Mahakama ya kadhi inahitaji umakini – Mizengo Pinda

Tumeunda timu kati ya serikali na wenzetu wa dini ya kiislamu mahakama ya kadhi ni jambo ambalo lipo, linagusa hisia za watu, lazima twende nalo kwa umakini kwa kuzingatia hali ya nchi ilivyo, mwisho wa zoezi hili tutapata majibu mazuri

Aliyasema leo bungeni tarehe 17 April 2012 baada ya swali la msingi kuulizwa na mbunge kwanini serikali ya Tanzania haina mahakama ya kadhi na Waziri Kombani kujibu waislamu wako huru kuianzisha mahakama hiyo na kuiendesha kivyao bila kuishirikisha serikali.

Ndipo likaibuka swali lingine ni sheria ipi inazoziruhusu jumuiya mbalimbali kujianzishia mahakama? Mfano Uingereza, Zanzibar, Kenya na Uganda, mahakama ya kadhi ipo. kwanini isiwe Tanzania. Mbunge huyo akamtaka waziri wa sheria aileze Jamii ya Waislamu ni lini watapatiwa mahakama yao hiyo ya kadhi.

Ndipo Waziri Mkuu Pinda akajibu kwamba ni suala linalohitaji umakini!

Advertisements

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s