Kwanini wewe ni Mkristo?

Nina maswali kwa wakristo wenzangu, kuna wengine wanajiita ni wakristo, lakini hawana majibu kwanini wao ni wakristo, katika kutembea tembea kwangu huko mitaani nimekutana na majibu yafuatayo.

 1. Nilizaliwa ni mkristo,
 2. Mimi ni mtu mzuri, nasali sana
 3. Wazazi na ndugu zangu ni wakristo
 4. Nimechaguliwa na Mungu
 5. Kabila langu ni Mkristo
 6. Watu wengi ni wakristo
 7. Nimechaguliwa kumfuata Yesu
 8. Dini ni nzuri kwa jamii
 9. Siwezi kuondoka kwenye dini yangu
 10. Namwamini Mungu mmoja

Je wewe, kwanini unajiita Mkristo?

Advertisements

5 thoughts on “Kwanini wewe ni Mkristo?

 1. Jesus is the only reason am a christian today.
  AND its true that,
  Jesus is the reason 4 me to be a christian.
  any one who doesnt know why is he or she a christian doent deserve to be one

 2. mimi najiita Mkrito kwa sababu naamini Kristo ni Bwana na mwakozi wa maisha yangu,pia nimezaliwa katika familiya ya kikisto, Hivyo naamini kuwa Mungu ndiye muweza wa yote na hakuna asilo liweza nampen
  da Yesu Kristo ndiyo maana mimi najiita mkiristu.

 3. Mimi ni mkristo si kwasababu nimezaliwa katika familia ya wakristo,wala si kwasababu nilizaliwa wakati wazazi wangu wanaamini ukristo,mimi ni mkristo kwasababu nimemwamini Yesu,nimempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu.

 4. Mimi ni mkristo kwasababu nimezaliwa mara na Kristo (mara ya pili) na kulelewa Mungu Baba hata hadi sasa ni mwanafamilia wa Mungu kwa njia ya Kristo kwa Roho na Imani.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s