Usiku wa Sifa – April


Bukuku, Mkesha wa SG September

Steven Mwikwabe wa album ya KUISHI KWANGU, na wimbo wa RAFIKI WA KWELI atakuwepo

Shalom wana SG na wote, nawasalimu katika jina la Yesu! Napenda kuchukua fursa hii kuwataka wote kufika bila kukosa ili kumsifu Mungu, kumwabudu na kupeleka haja zetu mbele zake tarehe 13/4/2012. Njoo tumuombe Mungu ili atuonekanie katika maisha yetu, huduma zetu, afya zetu, kazi zetu na yote yanayotuhusu. Anza kupanga kuanzia sasa kutokukosa mkesha huu. Mkesha utaanza saa 4:00 usiku mpaka 11:30 alfajiri.

Ni pale Jesus Celebration Centre, Shekilango karibu na uwanja wa Kinesi.  Walete wagonjwa na wenye matatizo wataombewa kwa Jina la Yesu. Pia kama nawe umeandika maombi yako hapa kwenye blog yataombewa ukiweza pia unaweza kufika, Tafadhali upatapo ujumbe huu mwambie na mwingine!

Ni kila Ijumaa ya pili ya mwezi.

Simu: 0767022096/0715 422096

Email: strictlygospel@yahoo.co.uk

4 thoughts on “Usiku wa Sifa – April

  1. Mungu Abariki mkesha huo na, kama mungu akinipa uzima wa kufika siku hiyo nitafika tujumuike sote, ila nikishindwa kufik kutokan na majukumu kuwa mengi naomba sana msinisahau kwenye maombi yenu, nizidi kusonga mbele na wokovu na nishinde majaribu yote na nguvu ya mungu izidi ndani yangu, pia muiombee na familia yangu ibarikiwe na kufunguliwa tufanikiwe kwa kila jambo jema na tuishi tukimtegemea mungu na vifungo vyot vilivyofungwa vifunguke na kupokea uponyaji, pia mama yangu afunguliwe kiroho na kimwili apone maradh yake yote hasa mguu wake unao muuma kila siku.

    Mungu Awabariki sana

  2. MUNGU APEWE SIFA ZAKE NA MIMI NAOMBA MUNISAIDIE NA MAOMBI YA KUFUNGULIWA NA TAMAA ZOTE YA KIMWILI IYI AIPENDEZE MUNGU WETU AMA DELIVRANCE NA KUNIPA NGUVU YA KUSONGA MBELE

  3. Amina, kama umetokea ubungo panda magari yanayo pita sinza, halikadhalika kama umetoka mwenge, kituo kinaitwa legho, na kiko jirani na kiwanda cha maziwa DESI, then kuna njia inaenda juu kuelekea ukumbi wa urafiki. au piga simu 0767022096/0715 422096. Karibu sana

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s