Mwakasege Kufanya Semina Marekani

Mwalimu Christopher Mwakasege anatarajia kufanya semina tarehe 24 May 2012. Pamoja na semina hii waimbaji watakaoimba ni pamoja na J Sisters na Flora Mbasha. Pia mlio jirani na Maryland, nyote mnakaribishwa.

Mwalimu Mwakasege, ataendelea kwenda majimbo mengine ambapo tutawajulisha ratiba. Mungu awabariki

Advertisements

3 thoughts on “Mwakasege Kufanya Semina Marekani

  1. wakazi wa Maryland msikose kwenda kwenye semina hii amabyo imekuja mlangoni nendeni mkapokee baraka zenu, Mungu akubariki mwalimu wetu na azidi kukutumia kwa makusudi yake aliyo weka ndani yako tuko pamoja nawe huko uliko mtumishi

  2. Mungu awabariki kwa kazi yenu ya kuieneza injili ya BWANA.Ninajua kazi yanu si Rahisi.Mtapambana na roho za homosexualism na freemasonry .Mjipe moyo BWANA mnayemtumikia hatawaacha milele.Atawatetea katika hayo yote nanyi mtashinda.Msitazame nyuma wapendwa .Songa mbele.HUDUMA NJEMA.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s