Mpango wa kuelimisha viongozi wa kanisa la Mennonite Tanzania

Kumekuwa na changamoto ya uongozi kwa makanisa mengi ya Afrika hususan Afrika Mashariki. Tukiongelea Tanzania ni wazi makanisa mengi yanahitaji elimu na rasilimali ili kuwezesha huduma kusimama imara.

Wamishionari Joe na Gloria Bontrager wameelezea jinsi walivyoanza kwenye safari yao ya huduma Tanzania na changamoto walizoona na mipango iliyopo kuhusu kushirikiana na kanisa la Mennonite Afrika Mashariki ili kusaidia na kufundisha Uongozi na Maendeleo ya KMT.

Advertisements

4 thoughts on “Mpango wa kuelimisha viongozi wa kanisa la Mennonite Tanzania

  1. Maoniyenu nimazuri lakini”kmt”inaongozwa na mafisadi umishionari utaenda?

  2. Pamoja na mawazo hayo ya wamisionari ya kuelimisha viongozi wa kanisa la Mennonite Tanzania kumtumikia Mungu, ni vizuri Kanisa lenyewe likawa tayari kujielimisha, kuchangia gharama kwa uwezo wa waumini wake ili kujenga moyo wa kujitolea na kuithamini kazi ya Mungu. Viongozi waliopo wajitoe kuelimisha kanisa bila uoga na aibu juu ya uwakili na wao wawe taa, nuru na chumvi katika eneo hilo la uwakili. Waumini waujue wajibu wao wa kugharimia kanisa lao. Sote tujifunze kujtoa kutumwa, kutuma na kuwalea waliokwenda kuipeleka Injili katika maeneo mapya. Msaada wa wazungu uongezee juhudi zetu na usiwe alfa na omega ya kazi ya Mungu Tanzania.

  3. Munishi ulianza na ROHO unamaliza na mwili kwa nini?Umeenda siasa?Tamaa ya uongozi ilikuweko wakati wa Noah kama tu sasa.WATEULE TUWE Macho!

  4. Ninaomba “Bwana Yesu ninaomba uwasaidie watumishi wako na makanisa yasiyojiweza, uwape nguvu ya kufanya kazi yako kwa hekima na maarifa uliyoweka ndani yako. Wasaidie wasio na uwezo wa kupata wafadhili wasikate tamaa, Naomba katika jina la Yesu. Amen”

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s