Mchungaji Josephat Gwajima kufanya huduma London

Mchungaji Josephat Gwajima akiwa kwenye moja ya mikutano yake Japan.

Mchungaji Josephat Gwajima anatarajia kuwepo jijini london kuanzia Jumapili ya wiki hii tarehe 29 hadi tarehe 6 ya mwezi wa tano, kwa yeyote ambaye angependa kukutana na mchungaji kwa ajili ya maombi na ushauri basi anatakiwa kupiga simu namba 0742 753 2044 au 0742966 7095 ili kupanga siku na muda ambao angekutana na mchungaji.

Aidha mchungaji atakuwa kwenye tawi la kanisa lake jumapili zote mbili kwa yeyote ambaye angependa kufika afuate anuani hii:-

Glory of Christ Ministries International
Langham road, Tottenham
London, N15 3RB.

Au apige simu nilizoandika awali.

Grace Gwajima

Advertisements

2 thoughts on “Mchungaji Josephat Gwajima kufanya huduma London

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s