Michezo ya Ndondi na Mieleka kwa Wakristo

Michezo ya ngumi na mieleka ni maarufu sana. Na wapendwa wengine ni mashabiki na hata kuwashirikisha watoto wao kufurahia michezo hii. Lakini kuna habari njema kutoka ufilipino mwana ndondi maarufu Manny “Pacnan” Pacquiao (Kushoto) ameefunga bar na casino yake baada ya Mungu kumkataza binafsi asiendelee kucheza ndondi.

Kwa sasa Manny anahudhuria mafunzo ya biblia na kuamini Mungu anataka kuutumia umaarufu wake kwa ajili ya kuhubiri habari njema za Kristo.

Wapendwa, kuna michezo mingine haimpi Mungu Utukufu.

Advertisements

3 thoughts on “Michezo ya Ndondi na Mieleka kwa Wakristo

  1. Wongo mtupu. Huu jama anajifanyia advert peke yake. Bado anafanya kazi ka kupigana ngumi. Just on December 8, inawezekana achapane na Juan manuel Marquez uko Las Vegas (USA). So, ukweli wa huu jama uko wapi? Beware.

  2. Wapendwa, hakuna mchezo hata mmoja ulio na utukufu kwa Mungu. Kama upo naomba uutaje.

    Kama huyu bondia amekatazwa kucheza ngumi haina maana kwamba kazi ya ubondia haina utukufu kwa Mungu. Je, wewe ukikatazwa kuwa Daktari au Mwalim utasema kuwa kazi hiyo haikuwa na utukufu kwa Mungu. Nadahani umekosea kutoa hitimisho mapema kabla ya kuacha wachangiaji watoe mawazo yao kwa mujibu wa maandiko. Hilo hitimisho lako linaoenesha kwamba unauchukia mchezo wa ngumi sana. Hata kama unauchukia lakini kumbuka kuwa kuna wanaoupenda kama vile wewe unavyopenda baadhi ya michezo ambayo wengine hawaipendi.

    Ubarikiwe.

  3. i, just think however, before concluding, or resolve, that, the matter be spiritual case study. Hivi, niaje, kazi ya jeshi, polisi, magereza, mgambo, state securities like TIS(Tanzania Inteligence Services), FBi,KGB,CIA,MOSAD, etc???. Hizi kazi maana yake ni ujasusi, whereby, unafundishwa pia, namna mbalimbali za kutesa na kuua binadamu. Na huko, wapo wateule pia, hadi wanastaafu kazi, na tunao makanisani, yamkini, wengine ni Makuhani, elders na mashemasi pia. On this case, mbele yetu ya huyu boxer Paccuio, mie ninadhani, may be ni wakati wa Bwn tu kumuita kazini, kama vile mtu alivyo labda ni Nesi au mwl akaagizwa aachane na hiyo kazi akamtumikie Bwn, pia, huyo boxer alikuwa mmiliki pia wa maeneo au miradi michafu mbele za jamii na Bwn pia, ninapenda kuamini kuwa, hiyo ndo sababu kubwa ya yeye kuitwa shambani, ili afunge na zile biashara chafu za casino na night clubs.Mubarikiwe

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s