Pastor Faustin Munishi atamani kuanika wachungaji waovu

Apostle James Ng’ang’a Gets Very Drunk And Noisy

Apostle James Maina Ng’ang’a of the Neno Evangelism Ministry is said to have had one too many drinks before displaying his other side. The apostle known for his ‘demon removal’, is reported by Ghetto Radio to have had a heavy drinking before getting into a fight with his fiancee. A security officer who happened to be on the wrong side of the argument also encountered the apostle’s wrath.

The cause of argument between the Ng’ang’a and the fiancee is not clear but is thought to be his drinking habits. The story became more interesting when the security guard, who the apostle harassed, was arrested by police. Apparently, Ng’ang’a called the authorities and manufactured a few lies and with money and ‘name’, the ‘soldier’ stood no chance.

Kenyan apostles have not shied away from controversy. The first was Margaret Wanjiru, who, despite the tight political news schedule, managed to book her slot on prime time TV every day, for a whole week, when she declared she was getting married, dressed in a 3 metre veil. That was not helped by the emergence of Kamangu.

Then came the good pastor from Helicopter of Christ Ministry. We have all heard the story, but in a nut shell, he divorced his wife who is demanding several hundreds of thousands every month. She claims the husband is filthy rich and she is part of the reason he got rich. Now comes the good pastor, who claims he can only afford to give her only Sh 5000, every month. The fact that he owns several top of the range vehicles, and controls one of the largest congregation in the city does not help his argument.

Now, James Nga’ng’a Maina has joined the list of ‘drama queen’ pastors. If the rumours are true, the image of the very respected apostle will drop to an all time low.

© nairobiwire.com

BAADA YA HABARI HII KUANDIKWA, MCHUNGAJI FAUSTIN MUNISHI AKAANDIKA YAFUATAYO


Tufunike mizoga KANISANI Kisha tujifanye kila kitu shwari. Twende kwa ‘PUBLIC’ Tuwaalike Kanisani. Ujumbe tuwaambie YESU ANASAMEHE NA KUDUMISHA. TENA UKIMWAMINI UTAFANYIKA KIUMBE KIPYA YA KALE YATAPITA TIZAMA YATAKUWA MAPYA. Halafu baada ya siku kidogo wasikie harufu ya mizoga ya dhambi mliyofunika KANISANI. Which one is more damaging?

Kosa likikosolewa na mtu awezaye kukosa na hajakosa si kosa Kama kuogopa kukosoa kosa na uje ukose kosa sawa na uliloogopa kukosoa. Hilo ndiyo kosa. Au wasemaje?

Somo geni kwa kizazi kinachopenda Injili ya mafanikio ya kuufurahisha mwili kwa muda. Ila kwa kizazi cha wale tuliozaliwa mara ya pili, Injili ya kuwezeshwa kushinda dhambi ndio msingi wa imani yetu. Tukikosa shabaha hiyo, tutakuwa na washirika wanaoishi maisha ya kushindwa na kuwezwa na dhambi, ambao hawaoni ajabu yeyote kwa wapakwa mafuta kufanya maovu, kwani ndiyo mtindo. Je wasemaje?

Mama aliyefumaniwa usinzi kukakosekana wa kutupa jiwe la kwanza ilimaanisha Dhambi ilitawala na itaendelea kutawala hata sasa? Wakati huo Yesu alikuwa hajamaliza kazi ya kuishinda dhambi msalabani ili tukimwamini tuwe zaidi ya washindi. Injili ya kushinda dhambi ni yetu wakati huu au ni ya Mitume?

Dhambi Hazipaswi kututawala. Mtume Paulo alikutana na kesi ya aina hii kwa wandugu wa kanisa la Galatia. Moja ya ufumbuzi juu ya suala hili aliwataka waenende kwa Roho ili wasisitimize kamwe tamaa za mwili. Wagalatia 5:16 ‘ Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili’ . Kuenenda kwa Roho ndio kukoje? Ni kuishi/kuenenda kwa kufuata utaratibu/uongozi wa Roho Mtakatifu maishani mwako.

Tuseme kanisani mwako Pastor Amebeba sadaka yote akaweka kwenye gari akaishia nayo. Kumbe Simu yako ya rununu Imemnasa akifanya uovu huo. Ukiposti picha ya Pastor Tapeli hapa na uandike story kidogo kwamba Badala pesa ziwekwe hazina ya kanisa Mchungaji Aweka Zote Kibindoni. Hapo utakuwa umesaidia wengi wajue pesa za kanisa zinapaswa kuwekwa hazina ya kanisa. Wengine watakuita MDAKU usijali.

Munishi Faustin DailyNews

25 thoughts on “Pastor Faustin Munishi atamani kuanika wachungaji waovu

 1. Asante kwa kutuelimisha vijana naitaji kuomba na kutoka kwa thadhambi ..nahita kuokoka naomba nikumbuke kwa maombi yako.. .

 2. bado kuna neema kwa watu wote bora tutubu. mwenye haki anaweza kuanguka mara mia na kuamka.Nimejua munishi amekoseya lakini wamkemea wewe nani?

 3. niwakati wakujiuliza tutarengesha vipi kondoo za Mungu zilizo potea,yetu nitufanye kazi ya Bwana wokovu ni safari na ina mambo mengi anaelemewa msheke mkono usaindie sikumcheka na kumzidi kuvua,isiwefuraha kwako ni tusaidiane katika hii safari nayo ni upendo Amina

 4. Ephesians 5:11-13.
  And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather, reprove them. For it is a shame even to speak of those things which are done of them in secret. But all things that are reproved are made manifest by the light: for whatsoever doeth manifest is light.

 5. Hakuna lilifichika ambalo halitafunuliwa. Enyi mnaojiita watumishi wa Bwana, mwogopeni sana Bwana. Tubuni na kuacha uovu wenu. Hukumu ya Bwana I karibu na inatisha sana haswa kwa ninyi mnaopaswa kuwaongoza watu kutenda mema. Mnahitaji neema mara dufu na kuyaacha matendo ya giza. Kuanguka kwenu kuko karibu sana kama hamtatubu na kuziacha njia na matendo ya giza. Na kanisa la Bwana litashuhudia jinsi watumishi waovu wanaopenda njia na matendo ya giza watakavyoanguka. Kama Yesu Kristo wa Nazareth alivyomwona shetani akianguka toka juu, ndivyo nanyi mtakavyoanguka na kanisa la Bwana litaona bayana. Ni heri mngalitubia njia na matendo yenu ya giza LEO mpate kupona. Kanisa la Bwana litasimama imara maana analijenga Kanisa lake na milango ya kuzimu pamoja na watumishi wa milango ya kuzimu HAMTALIWEZA KULIHARIBU KANISA LA BWANA!

 6. you cannot see wachawi neither waganga fighting each other.if u r fighting ur fellow pastor did u cal him n assign him to preach? play ur part na mstop this madness!

 7. Judas hakufa judas ako rohoni mwa wengi juu pepo la pesa latawala na judas alisaliti yesu ndo apate pesa wahubiri wanahubiri pesa badala ya neno la Bwana Mungu.cursed ar thoz steal using name of Jesus ama?

 8. Munishi why jurge other you have to know nobody is perfect we do sins cos satan is there to trup his group,howers jst to tell de people there mistake idividualy en pray 4 them instead of kuwanika in public.GOD FORGIVE U MUNISHI repent

 9. Indeed, truth hurts, that is why the victims lament yet even jesus could not cover on the abominable acts in jerus..m temple by then.The fact is that such miscontact in authority of of God’s pple has to be pointed out to regain the right direct in spiritual life.There4 lets let us open out eye $ be let by the right models in our spritual journey. A real christian should be candid in all aspects of his/ha life,moreso lets read the bible widely $ comprehend b4 we impliment it in our life instead of basing on selective scriptures to cover on our faults. Keep the pot burning pastor.Thanks.

 10. Kuonyana kupo, wewe unae kataa kuonywa basi ndiye muhusika mkuu. Cha muhimu ni kutubu tu hakuna mbadala. Jua kuwa hakuna mkamilifu mbele za Mungu, ndiyo maana toba ni kila muda na kila dakika kwa mtu yeyote awe Mch., Mwl, yeyote ni muhimu sana, iwapo umegusika tubu. Mungu huweza kutumia njia yoyote ile kuonya. Hivyo ndugu zangu acha kumnyooshea kidole Masihi wa Mungu ole wetu maana biblia imetuonya na biblia ni Mungu mwenyewe anaye sema na wanadamu.

 11. Munisi wewe sio mtumishi wa Bwana wa Majeshi,acha ushambenga kwenye mitandao yakwako ya siri huyajui, Neno limekuisha umebaki ushabiki na majungu tu,rudi msalabani ukatubu kwa sasa huna tofauti na wanyang’anyi,una mengi maovu hata mwenyewe wayajua na yana ushaidi tusiyaanike tukazidi kukuchafua,kaa kimya tangu sasa wala usijiite mtumishi wa Mungu unamchafua

 12. mbona wewe munisi yako hatuyasemi? ……………kumbuka hadi ndoa yako ilikuwa matatani……..badala ya kuhubiri Neno wewe unahubiri Upinzani.unapoweka wazi kwa mkristo mchanga umemsaidiaje?arudi kwenye upagani?………..

  (……..SG tumepunguza baadhi ya maneno)

 13. Mficha dhambi mauti humuumbua. Ni jambo jema kuwafichua wachungaji waovu, kufanya hivyo kutawafanya watu kutambua mahali sahihi pa kuabudu.

 14. Mchungaji hupaswi kuanika uovu wa mchungaji au muumini mwache MUNGU awaumbue mwenyewe, usihukumu usije ukahukumiwa, usilaani usije ukalaaaniwa bibilia inatukataza hivyo mwachie maovu yao Mungu atanena nao , tetea nafsi yako kwa kujiweka tayari kwa ujio wa Kristo. AMEEEEEEEEE.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s