Sijawahi kuona imani kubwa kama hii!

Muimbaji maarufu Lady Gaga amewasilia Korea kusini Ijumaa iliyopita kuitangaza album yake, hapo kabla  jumla ya waumini 300 wa Kanisa la kipentekoste walikutanika na kuomba Mungu kupiga onesho hilo.  Kiongozi wa kundi hilo Kang Ju-hyun alisema “Tunaenda kuomba kwa Mungu hilo tamasha lisifanyike ili ngono na ushoga visienee katika nchi” Alisema

Ijumaa ya tarehe 27 April kabla Lady gaga hajaenda uwanjani, wakristo 100 wakiwa nje ya uwanja huo walikuwa wakiomba na kukemea roho iliyo ndani ya mwanamziki huyo na kuomba Taifa lisidhurike kwa watakaoona tamasha hilo.

Waumini hao wamefanya hivyo kwa kuamini Lady Gaga anakuza ngono na ushoga katika jamii.

Serikali ilipinga watu chini ya miaka 18 kutoingia. Na waliongia walionesha vitambulisho vyao, Ni ushindi kwa watumishi wa Mungu hawa, wamepiga hatua, Inawezekana.

(AP / Lee Jin-man)
(AP / Lee Jin-man)
(AP / Lee Jin-man)
(AP / Lee Jin-man)
(Getty Images / KIM JAE-HWAN)
(Getty Images / KIM JAE-HWAN)
(Getty Images / KIM JAE-HWAN)

Kukiwa na imani kama hii kwenye kanisa, nchi yoyote inapona!!

Advertisements

9 thoughts on “Sijawahi kuona imani kubwa kama hii!

  1. TUWENI WATU WA IMANI, MANA TUPO SIKU ZA MWISHO. UKIWA NA IMANI HAKUNA LISILOWEZEKANA

  2. Hii imeniamsha usingizini, siku moja nikiwa Kilosa nilikutana na gari ya matangazo iliyokuwa ikitangaza kuhusu onyesho la watu wa muziki wa kanga moja iliyolowanishwa na wakina dada waliokuwa katika gari hilo walikuwa wamevaa kanga kwa staili ambayo walikuwa uchi kabisa na wala hawakuwa na nguo nyingine ndani iliniuma kiasi na sikuchukua hatua yoyote kama balozi wa Yesu kumbe wenzetu japan wanapoona matangazo ya ujio wa watendakazi wa shetan hujikusanya pamoja na kuomba kwa mzigo na kusimama kinyume na uovu huu mkubwa..BWANA YESU anisaidie nitasimaa katika zamu yangu…

  3. Nasi watanzania tusimame kama kanisa kwa ajili ya nchi yetu. Watanzania tunaishi maisha manyonge.

  4. Ikiwa watu wangu walioitwa kwa Jina langu………., Nmekuwa challenged sana na upeo wa Kimungu walionao hawa watumishi.Ni shule kubwa kwa kanisa la Tanzania.

  5. God is able to make anything possible I pray with you brothers and sisters

  6. I THANK LORD JESUS FOR THAT, AND THIS INCOURAGE US TO FIGHT FOR THE KINGDOM OF GOD, OH! LORD JESUS THANKS FOR FIGHTING OUR WAR. WE REALY THANK YOU.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s