadi kushukuru nikanyanyuka,ukatoa ufunuo kwamba hata km hujapona unatakiwa kutoa ” sadaka ya Imani” kanisani kwako hapo hapo figure ya kutoa ikaja kichwani nikamwambia Mungu kesho jioni ntapeleka church nikaiandaa,nimeenda kazini kuanzia saa 2 nikaanza kusikia tofauti masaa yanavyokwenda ndivyo nilikuwa nikipona kufika saa 9:30 mchana nimepona kabisa,Eric nilikuwa siwezi kucheka,kupiga chafya,kukohoa,kupiga mwayo,kupanda pikipiki,bajaji hata bus likirusha naumia sana.Jioni nilienda kwa mch nakimbia na kucheka kumpa ile sadaka nikimweleza kilichotokea,maana aliniombea sana kuhusu swala langu”,oohooo I praise God for healing me”,Eric Mungu anakutumia sana mtu anaweza kukudharau lakini ulicho kibeba nikikubwa usijidharau hata kidogo,nakumbuka kipindi cha asub cha kuamshana ndipo nikadhibitisha km ni wewe “aahaaaa’ UNAVYOCHOMBEZA!

  6. praise God kaka kuna web site ya kuona yanayokea mikocheni B ulitaja asubuhi lakini nilikuwa nawahi kazini sikunoti vizuri hiyo web site naomba unisaidie tena kuipata

  7. hakika apandaye kwa machozi, atavuna kwa furaha.tudumu katika sala na hakika kwa subira yetu tutaziponya nafsi zetu

  8. Please wapendwa mnaotoa mchango wa mawazo yenu andikeni kwa ufasaha kitu kinachoeleweka mnayofupisha maneno inaleta utata hii blog watu wengi tunaitumia in the UK ujumbe usipomfikia mlengwa taarifa haitamfaidia kitu msomaji.

  9. Je naweza kusikiliza Praise Power songea? Hata kwa njia ya internet? Maana radio nyingine za dar zinapatikana

  10. mungu ambariki sn hy kijana, ht ukimckiliza kwenye vipindi vyake unajua kbs kuna ki2 mungu ameweka ndani yk. binafc hw ananibariki sn.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s