NAFASI 200 ZA KAZI KWA VIJANA

Shalom Broz Productions ikishirikiana na Makampuni matatu ya Energy Master, Age Parfect na Challenger yanakuletea nafasi za kazi kwa vijana wasio na ajira au wanaotaka ajira za ziada (Part time job). Semina ya mafunzo ya kazi hii itatolewa Pale Alharamain Sekondari Kariakoo. inatazamana na Benjamen Mkapa Sekondari na Shule ya Uhuru. Saa mbili asubuhi siku ya Jumamosi ya tarehe 19/05/2012.

Anayependa kupata Fursa hii afike katika semina hii fika saa mbili asubuhi ukiwa na vitu vifyatavvyo bila kukosa.
1. Barua kutoka Serikali za Mitaa, inayoonesha kuwa wewe ni mkaazi wa eneo hilo
2. Kadi ya kupigia kura.

Vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 28 wanahitajika zaidi.

Hakuna kiingilio.

Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tafadhali piga namba zifuatazo

0718 817706  au 0784494906 Eneza
na 0713 977277 Tawale

Advertisements

4 thoughts on “NAFASI 200 ZA KAZI KWA VIJANA

  1. Mpaka leo hizo ajira za part time zinapatikana? maana nilichelewa kuliona hili tangazo

  2. Kama una swali unaweza kupiga na kuuliza maswali yako kwenye hizo namba juu. Ubarikiwe

  3. Bwana Yesu asifiwe!!
    Asante sana mtumishi kwa taarifa za kazi.Kwa kweli ni jambo jema kutusaidia sisi vijana maana hata maandiko yanasema “ASIYE FANYA KAZI NA ASILE”.Kwa njia hii wapendwa wengi hasa vijana wataweza kupata kazi.
    Mungu akubariki sana!!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s