Africa Praise Night – Ottawa

Upendo Kilahiro amealikwa nchini Canada kwa ziara ya mwezi mmoja ambapo jumamosi wiki hii atafanya huduma kwenye kanisa la Christ Chapel Bible Church jiji la Ottawa. Huduma atakayoifanya ina lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto Yatima wa Morogoro.

Amechaguliwa kuwa muimbaji kutoka Tanzania ambapo siku zote atakuwa Canada atafanya huduma ya uimbaji sehemu mbali mbali alizoalikwa na atakazoalikwa.

One thought on “Africa Praise Night – Ottawa

  1. Najivunia kusema Upendo Kilahiro ni muimbaji wa kimataifa kutoka Tanzania. Anastahili kuwa juu zaidi ya hapo alipo, Karibu sana UK.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s