Asilimia kubwa ya dhahabu inatoka Afrika!

Machimbo ya dhahabu Congo

Ikiwa zaidi ya 50% ya dhahabu inatoka Afrika, kwanini bara hili ni Maskini?

Advertisements

4 thoughts on “Asilimia kubwa ya dhahabu inatoka Afrika!

 1. umasikini unaletwa na watu wenye mioyo ya ubinafsi uliokidhiri kwa kutaka kumiliki mali peke yao

 2. Tatizo ni ufisadi , uchoyo , wizi na uchoyo hata wateule wameingia kwenye mkumbo huo. Baraka za mteule kwa sasa zinapi mwa kwa mali aliyo nayo pasipo kujali amezipataje. Watu wanawasifu watu ambao ni wazi kuwa mali waliyonayo wamechakachua, wanawapa cheo na wanakuwa wanasay kubwa katika makanisa yetu.Naomba wateule tujitenge kabisa na dunia. Utoaji ndani ya makanisa tuuangalie kwa umakini. Tuwasaidie watu ambao ni watoaji wazuri lakini njia zao siyo nzuri, wasaidiwe ikiwezekana wakemewe.

 3. Afrika watu asilimia kubwa kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini watu wake wanaishi kiujanja ujanja kama alivyosema ‘Philip’..ukiangalia kwa makini hakuna nchi yenye watu weusi ambayo imeendelea…hata Afrika Kusini..maendeleo yao ni kutokana na wazungu…
  Viongozi wa Afrika na watu wake wanatakiwa kubadilika….na kuacha…porojo….na vitu vinavyofanana na hivyo na kuamua kufanya maendeleo….na maendeleo kwa taarifa yako hayaletwi na kuwa na dhahabu tu; maendeleo yanakuja kwa kuwa na superior quality of education, application of science & technology, doing research and applying findings of the research; industrialisation ( Kutengeneza bidhaa na kuziuza zilizo bora….) sasa afrika unakuta wanapromote ujasiliamalia wa kununua bidhaa China na kuziuza huku ..unafikiri hapo tunakuza uchumi kweli?
  Dhahabu unaweza kuwa nayo ardhini lakini Migodi yote anamiliki mzungu…na pia katika mikataba umempa…ruhusa ya kutumia kama atakavyo…na wewe akumegee kipande kidogo…unategemea nini?.
  Angalia jinsi Obama anavyosisitiza umuhimu wa marekani kuwa na VIWANDA VYA KUTOSHA!…huku kwetu viwanda vinakufa(Vilivyokuwa vya serikali….na pia watu hawa haw wanashiriki viuwa..wa afrika) na hakuna anayeona kuna tatizo….
  Kwa ujumla tatizo la afrika ni kubwa!!!

 4. Tunaishi kiujanja janja tu hata viongozi walishaona kama haya ndo maisha tunayopaswa kuishi na kubaki wanafanya waonavyo wao, wamebaki wawamba ngoma tu.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s